Malkia wa nyumbani- Maulid M.Machaprala

  Рет қаралды 101,289

Old Is Gold Taarab Zanzibar

Old Is Gold Taarab Zanzibar

Күн бұрын

Old is Gold Taarab Zanzibar..

Пікірлер: 84
@SalimSalim-bb4gj
@SalimSalim-bb4gj 7 жыл бұрын
Mungu akueke mahali pema peponi machaprala mungu amekupenda zaudi ndio ukatangulia mbele za haki. mungu akueke pema palipo na wema Amin.
@yussufbaga4726
@yussufbaga4726 8 жыл бұрын
Mohd Machapulara King of Voice! Hii ndio Zanzibar ya kale kabla uvamizi na uharibifu wa maadili.
@tipuhanif7753
@tipuhanif7753 8 жыл бұрын
ulikuwa wapi ilipo haribiwa
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Nikweli madili saiv yameharibika
@mbarouk09
@mbarouk09 3 жыл бұрын
Ndio muimbaji wangu bora wa muda wote
@jumaothman2092
@jumaothman2092 5 жыл бұрын
Samahani mwenye wimbo wa yeye ameniwafiki machaprala ameimba nauhitaji
@saheelameir4313
@saheelameir4313 5 жыл бұрын
Ya Allah turudishie zanzibar yetu ya maadili ya uislam
@baalawy100
@baalawy100 5 жыл бұрын
mola amrehemu Maulid Machaprala ,kipenzi cha watu wengi.Amewacha pengo kubwa katika ulimwengu wa taarab
@SalimSalim-bb4gj
@SalimSalim-bb4gj 7 жыл бұрын
Nakumbuka zama zetu... mziki taratibu wa jioni huku ukinwa kahawa barazani
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Salim Salim hehehee
@nuramoboy
@nuramoboy 7 ай бұрын
Allah amsamehe makosa yake na amlaze pema poponi Amin ( Aliwashinda wanaume na wanawake sauti yake haikutokea) Ya allah msamehe mja wako huyu na hata nyimbo zake zikisikilizwa usimuandikie madhambi . Amin
@labardan56
@labardan56 4 жыл бұрын
Just great, oh, when corona times are over... I'd like to visit Zanzibar!
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 ай бұрын
aaaa iko wapi zanzibar yetu ukowapi utamaduni wetu ziko wapi silka zetu ziko wapi desturi zetu nalalia mazuri ya zanzibar tumeporwa mpaka utamaduni na umezikwa utambulisho wetu😊😊
@tatumakadara5793
@tatumakadara5793 8 ай бұрын
Nikikumbuka sauti nzito,za kina Machapralla,Seif Salim Asha Simai( Um kulthoum wa znz) Mungu awarahamu
@nassermaqbaly5231
@nassermaqbaly5231 4 жыл бұрын
Hakuna mtu hata mmoja ambaye alitaka kuondoka zanzibar wakati ilipokua zanzibar kweli tulikua tunaona tuko peponi kabla ya mauwaji ya kidhalim na kuifisidi nchi iliyokua inasifika dunia nzima kwa ustaarab na elimu wapi leo imebakia inanuka mavi kila kipembe na njaa na uchafu wa zina na ulevi kila corner na kaum luuti. ALLAH tunakuomba uturejeshee zanzibar yetu kama ilivokua Ameen.
@saheelameir4313
@saheelameir4313 4 жыл бұрын
Amiin
@softena100
@softena100 3 жыл бұрын
Amiin yaarab
@shamscookery5989
@shamscookery5989 7 жыл бұрын
Natamani nirudi niwe mtoto Tena nikicheza nje ya studio zao stone town nikiskia tu sauti zao wakifanya mazoezi
@cholloriyamiy2249
@cholloriyamiy2249 4 жыл бұрын
Daaah Umenena kweli Broo.. Hua sibanduki pale Club yao kokoni Malindi (stone town.)
