MAMA SAMIA MUNGU HAJAKUPA KUENDELEA 2025-2030, UNALAZIMISHA, UTAKIGHARIMU CHAMA.

  Рет қаралды 217,211

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 984
@janengaga2928
@janengaga2928 4 ай бұрын
Mwenyez MUNGU simamia kila kitu tulinde .Kila jambo lifanyike kama utakavyo.Na ijulikane kuwa wewe ndiye pekee Muumbaji wa mbingu na nchi.Amin.
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 6 күн бұрын
AFANDE MWINGINE ATUMA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE..! kzbin.info/www/bejne/ipfSfnqDrJZmsLc BAGAMOYO. Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
@allenmonyo6589
@allenmonyo6589 3 ай бұрын
Haimuhitaji Bwana kusema maneno hayo. Mtu yeyote anaweza tunga tu akasema. Msimsingizie Mungu. Labda bwana Mwingine.
@nicolasnkembo4997
@nicolasnkembo4997 Ай бұрын
🤠🤣
@user-bw1wn3sz4z
@user-bw1wn3sz4z 2 ай бұрын
Gwajima akiwa Rais Afrika inaweza kupona kwa asilimiya kubwa
@aminahussain3058
@aminahussain3058 Ай бұрын
Sanaaaaa tena itakua mikononi salqma tanzania
@ambokilegwakisa3526
@ambokilegwakisa3526 4 ай бұрын
Wewe ni mtumishi wa Mungu au siasa,nani kakudanganya kwamba Gwajima yupo vizuri au anafaa au umetumwa umpigie gwajima kampeni kwa kujifanya nabii,gwajima mwenyewe katoka kwenye njia, Mungu angalii kama wanavyoangalia wanadamu,kamuulize Nebukadneza,kama wewe ni mtumishi jiulize kwanini tz tupo hivi sio kuja na mambo ya ushetani yasiotusogeza kwa Mungu tunayemtaka.
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 4 ай бұрын
Siamini katika nabii lakini ninachokijua ni hiki Mama Samia hakubaliki, hana kibali kwa Watanzania wengi.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 ай бұрын
😂 Walokuwa mwanzo kwani walikuwa wamekubalika?? Si kuiba kura tuu. Mwaka huu Mama Samia hatoiba kura itakuwa uchaguzi HURU hata Zanzibar iwe uchaguzi Huru.
@joycekonga4268
@joycekonga4268 4 ай бұрын
6í​@@awatifalghanim1106
@cassimmwinyi5764
@cassimmwinyi5764 4 ай бұрын
Umetumia nini kupima?
@tirox-hm7rh
@tirox-hm7rh 4 ай бұрын
CCM kwa chaguzi tatu zilizopita hawakuwahi kuwa na kibali cha watanzania, wametumia mfumo mbovu kushika dola. Mama kwa sasa anachochewa na wezi wenye kunufaika n rasimali za nchi aendelee kutakutawa ili wao wapate kuendeleza maslahi yao. Hawajali maisha ya watanzania walio wengi bali ubinafsi umewekwa mbele. Mwenyezi Mungu ainusuru nchi utawala huu ukiendelea aminini nawaambieni mpaka 2030 hatutakuwa na rasilimali yoyote ya maana itakayo kuwa inamilikiwa na wananchi kwa maana ya nchi, maana yake tunakwenda katika dhiki na huenda tukapoteza uhuru wetu na kurudi utumwani
@eliathomas8446
@eliathomas8446 4 ай бұрын
Haitakaa wapinzani mkaongoza hii nchi manake Akili zenu kama za wendawazimu....Bora ccm waibe tu kama msemavyo manake wasipoiba nchi itaongozwa na wajinga zaidi yao
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri Ай бұрын
Habari za gwajima Mungu alinionesha jamani lazima atakuwa raisi tena nuru ya Mungu imemfunika nikaona mama yetu amemezwa na Giza kubwa sana
@abuukarata9653
@abuukarata9653 17 күн бұрын
Labda awe rais wa mumeo
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 4 ай бұрын
Mnaotaka mama Samia aendelee mnakula nae fedha alizouza bandar lakn kiuhalisia uyo mama hawez
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 ай бұрын
Acha chuki na mama
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 2 ай бұрын
Baadhi ya watanzania ndivyo tulivyo kiongozi wa nchi akifanya jambo kwa manufaa ya wote mnasema nchi imeuzwa .bandari ile ilikuwa ni sehemu ya kuhujumu serekali kuna waliokuwa hamlipi ushuru na wanaolipa sasa mmepigwa mnasema pameuzwa kapatika muekezaji mapato yanaongezeka mnalalamika kila raisi akishika nchi nchi hamkosi la kusema alishika mzee magufuli mkalia.na mliogopa hata kupinga mipango yake kwa manufaa ya taifa.Hata hao wapinzani wakipewa nchi mtasema wameinunua wakati wewe ulikua mpiga kura.fanyeni kazi ache maneno ya kuzusha.Kuna nchi wanasema sisi watanzania ni wavivu wa kufikiri na kufanya kazi ila kwa malalamiko na dhana tunaongoza.
@haroungeorge7603
@haroungeorge7603 28 күн бұрын
Wananchi wengi hawakutaka bandari zitolewe yeye ni nani kutokutii matakwa ya raia wake? Sasa km wananch hawataki unalazimisha kufanya kwaajili ya nani?
@happymrema7487
@happymrema7487 20 күн бұрын
Nyamaza usije ukatekwa
@arttilioemiliam2419
@arttilioemiliam2419 Ай бұрын
Tafadhari jitahidin sana kuwa na kiasi maana hatupaswi kuamin masikio Wala macho yetu Wala hisia zetu. Matamanio yetu yawe na kiasi sana yasilete chuki. Maana hata haya mnayaona kwenye sinema yapo ambayo yaliishatokea na yapo ambayo yamepangwa kufanywa. Haya maneno ya mtumishi ni ya hekima sana hata naona anajitahidi sana kuzuia hisia zake za ndani za kibinadam sana. Kwa hiyo unaweza kuchukua kama ujumbe au ushauri. Mungu awabariki sana wote mliosikiliza. Kwa upande wangu bhana akiwa Rais ni mama sawa akiwa Tundu sawa akiwa mbowe sawa akiwa sugu akiwa diamond plutnum sawa hata akiwa dudu baya sawa maana naamin Sana Mungu ananivusha kuwe jangwa kuwe mvua kuwe jua.
@noahpaulo3845
@noahpaulo3845 9 күн бұрын
Mimi hata akiwa senga au bambo muhogo mchungu sawa tu bola uzima mama
@songelaelikishai2422
@songelaelikishai2422 7 күн бұрын
Nitatangaza nia baadae
@AhmedMohamed-so7db
@AhmedMohamed-so7db Ай бұрын
Nampenda sana ngwajima natamani awe raisi na namuombea awe raisi
@IbrahimKuhunguru
@IbrahimKuhunguru Ай бұрын
Mambo haya tunapo yaona nashauli sana watumishi wa mungu wote nawatanzania tuingie magotin mwa mungu kuiombea nchi yetu 🇹🇿 tanzania
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 4 ай бұрын
Imani yangu ni kubwa sn juu ya usemacho.Na iwe kama ulivyosema,na mungu abariki jambo hili litimie.
@GraceNaftal-x3j
@GraceNaftal-x3j 7 күн бұрын
Na hiwe hivyo amen na akigoma Mungu amfyekee tumechoka kurudishwa kwenye ukoloni
@ElishaOisso
@ElishaOisso 4 ай бұрын
Hilo swala la aibu mm nalijua,nakutakua na kiongozi atachipuka ila sijajua kama ni gwajima,na ccm itagawanyi hilo nalo tunalijua itakuwepo ccm ya magufuli, itakuwepo ccm ya samia na itakuwepo ccm ya kikwete. Kutakua na makundi 3 na yote niya ccm.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 ай бұрын
Be blessed 🙏 mtumishi wa mungu nchi ni ufisadi kila kona,no development, RIP JPM
@salumyusuph6633
@salumyusuph6633 4 ай бұрын
Kama hamumpendi mama kwa hizo chuki zenu za kipumbavu hameni nchi, kwakuwa kwa uwezo wa Mwenyezimungu Mama mitano tena kweupee! Na watu wote wataenjoy maendeleo huku amani ya kweli ikitawala. Aamin
@user-my4dr5oq6v
@user-my4dr5oq6v 4 ай бұрын
Bwege we hama we hatumtaki uyo mama anali nda wenye nazo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 ай бұрын
Ufisadi Tanzania haukuwanza leo for your information 😂😂😂
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 4 ай бұрын
Kadigwe kwedipulu
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 2 ай бұрын
Mitano tena wewe Mungu?acha kuita watu wajinga toa point za kumsapot huyo mama akikaa mitano tena kuna kipande cha nchi kitabaki kwa uuzaji anaofanya? Tunarudi utumwani
@barickjoseph-eq1gi
@barickjoseph-eq1gi 2 ай бұрын
Acheni mungu Aitwe mungu alipangao mungu hakuna wa kupinga jina la Bwana libarikiwe sana
@CafeJohn-jz8ri
@CafeJohn-jz8ri 4 ай бұрын
Yote nimema cha msingi neema ya mungu itembeee kwenye nchi yetu mungu ibariki tanzani
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 4 ай бұрын
Mungu ndiyo huweka viongozi yote tumwachie yeye atatenda atakavyo amen
@prosperiamani
@prosperiamani 4 ай бұрын
toka hapo na uongo wako acha kulopoka lopoka
@janengaga2928
@janengaga2928 4 ай бұрын
Amina
@eliathomas8446
@eliathomas8446 4 ай бұрын
​@@prosperiamani hujielew
@alexayubu4984
@alexayubu4984 2 ай бұрын
mambo kama haya ama unabi wa ayina hii ni uchonganishi tu watu wakose kuwatii viongozi wajuu na kuwa na hasila nao kama paulo kila mamulaka tuiti yesu hana muda na cheo cha mutu yeye anacho taka injili ihubiliwe watu wamupokee yesu na kumukili kuwa ni mokozi alafu nakupa pole wewe unae musema laisi tena pole sana na hilo unalo sema uta umiya badala uhubili injili unatowa maono ya viongozi daudi alipo koseya nabii alikwenda akasema nae kwa mifano wewe. vipi yani hilo ambalo umesema na kuapa na neno linasema wazi usiape kwa mbingu ama kwa chochote bali sema ndiyo ama hapana nema ya yesu izidi kuongezeka kwako ili ushududiye maneno yako pengine uta tubu kwa huu uchonganishi unao fanya kati ya viongozi waichi na wanaichi badala ya kuliombeya taifa na viongozi badala yake una tupa misumali haya tupo
@alexayubu4984
@alexayubu4984 2 ай бұрын
uta ayibika wewe
@DamianDavid-hz5gp
@DamianDavid-hz5gp 4 ай бұрын
Nyati za misho manabii wengi Hadi wanapanga viongozi wa nchi ,ee mungu ilinde Tanzània yetu iliyitukuka na yenye Amani,upendo na furaha
@FridayMwassa
@FridayMwassa 7 күн бұрын
Tangu zamani viongozi wa nchi walikuwa wanawekwa na watu wa Mungu,ila kwasababu sasahivi serikali ndiyo inapanga kila kitu na viongozi wa dini wanekuwa wasindikizaji
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
Yes Ukweli usemwe tu. Mama aachie kijiti. Mm n Chadema lakn Gwajima akigombea kupitia Ccm, chadema, au chama chochot kile, sifa na kura zote za ndio anazo Gwaj boy
@lwakainaza
@lwakainaza 4 ай бұрын
Nani alikwambia.
@Famao-dg3ul
@Famao-dg3ul 4 ай бұрын
Wewe si chadema labda useme ni mkilisto na msichojua samia. Ayupo hapo kidini yupo kisiasa ndio baati yenu angekua kidini hapo mungekoma na vimini vyenu na minguo yenu ya ajabu hiyo mpaka na waislamu mnawapangia njama wanaona sawa kuvaa hovyo yani hapa hukiwa nyumbani upo nyumbani kuona uchi wa mndoa wako ukiwa barabarani sokoni kazini kuona nyuchi za wengine wasiojitambua alafu mnajifanya mungu aangalii mwili wa mavazi sasa nawakati ametufundisha kinsi yakujistri akutuacha kama ng'ombe sisi kwamba atuna nguo
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Ila Gwajima wito huu wa kuongoza ni Kama asita sita ,mtumishi wa Unyakuo alisema ktk ulimwengu wa roho kiti Cha Rais hakuna Mtu,wakukaa anatakiwa gwajima
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 4 ай бұрын
@@janethmwihumbo1289 Nam Mtumishi wa MUNGU alimuita ampake mafuta akakataa
@1961nungwi
@1961nungwi 4 ай бұрын
Nonsense! Hatutaki Viongozi wa Dini kuwa MaRais wetu! Wakae huko huko kwenye Makanisa Yao!
@lucaschacha633
@lucaschacha633 4 ай бұрын
Kumbukumbu la Torati, 18:21-22 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa. 21Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA? 22 Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope. Mtumishi kwa Andiko hili tutajua kama kweli Mungu amesema na Wewe, kama haya uliyoyasema hayatatimia na ulaniwe maana umenena uongo kwa jina la Bwana. Amina.
@user-om2rc3gd3s
@user-om2rc3gd3s Ай бұрын
Ukweli Dunia imeisha manabii ni wengi wananchi kuweni makini , tusiyumbishwe na manabii Kila kilicho Cha mungu kitadhihirishwa , tuombe uhai tuje tushuhudie
@MohammedSalim-gb2pg
@MohammedSalim-gb2pg 2 сағат бұрын
Ok​@@user-om2rc3gd3s
@pandelababaofficial5056
@pandelababaofficial5056 Ай бұрын
Ulipaswa kumwendea mhusika sio kujizalilisha hapa mtandaoni jifunze namna ya kuufikisha ujumbe kwa mkuu wa nhi maana amewekwa na mungu
@jacquelineswila5798
@jacquelineswila5798 Ай бұрын
AMINA
@joshuamtagwa347
@joshuamtagwa347 4 ай бұрын
Hawa ni wale manabii wa uwongo waliotabiriwa, achaneni nao, huu ni uñabii usiokuwa na mashiko! Mungu hawezi kutumia mtu kama huyu kwa unabii huu! Hizi ni campagn uchwala za watu wasioitakia nchi mema! Shindwa kwa jina la Yesu! Kasome Isaya 8:20 hakuna asubuhi kwa unabii design hii!!
@user-us4tk2tk3c
@user-us4tk2tk3c 4 ай бұрын
Hakika huyu Nabii ni zaidi ya muongo tena ni Mpiga ramli na chawi tu.
@merymafwimbo6960
@merymafwimbo6960 4 ай бұрын
Wewe wewe wewe, kuwa makini na maneno yako, Mwogope Mungu kwa kuwadharau watumishi wake. Unataka Mungu stymie mzungu ndoo uamini? Pia mtumishi kasema kuwa katumwa na Mungu kama unawasiwasi nae kwanini usimuulize Mungu aliyemtuma? Ni sawa na wewe unamtoto katumwa na mtu kukwambia umpe hela kama unawasiwasi utamlaumu mtoto alietumwa au utapiga simu kwa aliyemtuma ili umuulize? Fikiri kabla ya kutenda usiongee kwa ushabiki tu kama wa simba na yanga halafu unamalizia kwa jina la Yesu! Yesu yupi anaekutuma uwakashifu watumishi wake? Mimi simfahamu mtumishi huyu alietabili juu ya hili lakini kwa sababu amesema katumwa na Mungu ushauri wangu ni kwamba ingia kwenye maombi
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 4 ай бұрын
Bwana Yesu atende kama alivyo kusudi - Amen!
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
Wahuni tu ninyi hamna lolote keeenge
@allyslim7774
@allyslim7774 Ай бұрын
Tena mjinga sana
@VicentMjema
@VicentMjema Ай бұрын
Mtumishi naomba kwa ujsiri huohuo uende ukawaambie chadema mambo hayo ambayo bwana amekufunulia ili mch gwajima anapo rudi nyumbani na kuteuliwa kugombea kucje kukawa na vurugu barikiwa sana mtumishi
@user-sf4ze8kb7z
@user-sf4ze8kb7z 3 ай бұрын
Mimi si nabii lakin biblia naijua, katia Manson kuna vigezo vya kinabii sivioni kama unabisha niko tayari tufanye dibet ya live na niko tayari kuweka hapa namba yangu ya simu tufanye livedibet,. Mimi ni mdau wa chama tofaut na ccm,lakn nachukia watu wanaofikisha matakwa yao ktk kamili ya watanzania kwa vigezo cha roho ya unabii. Mama Samia,hata kama mm sitakupa kura ,kila mtu haki ya kugombea kwa vigezo vya chama chake na mwisho watanzania wataamua. Short, ewe ndugu, ayo maneno yako c ya roho ya kinabii,ni mikakati wako tu na uwe na adabu na madhabau ya MUNGU.
@SalumuLwelamila
@SalumuLwelamila 2 ай бұрын
Na huyo mwanadamu hana akiki anajidanganya nafsi yake na wajinga wenzake
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
JE WAIJUA BIBLIA IPI ? UNABII UNAJADILIWA WAPI? MUULIZE WA MUNGU NDIPO UJE NA HOJA HAPA
@billmike8441
@billmike8441 2 ай бұрын
Kwa vinywa vya watu wawili au watatu neno na lithibitike manabii wengi sehemu nyingi wanasema 2025 katika ikulu ya Tanzania patakuwa na madhabahu ya Mungu
@FundiSimu-z5v
@FundiSimu-z5v Ай бұрын
Ingekua mambo yanaenda kwa maono ya binadamu hii dunia haingekuwepo
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Mambo ya Mungu hayana debate.
@user-gy2eh8ff7w
@user-gy2eh8ff7w 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ndiye anayejua yaliyo dhahiri na yaliyojificha
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 4 ай бұрын
Mimi siyo CCM na sipendi matendo yake na niko tayari kupigia kura JIWE vs CCM, lakini huo upuuzi wa kutangaza kuwa CHADEMA hakuna wanaoweza kuongoza Nchi hadi atoke m-CCM atokako aende CHADEMA ndiyo CHADEMA ipate Dola! Unabii wa kipuuzi sana huu.
@mkuubarnabashanje3311
@mkuubarnabashanje3311 4 ай бұрын
Apandikizi wako kazini
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 4 ай бұрын
Ww huo unabii wako wakusema chadema hamna mtu sikubali chadema ndo kuna watu na uchungu na nchi
@victorialubwaza1583
@victorialubwaza1583 4 ай бұрын
Kwa Mungu yote yanawezekana
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 2 ай бұрын
Wameshaanza kutumwa kuivuruga Chadema.Yaani Gwajima awe mgombea Urais Chadema ?Nawao Chadems wakubali?
@georgealfred2293
@georgealfred2293 24 күн бұрын
Code ya kuiondoa Ccm iko Ccm
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Hata Musa alipo sema walikuwepo waliomnanga. Kwahiyo msihukumu msije mkahukumiwa! Kama amepokea kwani Musa alikuwa na nini tofauti na wengine? Paul alipokuwa anaongereshwa na Yesu walikuwepo watu lakini hata sauti hawakuisikia bali walimwona Paul kuanguka chini tu. Hata huyu kijana mnaweza kudharau huyo ni ubinadamu wenu. Mungu anatumia vyombo vidhaifu sana kuonyesha maajabu ya Mungu. Mimi kama Mungu angeongea nami kuhusu Gwajima ningikataa. Lakini kama kasema mimi ni nani niseme hapana? Kwanza Mungu anaweza kumbadirisha mpaka mkashangaa.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Jambo zuri la kimungu. Ya hitaji hekima. Prof Mkumbo anaandika dira ya taifa. Bila shaka Mungu anapenda tz. Hayo maono tukayaweke humo. Urais tz siku hizi shida. Mwl Nyerere alisema mzigo, siku hizi Raha?. Wako watu mfano walio anzisha viwanda vya chuma USA. Hawakuwai kuwaza u Rais mawazo yao na utumishi wameacha taifa la kibabe na lenye nguvu kiuchumi. Tukimbia kuweka maono ya mchungaji kwenye dhana ya madaraka yanakosa nguvu. Kuna vitu rubbish ambayo vimechanganywa humo hatujui sababu ni siasa au. Juzi juzi unasikia kwamba watoto wanasoma panzi ana miguu mingapi kwamba hilo ni kigezo cha ubaya wa elimu yetu, lakini wakati huo huo anasema mtoto ajifunze kulima mazao. Huyu mpinga panzi ana uelewa kwamba panzi anakula mazao na anapunguza mavuno, hajui kwamba panzi wakati akila mimea anaeneza ugojwa wa mimea, hivyo kupunguza mazao? Huyu ajui ili kuzibiti wadudu kama panzi kwenye mazao lazima mtoto awe na uelewa kwenye mimea wanakuwa wapi na Kwa sababu gani?.dawa inayotumika ipi na Kwa sababu gani? Gharama za hiyo, vifaa vya iyo dawa au machine, iliaribika machine analekebishaje. Madawa ya kilimo sumu huduma ya kwanza mtu anapataje. Viwango vya dawa vikoje. Yapo Mazuri kwa mchungaji ila Kwa Rais hivi sio vigezo vya kutosha. Namfananisha na Mwashimiwa Mbowe anayesema kwa sababu ya Rais wa sasa sérikali inaendesha Ikulu tatu. Ukweli Ikulu Ziko zaidi ya Tatu. Mikoa mingi inazo Ikulu za Rais. Mikoa ki utaratibu ina nyumba ya kulala au Rais kufanya shughuli zake anapumua ziara kikazi. Wanaamua kudanganya makusudi. Kwa sababu wanakosa ajenda. Mchungaji upande mmoja naye anateleza kwa hilo. Elimu ina wajuzi wake wanasiasa hawako sawa kuchagua kipi watu wasisome. Elimu hujichuja yenyewe kwa watu kama uchumi uko vizuri. Kinachokosa tz ni kukosa shughuli kama hizo anazopendekeza mchungaji kwa upande mwingine. Sio kujua jongoo anakula nini. Uwezi kuacha kujua jongoo anakula nini tena ujidai kuwa mkulima. Shida itakuwa ujui UDONGO ni nini. Mkulima yupi anafanikiwa bila kujua udongo nini?. Kiu ya Uongozi tu?
@robertlary6007
@robertlary6007 4 ай бұрын
Your imagination can create conflicts between our beloved leaders. We live as God decide, Mungu ndio aliompa mamlaka rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mungu ataendelea kumlinda na taifa letu litaendelea kuwa na amani. Kazi Iendelee 🇹🇿
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Kila kitu hapa duniani ni Imagination. Rais wetu ataendelea kuwepo. Shida kwetu akitokea mtu akitushauli tufanye tofauti hûwa tunakimbilia kulinda hali iliyopo. Sio siasa tu hata vitu kama technology, hii siku zote huturusiwha nyuma. Kwenye siasa utakutana na neno fulani HATASUMBUA MBELE YA SAFARI. Baadhi ya mambo yanaweza kutekelezaka tulivyo na amani yetu. Mengine wakati mwingine. Ijue CHINA channel ten inasadifu anachosema. Mfano zao tu NAZI linaweza kuwaajiri watu wangapi au kukuza uchumi wetu wa kiwango gani?. Tukiamua kufanya mama itamsubua vipi? Kama sio sifa kwake?. Ninajua kufanya hivyo ni kufunga mkanda. Labda woga wa hilo. Leo hii na anajua EKari moja ya Chiki kulima ni sh ngapi?. Tunahitaji heka ngapi ili tuache kutumia dola kuagiza mafuta ya kula toka nje na ifikapo mwaka gani? Ukitaka kufikia lengo lazima tufunge mkanda. Tunaogopa kufunga mkanda ndiyo kazi ngumu. Rais Mkapa alisema mko tayari kisiasa?. JPM alipotangaza kujenga bwawa la Nyerere. Kule Germany na Ulaya walifoka na kitishia kuondoa misaada, USA waliondoa zao kwa kusingizia mambo mengine. Tujiweke tayari wakati wote badhi ya anayosema yanawezekana kwenye hii amani, ni kuongeza kujiaini. Mvutano wa china na soko la magari ya umeme EU na nyama ya Nguruwe. Tunajisifu kuwa na urafiki na china wa miaka mingi. Kwa nini tusitumie iyo fursa kufuga vitu moto tukapeleka china kwa marafiki?. Nini kimetufunga miguu wao tunawapa kandarasi nono tu?. Mfugaji Iringa nani kamuonyesha njia hiyo?. Mapato na kodi tunapataje kama hakuna mtazamo mpana namna hiyo?. Kujigamba kufanyia nchi yako kuna maana gani nyingine?. Miaka miwili iliyopita walifoka wa misri wakitaka mahindi ya njano tuliishia kusema vijana wachangamkie fursa. Kumbe anachosema mchungaji tungesema taifa tuchangamkie fursa. Leo hii tungeona mashamba Mazuri ya kumwagilia, leo hii tungepunguza wasomi watoto mtaani. Anachosema Gwajima tangia Dunia iubwe. Watu wamefanya hivyo. Na mikakati kama hiyo iliwahi kuwepo awamu ya kwanza. Angalia magofu ya viwanda, vyuo vya Kati kila sekta. Takwimu zipo inaonyesha watu milioni 9 nyakati hizo walizalisha kuliko sisi pamba, korosho, katani, chai, pareto na kahawa. Leo hii vipi?. Yapo hata mapya mfano AI sisi pamoja na kuwa na kundi la vijana wenye vipaji kwenye technology bado tunawachezea kama Wilson alivyokuta wazee wa usukumani wanachezea almasi. Juzi tumesikia kijana NALA akimbizia utajiri nchi ya jirani. Hivyo kulikoni tuwe tunajihoji?. Tujioji sana kuhusu maendeleo yetu. Tuna matatizo ndani ya Mtu mmoja mmoja. Je viwu? . Niliwahi kusoma kitabu kimoja kinaitwa The economics of trust. Wivu unapokuwa utamaduni wa taifa hakuna maendeleo ya yatatokea, na yatokea ni ya mda na si ya kupigiwa mfano. Mahatma Gandhi pia aliwahi ongea kwamba si uzalishaji wa bidhaa nyingi unaondoa umaskini bali ni ushiriki wa watu kuzalisha bidhaa nyingi huondoa umaskini. Gwajima mawazo yake anataka kila raia awe na nafasi ya kuwajibika kujenga uchumi. Ndiyo hii inawezekana bila kuathili nafasi ya utawala wa mtu au chama cha siasa. Bahati mbaya wenye nafasi za kuongoza wataogopa mawazo kama haya, na woga wetu wakati wote katika historia ni unafsi tu wa binadamu. Na taarifa wanyonyaji wa Dunia hii wameweka mzizi wao hatika woga wetu na unafsi wetu. Mawazo haya yakiwekewa ufundi wa wengine na tukapata chama au watu kwenye chama mfano wa kuyatekeleza nchi hii inapaa kwa mda mfupi au yupo mama au mtu mwingine..Au iwepo CCM au Chama Kingine. Maisha tuliona nayo sio bahati mbaya. Unaweza kujisomea kijitabu cha Kupaa na Kutunguliwa kwa Azimio la Arusha. Ndugu zito kabwe aliwahi kutuandikia kwamba Malaysia chikichiki ilipandwa na serikali na kuwapa wanachi wao kumiliki mashamba, na leo ushirika wa wakulima huko ni matajiri sana na sisi tunapata mafuta ya kula kutoka huko. Makala kama zile hatutoi kitu tukatekeleza au tuliona upinzani wa Zito kabwe? Au ni matakwa ya IMF tunamezeshana kwa hasara yetu?. Tungeamua kwenda kigoma na kwingine kulima kuna taifa watatupiga mizinga?. Gwajima maono yake sio yote ni Mazuri alimia mia lakini yanaweza kunolewa ya kaa sawa na tukajitoa kwenye aibu hii ya umaskini. Mfano anasema tusambaze gas yetu, Rais wetu huyu akijikusanyia watu wazuri akaenda bungeni akaunda kampuni ya umma. Raia kwa umoja wetu tunaweza kukusanya pesa ya mtaji wa hiyo kampuni kwa kununua hisa. Serikali hisa, raia hisa. Kule Ethiopia bwawa la umeme linaleta ugonvi na Misri limejengwa na raia na sérikali yao. Hata hapa tz viwanja vya mpira vinavyo milikiwa na CCM vilijengwa kwa kauli mbinu ya mshikamano. Nchi za kusini pamoja na mengine tuliIkomboa kwa pesa ya changia. Gwajima kimantiki anatoa mwito tujitbue tena kama ile awamu ya kwanza au kama alivyo pambana JPM na anyojaribu waliopo sasa na Kwa kasizaidi na kuaachana na kulea kizazi cha wasomi wanaojua kutawala na kula. Bila kujua kwa cha kuliwa lazima kifanyiwe kazi kwanza
@djumakonki1964
@djumakonki1964 27 күн бұрын
wakati wa kupigania uhuru wa tanganyika jamii moja iliamua kupigania uhuru wa tanganyika. viongozi kama hawa walikuwa upande wa WAKOLONI ! wajukuu wa jamii iliyogombea uhuru wa tanganyika bado wapo na watailinda tanzania na watu wake. MwenyeziMungu ibariki tanzania na watu wake.
@georgemaziku6610
@georgemaziku6610 4 ай бұрын
Mimi huwa Naamini kuwa Mungu husema na watu wake Ila maono yako siwezi amini maana naona unataka kuwachafua na kuwachonganisha Dr Samia Suluhu Hasani na Gwajima .Mama anaefanya kazi nzuri nyingi na Gwajima akiwa Means CCM anafanya kazi nzuri pia kwenye Jimbo lake.Wapinzani tafuteni mbinu nyingine
@ReginahNgeleja
@ReginahNgeleja 4 ай бұрын
Kazi Gani nzuri?
@meshack3266
@meshack3266 4 ай бұрын
Heshima kata ikiwa na wengi sana fuatilia
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 4 ай бұрын
Kazi gani nzuri?
@mathsngasadm3093
@mathsngasadm3093 2 ай бұрын
We jamaa uko Tanzania hii hii au uko Tanzania ya pekeako? Kazi ipi hiyo nzuri?
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 26 күн бұрын
Mch. Nashindwa kukuelewa kila siku ww unaongea na Mungu? Hongera sana mtumishi. Lakini kama yasipotokea hayo unayoyao gea kila siku wasikilizaji watakuelewaje? Mpaka sasa hajarudi ccm. Hatukatai maana ww umeambiwa na Mungu. Tunasubiri hayo unayotutangazia. Siyo kwamba Mungu hawezi kukuambia ila wengi wanasema lakini hayatokei. Na ikiwa Mingu amemchagua kanisa lake lenye watu wengi sana atalihudumiaje? Yeye ni kiongozi wa kiroho maana yake aziache roho lukuki ziangamie? Je mchungaji anawzaje kuacha kondoo wapotee kwa ajili ya utawala. Uchun gaji ni karama na hiyo karama ni muhimu sana maana roho ina thamani kubwa kuliko mwili. Sisi tu nayasubiri ili tuyaombee.
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o 4 ай бұрын
RAIS ALIOPO ANAENDELEZA AWAMU YA TANO HII KUITA HII NI SITA IMETOKEA WAPI ?KACHAGULIWA NANANI? AWAMU NI KUCHAGULIWA NA WANANCHI .KAMA MAMA ANATAKA KUENDELEA LAZIMA USHINDANIWE NA WENGINE.KUJILAZIMISHA KUGIGOMBEA UTAAIBIKA,
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 4 ай бұрын
Wewe hunaakili nikama funza au kiroboyo
@SalumShaban-bf9te
@SalumShaban-bf9te 3 ай бұрын
Hapo kwenye awam ata Mimi ilinichanganya sana et awamu ya sita
@JosephMasinga
@JosephMasinga 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa maono hayo na ujumbe toka kwa Mungu!
@jovinusrwegoshora3206
@jovinusrwegoshora3206 4 ай бұрын
Sahau hii nchi kuongozwa na gwajima na haya yote unayosema yashidwe Kwa jina la Yesu.
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m 12 күн бұрын
Wewe na wewe ni jizi Ra Samia
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
Mungu nihurumie mm Kwa kumpiga huyu mchungaji spana. Ww unaye jiita mtumishi wa Mungu mimi nakuona ni mpiga debe wa huyo aliyekutuma Mama Samia alichaguliwa na Mungu kuliongoza hili Taifa hata sasa tumuachie Mungu atupe kiongozi amtakae na sio nyie wapiga debe wa matumbo yenu
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e Ай бұрын
Hiv akipita mtaweka wp nyuso zenu?weken na maneno ya akiba
@AliyJumaIbrahim
@AliyJumaIbrahim 25 күн бұрын
HAWA WATU WAONGO KULIKO MAMBO YA MUNGU NA AAKIR YA MTU NAYAONA KTK INJILI YA MATAYO SURA YA 24,,,,, 24 NIMEKUMBUKA KUSOMA HAPO NIKAONA WATU WA AINA HII KTK WAO KWA WAO NI WEENGI ,, KWAKUA NI WAONGO WAMEKUA NA WATAKUA KAMA MAPOVU YA BAHARI
@HussenMashaka-os9ok
@HussenMashaka-os9ok 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu ndiye mjuaji wa yote.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 ай бұрын
Uko sahihi bro, kizur kinajiuza kibaya kinajitembeza, ona wanavyomsifia huko kwenye majukwaa, haswa wabunge na mawazir, yani kila atakaeongea jukwaani utasikia kuwa nani kama mama katujengea sijui nini na nini. Da! Utafikir anatoa mshahara wake kufanya hayo wanayomsifia nayo😊
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 4 ай бұрын
Ndio kwani rais gani alitowa pesa mkononi kwake?? Tunampenda mama na tutaendelea kumpenda!!
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 4 ай бұрын
There is no one who is perfect. Acheni hasadi na kumkosea adabu huyu dada.
@dassustephen731
@dassustephen731 Ай бұрын
Dada yupi?
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtu wa Mungu. Mungu afute tu na zalilike tu huyu mama, hatumpendi walio wengi.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Ай бұрын
Ile.siyo gwajima dah
@allyslim7774
@allyslim7774 Ай бұрын
Tunawajua vzur mlivyo sisi tunawaangalia tu ila ipo siku!!
@GraceWanna-uq6ew
@GraceWanna-uq6ew 4 ай бұрын
Hakika Taifa letu litafunikwa na baraka za Mungu Mwana wa Mfalme anahaki ya kutawala na kumiliki
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 4 ай бұрын
Hivi ndivyo wazungu walivyotumia Ujanja kututisha kwa mgongo wa Kitu kinachoitwa Mungu.Nashauri Mama Samia Suluhu Hassan Usitishike na hawa watu wa Imagination.Hawa wasaidie kupata vyeti vya milembe
@user-do2wb3rb7h
@user-do2wb3rb7h 4 күн бұрын
Pole
@pastoraminimgallah
@pastoraminimgallah 2 ай бұрын
Kumbukeni mungu hadaganyi
@lomayanikamete5103
@lomayanikamete5103 Ай бұрын
Mhubir 3:1:7 laki Jambo na wakati wake ni wakati wa mungu kunene na wa nabii
@ChangBoy-wz7ww
@ChangBoy-wz7ww 3 ай бұрын
Bora gwajima awe rais maana anaela hana tamaa na mali
@MfaumeIbrahim
@MfaumeIbrahim 2 ай бұрын
Liekwambia pesa yatosha nani
@khambhai360
@khambhai360 2 ай бұрын
Gwajima akiwa Rais nahamia Burundi
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Waumini hohehae, tunanunua ndege?. Kipimo cha uzalendo JK na Sokoine. au Magu kiasi. Hapo vipi?.
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
@pantaleolaurentlaurentkavu2011 2 ай бұрын
Umekosa la kusema.wewe ni mwanadamu kuzaliwa na mwanadamu sio.mungu.ongea ya ukomo.
@gastordominic410
@gastordominic410 4 ай бұрын
Ya gwajima awe presidaaaa
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 3 ай бұрын
Hapana bwana yupi unayemuongelea bwana Mungu wetu Moja aliyemkuu Hatuwezi kuendesha siasa kwa ndoto za wanaadam.binaadam hajui Leo na kesho kunakuchsje leta hoja zingine.
@WilisonIbrahim
@WilisonIbrahim 4 ай бұрын
Nataman iwe hivyo mungu atende Kama atakavyo
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 4 ай бұрын
Huo ndio uongo mnaoongopewa makanisani
@allyslim7774
@allyslim7774 Ай бұрын
Tunawajua vzur tabia zenu tunawaangalia tu
@DietrichOswald
@DietrichOswald 4 ай бұрын
Wewe ni mchafuzi wa amani Mungu anatambua mamlaka zinazoongoza jamii. Hawezi tena kukiuka utaratibu wake. Akiwa na mtu wake anayetala achukue kijiti, atamtangulia ktk kila hatua ya mfumo uliowekwa hadi kumsimika. Hicho unachokifanya ni fujo. Unatakiwa kukamatwa kama mhalifu na Mungu atakuangalia..Mungu ni Mungu wa utaratibu na ni mfano wa hilo. Kama hakuna aliyewahi kukuambia, hebu nikwambie, unayemsemea sio Mungu wa Mbinguni muumba mbingu na nchi. Wewe ni wakala wa kuzimu, uwe unajua, au hujui. Mungu hahotaji kutumia ubabe kumsimika mtu wake. Narudia acha kumsingizia Mungu na kulichafua kanisa
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 4 ай бұрын
Ni nani wewe wa kuzuia unabii usitakwe? Acha kumpa nafasi shetani ya kukutumia
@georgejordanmwinami4968
@georgejordanmwinami4968 4 ай бұрын
Kuna mtu ameuliza swali kwamba serikali iliyopo Sasa, inayoitwa 'ya awamu ya sita' imechaguliwa na nani!? Ndiyo huo utaratibu wa kiMungu au unamaanisha utaratibu upi hapo?!
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
​@@georgejordanmwinami4968Wakati wa kupiga kura ulipokuwa unamchagua Hayati Magufuli ulikuwa unamchagua peke yake au na makamo wake ambaye ni Mama Samia?! Je tiki ile ilikuwa inagawanyika inaenda kwa mgombeq uraisi peke yake na makamo wake hapati?! Kaka acha kujitoa fahamu, ukimchagua raisi umemchagua na makamo wake, kwa hiyo wakati tulipokuwa tunamchagua Hayati Magufuli tulikuwa tunamchagua na Mama Samia pia na ndiyo maana raisi anapopatwa na dharura baadhi ya majukumu yake humpa makamo wake ayatekeleze kwa niaba yake, na pia hata akifa kikatiba moja kwa moja makamo wake anakuwa ndiye raisi kwa sababu wakati wa uchaguzi walichaguliwa pamoja. Ndugu hizo mnazozibwabwaja ni porojo za kipuuzi zisizokuwa na maana yoyote labda muendelee kuwadanganya watu wapumbavu wasiojitambua, hizo ajenda zenu za siri zitashindwa na watanzania hatutafarakana daima.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 4 ай бұрын
NABII WA UONGO!! Acha kutumia madhabau kulichafua kanisa kwa maslahi yako binafsi na hao waliokutuma. Wakati wa kupiga kura ulipokuwa unamchagua mpendwa wetu Hayati Magufuli ulikuwa unamchagua peke yake au na makamo wake ambaye ni Mama Samia?! Je tiki ile ilikuwa inagawanyika inaenda kwa mgombea uraisi peke yake na makamo wake hapati?! Kaka acha kujitoa fahamu, ukimchagua raisi umemchagua na makamo wake, kwa hiyo wakati tulipokuwa tunamchagua Hayati Magufuli tulikuwa tunamchagua na Mama Samia pia na ndiyo maana raisi anapopatwa na dharura baadhi ya majukumu yake humpa makamo wake ayatekeleze kwa niaba yake, na pia hata akifa kikatiba moja kwa moja makamo wake anakuwa ndiye raisi kwa sababu wakati wa uchaguzi walichaguliwa pamoja. Ndugu hizo mnazozibwabwaja ni porojo za kipuuzi zisizokuwa na maana yoyote labda muendelee kuwadanganya watu wapumbavu wasiojitambua, hizo ajenda zenu za siri zitashindwa na watanzania hatutafarakana daima.
@mohamedamini4268
@mohamedamini4268 4 ай бұрын
jini njozi limekupotosha kwa gwajima 😂, utasubiri sana gwajima ?😊
@richardomutenta5487
@richardomutenta5487 9 күн бұрын
Huo unabii wa kubumba acheni, na mambo hayo ya kujifanya msiyahusishe na mungu ,hii ni kuudharirisha ukristo.
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 4 ай бұрын
Huyo Bwana aliyekuambia ni yupi.Maana yuko Mungu Baba na Mungu wa dunia hii shetani
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 4 ай бұрын
ACHA bangi hujui hata chaguo LA mungu chaguo lamungu nimama na ndie kamuweka sio sisi Wala wewe tunamkubali mungu kwachaguo lake mama tukonawe kama mungu alivo kuchaguwa hawawengina bangi zawazuzuwa❤we love her ( mama Samia)❤❤❤
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 4 ай бұрын
Hujielewi ww,mungu akusamehe.et we love! Wewe na nani?panya ww
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 4 ай бұрын
​@@kichenjekichenje2072 mkishakula mkishiba mnaleta vihoja😂😂😂
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 4 ай бұрын
Sasa hata tukimpenda ndo tusimsikil8ze Mungu ?
@merymafwimbo6960
@merymafwimbo6960 4 ай бұрын
Mungu ajibuye kwa moto ndie atakae simamia jambo hili, na siku site Mungu huzungumza kwa vinywa vya watumishi wake kama ambavyo shetani naye huzungumza kwa vinywa vya watumishi wake. Nakuamini mtumishi wa Mungu kwa maono haya. Kilichobakia ni kufanya maombi juu ya hili na tutaona dhahili Kati ya wanaomtumaini Mungu na wanaomtumikia shetani kwa kwenda kwa waganga kupata nguvu.
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 4 ай бұрын
Mbona kama unataka kumchonganisha gwajima na serikali acha maneno si kila kitu mtandao mie unanikwaza
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 4 ай бұрын
Haya maneno sijui.kama ni kweli
@ezekielmbise9766
@ezekielmbise9766 2 ай бұрын
Gwajima kaa kanisani mama samia atakushinda usijatibu..Mungu hajaribiwiii
@user-hg7oz8ze4d
@user-hg7oz8ze4d 4 ай бұрын
Dunian sijawahi kuona ma comedian kama Tanzania yaan had kwenye utawala!!!! Duh mmezid aysee!!!
@abdul-rahmanserelly32
@abdul-rahmanserelly32 2 ай бұрын
Hatukumbuki uwepo wa Raisi Muislamu halafu viongozi wa Kikristo wakamkubali %. Wengi wao hutumia Imani ya dini yao kuwashawishi wakristo kujenga chuki au some other sorts of downing play. Ukweli Tanzania Udini haupo kwa wakristo wakawaida na ndio maana mitaani wako pamoja na muslims but viongozi wao ndio issue tena kubwa sana. Unamuona huyu ameanza eti kuota!!! A full minded yoyote atagundua tu
@fatmaabeid1155
@fatmaabeid1155 4 ай бұрын
Waambie waliokutuma mama hatetereki na maneno ya wala mama ana Mungu na ana watu tupooo naye na tutatamba nae 2025
@RaphaelJickson
@RaphaelJickson 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m 12 күн бұрын
Wewe pia Kuma una sapoti uchoko uoni watu Wanavo tekwa
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 4 ай бұрын
Hivi ni kweli watanzania ni wachanga kiroho namna hii? Ila hapo niseme hakuna unabii ila ni msisimko na mtazamo wa kihisia zaidi. Mama Samia atapita 2025 kuwa rais wa Tanzania tena. Hii hata Gwajima mwenyewe kwa sababu siyo mbumbumbu wa maandiko hawezi kuamini unabii huu, sana sana mnachofanya ni kujaribu kumchonganisha na mwenyekiti wake wa chama
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 4 ай бұрын
Kama Mungu akisema hata huyo Gwajima hawezi kupinga..
@froma3732
@froma3732 4 ай бұрын
Nyie mutamaliza Biblia zote Rais Samiha atakuwepo mpaka 2030 Tunaomba Uhai na Uzima
@japhetmasatu6149
@japhetmasatu6149 4 ай бұрын
Mmm
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Ай бұрын
Mungu sio dhalimu atatuondolea hili jinamizi la huyu mama.
@SULEIMAN-l8v
@SULEIMAN-l8v 4 ай бұрын
Mungu ndie anaejua na ndie anaemueka amtakae nyinyi kinachowauma Uislam Uzanzibar Umwanamke Uhijabu lkn Allah ndie Mlinzi atamlinda Samia na rohozenu mbaya
@user-un5dm8gj7p
@user-un5dm8gj7p 4 ай бұрын
Hafai uyu Mwanamke hatumtaki
@user-sc4ql5kf9v
@user-sc4ql5kf9v 4 ай бұрын
Ulimchauwa ww?
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 4 ай бұрын
​@@user-sc4ql5kf9vkafirwe huko
@user-lb6lp5kx8l
@user-lb6lp5kx8l 4 ай бұрын
3:12 usiseme hatumtaki sema "simtaki"
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 4 ай бұрын
Mama analea wez vtu vnapanda bei ovyo ovyo wananchi wa chin wanaumia hatumtaki mama enu bibi
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 4 ай бұрын
Nenda kongo
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 ай бұрын
​@@salehesalehe2967mama mlezi wa wezi nenda mwenyewe Burundi Toka hapa Anza wew kuondoka hizi kubwa wew kama sio wew ndugu zako waiba wanakuletea😂😂
@sleyumsaid4398
@sleyumsaid4398 4 ай бұрын
Tutolee uwongo wko apa kadanganye izo kondoo zenu mbumbumbu
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 23 күн бұрын
Muda ndio utaongea MUNGU MWENYEZI tujalie afya timamu na hekima kwa watanganyika wote
@kumulwa
@kumulwa 4 ай бұрын
Acha uongo brother usigombanishe watu huwo niupumbavu na fikra zako za kishenzi
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 ай бұрын
Nayakitokea unasemaje?
@WilliamBurito-uv7il
@WilliamBurito-uv7il 4 ай бұрын
Lisemwalo lipo na kama halipo laja amin
@patrickJosse-t7h
@patrickJosse-t7h 22 күн бұрын
Nikweli huyo mama hatumutaki
@godfreygodwine9148
@godfreygodwine9148 4 ай бұрын
Mungu ameisha andaa kiongozi tayari❤
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Ай бұрын
Lakini.siyo gwajima jamani.dah
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 4 ай бұрын
Hii ni Zaidi ya bangi wakristo hebu jiangaliene hii sio dini kabsaaa 😂
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 4 ай бұрын
Hahahaaaaa,unadhani Mungu anawaza kama mwanadamu? Sisi tynamuekewa anachokusema❤
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 4 ай бұрын
Maskin juzi Pasta Masanja Wa the Comedy Leo tena huyu !!!! Yaani kila mtu kwenu anaongea na Mungu kweli!! Hata WAZIRI haongei na kila mtu, Hebu fanyeni tathmini maana Mwenyezi Mungu amekupeni Akili msije kuangamia Motoni njooni ktk Uisilam karibuni...
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 4 ай бұрын
Huu ni ushauri wangu hata mimi nilikua mkristo kwasasa namshukuru MOLA wangu kwa Nuru ya Uislamu Namuomba anihifadhi nife nikiwa muislam
@richardmagaka9525
@richardmagaka9525 4 ай бұрын
Achana na dharau katika dini ya kikristo mwambie muhusika nasi tukisema uislam siyo dini tutaanza malumbano ya kijinga mkosoe msemaji yeye kama yeye siyo uingize swala la dini ya kikristo
@anethachengula1258
@anethachengula1258 4 ай бұрын
Huo ni uwongo. Ni ndoto tu za kutengenezwa. Ubunge tu hakuna tulichokiona. Kwa nchi nzima itakuwaje?
@ElishaLukaSichone
@ElishaLukaSichone 8 сағат бұрын
Mungu asaidie tu hiiii nchi
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e 4 ай бұрын
Aminaaaaaaaaa, aaaaaaaaaaaaaaaaaa
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 ай бұрын
Alafu maza hana uwezo wa kupambana na majizi ya pesa za uma, anaona kuhamisha na kuteuwa, kutengua ndio suluhisho la hayo majizi yanayotufanya tunazidi kurudi nyuma , hakuna barabara. Maji shida. Umeme tatizo, yeye ni kuhamisha na kuteua, tu.
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 ай бұрын
Na ITIMIE KWA jina la yeeeeeeeesu gwajima awe rais wetu Tanzania 2025
@corrolesscps
@corrolesscps 4 ай бұрын
AMEN imeshakuwa kwa jina La Bwana Yesu kristo
@user-pm7yo3xi3h
@user-pm7yo3xi3h 4 ай бұрын
Watanganyika.
@tirox-hm7rh
@tirox-hm7rh 4 ай бұрын
Gwajima hawezi kuwa mpakwa mafuta kwa sabubu tukianzia na huo ubunge wake hakuupata kwa haki. Alijua kabisa ushindi wake haukuwa wa haki na bado akakubali kushiriki katika hiyo dhuruma. Hili ni kosa kubwa sana kwa mtu anayejiita askofu kushiriki katika dhuruma na hili litakuwa mwiba mbaya sana kwake kwa siku za mbeleni, lakini akitaka baya lisimkute vyema akanya toka kwa Mungu na pia kuachia hiyo nafasi mara moja kwa sababu haikupatikana kwa haki.
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 ай бұрын
@@tirox-hm7rh wenzako waliofunuliwa na mungu ndo wanasema kachaguliw wewe ni nani unaemkosoa? Wewe mungu au wewe ni mganga au shetan?
@stanslauschacha2833
@stanslauschacha2833 4 ай бұрын
Amina, ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kufikisha ujumbe
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 4 ай бұрын
mungu akubariki
@NelsonMesha-wp9ks
@NelsonMesha-wp9ks 4 ай бұрын
Mama usitishwe we theologians have much understanding about the spirit of devil, the Spirit of man and the spirit of Satan.
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 4 ай бұрын
Gwajima NI kiongozi hakika
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 4 ай бұрын
Hakika ubarikiwe Baba Gwajima Anastahili uongozi 100%
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 4 ай бұрын
Tulio wa rohoni tunajua hili ni kweli pingeni Katherine lakini ndivyo ilivyo
@merymafwimbo6960
@merymafwimbo6960 4 ай бұрын
Hakika Ask. Gwajima anafaa kabisa kuongoza nchi, Bwana Mungu ameruhusu hili hata kama watu wainuke kupinga hili Mungu akiamua ameamua.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 2 ай бұрын
Mungu Hamtishi mtu,ila anaonya tu , Katika siasa siamini unabii kwasababu raisi anachaguliwa na kura za wananchi, Inamana kwa utabili huo inamana kura hazitapigwa , Mimi nimtumishi wa Mungu,lakini kila unabiii unapimwa katika neno la Mungu, Kwa unabii huu naona upo mbali na neno,la Mungu,
@tatumwakitwange8369
@tatumwakitwange8369 4 ай бұрын
Mungu amesikia kilio chatu watanzania
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 4 ай бұрын
Hovyo kwa hiyo kwenda hukoo mnaonana na Mungu wapi???
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 4 ай бұрын
Astaghfiru Allah!! Kufuru gani hizi?? Kwahiyo anamtisha au anajitisha huyu kichwani yupo salama??? Anaanza kampeni kwa vitisho??? Yy huwa anaonana na Mungu??
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 27 күн бұрын
Tunasubiri unabii wako kutimia,usipotimia tutajua umejikinai ni nafsi yako Mungu hajasema na wewe..!!
@humphreychristopher8577
@humphreychristopher8577 4 ай бұрын
Joseph Gwajima hana ubavu
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 4 ай бұрын
Ni muhimu tukaona ni wapi na lini Gwajima ameonyesha nia ya kugombea. Lakini pia Chama Cha Mapinduzi kina Mchakato wake wa ndani... Wana namna ya kuchuja mpaka kufikia jina la mgombea binafsi. Kama Roho MTAKATIFU kaongoza basi usihofu, cha MWENYEZI kitasimama
@QasammaMachibya
@QasammaMachibya 4 ай бұрын
mavi yako we umekosa sera, umetumwa kutukana mama"???? mpumbavu mkubwaweee
@JustinMkwanda
@JustinMkwanda 4 ай бұрын
Huyu jamaa ni kibarua wa shetani
@merymafwimbo6960
@merymafwimbo6960 4 ай бұрын
Kuwa makini na maneno yako imeandikwa kwamba usiwaguse masihi wa Bwana, na ukumbuke kuwa Mungu huzungumza kwa kupitia vinywa vya watumishi wake. Kama wewe unaona jambo hili halipo sawa ni vyema uingie kwenye maombi umuulize Mungu juu ya hili na sio kukashifu. Huu ni unabii mtumishi wa Mungu ametumwa kusema kwenye taifa, mtumishi wa Mungu amefikisha ujumbe aliopewa na kumbuka kuwa mjumbe hauawi, kama wewe huamini juu ya hili mlaumu aliyemtuma mtumishi huyu lakini usimlaumu mtumishi huyu kwa kuwa yeye ametumwa na Bwana aseme maneno haya.
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 4 ай бұрын
​@@merymafwimbo6960kumbe nyinyi ni kondon kweli.
@Lucas-vq3gr
@Lucas-vq3gr 4 ай бұрын
Imagination will carry us to world unseen
@fay9687
@fay9687 4 ай бұрын
😊😊😊😊 katolewe mapepo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Kwangu mimi Tanganyika ikirudishwa hata sitatafuta kujua hata atayekuwa mkubwa wa Tanzania kwa sababu itakuwa hainiusu kabisa. Tanganyika inanitosha kabisa. Kwahiyo hata Samia akitawala Tanzania milele sitajali. So long we have our Tanganyika!
@josephgoliama8068
@josephgoliama8068 4 ай бұрын
Walokole miaka yote hutabirj uongo, hata marekani walokole wa kule huleta mtafaruku lakini hushindwa. Walokole marekani walisema Mungu anasema Trump atakua Rais lakini kumbe ni uongo. Shame shame
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Sio Tu Marekani hata Nigeria walitabiri hivyo Trump atashinda waumini wakaamdamana 😂! Sijui Kwa nn hawakomi
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 4 ай бұрын
Mbona unatutukana walokole mpendwa wetu
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 4 ай бұрын
Iweni na Siri jamani mnatuletea mtafaruku na kuumiza mioyo ya watu ungeenda kuwaeleza viongozi wa hivyo vyama usitueleze ss sisi tunasubiri maelekezo tu pls pls futeni hizi clip
@victoryauditors5433
@victoryauditors5433 4 ай бұрын
..​@@MsAggie5
@weremamwita8981
@weremamwita8981 4 ай бұрын
Hakuna kisicho wezekana kwa Mungu, watu wanaomba sana juu ya nchi yetu na hali halisi, mambo si swari, Mungu aipigqnie nchi yetu. Tunahitaji amani ili tuiishi Amni ya Bwana kwa nchi pekee aliyotupa Mungu.
@fanueljames4207
@fanueljames4207 4 ай бұрын
Tusilitumie jina la Mungu kutafuta kick!
@user-vm4zq7kf4e
@user-vm4zq7kf4e 4 ай бұрын
Amen! Na hivyo
@gideonmwaweza8177
@gideonmwaweza8177 4 ай бұрын
Mungu akisema ndio ninani apinge
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 4 ай бұрын
Mungu kasema kwa neno gani alilonukuu kwenye Biblia au na wewe hujui hata SoMo liitwa Akili hisia?
@LucasGoliath
@LucasGoliath 13 күн бұрын
Huu ni ujinga wa hali ya SGR..Baada Wachungaji mpambane kuwakusanya kondoo wa Bwana waliotawanyika,,nyinyi mmekomaa na Siasa🤔🤔
@yassinMungere
@yassinMungere 14 күн бұрын
Haya ni manneno ya kisheytwa i kabisaaaa wallah hizi ni propanganda mimi tano tenaaaaa mnatumiwa nyinyi na freemason
@claudiamndele
@claudiamndele 2 ай бұрын
Amina kubwa mtu wa mungu
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 4 ай бұрын
Umeshindwa kumtafsiri vizuri Bwana wako. Kama umeoneshwa mama akiwa binti inamaana umeoneshwa nguvu mpya au damu changa. Hii ni ishara ya ushindi wake mkubwa. Usipoelewa maonesho ya picha Muulize Basi bwana wako maswali ili akupe majibu sahihi.
@peterluppy8843
@peterluppy8843 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mr.kaporo2479
@mr.kaporo2479 4 ай бұрын
Mungu ndiye mwenyesiri ya pekee tumuamini na atatenda mema kwetu hiyo bro umepigwa
@jamalkishangu
@jamalkishangu 4 ай бұрын
Rais Samia anacho kubali cha uhakika kutoka kwa Mungu kuwa kiongozi wa nchi hii. Kama asingekuwa na kubali hicho kamwe asingeweza kuingia katika uongozi na kufanikiwa kuongoza nchi kwa ufasaha mkubwa, tena kwa kuwapita Wanaume. Kwa kipindi kifupi alichoongoza Tanzania imepata Nuru kuu ikidhihirisha chagua la Mungu dhidi ya Rais Samia.
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 4 ай бұрын
Una mav kichwani weye siyo bure mbavu zako
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 3 ай бұрын
Josephat gwajima hafai kuwa raisi na hawezi kuwa raisi lbda ahame chama
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 2,6 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 123 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,7 МЛН
KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO
6:11
Haleluya Tv
Рет қаралды 194 М.
Mateso ya kimyakimya: Sheikh Ponda azungumzia kifo cha Ali Mohammed Kibao
44:53
Kanisa  Anglikana Tanzania lilianzia Eneo Hili Hapa
9:44
Christian Council of Tanzania CCT
Рет қаралды 9 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 58 М.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 2,6 МЛН