MAMA ALIEMTUHUMU BINTI YAKE WA KUFIKIA KUWA NI MCHAWI YAIBUKA MAZITO (BABA AINGILIA KATI) PART -2

  Рет қаралды 54,909

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI

Күн бұрын

MAMA ALIEMTUHUMU BINTI YAKE WA KUFIKIA KUWA NI MCHAWI YAIBUKA MAZITO (BABA AINGILIA KATI) PART -2
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

Пікірлер: 187
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 ай бұрын
Ila mbona video zinakuwa fupi fupi bc tupeni mwendelezo tujue hasa kwa sisi ambao tuko mbal na kanisa
@Meshacknicholaus
@Meshacknicholaus 3 ай бұрын
Ameni mtumishi mungu akubariki naomba nisaidie katika familia Angus,,,,,,,
@SimonLimuruti
@SimonLimuruti 8 ай бұрын
Mtumishi wa mungu mungu akubariki sana naomba uniombee niponye magonjwa na uchumi
@MwajumaWesa
@MwajumaWesa 2 ай бұрын
Kiboko shida acha🎉
@JayMusic-fd7dm
@JayMusic-fd7dm 3 ай бұрын
Wakomeshe mpaka waache uchawi mkimboz wetunambr Moja baba🙏🙏🙏
@sospeteralex378
@sospeteralex378 6 ай бұрын
Amina
@claudiokatucha6652
@claudiokatucha6652 5 ай бұрын
Naomba niondolee vozuiz vya kiuchumi nipate hela. Mim niko DODOMA siwezi kufika kesho. Naomb nisaidie ntatoa sadak
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 8 ай бұрын
Mtumishi mungu ainue kipaji chako Amina 🙏naomba uniombee naitwa Eunice
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 9 ай бұрын
Lichawi likubwa,limevunja ndoa ya mama sada,Achana na hilo limama sofia,limemchukua mume wa mtu,Malaya linovu,Heee mama sada rudi kwako.malaya ondokaaa,mpaka limexaa nje
@nipaneema3271
@nipaneema3271 4 ай бұрын
Nabii tabiri juu yangu.naitwa nipaneema nipo chanika
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 2 ай бұрын
Nabiii wa mungu naomba umuombee mama watoto apate safari ya kusafiri
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 2 ай бұрын
Nabiii wa mungu naomba umuombee mama watoto apate safari ya kusafiri
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 2 ай бұрын
Nabiii wa mungu Niko Kenya mombasa Kenya
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 2 ай бұрын
Nabiii wa mungu Niko Kenya mombasa Kenya
@rosemsaki1111
@rosemsaki1111 3 ай бұрын
Wanao kusema vibaya hawajapata shida baba piga kazi saidia watu Na Mungu akusimamie.Amina
@FatumaFatuma-mh1rc
@FatumaFatuma-mh1rc 4 ай бұрын
Baba Mimi tangu 20003 mpaka sasa sijafanikiwa kupata mototo niombee
@emmanuelbayda4640
@emmanuelbayda4640 6 ай бұрын
Huna hekimaa wewe endelea daganganya hawa uliowalogaaaa but wajinga ndio waliwao ......... Unganisha familia siyo kutenganishaaa huna kitu
@geofraykaiche3301
@geofraykaiche3301 3 ай бұрын
Familia zetu ni tatizo ,mchungaji , endelea kutusaidia,
@talumbablandinavumo1883
@talumbablandinavumo1883 9 ай бұрын
Baba naomba msaada kutoka kwako Niko msumbiji Nina matatizó kiafya pamomoja na wanangu.kiuchumi na kimapenzi ,baba naomba mkono wali wa Baraka.
