No video

MAKONDA AWAJIBU WALIODAI AMEDHALILISHA WATENDAJI "ENDELEENI KUPIGA RIDHIMU NTAWAPIGA SPANA"

  Рет қаралды 28,024

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 139
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 3 ай бұрын
Kuna katoto ka miaka mitatu kamebakwa pale arusha . Afu polisi wakapuuuza walipo puuza katoto kamaeoza mama alikosa msaada. Baada ya makonda kuingilia kati ndio mtuhumiwa kakamatwa. Hakuna sehemu yeyote ambapo tumeona haki zabinadamu na haki za wanawake eakimtetea yule bint na mtoto wake 😢😢😢😢😢😢 leo mtu kuambiwa ambiwe azungumze vizuri ndo inaonekana kadhalilisha jamani
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 3 ай бұрын
Tunashukuru kwenu ninyi mnao tupa baadhi ya shuhuda hao sijui haki za binadamu koloboi zao waende zao uko❤❤🎉🎉🎉
@musicheals1545
@musicheals1545 2 ай бұрын
haki za binadamu wanafuga huu ujingaa...acha makonda apige SPANA Tuuuu mumbwaa hzii
@EvarineMdaki
@EvarineMdaki 3 ай бұрын
Makonda. Mungu Akulinde. Be blessed.
@user-hk8jl7nw8k
@user-hk8jl7nw8k 3 ай бұрын
Mh Makonda hongera sana 🎉🎉🎉❤ “supana bila gilisi “kaza songa mbele, mh hutishiwi nyau endelea kumsaidia mama Samia kazi na wananchi kupata haki zao 🎉🎉🎉debe likiwa tupu hupiga kelele
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 3 ай бұрын
Yaaan kama kweli hizi haki za binadamu zipo jamani mbona wasiende kumsaidia yule mtoto na yule binti jamani
@petroyohana1126
@petroyohana1126 3 ай бұрын
You are the best wewe na Jerry, mengine wote wazururaji
@karimurashidi3095
@karimurashidi3095 3 ай бұрын
Kaka miladi ayo tafadhali ukiona comment hii nipazishie sauti kwa jamii na muheshimiwa makonda apate hii taarifa mm naomba makonda awe anateuliwa mkoa baada mkoa awe anakuwa mkuu wa mkoa kila mkoa awe anapita miezi kadhaa na kwenda mkoa mwingine Kuna madudu mengi sana huku mikoani... ahsante sana kaka kwa majina naitwa karimu Niko mtwara
@NaimaNamanjoya
@NaimaNamanjoya 3 ай бұрын
😂😂😂 wazo zuriiii Ila ni ngumu
@zainabunyakungo7686
@zainabunyakungo7686 3 ай бұрын
🎉
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 3 ай бұрын
😂😂😂​@@NaimaNamanjoya
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 3 ай бұрын
Wazo zuri sanaaaa ila Mmmmh kazi sanaaaa japo inawezekana
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 3 ай бұрын
Naunga mkono .... Kiongozi Jasiri ametoa maisha yake sadaka!
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 3 ай бұрын
Nakukubali sana Mh Makonda Mungu akulinde
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
Waafrika umezoea maditactor
@user-ng9bn3jj3x
@user-ng9bn3jj3x 3 ай бұрын
Mwisho wa cku,, mtaanza kumtafuta oo haonekani mala haonekani mwisho kafa c yetu macho tu
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 3 ай бұрын
@@user-ng9bn3jj3x UKiwa msema kweli tayari umejikabidhi lehani
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 3 ай бұрын
Hakika makonda u are right kwa sababu maandiko. Yasema. Hv. 2wakoritho 8:10 Naye ampaye mbegu mwenye kupanda na mkate uwe chakula atawapa mbegu za kupanda na kuzidisha naye atayaongeza mazao ya haki yenu #viva makonda#
@DanielSomanga
@DanielSomanga 3 ай бұрын
yeyote yule atakaeongea ujinga upuuzi na kila kilicho kichafu juu ya mungu anavyokusudia kutufuta machozi, juu ya kutuondolea mpendwa wetu magufuli na badala yake leo umejitokeza mche na wenyewe ni kaka kijana alojaliwa kupewa maono na mungu sii mwingine makonda, watu hao nawalaaaniwe namungu watu hao makonda niwakiroo anahofu na mungu amjalie sana jamani
@giuseppinapaul4432
@giuseppinapaul4432 2 ай бұрын
Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa,Arusha Mh Makonda. Mungu amekuinua na kukuleta kwa wanyonge. Isiwe tu Arusha. Njoo Moshi tunanyanyasika na pia wavuta bangi wengi na mauaji kwenye familia. Ni pia mikoa yote. Makonda weka haki tz nzima tunaomba
@upendolwitiko3340
@upendolwitiko3340 3 ай бұрын
❤Yesu akulinde mtumishi wake
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 3 ай бұрын
Hakuna kitu napenda kusikiliza kama mh makonda namkubaliiiiii Hadi balaa
@geoufo2858
@geoufo2858 3 ай бұрын
Akutoka mkoa huo ateuliwe mkoa mwengine maana Kaz anayo ifanya wakuu wamikoa mwengine wameshindwa
@zaidyabed
@zaidyabed 3 ай бұрын
Safi saanaaa makonda new vision
@denismasele4130
@denismasele4130 3 ай бұрын
Yaaan hiii nchi mtu akifanya mazurii et haki za bnadam yaan mtu akiwa fisadi hata wabongo hawasemi😢😢
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 2 ай бұрын
The last piece of hope remained for "Tanzania". VIVA MAKONDA.
