MAKUBWA! 😳MGANGA ANAYETUHUMIWA KUSABABISHA K1F0 CHA MLINZI WAKE KAKUTWA NA MAPYA.BABA YAKE NAE R.I.P

  Рет қаралды 20,484

THE THIRD TV

THE THIRD TV

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@Esthermordecai
@Esthermordecai 8 ай бұрын
Adui Hana la Bure,amekuja kuiba kuua na kuharibu 😭eeh Yesu Kristo tufunike na damu yako.
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 8 ай бұрын
Dah,ama kweli watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa! Tumrudie Mungu,aliyeumba mbingu na ardhi
@amanisaid9863
@amanisaid9863 8 ай бұрын
Pole sanaa wanadamu wana chuku haswa ukiwa kipato wao wanaumia
@woah.africa99
@woah.africa99 8 ай бұрын
Kwa nn amue mbele ya nyumba yake hao watakuwa watu wengine wanamchukia sio kweli
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 8 ай бұрын
Wabongo unawajua nasubili lipoti ya polis
@desmondchelango
@desmondchelango 6 ай бұрын
Mungu akiamua kujidhiilisha anaweza kujidhiilisha muda wowote usio utegemea fatilia Kisha ukombendi silazima mauaji ufanyie mbali na kwako maana huwezi kuja kwamba mtu anakufa au la
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 8 ай бұрын
Chezea Manyau nyau kesha sasa Mganga mdomo.Taz genius mwizi 😅😂😂
@PendoMatemba-ql1ng
@PendoMatemba-ql1ng 8 ай бұрын
mpaka nimelia mungu Akufanyie wepesi
@ZenaKondo
@ZenaKondo 8 ай бұрын
Mm nahoji kama ww si muaji kwann ulipopigiwa sim kama nje kuna mtu anavuja dam na hukutajiwa ni nani moja kwa moja ulimpigia ndugu yake? Wakati ulikua hujui alielala pale n nani kwann ulimpigia ndugu yake ww kama ulikotoka umeuwa na hata juz tu ulimuua mkenya wawatu kwa jafari umekwisha hauchomoki mungu ni mwema dama yake haitalala pale chini ya himaya yako bur itakugarim wallah 😢😢😢 mungu akuhukumu ww😢
@ThauratSule
@ThauratSule 8 ай бұрын
Umeongea point kweli sister
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 8 ай бұрын
Tapeli mkubwa huyu hana uganga wowote
@annboke4979
@annboke4979 8 ай бұрын
Ukweli tapeli huyu ametapeli watu wengi sana
@hadijaramadhani4801
@hadijaramadhani4801 8 ай бұрын
Uko wapi mwamba
@shadakihwili4197
@shadakihwili4197 8 ай бұрын
Pole sana kakaangu ..mungu akupe nguvu na imani
@ybmtaakwamtaaofficial3415
@ybmtaakwamtaaofficial3415 8 ай бұрын
Duuuh
@woah.africa99
@woah.africa99 8 ай бұрын
Na hao walio mua mze wakamatwe
@bakaryCMD
@bakaryCMD 8 ай бұрын
Kuma tu Huyo muongo yeye ndo kawatuma tu huyo mbwa
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 8 ай бұрын
Naiomba serikali iwazuiye waganga wote kina manyau nyau na wengine wote wanaojitokeza ktk mitandao haswa tik tok maana wanadanganya watu sana utapeli nimwingi sana na mauwaji yanatokea mengine hatuyajui
@MuhiziJean-b2u
@MuhiziJean-b2u 2 ай бұрын
Pole sana kaka angu mungu atazidi kukupambania izo nichuki za watu 100% kutoka burundi
@emmanuelpeter5686
@emmanuelpeter5686 8 ай бұрын
Kwani mwamba umejificha wapi?