@TabuHassa
@TabuHassa 9 ай бұрын
mungu akuweke
@ssebuufumathias
@ssebuufumathias Ай бұрын
Amen baba mungu akupemaisha marefu namimi baba naitaji maombi yako nirudiyane namumewangu sijuwi kamaamelogwa
@lucaspilla873
@lucaspilla873 2 ай бұрын
Mwivi haji ili achinje, aue na kuharibu, you're not real man of God, wewe ni mwivi
@JudithMlaki
@JudithMlaki 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukuweka mtumishi
@PhillisNaswakisiangani
@PhillisNaswakisiangani 7 ай бұрын
Poster ningepebda unisaindia number yako ya WhatsApp nataka unipingia uniombee Mimi nko Kenya Niko nashinda sana
@purtydakiuty1623
@purtydakiuty1623 6 ай бұрын
Wanaokuongelea vibaya wewe.waache baba hao hawaju wachawi wanavyoteza watu. Mary niko arusha
@MariamadamSalum
@MariamadamSalum 3 ай бұрын
Nabii naomba uniombee mimi na familia yangu wote tunasumbuliwa na magonjwa
@claudiokatucha6652
@claudiokatucha6652 5 ай бұрын
Naomba nifungue njia zangu za kiuchumi. Niko DODOMA siwezi fika kesho. Naomba nisaidie mana hata nauli ti sina. Naomba baba na mungu akubariki saana
@ZulfaCheupe
@ZulfaCheupe 2 ай бұрын
Amin baba mungu akuwek miak mingi cn utusaidie wanyonge baba
@MariamPaulo-j7h
@MariamPaulo-j7h 4 ай бұрын
NPO singida maishaa magumu kwetu naomba msaada mtumishi wa Mungu
@BADRIAMUNISI-hp4ep
@BADRIAMUNISI-hp4ep 2 ай бұрын
Naomba unisaidie mimi ninasumbuliwa na kifua tangu mwska 1991 nikiwa nasoma had leo nimepiga xray bila mafanikio kakang naomba msaada wako kutoka kwa mungu,had leo nimeota nakatakata nyama ya nguruwe ilionona nikasikia kichefuchef nikawa natapika maji
@josephminja6026
@josephminja6026 20 күн бұрын
Mchugaji naomba Namba yakoya simu Familia yagu inside mdowagu anateseka anaitwa bibiana Fabian minja namwigi anaitwa Julia's Fabian minja na danieli fabiani minja pauli fabiani minja 7:08 7:14 7:15 naomba uwambe wafuliwe na mimi pia unique na itwa Joseph f minja
@rithanickolaus2881
@rithanickolaus2881 4 ай бұрын
Nabii naomba unisaidie mimi maisha yangu cyaelewi cna mme nna miaka 54 sasa,naitwa ritha mwakasege
@CastoFighter
@CastoFighter 5 ай бұрын
❤❤❤❤ Asante baba nimepokea uponyaji kutoka kwa Mungu wak
@Najma-eq6ky
@Najma-eq6ky 4 ай бұрын
Mimi.naopa.unisaidie.kiushu.mibaba.nateseka
@Emmanuelpatrick907
@Emmanuelpatrick907 9 ай бұрын
Anaitwa kiboko ya wachawi sema Amina kubwa kama unamkubali papaa
@ScollaFivawo
@ScollaFivawo 3 ай бұрын
Naomba nisaidie Nina matatizo kwenye ndoa yangu
@MilkaWangulu
@MilkaWangulu 7 ай бұрын
Mtumishi ,was mungu nisaidie nimeteswa na wachawi,mwaka Jana dicemba,tarehe .6/12/2023,kaka yangu tuliyefwatana alifari,kutokana na cancer,tukamzika 14/12/2023 ,kufikia tarehe14/1/2024 make Wa huyo kaka marehemu,alianguka,akijitayarisha,kwenda,ibada akaanguka na,akafa,hapo 24/4/2012 baba yangu mzazi alikufa kutokana na cancer,2005 dada yangu akafa kutokana na kutapika damu,2002 dada yangu mzaliwa was kwanza,aliugua akafariki,,2011,na 2014 ndugu yangu alifiwa na watoto wawili,17/7/2021 huyo kaka akafariki gafla ,,kaka yangu mkubwa,alinichukia mpaka,aliwai niuza kwa majambazi nikaponea,alileta,waganga kwa boma ,baada ya hapo nilipigwa na kupoza,kutoka.2013,mpaka hivi,4/1/2021,nilipata ajali,,baba,nisaidie
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 6 ай бұрын
Tafuta mtu akulete dar ukifika nitakutafutia ps kufikia.
