No video

MAKONDA;KAMISHINA NJOO/NAOMBA TUHESHIMIANE/MIMI SIYO MAHAKAMA

  Рет қаралды 16,446

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 55
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 3 ай бұрын
Ninauhakika huyu mwamba akiachwa Arusha kwa miaka 5 tu itakuwa kweli Geniva ya Afrika. Big up Pau Makonda.
@user-qf5vr7zf6p
@user-qf5vr7zf6p 3 ай бұрын
Mwamba Mungu ampe maisha yasiyo na buguzi naomba tupewe na Sisi huyu mwamba ata 4yrs tu Kilimanjaro
@LovelyAlien-nx3ox
@LovelyAlien-nx3ox 3 ай бұрын
Big up Makonda nyoosha wadhulumaji
@ziadajoisa8752
@ziadajoisa8752 3 ай бұрын
Tumuombe Sana Mungu kwani nchi ni ngumu sanaaa haki IPO kwa pesa tu
@user-yj7ly7xk4e
@user-yj7ly7xk4e 3 ай бұрын
Makonda the best❤❤❤
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
MAKUFULI JUNIOR BIG UP 😂😂😂❤❤❤
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 3 ай бұрын
Wanasheria na watumishi serikalini changamoto hasa ardhi
@mc-stephenmasome6553
@mc-stephenmasome6553 3 ай бұрын
Angekuwepo Magu , hao washikaji hawana kazi
@robertempire9542
@robertempire9542 3 ай бұрын
Duuuh hii inchi ni ngumu sana especially Arusha
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 3 ай бұрын
Kweli wananchi tuna shida sana
@woah.africa99
@woah.africa99 3 ай бұрын
Huyo kala rushwa na ufupi wake
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 3 ай бұрын
👏👏👏👏
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 ай бұрын
Mheshimiwa Rais pole sana na watendaji wako ambao siyo waaminifu kwa kuwasumbua wananchi naomba mama hao watu hawafahi kuwa watumishi kwenye serekali yako
@baloz8974
@baloz8974 3 ай бұрын
Yani miaka michache tu bila magufuli watumishi wa umma wanetumia fursa kunyanyasa raia.
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 3 ай бұрын
Safi sana dada kwa ujasili,unaongea vzur sana.Hao ni mashetani majambazi wa mali za watu.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Polisi wetu wanatumika katika kupoteza haki za walala hoi.
@justicebridge
@justicebridge 3 ай бұрын
Hizo ofisi za makamishina zinawababaishaji sana
@baloz8974
@baloz8974 3 ай бұрын
Yani ni tahasisi za ufisadi
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 3 ай бұрын
Aibu naona mimi ,kamishina kakamatika
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 ай бұрын
Kamishna sasa utalijua jiji la makonda. Kaeni ofisini fanyeni kazi. Acheni deal .
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Jembe
@melchiornkomba8045
@melchiornkomba8045 3 ай бұрын
Makonda wewe ni kiongozi sahihi kwa sasa. Tunaomba angalau siku moja uje pia kuwa Mkuu wa mkoa wa Ruvuma. Songea Manispaa kuna uozo mwingi
@emanuelmlawa
@emanuelmlawa 3 ай бұрын
Ayo yapo nchi nzima sio Arusha tu
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 3 ай бұрын
Tanzania police mnatia aibu
@mishiabdu7478
@mishiabdu7478 3 ай бұрын
Mm pia nataka msaada wako.
@straitnews3441
@straitnews3441 3 ай бұрын
😂😂😂😂 wanahonga
@neema-ee6qm
@neema-ee6qm 3 ай бұрын
Htr san hii Tanzania 🇹🇿
@user-ym6hd7xh3g
@user-ym6hd7xh3g 3 ай бұрын
Nchi haina mwenyewe ndio shida
@uwezashehemba5367
@uwezashehemba5367 3 ай бұрын
Huyu ni mwamba
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 3 ай бұрын
Nchi hii ilishaoza
@neema-ee6qm
@neema-ee6qm 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Ccm.mtanyimwa.kura.kwa.vitendo.katili.kupitia.yiongozi.waovu
@straitnews3441
@straitnews3441 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Hamy1109
@Hamy1109 3 ай бұрын
Huu sio utaratibu wa kuongoza nchi. Haya mambo walikuwa wanafanya machifu miaka 100 iliyopita. Serikali zimekuja kuweka mifumo ili kila changamoto ya mtu ishughulikiwe kisheria. Sasa hayo mambo ya kupotezeana muda siku nzima hayapaswi kuruhusiwa.
@toney..
@toney.. 3 ай бұрын
Punguza stress hamna mtu kapotezewa muda, walioenda hapo wote wanashida kama wewe hauna shida kaa kwenu kunywa uji WA sembe nyamaza
@toney..
@toney.. 3 ай бұрын
Kiongozi amekuja kutatua shida za watu wewe unakejeli........ Punguza ushabiki na chuki zako
@user-xd9kw6nt8w
@user-xd9kw6nt8w 3 ай бұрын
Kwani anayecheleweshewa mda hapo ninani labda maana kama si huruma ya Makonda angekaa ofisini kwake kama wengine
@leganimwagala7684
@leganimwagala7684 3 ай бұрын
Hujadhurumiwa yakikukuta utashukru Mungu hata hili linalofanyika
@fredkimiti516
@fredkimiti516 3 ай бұрын
Umeshiba ugali wa dona wewe Viongozi wanawaonea watu wanadhulumu haki eti enzi za machifu .
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Ccm..kura.ccm.vipi
HUU NI UTAPELI MTUPU LEMA AMCHANA RC MAKONDA
7:16
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
MKUTANO MZITO WA CHADEMA LEMA AKIWASHA ARUSHA
8:45
JAMBO TV
Рет қаралды 3,6 М.