@HabibahKhalfan
@HabibahKhalfan 8 ай бұрын
Jmn kakaangu nenda kituoni alafu ishivizuri na majiranizako
@frednyangwechi774
@frednyangwechi774 26 күн бұрын
Hapo sioni labda wivu haijawahi tokea hapo sio ni kupangiliwa Tu juu ya wivu na chuki
@VictorBugobola
@VictorBugobola 8 ай бұрын
😂unajiamin eh
@hadijaramadhani4801
@hadijaramadhani4801 8 ай бұрын
Ahahahah kwan hapo umelia au umabadili pozi huna uchungu wowot
@umfahad2609
@umfahad2609 8 ай бұрын
Kwa hio umeanza kutoa ktk mitandao kbl ya serikalini? Kwenye tatizo km hili ilipaswa kwanza wajue polisi kbl ya babaako na ndugu wa mlinzi. Km sio wewe ni muuaji. Bac umesababisha kifo cha babaako kwa uzembe wako. Sbb wangekuja polisi yacngetokea yote hayo.😭😭😭💔💔💔
@lexygeisar8303
@lexygeisar8303 8 ай бұрын
kesi haija kwisha, tusubiri uchunguze tujue ukweli uko wapi.
@MargaretEroga
@MargaretEroga 2 ай бұрын
Hakuna vile unaeza uwa mtu mbele ya nyumba yako hio ni wivu alifanyiwa hio na huyo manyauyau
@desmondchelango
@desmondchelango 6 ай бұрын
Ingekuwa wewe ni mkweli WA hayo unayosema ungerudi maana ni kwako pia wewe unajitete kwasababu matukio yanafatana naniya kufanana ila hakuna mungu wakweli ane saidia muovu wale wamama ulio waibia hakizao hiyo laana itakuesa sana
@TabuHome
@TabuHome 5 ай бұрын
Jamani tafadhali msije mkauwa watoto hawanakosa lolote kabisa ,😢😢😢😢😢
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 8 ай бұрын
Bro unahisika kuua huyo mlinzi.. Nasema hivyo kwa sababu hii moja tu... Umesema ulipigiwa simu na dada akakuambia nje kunamtu amelala nje ila amejuva damu nyingi sana. Hivyo anaogopa kumsogelea na hawezi kumtambua... Kwann hupiga simu polisi badala yake ukampigia ndugu wa huyo mlinzi aliyekufa ???? Swali lingine hapo kwako unawafanyakazi unaishi nao.. tukio lilifanywa kwako.. hapo kuna mjumbe. Kuna majirani, ilikuwaje hamkuwapa taarifa mpaka umpigie ndugu wa amrehem?? Ulijiwaje huyo marehem anamhusu huyo ndugu uliyempigia cm?? Bro utadanganya watu wengi ila hutadanganya watu wote.. Asilimia 100 unalijuwa hilo tukio. Ulilipanga na ulijuwa litatelekezwa ndiyo ukatoka hapo kutengeneza mazingira ionekane wewe huhusiki.. Wauaji unawajua kabisa.... Mimi naishia hapo wengine watohoji mpka ukweli utajulikana...
@AbuuKaka
@AbuuKaka 4 ай бұрын
Anaonekana nimtuanae jisikia uishi nawatu vizuri uwezi kuchukiwa nawatu wt
@Lulualshagri
@Lulualshagri 8 ай бұрын
Tapeli mkubwa nyoooo
@ThauratSule
@ThauratSule 8 ай бұрын
Huna maumivu muongo ww huna lolote Sura inakusuta unaongea uongo broo mchezi ww
@KaseseNews
@KaseseNews 8 ай бұрын
Moyo wa mtu kichaka kaka
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 8 ай бұрын
Mkiambiwa hakuna mkuu juu ya Mungu hamuelewi na Mungu
@saudamdoe
@saudamdoe 8 ай бұрын
Mshenzi wewe nenda kituoni akaelezee hayo unayaongea
@syliviakente9460
@syliviakente9460 8 ай бұрын
Hawezi tofautisha r or l
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 8 ай бұрын
Hakuna marefu yasiyokua na ncha ngoja jeshi la polisi lifanye uchunguzi ukweli utajulikana
@TuzoTuzo-xi9xm
@TuzoTuzo-xi9xm 7 ай бұрын
Badoo wewe subili tunakusubili wewe mbwa wewe wewe na maleemu ulikuwa na ugovi Nae tunakusubili wewe tukikosa wewe tutatafuta mkewe au watoto wako
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 8 ай бұрын
Sasa kama hukufanya ivyo mbona uwapigi polisi na ukaenda kutowa ushaidi una lekodi mtandaon huonekani njoo ulaiyani wakuone uki nena😅
@HIDACHAPILE
@HIDACHAPILE 8 ай бұрын
Baba umesema kwelilakini dokta wenzio ha tuna kitu tunashindwa kukupata unatusaidiaje
@Fatuma-p9y
@Fatuma-p9y 8 ай бұрын
Mungu atetei maliza kishetani
@mjukuuwamizimu8524
@mjukuuwamizimu8524 8 ай бұрын
Kwanini usianze kakuwapigia police, au mwenyekiti wa mtaa wako!! unapigia laia ? Umefanya makosa Kaka ulitakiwa kupigia viongozi wa serikali
@MairideJumaAmade
@MairideJumaAmade 8 ай бұрын
huyu muuaji
@TuzoTuzo-xi9xm
@TuzoTuzo-xi9xm 7 ай бұрын
Wewe aCha ukuma wewe wewe Ni muwaji mbona umebeba familiya yako msenge Nini usiludi uku Cha modoo utakiona utauwawa na wewe
@RoseAloyce-g2t
@RoseAloyce-g2t 4 ай бұрын
Wewe nita pelitu una lolote cheki ujinga wako ume fanya mzee wako kuliwa tena ww una takiwa kupata kifungo chamahisha kwakuwa wewe nikatli ata sura yako inatisha san
@JosephKulwa-rc7en
@JosephKulwa-rc7en 8 ай бұрын
Kweli mwamba watu ukianza kusonga mbele lazima vita iwepo
@RoseAloyce-g2t
@RoseAloyce-g2t 4 ай бұрын
Acheni kuteteya inge kuwa nindugu yenu au mna sema tu kuwa niwivu wamahisha kwautajir gani aliyo kuwa nao au na nyiye ndowalewale matapeli
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 8 ай бұрын
Akamatwe awejwe jela magereza msimuache huyo
@HatibuChunga
@HatibuChunga 8 ай бұрын
MUNGU atatenda naukweli utajulikana tu ila yote kwayote tuwena hofu ya MUNGU
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 8 ай бұрын
Nani ni muuwaji,Kaka Damu ya mtu ni ngumu utailipa tu
@abbiecox1
@abbiecox1 8 ай бұрын
KILA ALIYEMUIBIA SH LAKI TANO ARUDISHIWE CHAKE JITOKEZENI WADAU! KIFO NI KAZI YA POLISI HAIWAHUSU HATA CHEMBE
@ednahumazi777
@ednahumazi777 8 ай бұрын
Wewe you no what you did
@kilogreek4050
@kilogreek4050 8 ай бұрын
WAWE NDIO UMEUA UKAKIMBIA NA FAMILY YAKO MATUKIO YOTE YA MAUAJI ULIKUWEPO NA UMESHILIKI PESA ZIMEKUCHANGANYA AKILI😢
@AishaKondo-fl7hk
@AishaKondo-fl7hk 8 ай бұрын