@dianamtove4614
@dianamtove4614 3 ай бұрын
Mm pia ntakutetea wachawi wanatuteaa sana pastor tusaidie wanaokutukana nao ni wachawai hawana akili
@sophiagulam4115
@sophiagulam4115 5 ай бұрын
Uunapatikana wapi nabii kiboko ya wachawi mm nakutafuta
@SakinaNjera
@SakinaNjera 2 ай бұрын
piga kazi Baba mungu akutangulie
@jenifercynthiakazimoto5392
@jenifercynthiakazimoto5392 5 ай бұрын
Sema kwakweli haya mambo ya uchawi hayana haja ya kuficha
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 3 ай бұрын
Huyu ni kiboko ya mkorogo 😂😂😂 sugu vidoleni
@SuzanRowland
@SuzanRowland 5 ай бұрын
Baba nna mtoto wa wifi yangu anasumbuliwa na mapepo
@MdauOnlinemsogatheboy
@MdauOnlinemsogatheboy 6 ай бұрын
Mashine ya mwanaume kiboko ya wachawi
@MariamPaulo-j7h
@MariamPaulo-j7h 4 ай бұрын
Mungu akulinde nabii mm na familia yangu maisha magumu wadogo zangu wanalala chini naomba unisaidie nabii CN amani na ndoa yangu
@eliaikangui6543
@eliaikangui6543 8 ай бұрын
Hiyo shida juu yangu na wanangu iishe Sasa hivi kwa moto WA madhabahu hii ya kiboko wa wachawi Nabii Dominic ktk jina la Yesu Kristo Aliye Hai Amen
@ELLYEDWINILWEZIMULA
@ELLYEDWINILWEZIMULA 4 ай бұрын
Mtumishi wa mungu mungu akupe maisha mingi pia naomba uniombee nazidiwa na madeni
@liuu282
@liuu282 2 ай бұрын
Achaaa kukopaaa
@JuliethDamasi
@JuliethDamasi 3 ай бұрын
Nabii naomba uniombe nyota Yangu iludi
@ElizabethHermence
@ElizabethHermence 2 ай бұрын
Nahitaji uniombee nipo kigoma
@PauloMajanga
@PauloMajanga 3 ай бұрын
Endelea kuuwa wachawi wala usiwaache waishi
@RashidTV-zr8dt
@RashidTV-zr8dt 2 ай бұрын
😂😂ningekua dar ningeudhilia kila day
@Scholastika-wh1ke
@Scholastika-wh1ke 3 ай бұрын
Nabii Mimi nimefura titi moja nitabirie
@emilianamaximilian8423
@emilianamaximilian8423 2 ай бұрын
Mungu.akubari mtumishi
@GhatiMkami
@GhatiMkami 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@GeorgiaRweyemamu
@GeorgiaRweyemamu 3 ай бұрын
Pastor naomba uniombee naumwa
@ericraphael9653
@ericraphael9653 2 ай бұрын
Aya majina ya Sophia eee wachawi sana😂
@JacklineKoko-em9xb
@JacklineKoko-em9xb 4 ай бұрын
Nabii nitabilie mimi jackline koko
@RhabanusWIlley
@RhabanusWIlley 4 ай бұрын
Nabii naomba nitabirie naitwa zakaria
@JacklineSikuyakwenda
@JacklineSikuyakwenda 3 ай бұрын
Mtume wewe ni zaidi ya ushindi
@SmilingCake-my6xg
@SmilingCake-my6xg 4 ай бұрын
Baba tusaidie nasasa wamikoani
@RhabanusWIlley
@RhabanusWIlley 4 ай бұрын
Nabii naomba nitabirie naitwa zakari
@FaridaMasawe-ym7ni
@FaridaMasawe-ym7ni 7 ай бұрын
Kibonko wa kichawi nisaidie
@SakinaWanjemu
@SakinaWanjemu 2 ай бұрын
Mungu akutangulie baba
@Antho-ci5we
@Antho-ci5we 4 ай бұрын
Chalome papa
@ngenabuloze9984
@ngenabuloze9984 2 ай бұрын
Amen 🎉🎉❤❤❤❤❤
@MariamAthuman-ck9ig
@MariamAthuman-ck9ig 4 ай бұрын
Wewe ndo hauna hekima
@RahmaMohamed-rn5gq
@RahmaMohamed-rn5gq 5 ай бұрын
Mtetezi wa wanyonge
@PeninaKelvis
@PeninaKelvis 3 ай бұрын
Amina baba na mm nifunguee
@ProsperMwakikoti
@ProsperMwakikoti 7 ай бұрын
Namimi namba unambii wangu
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 ай бұрын
Friji lako haligandishi mchungaji😂😂😂😂😂😂😂😂
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 4 ай бұрын
Haaa hasa
@NeemaMaico
@NeemaMaico 3 ай бұрын
mungu akulinde baba
@MdAr-q7i
@MdAr-q7i 2 ай бұрын
Huyu sijamuelewa
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
Sema kweli Daddy
@AngelChanda-s3c
@AngelChanda-s3c 4 ай бұрын
Jamani dunia hi inamambo
@JudithMlaki
@JudithMlaki 4 ай бұрын
Apigwe huyo❤
@SalmaSalumu-i4r
@SalmaSalumu-i4r 2 ай бұрын
2nakupenda nabii
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Amina
@JudithMlaki
@JudithMlaki 4 ай бұрын
Apigwe huyo
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
Nakutetea Daddy
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 8 ай бұрын
Tutakutetea wote
@SakinaWanjemu
@SakinaWanjemu 2 ай бұрын
Ameen mtumishi
@AnnamarySeth
@AnnamarySeth 2 ай бұрын
Komesha Baba
@CuttyLushazy
@CuttyLushazy 2 ай бұрын
