🔴

  Рет қаралды 32,515

Mak Tv

Mak Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@abdallahsharif426
@abdallahsharif426 Ай бұрын
MAMA SAMIA SASA ATAFURAHI KUONA MAKOMBE MAWILI YA AFRIKA YANAKUJA TANZANIA 🇹🇿 ♥️ ❤❤❤❤INSHAALLAH..PENGINE WAKATAE WENYEWE YANGA NA SIMBA.....
@abedymtore2707
@abedymtore2707 Ай бұрын
Ndio umeamua kuota kwa sauti sio??
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Ай бұрын
Unaumwa😅😅😅😅😅
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Ай бұрын
Unaota bila kulala
@abdallahsharif426
@abdallahsharif426 Ай бұрын
@@stanslausmteme8455 usikonde
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤,aishi manula lile duka la utopolo fc
@kassimkingu5512
@kassimkingu5512 Ай бұрын
Pole sana majungu yako yatabaki hapo hapo
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 Ай бұрын
Wwchambuzi washabiki wapenzi wa watimu na sio washabiki wa mpira
@alfoncekasanyi6584
@alfoncekasanyi6584 Ай бұрын
Kosa moja linaweza kuondoka mazuri yote uliyofanya inategemea na uzito wa kosa.Mke kwema uliyeishi kwa miaka mingi halafu unakuja kumfumania laivu uzuri na wema wake vyote vinakwisha.Itategemea na uvumilivu wako
@HalimaIssa-pu4yt
@HalimaIssa-pu4yt Ай бұрын
Yanga Bingwa
@user-ox1eg1ej6u
@user-ox1eg1ej6u Ай бұрын
Mbona. Kinyonge
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
Kwa mechi ilivyokua Mgunda akae tu karibu na simu asee
@bakanga1410
@bakanga1410 Ай бұрын
Kweli ww mwanabayankata
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Oruma something is wrong.. Managing club kama simba uongozi unadili na situation nyinyi za Aina tofauti.. Bahati mbaya iko kwa Aishi leo lakini viongozi ndiyo wanajua kinachoendelea... Na pasiwepo yeyote kuwa na ukubwa zaidi ya club ili simba iendelee na itawalike ni lazima kuwa na taratibu za kufuatwa nakuheshimiwa...bila shaka hili nalo litaisha maisha yataendelea
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm Ай бұрын
Oruma nilikuona wamaana sana lkn kumbe zero, kwa unavyoongea kwamaana ya namna unavyoongea unamaanisha hakuna kipa anaeachia, kwa vile move inaanzia mbele hadi kumfika yy. Ww zero kabisa, tuache kuficha wahalifu, kama mtu kazingua bc mwambie ili ajifunze.
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 Ай бұрын
Oruma haipendi Simba
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Wakiwa na jemedari mlikua mnasema haipendi yanga leo haipendi simba Huyu ni mtu huru huongea mawazo na maoni yake bila uoga hilo tu
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 Ай бұрын
Kwani Simba ndio timu ya kwanza kuacha mchezaji?
@filbertntibasiga8093
@filbertntibasiga8093 Ай бұрын
Kama ww ni mchambuzi yaani uko empty
@EzrenJackobo-cj5kz
@EzrenJackobo-cj5kz Ай бұрын
Hatumu taki kwani timu ni Simba tuu? Nakama hataki Simba iyo timu hinayo muitaji hijitokeze yeye asote mbech hale izo rushwa alizo kua haki pewa na jifunze jinsi yakupokea rushwa ilivyo tam na ukijulika unavyo suka kiwango yeye hale halicho kipanda
@ignatiomatimba3554
@ignatiomatimba3554 Ай бұрын
Umejipambanua Kwa kutoa tathmini mbovu kabisa. Ubivu wa timu hauangaliwi kwenye mechi moja tana ya kirafiki halafu timu unsyoiita mbovu imetoka na clean sheet Timu yeyote ichezspo Huwa Kuna dosari na uzuri wake hivyo ni juu ya kochs na benchi lake kwenda kurekebisha dosari hizo. Hivyo uamuzi wa kuitisha Simba kuwa Ina timu mbovu ni mtazamo wako tu.
@godfreymabula6858
@godfreymabula6858 Ай бұрын
Viongozi wa Simba ni wapuuzi, hata kama hawamtaki Aishi sio Kwa staili hyo asee,,,,wanasahau AKIWA kwenye pick aliimbwa mno Leo wamemnyima heshima yake wapumbavu kabisa😂😂
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
Mpumbavu mwenyewe.
@AdamNgogo-gg3tt
@AdamNgogo-gg3tt Ай бұрын
Bovu moja linafuta mazuri elfu
@EzrenJackobo-cj5kz
@EzrenJackobo-cj5kz Ай бұрын
Simba tume mfanyia makubwa zaidi hame pata umarufu akiwa Simba alaf kahamua kutuharibia tuna wajua mulikua Muna mtumia hatumutaki mchukueni ata ninyi c mna timu mchukueni
@aminaomari2312
@aminaomari2312 Ай бұрын
Simba ilizidiwa tu na Yangaa Manula hajahusika na chochote,mbona Ayoub kafungwa mbili,Simba wanachuki tu za kijinga.
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Jitu jeuuuusi Kama mboo ya punda huyu Wilson Oruma, duuh mboo ya punda hii hapa
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 70 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 50 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 53 МЛН
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
10:47
An interview with Loza Abera. Sept 5 2024
43:53
Reddiet Berihun
Рет қаралды 3,5 М.
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 66 М.
MBOWE ATOA KAULI NZITO"MSIBA HUU UWE WA MWISHO"
12:00
JAMBO TV
Рет қаралды 5 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 70 МЛН