Hakuna anae potosha nikweli umeua mimi nilikuja kwako wewe sio mganga nitapeli ila jasho zawatu zote ulizo tapeli utazirudisha kwamungu hapokwako umejenga kwamiezi michache sana uganga gani unapesa hivyo niutapeli alafu jamaa anaroho mbaya huyo yani anatisha ukiingia kwake utajua mimi nimefika kwake aeleza shida yangu sijamaliza ananiambia nimpe laki tatu
@TuzoTuzo-xi9xm
@TuzoTuzo-xi9xm 7 ай бұрын
Wewe Ni muwaji wewe mganga ulituma walizi wako ili wamuuwe uliondoka wewe Ni muwaji
@pjmaarifa3528
@pjmaarifa3528 8 ай бұрын
Acha kumtaja Mungu wewe,aliyeuua kwa uoanga atakufa kwa upabga
@jafari3218
@jafari3218 8 ай бұрын
Ungeenda kuriport police Toka muda uliopata taarifa ungekuwa umefanya la busara zaidi
@TuzoTuzo-xi9xm
@TuzoTuzo-xi9xm 7 ай бұрын
Wewe Ni muwaji
@ZaibuanuariAnuari
@ZaibuanuariAnuari 8 ай бұрын
Mwisho wako wautaper umefika,,, maelezo yKo yanaonyesha umeuwa,,,,
@ThauratSule
@ThauratSule 8 ай бұрын
Uchukuwe wewe na kila MTU Kwa kipi ee kama huna yako mbaya ww muombe mungu
@josephMagonya
@josephMagonya 8 ай бұрын
Kunawatu humu ndani wanamtukana jamaa lakini hawajui ukweli wowote, naomba tuliachie jeshi la polisi na mahakama ndo watakao toa ukweli, tusihukumu pasipo kujua
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 8 ай бұрын
Usimtetee muhalifu
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 8 ай бұрын
Pole sana kijana mwenzangu.
@samuelndosi9577
@samuelndosi9577 8 ай бұрын
Umewaibia sana watu wewe mali imerudi kwa wenyewe
@AkimuWaziri
@AkimuWaziri 8 ай бұрын
Kwann uliuahuyo jamaa?
@Fatuma-p9y
@Fatuma-p9y 8 ай бұрын
Shetani wewe ushsuwa wewe muwaji sikuyako imefika utaendajeratu
@GoodluckProtasi
@GoodluckProtasi 8 ай бұрын
Uyo shetani afe😬😬😬😬
@aziza9093
@aziza9093 8 ай бұрын
Tapeli wewe
@MariamoAlmasse
@MariamoAlmasse 8 ай бұрын
Taper
@mazindehashimu4430
@mazindehashimu4430 8 ай бұрын
Huyo sio mtanzania inabidi achunguzwe na uhamiaji
@BilalyBilly
@BilalyBilly 8 ай бұрын
Nenda polisi wewe jitokeze
@magigemwita9880
@magigemwita9880 8 ай бұрын
Kunajambo nyuma yahili
@farouqjaku951
@farouqjaku951 8 ай бұрын
Fresh ume uwa na ameuliwa mze usi waze
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 8 ай бұрын
una ushaidi?
@bakaryCMD
@bakaryCMD 8 ай бұрын
Tupelo tu kuma huyu
@Fatuma-p9y
@Fatuma-p9y 8 ай бұрын
Shetani wewe iposikuyako
@SalumuOmary-dn6gt
@SalumuOmary-dn6gt 8 ай бұрын
Kwaiyo kutoka tandale mpaka pugu kwa gari ni mbali kiasi kwamba mtu unalazimika kupumzika njiani!!?
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 8 ай бұрын
Huyu ataenda kujielezea kituoni maana hapo sio PA kuomba visa labda mpaka atafute hotel
@chaimusa4015
@chaimusa4015 8 ай бұрын
Wacha unafiki wewe
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 8 ай бұрын
Una roho ngumu wewe
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
DUDU BAYA ASHINDWA KUVUMILIA SAKATA LA MGANGA TAZGINIOUS AZUNGUMZA KWA UCHUNG
32:26
Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma
9:42
Millard Ayo
Рет қаралды 2 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН