bora hata huyu frank ana akili siyo mussa na mungu akubariki sana
@privatuskatabalo9617Күн бұрын
Duh! Yani mtangazaji hajui Kilimanjaro iko Moshi unasema iko wapi, mara au?
@boxdad2 күн бұрын
Amen
@odiliakaloli44333 күн бұрын
Nitabaki kwenye imani yangu 😂😂
@MichaelAbel-m5y6 күн бұрын
Msijifunze kupita yaliyoandikwa,ya siri ni ya Mungu yaliyofunuliwa ni yetu na watoto wetu,hakuna jambo jipya chini ya mbingu,Unabii haukuletwa popote kama mtu apendavyo bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
@lydiamwampashi69074 күн бұрын
Wanyoa kiduku na wavaa mikufu hawapo je kwako ww imekaeje hapo , peperusha bendela ya Yesu ukiwa na utakatifu wake Ili uwe mfano wa kuingwa.
@BernadoMayala4 күн бұрын
Na bado mtatajana na kuumbuana siri zenu wakati wa kuwapotosha watu kuwa we ni nabii wote na kama umewaona na wewe ulikuwa huko
@NoorynMody3 күн бұрын
Na uko unajichubua
@AdrienneZahigaКүн бұрын
Why you have to mention the pagans? Like muslims? Pagans are pagans. Period. Hakuna mpagani wa. Kweli ao wongo. Kuna wapagani ignorants na wasio