@nuramoboy
@nuramoboy 7 ай бұрын
8:22 Sheik Ali Allah amsameh nae makosa yake na amuweke pema peponi , Amin
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 3 жыл бұрын
Yaani hapa wakati huo ulikuwa hutamani hata ulaya maana Raha zote zilikuwa nyumbani zanzibarrrr
@masoudapology9230
@masoudapology9230 6 жыл бұрын
Nazipenda sam hizi nyimbo jamani hadi nackia kuumwa najivunia kuwa Mzaznzibar ktk viziwa vya marashi ya karafuu.
@khelefomar3867
@khelefomar3867 8 жыл бұрын
mungu akusamehe makosa yako machprala na akuingize peponi kuimba hakumzuwi mtu peponi
@hamadrajab8042
@hamadrajab8042 7 жыл бұрын
eddy roger. ya salaam ya salaam inanikumbusha mbali machozi yananitoka Zanzibar yetu
@fanijumahajj9636
@fanijumahajj9636 4 жыл бұрын
unasemaa
@nassermaqbaly5231
@nassermaqbaly5231 4 жыл бұрын
Hatokei tena mwimbaji mzuri kama machapralla sasa hakuna tena tarab bali kuna matusi tu na upumbavu wa kibara.
@inversedelcruise676
@inversedelcruise676 4 жыл бұрын
Hii ndio Zanzibar ninayoijua mie wallahi, ila hii ya sasa ni siasa na ubadhilifu tuu
@MrBorndrunk76
@MrBorndrunk76 4 жыл бұрын
Allah akupe darja ya juu, ulikuwa legend, ila tu sisi tulishindwa kutambua hilo jambo
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 4 жыл бұрын
Mungu akurahamuni mlio fariki ameen na mungu ajaalie irudi iwe znz ya zamani ya rabb ameen
@johnkuma6867
@johnkuma6867 9 ай бұрын
Zanzibar mwapendeza. Nilikupenda sana wakati wa likizo yangu na familia yangu. Nihame nisihame Makueni kenya?
@johnjalisco3385
@johnjalisco3385 3 жыл бұрын
Old is gold for sure.
@zainabzainab2422
@zainabzainab2422 3 жыл бұрын
Shukran mzee machaprala
@suleimanimganga4212
@suleimanimganga4212 3 жыл бұрын
Yes hii ndio taarabu
@abubakarkhamis3884
@abubakarkhamis3884 3 жыл бұрын
MashaAllah nice taarab
@Omarsi2000
@Omarsi2000 3 жыл бұрын
Malkia wa Nyumbani Lyrics: Kassim Mohamed Music: Ali Salim Basalama Singer: Maulidi Mohamed Machaprala Ewe Malikia wangu ... Ulotulia enzini. Kulikoni pendo langu ... Ili niwe furahani. Katika maisha yangu ... Tuishi kwenye amani. Umetua moyo wangu ... nikiwa nje na ndani. Tabia za kutukuka ... Kwa daraja namba wani. Mola alivyokupika ... Kama wanja na uyuni. Uzidi kutakasika ... Tia hina mwilini. Kila kukipambazuka ... Eva utini machoni. Mola alivyokuumba ... Natoa shukurani. Si mnene ni mwembamba ... Kimo chako wastani. Umepata hukuomba ... Sifa na yako ayuni. Ndipo nami nikitamba ... Kama siwewe ni nani. Cheo Chako Malkia ... Wewe ni yangu ramani. Himaya hunipatia ... Hapa hapa duniani. Dira nakutumia ... Nikiwamo safarini. Nikitaka kupotea ... Hunileta karikani Moyo hauna akili ... Mwengine haonekani. Natoa yangu kauli ... Kama siwewe ni nani
@joewairimanson3380
@joewairimanson3380 5 жыл бұрын
wow what a wonderful song
@MrBorndrunk76
@MrBorndrunk76 6 жыл бұрын
Hizi ndio taarab sio leo fujo tu
@shekhansaid9543
@shekhansaid9543 4 жыл бұрын
Miaka kumi iliopita tuliahidiwa taarab asilia itarudi, lakini waapii masikini Zanzibar iwapi tena!! !!.
