Makonda Awashukia 'Maaskofu Feki, Waganga Njaa' : Ashangaa Kutoa Waraka, Matamko Badala ya Kuomba

  Рет қаралды 10,497

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 128
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 Ай бұрын
Nimefuatilia wanaoshangilia ni wanawake tu... Hapo kuna shida Makonda.
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj Ай бұрын
Watu wanatekwa, wanauawa. Watu wanaoteka na wanaoua tunawatuma, hili nalo linahitaji kiongozi wa kiroho aombe ? Mungu hafuti watetezi, atafuta wauaji .
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Ай бұрын
@@AlphaBarageti-ru5xj Yeye mwenyewe amekutana na cha mtema kuni kwanini alipotea majuzi kwa nini? Jibu analo, kashindwa vita kaogopa sasa kichawa zaidi kaamua kuungana na giza
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Ай бұрын
Masuala ya imani siyo sawa na siasa, unaweza nishawishi kwa sera lakini mambo ya imani siwezi kushawishiwa na mtu kwa sababu ya umaarufu wake. Nitakachokifuata kwenye imani ni neno linavyoniagiza na nijue tafsiri sahihi ya biblia na si vinginevyo. Kwakuwa siku ya hukumu sitajitetea kwa kusema nilimsikia Makonda akisema vile ama hivi.
@JohnBosco-d3g
@JohnBosco-d3g Ай бұрын
Naanza kuona shida kubwa ya Afya ya Akili kwa Viongozi na wananchi Hasa wanawake!!!
@HamisLeo
@HamisLeo Ай бұрын
Eti anajinasibu mm nmeitwa kutumika sema sjavaa kora tu. Someni maandiko mbwa nyinyi. Syo kushangilia tu. Hakuna yakobo aliechinjwa kwenye bible,eliya ni nabii kwa mjibu wa bible 1wafaume 18: 22, nebkadneza hajawahi kutofasriwa ndoto na yusuph. Bali Danieli aliwahi kutofasri ndoto ya nebkadneza. Yusuph nikule kwa farao acha kupotosha, walaka wa amani uliandikwa kwenda kwa watawala
@TarcisiusMchami
@TarcisiusMchami Ай бұрын
Manabii wengi tu walikemea Utawala dhalimu.Mnakumbuka Yohane Mbatizaji alikatwa kichwa kwa kukosoa maisha binafsi ya Herode.Hapa kaka amesepetuka
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo Ай бұрын
Broo Makonda nakurlewa sana punguza ukali kwa kinywa khs maaskofu itakuharibia sifa
@JohnMashamba
@JohnMashamba Ай бұрын
Ubarikiwe
@mathiasmageni-bf7en
@mathiasmageni-bf7en Ай бұрын
Waliolewa damu za innocents wanazidi kufichuka
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 Ай бұрын
UNAFIKI UPO TENA NI MKUBWA SANA, KAMA WW MAKONDA NI MKWELI UNGEANZA NA MWAMPOSA, HUYO MWAMPOSA ANAPINGWA SANA NA WAHUBIRI WA KWELI FATILIA MAFUNDISHO YA MCH. MAGEMBE, MCH. MBARIKIWA UTAONA.
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 Ай бұрын
Inawezekana na yeye yumo kati ya haofeki lakini awezi mwambia Moja Kwa Moja anapoongea hivyo naye ujumbe anausikia
@lwelenjalferdinand671
@lwelenjalferdinand671 Ай бұрын
Boss wako ni KATIBA ya nchi. Usipoliju hilo ni tatizo
@MenelikBaraka-ek9lr
@MenelikBaraka-ek9lr Ай бұрын
Upo sahihi
@yarikoabel5826
@yarikoabel5826 Ай бұрын
Sema wa-Tz, wengi wazito wa kusoma, Right watu wanhesoma binle vizuri nahisi hata hawa manabiii wa mchongo wangekoswa wateja.
@Deogratiashadeta
@Deogratiashadeta Ай бұрын
Mimi ni mfuasi sana wa Makonda na Mhe marehemu magufuli nilishawahi kuweka ligi zaidi ya watu 50 kipindi yupo benchi walikuwa wamsema yupo wapi,ila kwa hili Mhe makonda umeteleza sana ndugu tafuta apologize na wachungaji na maaskofu la sivyo utajipoteza kwenye ulimwengu wa uongozi
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 Ай бұрын
Ila mimi namwelewa Makonda,lkn hatari ni kwamba watu wakimwita Mungu wapo watakaombuliwa na Mungu,wala hutasikia tena wakiongea ongea,hivyo mimi nashauri tuombe Mungu yeye anaweza yote.Japo na kuandika waraka napo siyo mbaya sana,ni sehemu ya kukumbushana pia
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Mmh kwa ninachokijua mambo ya imani sio mepesi ivi,ila ngoja tuone nani atakayeanza kufutika,,pia kwa mtu ninaemuamini kama makonda na hiki nilichokisikia hapa du!😢😢
@Alkebulan-Afrika
@Alkebulan-Afrika Ай бұрын
Licha ya kusoma Seminary na kuisoma biblia kuna vitu havipo sawa. Habari za miaka saba ya njaa, miaka saba ya neema siyo za Nebukalineza. Jacob gani tena alichinjwa? Ni Petro gani mh. Unamsemea? Nebukalineza na Yusufu hakuna uhusiano hata kidogo. HAPO KIONGOZI UMENIPIGA
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u Ай бұрын
Mbwa kabisa nimeona toka jana unazihaka mnauwa. Watu
@juliusmashauri
@juliusmashauri Ай бұрын
Kweli kahangaike na neno! Ulikofikia siko
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Ай бұрын
Hapo umejiharibia kbs
@EPHELOMWAWEZA
@EPHELOMWAWEZA Ай бұрын
Hapa umeharibu. Umeingiza vita nyingine.
@dicksonkapera4999
@dicksonkapera4999 Ай бұрын
Duh usilolijuwa ni Sawa na usiku wa giza
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro Ай бұрын
kama makonda akitaka watu waombe si Mungu anaweza fanya maamzi magumu, tusifikie huko!
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Kwa hio tunafundishwa nawatu feki kweli
@adamwoiso2180
@adamwoiso2180 Ай бұрын
Mbona hujasema hatutaki utekaji na utesaji na mauaji yanayoendelea nchini mwetu
@JocelyneMary
@JocelyneMary Ай бұрын
Sijamuelewa hakika tunaanza kuwakemea watumishi wa mungu kuwatetea watekaji wa mauaji mungu tusamee
@josephinalyati7923
@josephinalyati7923 Ай бұрын
Mwamposa mgeukie Mungu, utumike katika haki na kweli kuabudu miungu, simamia maandiko muite mungu yeye husafisha kabisa
@NDEWARA
@NDEWARA Ай бұрын
Wote hawa na huyo Makonda ni Watumwa wa akili😢😢
@jonakajigili6991
@jonakajigili6991 Ай бұрын
Alaaaa basi sawaaaa
@susananyasani6526
@susananyasani6526 Ай бұрын
Maskofu feki ni Utapeli katika Nchi nzima wapewe onyo kutoka Serikalini asante
@JumaBilali-pq9ge
@JumaBilali-pq9ge Ай бұрын
Makonda nakuombea kwa Mungu uwe muislamu wa kweli
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Ай бұрын
Mmmhh duuuu mmmhh haya kiongozi
@zawadichisunga6107
@zawadichisunga6107 Ай бұрын
Mungu anayo demokrasia soma yoshua sura ya 24 chagueni hivi Leo mtakaemtumikia
@DonatusNyamizi
@DonatusNyamizi Ай бұрын
Pia Mungu anayo democrasia , aliwaambia chagu uzima ili uishi
@yapukahassan
@yapukahassan Ай бұрын
Kauli hii kunijiliani yangu ananiambia ulie mpenda msikilize
@MeryLyatuu-to9ks
@MeryLyatuu-to9ks Ай бұрын
Achaña na ukuu wa mkoa. Nenda kahubiri Mungu akakusaidie
@abuusaid3297
@abuusaid3297 Ай бұрын
Kama unataka amani yako ya akili naroho namwili duniani na akhera upate kusalimika namoto mkali mkalisana,karibu ktk dini yahaqi nayakweli dini ya uisilam,dini anayoikubali muumba nidini yamitume wote! Mungu nimmoja ndie mmiliki wa watu na mitume wote,na nidini anayo itak na kuipenda n kuiridhia nidini yauislam,amini hivyo hutajuta milele!! Hizo dinizingine mnajidanganyatu.