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 3 ай бұрын
Ni kweli Kiongozi lakini jitahidi kkusikiliza sauti ya Mungu punguza ukali wa maneno
@petroyohana1126
@petroyohana1126 3 ай бұрын
Well said mheshimiwa makonda 😅
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 ай бұрын
Fanya kazi hao washenzi wanatusumbua saana huku maofisini
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 3 ай бұрын
Bongo mtumishi serikalini anajiona mungu mtu wanyooshe hao
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 3 ай бұрын
Mungu akulinde sana
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 3 ай бұрын
Hawa wanaojiita wanaharakati za haki za wanawake ni wanafiki
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 3 ай бұрын
Our golden leader keep going GOOD IS WITH YOU
@DanielSomanga
@DanielSomanga 3 ай бұрын
fanya kazi baba na sjui imetumika figisu gani makonda kumtoa chamani yani taifa hili mungu tubariki, maana makonda ilikua njia mzuri Kwa chama chetu ilikua analigusa taifa Kwa ufasaha wenye hofu yakuguswa Kwa Dili zao washatengeneza ftina kaka saizi wananufaikanae wachache2 huko arusha bala ya taifa inauma bwana makonda anaweza zaidi sana
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 ай бұрын
Sisi tunakuelewa acha wazimie Kwa ganzi
@EdwinDunda-bu3lv
@EdwinDunda-bu3lv 3 ай бұрын
Piga kazi Brother napenda unavyo fatilia miradi ya wananchi
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 3 ай бұрын
Mzalendo wa kweli,namuomba muumba upewe ufalme wa hii nchi ili mafisadi wote wapate adhabu kali kama saudi arabia.
@mengiiblahim4215
@mengiiblahim4215 2 ай бұрын
Makonda mungu akurimde safisha kirabaya
@MenelusCzar
@MenelusCzar 3 ай бұрын
NI KWELI WAKIZALILISHWA VIONGOZI MAMBO HUWA POA , spana zikiamia kwa wasiojielewa matamko yanaanza🤔
@aminakasim1198
@aminakasim1198 2 ай бұрын
Good walk my brother
@DanielSomanga
@DanielSomanga 3 ай бұрын
Makonda sio msaada Kwa arusha2 bali kwataifa yani anatukumbusha raisi wetu wa wanyonge mungu mbariki makonda huyu
@emanuelshilla6368
@emanuelshilla6368 3 ай бұрын
Nakukubali sana kiongozii wangu
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 3 ай бұрын
You're blessed sir
@atutweve4160
@atutweve4160 3 ай бұрын
SAFI WANYOOOSHE KUKU WOTE 🫣👍🏿👍🏿👍🏿💪🏿💪🏿💪🏿TUPO NYUMA YAKO NA WOTE WANAOKUSEMA WAFATILIE KUNA VITU VICHAFU WANATETEA NA KUVIFICHA
@victorcephas3618
@victorcephas3618 3 ай бұрын
Songa mbele bro Mungu amekuweka kuwa problem solver Kwa jamii kitu ambacho viongozi wengi wameshindwa.
@saidipara4134
@saidipara4134 3 ай бұрын
Alafu Hao Hao waliokuzunguka hapo ndio wezi wenyewe.
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg 3 ай бұрын
Brother cool that tem
@user-bt2it1vw3t
@user-bt2it1vw3t 3 ай бұрын
Wanyoooshe mpaka wasemnee 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@user-vg9bu6zv8v
@user-vg9bu6zv8v 3 ай бұрын
Tulimuona mwalim Beatirs kateseka sana na nyie wanawake mpo hamku sema kitu ,mtoto mdogo yule kalawitiwa mpo hamkupanua midomo kusema chochote hilindo mmeliona kwasababu mfanyakaz mwenzenu kaenimbali na mtetezi wahaki mnàkera!
@giuseppinapaul4432
@giuseppinapaul4432 2 ай бұрын
Shikilia hapo hapo. Moja na moja ni mbili sio tatu. Sikilia usukani na ongeza gia Mheshimiwa Makonda
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 3 ай бұрын
Nenda Makonda , Mungu akutetee vita yako ni kubwa! Hakuna mtetea haki asiyeinukiwa
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 3 ай бұрын
Nchi hii tunaviongozi wa ovyo sana yaani kiongozi akifanya mabaya akagundurika inaonekana anazalilishwa
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 ай бұрын
Walisema hivyo mana Yule Dada alimwambia kuwa Nina mke mzuri Paza sauti zilikuwa kauli za kizadhililishaji wa jinsia. Yeye angeongea nae kuhusu kazi
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 3 ай бұрын
Kwaiyo bashte yeye ni malaika?au nae anabebwa tu
@allymusira2153
@allymusira2153 3 ай бұрын
Kweli kabisa makonda
@user-bt2it1vw3t
@user-bt2it1vw3t 3 ай бұрын
Kuna mwingine nae anasema eti mungu kamtokea kamwambia makonda ajiuzuru
@HusseinJuma-yu1xr
@HusseinJuma-yu1xr 3 ай бұрын
👍👍👍👍👍👍👍👍 daa makonda family respect
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 3 ай бұрын
Vivaaa Makonda Vivaaaaa
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 3 ай бұрын
Viongozi wa mikoa yote wangekuwa kama makonda nchi yetu ingekuwa mbele zaidi na heshima ingekuwepo kwa sisi masikini make tunazalauliwa sana mtu kabaka mtoto halafu Police wanazungusha kesi nini maana yake .huyo aliebaka mtoto anyongwe.
@mwanamvuaali2358
@mwanamvuaali2358 3 ай бұрын
Mwanangu ninatatizo na mfanyakazi wa ndani kaniibia kakimbia nataka unisaidie Polisi hawatoi mashirikiano yupo kwao
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 3 ай бұрын
Ila kweli mbona wakati mama yangu anaongelewa vibaya hamkujitokeza 😢
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i 3 ай бұрын
Kizuri chochote hakikosi kasoro sasa wewe tafsiri kwa uelewa wako
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 3 ай бұрын
Makonda is areal deal is aman .he is where is he suppose to be..
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 ай бұрын
Fanya kazi hiyo mitandao haiwezi kama viongozi wetu hawafanyi kazi
@kauresand8181
@kauresand8181 3 ай бұрын
VIVA MAKONDA VIVA
@Ushauri235
@Ushauri235 3 ай бұрын
Mimi naona hata makonda amedhalilishwa Sasa Kama yeye alimwambia mpaka waziri mkuu si angesubiri hatua za kiongozi aliyemwambia Sasa anaongea hadharani tumueleweje hapo aache udhalilishaji wa kiongozi wetu mchapa kazi
@jacobletema3681
@jacobletema3681 2 ай бұрын
Swali tu, hivi wakuu wengine wa mikoa na wilaya mbona hawasikilizi kero za wananchiiii??? au hawana hizi spanaaa??? wakaazime kwa Makonda japo kwa siku moja moja
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 3 ай бұрын
Songa mbele Yesu Kristo yupo pamoja nawewe
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 ай бұрын
Wapumbavu wakubwa haki za binadamu Tanzania pumbavu zao wanawake wanafirwa wanatoka mimavi mikunduni mbona hamsemi sio haki za binadamu
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 3 ай бұрын
Makonda Mimi Sasa nakuambia ukweli ccm nilichukia mno ila Leo natamani kurudi maana hii ya uongozi wako ndiotunataka
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 3 ай бұрын
Kwa kweli,
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 3 ай бұрын
Jembe la kisukuma linaandaliwa mwaka 2030 mtakoma wala rushwa
@mosesgodfrey4143
@mosesgodfrey4143 3 ай бұрын
Piga kazi
@hekimamedia4721
@hekimamedia4721 3 ай бұрын
Ukifanya kosa na ukaonywa Sio uzalilishaji.
@kijajimkomwa4465
@kijajimkomwa4465 3 ай бұрын
Namuona Magufuli kwa mbaaaaali
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m 3 ай бұрын
Pambana kuna matendaji ya selikali ovyoo kabisa na hivyo vituo vinavyo watetea waende islaeli
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 3 ай бұрын
Yule mama sio bwegetuu fala sana
@michaelmwaiteleke9488
@michaelmwaiteleke9488 3 ай бұрын
Piga kazi mwamba yena wewe ulifaha uwe mwenyekiti wa wakuu wa mikoa yete.Nakuombea 2025 uwe waziri mkuu uwanyooshe watendaji wengine.piga kaka usiogope na usimuogope mtu.
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 3 ай бұрын
Umedhalilisha kubali usikubali
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 3 ай бұрын
Usikubali kukatishwa tamaa na hawa watu weusi..ni wabaya sana..wakibanwa kwenye uovu wao wanaanza kutunga hoja mbalimbali ili wakuchonganishe na Rais...hawa watu weusi ni wabaya sana,narudia tena niwabaya sana..saa zingine nawaza bora viongozi wakubwa wawe wazungu tu,ngozi nyeusi wakalime mashambani hamna kitu...ni wizi,uchawi,roho mbaya,akili za kimaskini, kiburi,jeuri,ubishi,dharau,ujuaji,kudanganywa na watu wenye akili kubwa huko Duniani kwenye mikataba n.k ndio imewajaaa.
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 3 ай бұрын
tunasifia utetaji wa wazungu oooh ulaya mambo nyieeeeee kumbe walianzia kumaliza vidudu wote wakaja vizazi wenye maendeleo na ndo makonda ni kizazi wamaendeleo Kila mtoto anamuangalia makonda namiini kizazi ujao watakua wenye maendeleo na fikra ya makonda from🇨🇩
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 3 ай бұрын
Yajayo yanafurahisha
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff 3 ай бұрын
Makonda uraisi unakuhusu miaka ijayo tutakupigia kura
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b 3 ай бұрын
MUNGU AKUCMAMIE MAADUI NI WENGI ILA MUNGU NDIE MLINZI WAKO KELELE ZA WAPIGAJI ZICKUNYIME USINGIZI
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q 3 ай бұрын
Piga kazi achana na yule Mama bwege
@isaacorengo1404
@isaacorengo1404 3 ай бұрын
Makonda endeleaaaaaa wanatumika haoooooo
@nehemiamwasile8696
@nehemiamwasile8696 3 ай бұрын
Achana nao hao mh hao watakuwa ni wavivu nao
@daudminzi-pb3je
@daudminzi-pb3je 3 ай бұрын
Safi
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg 3 ай бұрын
Brother you have an emperor status.
@agofranco4766
@agofranco4766 3 ай бұрын
Nchi hii wajinga ni wengi sana , wanaongozwa sana kwa hisia kuliko uhalisia
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 3 ай бұрын
Wavivu wanyooke! Watu wanaonewa, Watoto wanatendewa ukatili mchafu! Mbona hao hawawasemi? Wanyonge tumechoka.
@AgustinoMaxmillian
@AgustinoMaxmillian 3 ай бұрын
Shida ni politics kibao nyingi vijana mnapenda show off kwan kufanya kazi ukawaweka hao watu kikao cha ndani mkawasema inakupunguzia nn waaaah cheap politics
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 ай бұрын
Nyinyi ndio mafisadi mnataka kilakitu kiwe sirisiri wananch wasiwe na taharifa kinachoendelea nini ili muuze inch vizuri. Uwovu hauwezi fichwa . Afichae dhambizake haata fanyikiwa
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 3 ай бұрын
Huyo anayesema eti wakosowane kwenye kikao cha ndani kwa ndani ebe ajiulize kwani wakuu wa mikoa wengine na wakuu wa idara hawafanfyagi vikao hivyo??? Mbona wanaokosolewa huko ndani,,mambo hayabadiriki????jamani ugonjwa wowote unapokuwa sugu lazima dose ya masada ibadirishwe hasa kwenye siasa ni vema kutumia mfumo zaidi ya huo wa makonda hautoshi,,Ni lazima tufike maharapa kutumbuana ili kuwajaribu na wengine wapate ajira labda nidhamu ya kazi itakuwepo pamoja na kusimamiana kazini ili jamii ipate huduma bora.
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 3 ай бұрын
Augustine nina wasiwasi na weweu takuwa ni muhanga,,maana ulopendekeza eti wakasemane kwenye vikao ,,kwani mzee hayo madudu anayokemea makonda ya watumishi kuto wajibika ktk nafasi zao na ufisadi ulio kithiri inchini na hizi wa pesa za serikali n.k tambua yakwamba anafahamu udhaifu wa vikao hivyo yvenu vya ndani hakuna chochote ,,,na bado tunazidi kumuomba sana Mungu ainue na watu wengine kama makonda waondoe hofu ya kuuwawa hawatakufa wakiinuka kwa wingi,,,tanzania tukombolewe dhidi ya kuwakumbatia mafisadi ktk mfumo wa ajira wakati vijana na wazee waaminifu wako pembeni hawapewi kazi
@AgustinoMaxmillian
@AgustinoMaxmillian 3 ай бұрын
@@barakalukeha6184 bro hujui tunaenda kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa na uchaguzi mkuu upo mwakan wanataka kujitakasa utaratibu upo wakisheria kuna tume ya kushuhulika na maadili ya viongozi wa umma ndo maana kuna ugatuzi wa madaraka kila mtu afanye kazi yake hizi ni siasa zakutafta umaarufu tu wenye nia thabiti hawafanyi shoo off wapiga kazi wapo wanaonekana shida ya makonda ni sifa kama kila mtu hatofata utaratibu hii itakuwa nchi ya namna gan?
@AgustinoMaxmillian
@AgustinoMaxmillian 3 ай бұрын
@@thelonewolf4429 mbona ufisadi umeshamiri huko shida ni kwamba watu wengi wa Tanzania tunapenda matukio kwamba RC kawafokea hawa kafanya vile mwisho wa siku matokeo ni yapi? Tunarudi kulekule atatakiwa ampeleke kwenye tume ya maadili ya watumishi maana RC hana ubavu wakumfukuza kazi muhimu ni utaratibu mtumishi ni binadam kama binadam wengine huwezi kumdhalilisha mtu kwa kupata umaarufu wa kisiasa hali yakuwa na ww unakosea kama wengine lazima tufate sheria period
@mtangag774
@mtangag774 3 ай бұрын
😂😂😂😂makonda bwana namuelewaga sana huyu jamaa
@djgravityreu_for4906
@djgravityreu_for4906 3 ай бұрын
Jamani, mbona nyie hamkumuita Makonda kwenye vikao vya ndani? Mmezungumza hadharani tena mbele ya media? Au mm sielewi nisaidiwe kuilewa kauli ya mama mhe. mtoa hoja?
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r 3 ай бұрын
Ukiwasikiliza haki za bunadamu hatufiki kokote ni wanafiki tu mbona kuna mambo mengi ya msingi hawainglii,watoto wanabakwa,na wanaletiwa hatusikia haki za binadamu,piga kazi makonda.
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 3 ай бұрын
Sasa msafaa tu hakuna watu wanaoumia kweli..
@jaredmondo1477
@jaredmondo1477 2 ай бұрын
Makonda piga kazi
@paulndaki8423
@paulndaki8423 3 ай бұрын
Piga kazi kamanda
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r 3 ай бұрын
Fanya kazi mkuu
@user-dl1er1vt8y
@user-dl1er1vt8y 3 ай бұрын
Ila alivo mdharirisha yule dada huku post.. it was nothing yani… this shows how sikuizi media zinacontroliwa nn cha kupost
@aaa64sa13
@aaa64sa13 3 ай бұрын
Chapa kazi wachana nao wafisadi.
@mwanamvuaali2358
@mwanamvuaali2358 3 ай бұрын
Picha zake ninazo mimi nipo Zanzibar
@Maulambo
@Maulambo 3 ай бұрын
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 3 ай бұрын
Mheshimiwa piga kazi
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 ай бұрын
Chapa kz makonda
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 3 ай бұрын
😮
@jamessimba749
@jamessimba749 3 ай бұрын
Spana ziendeleee
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
PIGA SPANA ❤😂😂😂😂
@sekelagodwin8969
@sekelagodwin8969 3 ай бұрын
Naomba ukawe mkuu wa mkoa MBEYA
@kibombi
@kibombi 3 ай бұрын
Makonda
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 3 ай бұрын
Piga kaz mwanaume
@bushbabytz
@bushbabytz 3 ай бұрын
HUYU MPUUZI NI MVUNJIFU SANA WA HAKI ZA BINADAMU, MAREKANI WALISHAMWEKA KIZUIZINI HAINGII..HUYU NI ZERO BRAIN NI TATIZO KUBWA SANA KWA MUSTAKABALI WA NCHI HII ILA ATANYOOSHWA TU NI SUALA LA MUDA
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 ай бұрын
Hatakama ila umeongea vibaya what if angekuwa mkeo
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 3 ай бұрын
Acha ujinga hapakazitu
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 ай бұрын
@@salehwaziri5062 mjinga wewe ambaye siyo mwelewa...
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 11 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
LIVE: RC HAPI AAGIZA MENEJA WA BENKI AKAMATWE NA KUHOJIWA
9:47
Millard Ayo
Рет қаралды 788 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 11 МЛН