@albusaidkhelef6655
@albusaidkhelef6655 6 жыл бұрын
wakat huo Zanzibar ipo katoto kabisa ata ukienda hospital kupima kama ni ugonjwa ni ule ule mmoja lakin nenda leo ukapime utasema dokta anakuongopea maradhi lukuki.ZanZibar ya Machaprala wap tena
@seifhafidhsuleiman3643
@seifhafidhsuleiman3643 4 ай бұрын
Allah kauli thabit
@binbadru1654
@binbadru1654 2 жыл бұрын
zanzibar ndio kwetu
@najjatharoub197
@najjatharoub197 2 жыл бұрын
Mashallah sauti muruwa hapo nna miaka 6
@abuuthaurat1930
@abuuthaurat1930 2 жыл бұрын
Mimi hapo 7
@mussavande-mcstar1890
@mussavande-mcstar1890 Жыл бұрын
mie hata siijui Dunia
@shekhansaid9543
@shekhansaid9543 4 жыл бұрын
Allaah amrehemu nguli huyu.
@abdul-rahmanabdullah7626
@abdul-rahmanabdullah7626 4 жыл бұрын
taabarak Allah
@alimohd8427
@alimohd8427 2 жыл бұрын
Tizama hao wana wake humus walivyovaa utajua ni watu we nye he's him a zao,sio hawa Waterbeach uchi wa sasa,ndo maana Mungu analeta mabalaa tumefikia kumuasi
@mwajuma1734
@mwajuma1734 7 жыл бұрын
nice wimbo machaprala
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 жыл бұрын
Hapo ndo nazaliwaadau
@nassramalik5666
@nassramalik5666 5 жыл бұрын
Mmh nakumbuka haile wakati huo tunasoma hapo mmh Zama zimepita
@yussufmussa3809
@yussufmussa3809 5 жыл бұрын
Nassra Malik dah mm machoz yanantoka jman
@saheelameir4313
@saheelameir4313 4 жыл бұрын
Duh maneno yenu yanantia simazi sikosi kulia nkisikiliza hizi. Nalilia mda na utamaduni wetu ulivopotea
@chidashafi3438
@chidashafi3438 4 жыл бұрын
Rest in peace machaprala
@yussufnahoda4069
@yussufnahoda4069 5 жыл бұрын
kwanini Alakeifak imekufa
@monday1278
@monday1278 5 жыл бұрын
Laiti kama masiku yangelikuwa yanarudi.. ila tarabu zamani tu..
@zuleikhaahmed7220
@zuleikhaahmed7220 2 жыл бұрын
💖🔥🔥💖🔥🔥💖
@chidashafi4009
@chidashafi4009 4 жыл бұрын
Nasikitika now hayapo Tena
@omarali1053
@omarali1053 Жыл бұрын
Namkumbuka wakati huo ni kuwa tanga makorora,
@tatumakadara5793
@tatumakadara5793 8 ай бұрын
Yuko wapi Aboubakar mzula ?
@alimohd8427
@alimohd8427 2 жыл бұрын
Sasa hivi hakuna zanzibar kuna wezi na wahuni tu kuanzia raise mpaka raia
@ummimohammed1856
@ummimohammed1856 7 жыл бұрын
khelef omar usiseme usokua na elimu nacho ...wewe muombee dua tu mengine muachie Allah.
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 4 жыл бұрын
Nice
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
Yaani apo nina miaka 2 tu 😅😅
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 жыл бұрын
Muda wa kwenda chuoni umefika
@ghanimaali4507
@ghanimaali4507 3 жыл бұрын
hahahaaaa umenikumbusha mbali sna
@ghanimaali4507
@ghanimaali4507 3 жыл бұрын
ss ndio tukikaa shamba uko kaskazini kwetu upembani unaambiwa nataka ukidika juma bbinaali akupige makwaju maana saa8 na nusu iyo
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Muda huu naukumbuka
@abuuthaurat1930
@abuuthaurat1930 2 жыл бұрын
Ah nyie acheni tuu . Mola awasemehe makosa yao pmj nasi
@mangofish9079
@mangofish9079 4 жыл бұрын
Ehh bwana hapo mie niko nursery nikikumbuka jinsi skuli za chekechea xilivyokua kama za ulaya sitanii kila hitaji lilikuwepo leo hii wapi?
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
Huyu mc nazani anafanya kazi airport znz apo alikua kijana kweli au lkn sina uhakika
@iddiiddi5585
@iddiiddi5585 6 жыл бұрын
Nakumbuka alikuwa Zanzibar Wharfage Corporation.
@abduillmakei7238
@abduillmakei7238 5 жыл бұрын
Jaman mm nampend cn machapral cjuw kwnn nimezaliw 92 naumia cn nikiskia nyimbo zk ila najuw km kz ya mung hain makosa
@abduillmakei7238
@abduillmakei7238 5 жыл бұрын
Kw wale ambao wanaziimba tn nyimbo za zamn wasiimbe tn maan hawazipatii wanaziharibu km kwl wanawez waimbe za kwao
@abduillmakei7238
@abduillmakei7238 5 жыл бұрын
Inaniuma cn nikiskia nyimbo zk ktk dunia hii hakun mt ambae nampend km c prof machap ila najuw km mung kakupenda zaid ila naamini km tutaona t peponi bado cjakat tamaa pumzk gwiji
@jumamahmoud9411
@jumamahmoud9411 5 жыл бұрын
Wakati huo Nina miaka 11 nakumbuka enzi hizo kipindi cha burdani SAA. 8 STZ
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 жыл бұрын
D
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 жыл бұрын
Huo
@khelefomar3867
@khelefomar3867 8 жыл бұрын
mungu akusamehe makosa yako machprala na akuingize peponi kuimba hakumzuwi mtu peponi
@mwajuma1734
@mwajuma1734 7 жыл бұрын
Khelef Omar
@nasseralismaily157
@nasseralismaily157 6 жыл бұрын
Ammeena
@2manyara
@2manyara 5 жыл бұрын
True
@saheelameir4313
@saheelameir4313 4 жыл бұрын
Si kweli nyimbo hasa mnanda ni harram
@ismailsuleiman394
@ismailsuleiman394 Жыл бұрын
mashallah mashallah Mzungu aiHitachi Zanzibar fahari yetu sote
NIDHIBITI - SAADA NASSOR
15:21
Bin Seif
Рет қаралды 629 М.
Ngoma ya Kibati kutoka JKU yawakosha wana ZOI.
7:23
ZOI MEDIA
Рет қаралды 14 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 20 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,9 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
Bora Adui Shetani Kama adui Kiumbe Fatma Issa
15:48
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Рет қаралды 254 М.
NIMESALITIKA - MACHAPRALA
14:57
Bin Seif
Рет қаралды 64 М.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Dhow Countries Music Academy
Рет қаралды 81 М.
Akhwan Safaa in Oman 1985   Hata Haikuwa   Khadija Salim
12:52
Abu Zaki
Рет қаралды 34 М.
ISHARA NAMFANYIA AJIFANYA HAZIONI- TAARAB ZANZIBAR
18:27
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Рет қаралды 37 М.
USTADH MUKRIM BEST COLLECTION 1
1:25:16
KING MUKRIM AL-ABRY
Рет қаралды 89 М.
NAMUNIKOME
10:24
KE-Series
Рет қаралды 56 М.
NYOTA NAKUAMINI - MAULID MACHAPRALA
7:05
Bin Seif
Рет қаралды 27 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 20 МЛН