Naomba baba nitabilie
@OlivaBoni
@OlivaBoni 2 ай бұрын
Naomba nitabilie baba
@ElizabethNdunguru-cn4rm
@ElizabethNdunguru-cn4rm 4 ай бұрын
Ww kwel nabii
@getrudaalex4472
@getrudaalex4472 7 ай бұрын
Mungu niponye hata Mimi na family yangu yote
@NakuYona-kn6us
@NakuYona-kn6us 5 ай бұрын
Nitabirie na mimi
@JacklineKoko-em9xb
@JacklineKoko-em9xb 4 ай бұрын
Baba nitabilie
@claudiokatucha6652
@claudiokatucha6652 5 ай бұрын
Nitabirie baba
@VanessaWilliam-p5h
@VanessaWilliam-p5h 8 ай бұрын
Amen
@CastoFighter
@CastoFighter 5 ай бұрын
❤❤❤❤ Asante baba nimepokea uponyaji kutoka kwa Mungu wak
@bettyndossy2145
@bettyndossy2145 4 ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 ай бұрын
tute kuteteya baba
@ngaismeshack2044
@ngaismeshack2044 4 ай бұрын
Mtumishi SEMA neno lauponyaji nasumbuliwa na presha ya kupanda
@NEEMANYALLU
@NEEMANYALLU 3 ай бұрын
Tabiri juu yng baba
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge 8 ай бұрын
hiyo nae nimchwi kautoa NAIJERYA muongo anawaficha uchawi wake mapumbavu yeye cio mungu. Wakiristo wapumbavu hata mkisoma mtabaki majinga hamuoni kama huyo nimshirikina nabi gani
@UmaziMuweye-sq1jw
@UmaziMuweye-sq1jw 5 ай бұрын
Plz pastor naomba usaidizi kutoka kwako nmezunguuka kwa waganga nmechoka nsaidie plz nmekufatilia kwa tiktok mpaka saa I nakuona live kwa you tube plz and plz
@WilliamSige-xw8ym
@WilliamSige-xw8ym 4 ай бұрын
Fungua uchumi wa familia.ubarikiwe
@ShellaAliya-q4o
@ShellaAliya-q4o 8 ай бұрын
😅😅😅😅😅❤
@jeremiamsuya1820
@jeremiamsuya1820 6 ай бұрын
Nabii achananao wanaokutukana hata yesu alitukanwa nakupondwa mawe ilawalio mwamini aliwa fanya kuwawana namimi nakutetea tupondwe mawe wote tena wewe nishemeji yangu miminimpare
@GeorgiaRweyemamu
@GeorgiaRweyemamu 3 ай бұрын
Bwana YESUasifiwe naitwa Joyce Baba naomba uniombee naumwa
@MRHURUMAHuruma
@MRHURUMAHuruma 8 ай бұрын
Mambo yafuatayo ukienda kwa nabii 1:usimpe mtu yeyote story yako au ya maisha yako mhudumu au kiongoz akija kukuuliza kitu mpe taarifa tofauti na kilichokupeleka kwake Nabii akikuchimba kwamba naona jina lina anzia anajifanya anakosea usimsaidie punguza kukubali kila unachoambiwa nabii nyingi ni za kutengenezwa mtu anayekuelekeza au unaowakuta hapo kwenye hema wanampa taarifa
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 9 ай бұрын
Tunapenda kukutetea shida bando ila uko vzr baba kiboko cha wachawi
@saimonjuma2411
@saimonjuma2411 4 ай бұрын
Nabii wewe sio mbea ni ukweri wewe ni mkuhani wa mungu sema mungu ndio anakutumia baba
@saimonjuma2411
@saimonjuma2411 4 ай бұрын
Baba sema nakuombea manake wengi wanakupga vita lakini hawkuwez baba niko na wewe sambamba mimi nawackiliza napotezea awajui wasemalo
@omari6519
@omari6519 4 ай бұрын
Mungu akulinde nabii nitafika kwenye madhabahuyako
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
FAMILIA YENYE WAREMBO NA WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUOLEWA LAKINI WAMEFUNGWA NA MADHABAO YA WACHAWI
16:47
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 196 М.
MAMA MICHAEL ALIEKUWA AKILOGWA NA DADA YAKE MBELE YA MWANAE ATABIRIWA MAKUBWA
9:46
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 32 М.
KIJANA MWENYE MATATIZO YA MFUMO WA UPUMUAJI AFUNGULIWA
10:17
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 8 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
UKWELI WAFICHUKA JAMAA AMFUMANIA NA SMS MKE WAKE KUMBE HANA KOSA NI NDUGU ZAKE
15:40
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 62 М.
MAMA MWENYE HIRIZI YA KICHAWI KIBOKO AITEKETEZA MADHABAONI
11:07
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 50 М.
UVUMILIVU UMEMSHINDA CASIAN KAMFATA RAISI SAMIA KIBOKO YAWACHAWI MWAMPOSA  EV PASCHAL
1:01:02
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 50 М.
THIS GRACE CALLED FAVOUR WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN (KOINONIA SUNDAY SERVICE)
2:42:31
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН