No video

MAKUBWA! LOKOLE Atoa NENO RAYVANNY kumsumbua PAULA, ATEMA CHECHE AMEMUHALIBIA USICHANA WAKE

  Рет қаралды 53,607

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 151
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Жыл бұрын
Jamanni Paula kajala ravnnyn anamupenda zana Paula kajala mapezsi imenoga zana ravnnyn ♥️♥️ ndiamondi awezi.fanya ifa macvoice anaweza fanya ifo😀😀😀
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Paula na kajala ni sawa na dustbin kila mwanaume mwenye nyege zake aenda kukojoa hata marioo atapita tuu kifupi hao ni asokula msenge 😂😂😂 Ila wakumbuke ukitumia uzuri wako vibaya zinazoumia ni sehemu za siri
@ShantelBenta-vp4sj
@ShantelBenta-vp4sj Жыл бұрын
wewe umelala na wangapi ngombe
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
@@ShantelBenta-vp4sj na mume wangu wa halali
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
Ukute we ndo Malaya sugu ni vile sio star punguzeni midomo Mitandao inaongeza uongo mwingi
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
@@pendojeremiah1023 ndio km ww tuu
@johasaeed391
@johasaeed391 Жыл бұрын
Juma hajawahi mpenda fayma hata siku moja
@user-sq5wt1do4j
@user-sq5wt1do4j 10 ай бұрын
Faaaaafiii LOKOLE
@galbyamour9187
@galbyamour9187 Жыл бұрын
Dida wajuwa kuchocha 😂😂 Paula alivoambiwa ana domo Kwani yeye ray hakuona😅 ... It's life yatapita bifu za ujinga tuuu
@michelinesifa3502
@michelinesifa3502 Жыл бұрын
Asante Dida
@sabrinarashid7990
@sabrinarashid7990 Жыл бұрын
Juma mnafiki sana
@fridhausmeju-gi6po
@fridhausmeju-gi6po Жыл бұрын
Swali..nii rayvanny alifata nn uko bagamoyo
@CHD1718
@CHD1718 Жыл бұрын
Ukweli
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 Жыл бұрын
Ah kwaiy kam aliitwa na ex mama mkwe asingeenda co..?
@nihadshighadi4095
@nihadshighadi4095 Жыл бұрын
@@bwanabrainex433 yy kama alikua ashaachana nae angekataa
@estherokombo1086
@estherokombo1086 Жыл бұрын
Kwa ukweli mapenzii I said ❤❤😂
@zaynabb9051
@zaynabb9051 Жыл бұрын
Rayvan Ni mwanaume ujue anaedhalilika pale na paula
@mariam-pu4kg
@mariam-pu4kg Жыл бұрын
Dida nakupenda bureh
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын
HEEE CHUI❤FAHYVANNY ❤RAYVANNY ENDELEENI KELELE ZA CHURA PAULA ASIEFUNZWA NA MAMAE DUNIA TAMFUZA NA BADO
@lorettahamaro9065
@lorettahamaro9065 Жыл бұрын
In Kenya we say "kijana fupi round"😅😅😅spare my ribs Paula.
@floraundisa3688
@floraundisa3688 Жыл бұрын
😂😂😂karibuni 🇰🇪🇰🇪, mnafurahisha
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Жыл бұрын
VANIBOY Chui 🐅♥️🙏 Paula rayvanny anamupenda ♥️♥️🙏
@norahnoboka34
@norahnoboka34 Жыл бұрын
I M
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 Жыл бұрын
Kuzacha! Kuzacha! Kuzaaaacha kwa wau DIDA.....😂😂😂 Nakupenda sana DIDA❤❤❤
@josephmatinanthony9730
@josephmatinanthony9730 Жыл бұрын
Nkwei aloo kuzacha
@dijahdecruz6132
@dijahdecruz6132 Жыл бұрын
Nanee kwatama mbuyi
@user-px9mk4fh3l
@user-px9mk4fh3l Жыл бұрын
Ila dida unakosea angekaa kimya huyo Paula ingeonekana kweli nafaima nae angeoata bichwa huyo leivan kamuanza lazima nayy ajibu leivan angepaswa kukaa kimya
@jacqueli18
@jacqueli18 Жыл бұрын
Hawa wanakazana kuziba issue ya diamond na fantana😂😂😂😂ila hawa
@daifahamed4848
@daifahamed4848 Жыл бұрын
Ndio mnafiki uyo juma
@user-sq5wt1do4j
@user-sq5wt1do4j 10 ай бұрын
LOKOLE SHANGINGI WE KIBHUSUUU kunyasya CHUI...
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Juma muongoooo
@nihadshighadi4095
@nihadshighadi4095 Жыл бұрын
Shida ni rayvanny apa
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Juma anaharibu kajala na paula
@tunsumemwaki8625
@tunsumemwaki8625 Жыл бұрын
Ila redio za saa hizi Ni balaa,wanaokota tu watu wasijitambua kuwa waadishi
@bellahariminshi5149
@bellahariminshi5149 Жыл бұрын
Da dida Igweeeee🙌🙌🙌
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Kama anamsumbua je anayemsumbua mbona na yeye anamfuata kama humtaki usingemfuata au mbona anapokea sim yake
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Kama alimuharibia mbona alipo achana hakutulia akatambeya na daimond akatoka akawa na mario tena sasa hana udogo wowote
@pennymomah
@pennymomah Жыл бұрын
Uyo juma kamsaidia kuandika kam walikuw wote
@emmanuelmorris5083
@emmanuelmorris5083 Жыл бұрын
Juma akilipwa na wahusika mkali sana.yeye si aliwakataaa wakina Paula na mamake
@mbungemuhaji2878
@mbungemuhaji2878 Жыл бұрын
Love dadaake DIDA
@patricklawrence2568
@patricklawrence2568 Жыл бұрын
Yaani hawa hii redio hawaeleki
@imelda6495
@imelda6495 Жыл бұрын
👌
@munaali8930
@munaali8930 Жыл бұрын
Juma liko na umama sana
@catherinengwei4174
@catherinengwei4174 Жыл бұрын
Juma lokole uko na mdomo sana
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
Juma nimunafiki sanaaa
@dijahdecruz6132
@dijahdecruz6132 Жыл бұрын
Yeye rayvanny hakujua kama ana mdomo mkubwa
@halimashaban3858
@halimashaban3858 Жыл бұрын
❤❤❤Dida
@achiengfaith3554
@achiengfaith3554 Жыл бұрын
Meaning Paula anamfollow faymah
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
😅😅😅sema juma lokole ni noma😅😅😅😅shubamit
@cathykan7572
@cathykan7572 Жыл бұрын
Juma mbabaifu sana 😹🙌🏾
@irakozesania1680
@irakozesania1680 Жыл бұрын
Dida na Idris munajuag kumukaush uyo juma mate😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g Жыл бұрын
Paula yuko sahihi kweli kabisa kawaambia ukweli fyma amuulize huyo mume fake kafikaje huko
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Wewe shoga tu ulikuwa unamfundisha amtukane rayvanny juma ndo mbaya ana wivu na fahima wamechuk8l8a mabwana hao
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
MUNGU usininijalie hayo jumini 🙄😃 Aya basi tucheke tuongeze siku kwani macho YANGU au?! Mbona mm naona ua ya aliyenaye Sasa ni kubwa kuliko ya ALIYEPITA?
@johasaeed391
@johasaeed391 Жыл бұрын
Juma ni mbwa sana
@marieshango7345
@marieshango7345 Жыл бұрын
Dida nakupenda bure
@bettykauye7691
@bettykauye7691 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅weee kumoto uku
@user-zb6qu7og4n
@user-zb6qu7og4n Жыл бұрын
Juma wakisenge sana
@chilukigembe1956
@chilukigembe1956 Жыл бұрын
Kwani huyo Paula alishikwa kinguvu si alipenda mwenyewe
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Hawa waswahili watupu
@JoyAgbiano-wr5cz
@JoyAgbiano-wr5cz Жыл бұрын
Yani dida n Idriss mumejuw kunifuraish 😂😂😂😂
@bibishejuma2272
@bibishejuma2272 Жыл бұрын
Sasadida paula ipikosalake wedidawewe sunafanyiwakwenye sim achakuchafua mtoto wamwenzio zaawakwako😂😂😂😂😂
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Mbona media yenu haikemei mambo ya ushoga?au Kazi yenu kubwa ni kuzungumzia mapenzi ya watu?Tumieni hata vipaji vyenu vya kuongea kwa kuisaidia jamii kuhusu kukuemea ushoga
@marthamorris7297
@marthamorris7297 Жыл бұрын
Binti mdogo wapi alimlazimisha angekua hataki angemkata sema Paula nimalaya bna
@n7428
@n7428 Жыл бұрын
Juma ni mfki sana Dah!
@jackymmbando7550
@jackymmbando7550 Жыл бұрын
Kweli huyu Rayvan ni kunguni😂😂yani paula mchambe kabisa
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Dida wewe anamdomo sana kwani mlitaka Paula aendelee kuka kimya wakati ametukanwa mda mrefu akikaaga tu kimya? Nenda zako dida
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Watu wanatembea na kiki sana rvn unamjibuje katoto kadogo Paul kadogo sn
@marthamorris7297
@marthamorris7297 Жыл бұрын
Afu huyu juma anamambo yakike Leo nimeamini ndy maana watu hua wanasema kua anatiwa nani
@jacklinepeter4158
@jacklinepeter4158 Жыл бұрын
Acheni paula ajibu amesemwa sana akijibu kuna shida gani mnamtetea huyo fat shot guy wenu asiejielewa
@harerimanaannemarie6396
@harerimanaannemarie6396 Жыл бұрын
Pia wewz ukitafuta kuongelewa utaongelea
@jacklinepeter4158
@jacklinepeter4158 Жыл бұрын
@@harerimanaannemarie6396 hata wewe ukitaka utasemwa
@DaisyDamian-qk6gy
@DaisyDamian-qk6gy Жыл бұрын
Juma wew n mtu wa ovyooo
@user-ct7vm7bq9w
@user-ct7vm7bq9w Жыл бұрын
Wallah mnatuchekesha mnafikuna
@aminamohamed2163
@aminamohamed2163 Жыл бұрын
Yani juma zile Sura za marioo nazo Sura domo Kwanza na Hilo puwa lilivyo tawanyika kwa uuuupaaaaana
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Yan rayvany awe kapigiwa au kapiga yeye alifata nn huko kwa Paula na wameachana na yeye yuko na fahima mshenzi fahima hajielew tu nayye huyo anaemwita mume wake ndo huyo huyo alimuacha akaenda kwa Paula once a cheater is always a cheater 😅hay si tupoa hapa
@rehemagandi4912
@rehemagandi4912 Жыл бұрын
Kabisa,fay hajielew yule ,alafu anatumiwa tu na rayvan ,van bado anampenda paula ndomana saiv anamsema sana paula
@dijahdecruz6132
@dijahdecruz6132 Жыл бұрын
Mwanaume akikupenda mkaachana lazima aseme sana
@egiderichard1053
@egiderichard1053 Жыл бұрын
Jamani paula karisi umalaya wa mama ake kajala
@hellenbenny8913
@hellenbenny8913 Жыл бұрын
Upuuzi tu nia yenu ni rayvanny aachane na fahyvanny ila juma ipo siku
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Жыл бұрын
Kauli ya mwanamke ni moja" mwanaume mwenyewe hukuniridhisha" hii sihazoeleka haina athari kwa sasa wewe juma acha ujinga yan hyo dunia nzima tunajua ni defending mechanism ya wanawak3 woote duniani tishaona kawaida ty
@WINNIEJOHN-cy6no
@WINNIEJOHN-cy6no Жыл бұрын
Hata kma ray kapigiw cm,,kwa nn alienda
@chilukigembe1956
@chilukigembe1956 Жыл бұрын
Juma mnoko sana kkuwadi mkubwa huyo Juma
@justerissaya9165
@justerissaya9165 Жыл бұрын
Ndo Mana esma alisema lokole hufai kwa familia za watu
@mtazycomedy
@mtazycomedy Жыл бұрын
Au lokole ndo mamaake ndo paula
@priscargodwel3794
@priscargodwel3794 Жыл бұрын
Usikute kweli wanaume wapo hivohivo usumbuf
@yasintadavid1296
@yasintadavid1296 Жыл бұрын
😀😀😀
@SelinaPetro-wo4wd
@SelinaPetro-wo4wd Жыл бұрын
kwahy rayvany aliota km wapo bagamoyo
@mwanakomborashid7053
@mwanakomborashid7053 Жыл бұрын
Kwani icho kipindi ni kweli au wanaigiza igiza?mana ata sielewi
@aminachilindima-cr6fv
@aminachilindima-cr6fv Жыл бұрын
Dida kwani kajala Hana wazazi
@christinembeye5489
@christinembeye5489 Жыл бұрын
Diddah to the World.
@ziadamkinga5254
@ziadamkinga5254 Жыл бұрын
binafsi naona paula hajielewi ,coz umeshaanchana na mtu angekitoa hiko kipande
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
😂😂😂Dida anajuwa kuwunga 😂😂
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Жыл бұрын
Mmemloga rayvan juma na kajala wachawi,
@egiderichard1053
@egiderichard1053 Жыл бұрын
Kwani. Juma huyo huyo sindo. Walio tangaza eti Paula. Amefunga ndoa na payoti wa nigeria chakushangaza. Bado. Anadanga danga
@ZuhuraYassini-fg8zg
@ZuhuraYassini-fg8zg Жыл бұрын
Bagamoyo alifata nini,,,, wanapendqna hao
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Dida anaongea saana duh anakipaji chakuongea anapauka mno
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Juma kachukua pesa kwapaula
@maryammohmmed6526
@maryammohmmed6526 Жыл бұрын
Zamani Juma alimchamba Kajala na Paula kuwa ni malaya ssivi wamekuwa mashoga na kuwakingia kifua amakweli Juma ni mnafki tena mzandiki
@nazymwasaha3727
@nazymwasaha3727 Жыл бұрын
😂😂😂Dida ww vyachokesha tena vya sikitisha
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Walawakubalu juma😂😂😂😂😂
@yasnaghump5763
@yasnaghump5763 Жыл бұрын
Dida yupo upande wa rayvanny
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Didda kaumia na fat guy 😂😂😂😂😂
@samaliraven4210
@samaliraven4210 Жыл бұрын
Exactly😂😂
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
@@samaliraven4210 Hata mimi huwa celewag hz chuk znatokeaga wap Kat ye2 🤦‍♀️
@user-jb5oc9gw1i
@user-jb5oc9gw1i Жыл бұрын
Juma kwel anampotosha Paula
@tabialikoko1563
@tabialikoko1563 Жыл бұрын
Didaaaa nafaaa Mir pua kubwa soma tena
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Жыл бұрын
Ka paula katoto kadogo ila kanajionaje sijuiiii ningekalamba makofiiiiii mweee😂😂😂😂
@LoxloxJuma
@LoxloxJuma Жыл бұрын
Nikadogo Sana afu ryvn naisi anapita naupepo wa Paul MN kwann amjibu iweje rvn amjibu Paul napaula nimtoto mdogo so wakubishana
@judyjudy3513
@judyjudy3513 Жыл бұрын
Juma ovyooo kabisa
@barkeomar3295
@barkeomar3295 Жыл бұрын
Didaa...
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ndio la kujiuliza bagamoyo alifata nini
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Жыл бұрын
Juma huwa anapambana kumuuliza fahma but fahma ni wifeeeeeee
@fatmarashid8163
@fatmarashid8163 Жыл бұрын
Wife kafunga ndia lini
@royappy3826
@royappy3826 Жыл бұрын
Baba mkubwa mwenye akili alifwata nini?
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Жыл бұрын
Yan jumaa bana et mm ndo nlikua naandika 🤣🤣🤣 daaah
@chany9950
@chany9950 Жыл бұрын
Hahahaha ka paula kana mudomo jmn
@josephinerclemence7804
@josephinerclemence7804 Жыл бұрын
Tena hampendi fahyma kama wameshea mume
@mwanaidshekimweri3000
@mwanaidshekimweri3000 Жыл бұрын
Dramaaaaaaa omg
@nanaritho6850
@nanaritho6850 Жыл бұрын
Juma lokole Hana lolote zaidi ya upambe tuu
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Жыл бұрын
Short fat boy😂😂😂😂dah ila mapenzi bhana yakiishaga jaman
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 24 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 15 МЛН
NILIKUNYWA VILE MAKUSUDI NA TUKAPANGA KUREKODI - CHRISTINA SHUSHO
5:09
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 32 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 24 МЛН