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu Ай бұрын
Ole wako wew unaenyooshea vidole watumishi wa Mungu .soma bibilia takatifu
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Ай бұрын
Naliona anguko lako
@norahfrank
@norahfrank Ай бұрын
Kamatena anguko kubwa sana. Usichokijua achaaa
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw Ай бұрын
Makonda unaemzungumza hapo nihuyo aliekukaribisha hapo ndio nabii wa uongo mwaposa ni muoongo wa kwanza tanzania
@paulombay6884
@paulombay6884 Ай бұрын
Mbona zamani ulikuwa unateka mageti ya TV ,huna jipya
@BeathaChambo
@BeathaChambo Ай бұрын
Acha zarau kwa watumishi wa Mungu we,tetea katiba yako bana watu wanauliwa mbona hutetei
@JescarMwakipesile
@JescarMwakipesile Ай бұрын
MAOMBI kweli kabisa. Kanisa TUOMBE kwa kumaanisha. Eh Mungu utusamehe tumekutenda dhambi.
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Wanawake sijui kama ubongo unakuwa na kilo ngapi na kusahaui mambo
@josephinalyati7923
@josephinalyati7923 Ай бұрын
Unapoteza kondoo wa mungu mwamposa
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 Ай бұрын
HAPA INAONEKANA HATA HUYO MWAMPOSA ARUSHA KAITWA WAKATI HUU KWAJILI YA SIASA HII CHAFU Mwamposa jiangalie wauaji wasikutumie kama kichaka cha kujifichia
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
I see mmmh, makonda yaani ulaaniwe.
@selemaniigosha
@selemaniigosha Ай бұрын
Kuanzia leo nimekudharau sana
@gracemima5234
@gracemima5234 Ай бұрын
Dini za wa wahubiri ama mitume fake zimezagaa Afrika. Wengi badala ya kuhubili dini ni kutukana wanawake kufurahisha waumini wawo. Wanatumia dini kukusanya sadaka kutoka kwa watu masikini wanao waamini. Watu hawa wanaojiita watu wa Mungu uongo mtupu hawana hata kisomo cha dini bali ni njia ya kujipatia fedha kwa njia ya uongo. Hiyo ni deception wanafaa kukamatwa na kufungwa.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Ай бұрын
NABII FAKE NI HUYO TAPELI MWAMPOSA ALIYENAYE HAPO ANAYEUZA MATUNGURI YA CHUMVI SABUNI UDONGO ETC... MWAMPOSA ANA HESHIMA GANI MWIZI HUYO... MWAMPSA NA MAKONDA WOTE NI WANAMAZINGAUMBWE
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 Ай бұрын
MUONGO SANA WE KIONGOZI, ETI NEBUKADNEZA ALAFU TUNAMSIKIA MIAKA 7 YA NJAA NA 7 YANJAA NI UONGO MTUPU ALAFU WE ENDELEA TU KUFANYA UOVU UKIZANI MUNGUNAE ANADANGANTIKA MAJUKWAANO
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Ай бұрын
@@frankmfuse6990 Hajui maandiko matakatifu ya Biblia takatifu na njia ya muongo ni fupi sana ndiyo maana badala ya kumtaja Farao kamtaja Nebukadneza kwenye kisa cha Yusuph
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw Ай бұрын
Hongera sana kwa kujua neno la Mingu. Hao mafrko easikubabaishe we chapa kazi .
@HamisLeo
@HamisLeo Ай бұрын
Neno gani? Kwenye bible hakuna yakobo aliechinjwa, nebkadneza hakutafsriwa ndoto na yusuph, eliya ni nabii soma 1.wafaume 18; 22. Sasa amejua maandiko yap?
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Ай бұрын
Hii ndo Africa buana
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Ай бұрын
Maaskofu si wa kwanza kuandika waraka au nyaraka maana hata mitume wa YESU waliandika nyaraka ambapo Paulo ndiye ameandika nyaraka nyingi kuliko mitume wote, kwani kuna tatizo gani maaskofu kuandika nyaraka nzuri za kukosoa serikali Tanzania? Au sababu nyaraka hizo zinakosoa serikali, zinashauri serikali, zinakumbusha serikali kutimiza wajibu wake na kuwatendea haki watanzania? Je zingekuwa ni nyaraka za kichawa za kusifu tu na kuabudu serikali je nyaraka hizo zingekosolewa na machawa????
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Ай бұрын
Yeye anachagua anapopataka tu kwenye. Maandiko🙌😅
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Ай бұрын
@@TM.Sullusi Amechagua kijinga ndiyo maana licha ya majigambo na maigizo eti anampenda MUNGU, hajui maandiko matakatifu ya Biblia mpaka kamuhusisha Nebukadneza na Yusuph badala ya Farao na Yusuph
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Ай бұрын
Manabii na mitume waliandika nyaraka za kukosoa serikali za wafalme wakali na wakatili sana kuliko serikali za leo hivyo maaskofu leo wasiache kuandika nyaraka tena wakaze zaidi kuandika nyaraka kali zaidi zilizojaa ukweli maana ukweli ni mchungu kama sindano kwa mgonjwa hivyo watumishi wa MUNGU maaskofu kazeni zaidi kutetea kweli na kutetea watanzania hasa wanyonge wakandamizwao na mfumo wa kishetani wa hila, udhalimu, mabavu, utekaji, vitisho, mauaji, kupotezwa, ufisadi, mikataba mibovu, uongo, unafiki, uzembe, giza, matabaka, uonevu na unyonyaji
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Mwl Nyerere. Yeye alituandikia vitabu. Alipoona magumu.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Ай бұрын
Wala hajuwi kuwa analipwa kodi za watanganyika sio pesa ya mama yake samia
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Ай бұрын
Asisahau alikotoka
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat Ай бұрын
Naogopa jukwaa na mtume kutumika vibaya nashauri mtume aendelee kuwa makini zaidi ya hapo
@godfreyisaac1665
@godfreyisaac1665 Ай бұрын
Hapa umepotoka mkuu.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Ай бұрын
Wanaomshabikia huyu mtu nadhan mshajionea uhalisia wake..Nashkuru akili zangu hazjawah kudanganyika juu yake
@IshengomaRugemalila
@IshengomaRugemalila Ай бұрын
Nimekukubari,kumbe nino lamungu unalitendea haki
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Ай бұрын
Dah kwa hiyo anataka viongozi wa dini wasifie mauaji wakikemea wanakuwa feki? Hiyo madhabahu ya Mwamposa iko mbioni kufa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Ай бұрын
Na huyo uliyesimama naye je
@anyosisyedaniel1790
@anyosisyedaniel1790 Ай бұрын
Upo rohoni kwangu wewe, nawaza hichohicho, hiyo ni ishara ya kuwa makonda naye giza tupu
@deusmtiri6341
@deusmtiri6341 Ай бұрын
bado wanasema usichanganye Dini na Siasa,i don't want to say more
@MussaKitaluta
@MussaKitaluta Ай бұрын
Wewe ni njambazi kama majambazi wengine maana hata sijui maanisha nini. Maana kama Kuna watu wanakufa halafu unataka tunyamaze
@NdaroBoniface
@NdaroBoniface Ай бұрын
Haza kwamaposa
@chrispinantabaye4866
@chrispinantabaye4866 Ай бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔?!!Ngoja tulipe na hili muda tuone anayefutika ni nani
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Ай бұрын
Tutafika tu😢
@amitaimtaita6676
@amitaimtaita6676 Ай бұрын
Kama mkweli umeonanihuyo kwamujibu wa maandiko mungu akusamehe
@danielmwandenga5369
@danielmwandenga5369 Ай бұрын
Nazan padre kitima atakujibu mh , mbona maswali mepesi sana ayoo , ila nashtuka sana bibilia yako mh sijaielewa kabsa au ya arusha , ila nakuomba achana tu na maaskofu sio levo yako mzee kaa tu kimya , mgema akisifiwa tembo hulitia maji
@MeriseMwampondele.
@MeriseMwampondele. Ай бұрын
Siku zimefika mwisho sasa 😂
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 Ай бұрын
NINGEKUW WW NINGEAMIA UISLAM SIO MIMI BALI WW
@richardmagaka9525
@richardmagaka9525 Ай бұрын
Hivi huyu anataka afanye mdaharo na nani na padri Kitima au?
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 Ай бұрын
Nabii mwamposa njaa tu 😂
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba Ай бұрын
wewe nawe unamjua mungu kweli?
@Kanyawela
@Kanyawela Ай бұрын
Yuda akasema mafuta yauzwe wapewe maskini je alikuwa sawa?
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 Ай бұрын
Mwamposa yupo nyuma yako sio nabii waongo hao
@jonakajigili6991
@jonakajigili6991 Ай бұрын
Ukialikwa kwenye ibada , yazungumze ya ibada... madhabuhi sio jukwaa la kisiasa
@NiazonBukoke
@NiazonBukoke Ай бұрын
We mbona mpumbavu sana wewe?? Siana haipo kwa marehem tu bas
@jonakajigili6991
@jonakajigili6991 Ай бұрын
@@NiazonBukoke unaonekana umewahi kuwa Marehemu... Asante kwa uzoefu wako
@edustudiotz3879
@edustudiotz3879 Ай бұрын
Mh!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
MAKONDA KUNA MAPALOKO WANAMALIZA MAALBINO USIKU NA MCHANA NA TUKO NAO MIJINI 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u Ай бұрын
Pepo yuko na pepo hapo
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n Ай бұрын
Maombi ni silaha ya mwisho kabisa baada ya njia zingine kushindwa, na ndiyo maana biblia imeagiza tukemee, tuonye na kukaripia kuomba kwaja baada ya akili ya mwisho ya kibinadamu.
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 Ай бұрын
Kwa matunda yao mtawatambua.
@ordafabian5172
@ordafabian5172 Ай бұрын
Uliza Goliati alifanywa nini na Saudi alipoleta ujinga,
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl Ай бұрын
Maaskofu 30 wote Phd. Mweeeeeeeeeee! Ok
@vincentmbombo4444
@vincentmbombo4444 Ай бұрын
Laana ni mbaya sana huyu si alienda kwa Pengo?
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 Ай бұрын
KAMA MAKONDA UNAAMUA KUWA MKWELI KUWA MKWELI ACHA UPENDELEO, KAMA UMESHINDWA KAA KIMYA, SS WENGINE HATA HUSIPOTUAMBIA TUNAJUA YUPI NI MKWELI.
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 Ай бұрын
🤔
@evampuya-mp9vf
@evampuya-mp9vf Ай бұрын
Ameen umenena vyema
@LuciaPaul-r2i
@LuciaPaul-r2i Ай бұрын
Hao waumin wanamchora tu..... Broo watu wanakufa, mbona huliongelei Hilo.... M
@EPHELOMWAWEZA
@EPHELOMWAWEZA Ай бұрын
Mwongo wewe, unachanganya bibilia, yusuphu hana uhusiano na nebukaduleza
@AlexTito-x6n
@AlexTito-x6n Ай бұрын
Hongera sana mh Makonda, utafika mbali ipo siku tutaonana uso kwa uso
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj Ай бұрын
Kwenye Biblia imeandikwa: Kwamba umewekwa uzima na mauti ili tuchague. Hiyo si demokrasia ? Kujua kisa kimoja au mstari mmoja katika Biblia hakukupi wewe kujivuna na kudharau waliosoma taaluma ya Biblia kwa miaka kadhaa. Kama ni waraka, Biblia pia ina nyaraka kwa Warumi, kwa Wakorintho, kwa Wagalatia, kwa Waefeso, kwa Wafilipi, kwa Wakolosai, kwa Wathesalonike, kwa Timotheo, kwa Tito, kwa Filemoni, kwa Waebrania, n.k Hapa mkuu wa Mkoa wa Arusha, kadanganya madhabahuni. Na kwa udanganyifu huo madhabahu atakayojenga, itakuwa sawa na mnara wa Babeli ulivyokwama.
@NaaliSimba-t2p
@NaaliSimba-t2p Ай бұрын
muda wako naona unaelekea ukingoni umeanza kupotea njia
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 Ай бұрын
ZERO BRAINED FROM THE HELL
@EmanuerKalori
@EmanuerKalori Ай бұрын
Kwenda zako we unatetea ugali, samia askutumbue, unatetea maovu kuanzia leo sikupendi tena, harafu hao wanao kushangilia wanakupoteza maana unaongea usicho kijua, hiyo siyo fani yako, we msifie samia achana na mambo ya Mungu huna haya
@LangiMwampamba
@LangiMwampamba Ай бұрын
Anamuomba mwamposa kura hapo kunachadema watamkimbia mwamposa nendeni mitaani muache mwamposa kwenye kazi yake siyo wa ccm kama gwajima nendeni kwa wananchi muwambie mmefanya nini wawachague tena iliwaridhike na mlicho waahidi siasa siyo kufoka na chuki SWALI JE MBOWE AKIENDA NAYE HAPO AKASEMA CCM MUTAMUONAJE MWAMPOSA? Maoni yangu tuu
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Mama yangu mzazi alini comvic nienda Kwa mwamposa Jana Bora sijaenda.wamenikosa
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Hii bunch ilitakiwa itoke jumatatu 23 kwenye maandamano siyo kumpa mungu kazi kubwa wakati matatizo yanaletwa na nyie Makonda.propagandas unatupanga
@GilbertMollel-j6n
@GilbertMollel-j6n Ай бұрын
Una akili ujui lolote unapotosha umma
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe Ай бұрын
We unatengeneza ugali wako
@amirigogolo6004
@amirigogolo6004 Ай бұрын
😂😂😂
@TimotheoNtibayaga
@TimotheoNtibayaga Ай бұрын
Umesha ishiwa wewe chawa TU kwahyo mwamposa ndo unamuona mkweli nmeamini wewe mjinga
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter Ай бұрын
Wewe mwenyewe ni product ya siasa.mungu anawafunuwa kadiri muda unavyoenda
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
Eti kutwa kucha wanansifia Mbowe!!! Mbona wewe ndio unaongoza kwa kimsofia aliyekuteua kila unaposimama kufanya jambo?? Acha wivu
@AdamStephen-h2x
@AdamStephen-h2x Ай бұрын
Nzuri iyo muheshimiwa tupo na wewe wanataka kutualibia nchi
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 138 МЛН
Mia Boyka х Карен Акопян | ЧТО БЫЛО ДАЛЬШЕ?
1:21:14
Что было дальше?
Рет қаралды 11 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН
Gwajima ATOBOA SIRI Lissu KUPIGWA RISASII....KIMENUKAAAAA!!!!
14:55
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 31 М.
NONDO ZA MZEE WARIOBA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU HAYATI SOKOINE
19:28
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 138 МЛН