Kaka hakika nitakukumbuka sana katika maisha yangu Maana nilikufahamu Mwaka 2018 nikiwa nimefugwa Gerezani niliomba ndugu zangu waninunulie kitabu chako cha Timiza malengo yako kweli nilipata kitabu chako nikasoma vizuri baada ya kutoka nilifanyia kazi leo napoongea nashidwa niseme nini Maana sikuwahi kuwaza nitajenga lini lakini leo ninanyumba nzuri ninamiliki magari manne pia account ipo vzr leo nawaza kufuata bidhaa china hakika wewe ni mwanga💪
@jameskabalega72452 жыл бұрын
Mambo vipi bro, habari za kazi! Huyu mwamba katufungua macho wengi
@merrymwangaytu25452 жыл бұрын
Hongera Sana fathili
@fatmasaaed144 Жыл бұрын
Hongeraa sana
@bukuruphilibert2968 Жыл бұрын
Kuna somo umetufundisha kaka tusikate tamaaa
@AredFered Жыл бұрын
Hongera brother
@chrismassawe3265 жыл бұрын
Nimepata mwanga mzuri kabisa katika kuanza huu mwaka 2020 shukran sana mwalimu Joel Nanauka mwaka 2019 nilipoanza kukuskiliza nilojitambua sana na kuanza kupangilia vitu na hatimae nilitimiza zaidi ya 70%ya malengo yangu shukran sana na MUNGU AONAE MOYO akuinue viwango vya juu zaidi kuwabadili wengine kimtazamo
@joelnanauka5 жыл бұрын
Wow hongera sana...pamoja
@joelnanauka5 жыл бұрын
Mwaka huu tuufanye kuwa bora zaidi
@araphaiddiy7663 жыл бұрын
Mungu akupiganie kaka najifunza vitu vingi sana kupitia wewe Mun
@ericksonsteve40752 жыл бұрын
Be serious
@ericksonsteve40752 жыл бұрын
Ahsante kaka
@mkwizoxsafarisadventures97505 жыл бұрын
Nimerudia zaidi ya mara tatu na kila nikirudia napata kitu kipya... Nitarudia mara kumi ili nijue kusudi la hili somo kwangu... Somo hili sio lipo tu ila lina kusudi ndani yake na hilo kusudi halibadiliki mpaka nitalijua kwann limekuja kwangu. Asante sana Coach JNanauka See You At the Top
@eliasbufula62905 жыл бұрын
Sijawahi kujuta kwa kukusikiliza wewe, bali huwa ninajutatu pale ninapokosa muda wa kutokukusikiliza, be blessed forever man of GOD Joel.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Elias Bufula nashukuru sana,tuendelee kujifunza 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@eliasbufula62905 жыл бұрын
@@joelnanauka Asante sana kaka. 2020 juzi nimeanza na wewe, nimedhamilia kufanikiwa kupitia mafundisho yako, nitakuambiatu siku moja, maana kwa elimu unayotoa kufanikiwa ni lazima.
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
Still here in 2023 this video will never get old. Be blessed brother joel
@shifamakame46225 жыл бұрын
Nilicho zingatia na kukielewa kwa mara moja fanya kile kilochomo ndani yk ndio kino maendeleo yk Kitu ukiwa na huru nacho ,furaha nacho ,amani kukifanya ndio kinofaa Umenifuza sana km naangalia KZbin maisha yote ile ndio nimejifuza kitu kwenye maisha asante sn km mungu awe mwema kwk
@joelnanauka5 жыл бұрын
Shifa Makame safi kabisa ,tuendelee kujifunza pamoja
@JamesJoseph-bm8ix Жыл бұрын
Hakika mungu anakusudi kwa Kila mwanadamu ubarikiwe sana ndg.joel nanauka🙏🙏
@elizabethmabula1014 жыл бұрын
Wewe ni mtu muhimu sana. Na unajitolea kwetu sisi watanzania tuliokata tamaa. Tangu nianze kufatilia vipind vyako. Nimejifunza mengi sana
@LornaDadi5 жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya kaka. Nimefurahi sana kuanza mwaka na madini haya, hujawahi kukosea. MUNGU azidi kukutunza na akutumie kwa viwango vya juu zaidi kwa ajili ya watu kama sisi. Ubarikwe. -- (tutafutane kaka, japo mwaka huu.)
@estherfredrick31985 жыл бұрын
Unatufundisha maisha na kumjua MUNGU pia....BARIKIWA Sana kaka JOEL
@timemcharazomcharazo1105 жыл бұрын
Ahsant kaka joel,nataka kuhudhulia mafundisho yako,,najuaje tar
@joelnanauka5 жыл бұрын
Huwa naweka kwenye mitandao yangu ya kijamii
@rehemakawamda6295 жыл бұрын
Ahsant kaka joel napenda sana mafundisho yako
@deokimena51685 жыл бұрын
Maisha yanayoongozwa na malengo!!! Safi sana!!
@mwanaharusialifakifaki87164 жыл бұрын
Tokea nianze kumsikiliza docta nanauka nahisi maisha yangu yamebadilika,furaha imeanza kuchanua ,kusudi langu nimeligundua na nafurahia kusudi langu sambamba na kuamua kuliishi kusudi langu .ahsante docta
@enmselm5 жыл бұрын
ubarikiwe saana kiongozi weew n mtu sahihi sana kwetu na mm ntajtaid kufikia kulifahamu kusudi langu Aaameen
@joelnanauka5 жыл бұрын
En Mselm Ameen,Nashukuru sanaaa🙏🏻🙏🏻
@joimethajosephat98705 жыл бұрын
Asnte sana..somo.zuri
@esternzumbi18885 жыл бұрын
Mambo ni 🔥 🔥 🔥 Mungu akutunze
@charlesfaida15155 жыл бұрын
Brother 👏👏👏 nakukubali sana asante Kwa somo zuri saan, barikiwa saan Kaka. # MWONGOZA NJIA YANGU
@joelnanauka5 жыл бұрын
Nashukuru sana
@joseefaidabutu72945 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kwa Somo nzuri
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
Ni kweli Kaka Joel, Mimi nimeshatuma coach zako, zimenipa matokeo mazuri Sana, wanafunzi wamenisifia pamoja na wadhamini wa wanafunzi pia wamenisifia, Mimi Ni mwalimu wa ufundi nilipogundua kusudi langu imenisaidia Sana. Kwenye taasisi yangu pia wamenipenda hawataki niondoke!!
@nemymtango40745 жыл бұрын
💪💪💪💪Ahsante sana Mungu azidi kukupa hekima uzidi kutusaidia
@joelnanauka5 жыл бұрын
NEMY MTANGO Ameeen
@ignassimbengale39724 жыл бұрын
Best💪💪
@marianachristophory49165 жыл бұрын
Joel wewe ni mioongoni wa mentor ninaowakubali sana, endeleeea kaka kudufundisha ipo cku nitakuja nitoe ushuhuda hapa. Mungu tu anitie nguvu na afya yangu iwe imara cku zote, maana mtaji wangu wa kwanza ni huo.
@rukiasalim25125 жыл бұрын
Wewe ni wamuhimu sana kwangu na kwa watoto wangu najifunza napia unafundisha watoto wangu kujua kusudi lao la kwenda shule kila moja anasoma akiamini yeye atakuwa nani kesho Mungu akutunze kakangu❤
@cecilialucas76555 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa somo zuri nakuelewa sana nalitambua kusudi LA Mimi kuwepo duniani
@joelnanauka5 жыл бұрын
Cecilia Lucas hongera snaaaa,usiache kuwashirikisha na wengine
@cecilialucas76555 жыл бұрын
@@joelnanauka Amina kaka ninatambua uwepo wangu kuwa duniani ukivuna mema kuwapa na wengine Mungu akutunze siku zote Kaka Joel'.
@shijamorris82805 жыл бұрын
Tambua kusudi lako na uliishi na kusudi lako sio kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya wengi. Barikiwa sana hakika mwaka huu ni kwa ajili yangu
@joelnanauka5 жыл бұрын
Amen ni kweli kabisaa
@ibrahimgerion29525 жыл бұрын
A get d concept.......... Purpose vs ambition 🤔, thanks bro
@josephatngua7914 Жыл бұрын
Mungu akubariki nimelipenda somo hili
@albertlucaskoisha73534 жыл бұрын
speech hii imenigusa alimia 100% mimi nimengundua asante sana ime niimarisha nimeimarika zaidi.
@ussikhamisussi48825 жыл бұрын
Shukrani sana kwa mafunzo haya.
@emmanuelmputa14734 жыл бұрын
You are the best.
@rabsonndisa85105 жыл бұрын
Ahsante sana kwa somo kaka. Umeniweka katika mstari wakati sahihi. Barikiwa sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ahsante sana Robinson
@joelnanauka5 жыл бұрын
Pamoja sana
@sylviankenza49515 жыл бұрын
Ahsante sana Mwl. Mungu azidi kukujalia yakutufundisha zaidi na zaidi
@joelnanauka5 жыл бұрын
Sylvia Nkenza Ameeen
@uvideodeusy70815 жыл бұрын
umebobea balaa, sijawahi ona!! big up sana.
@DennisKinyua-md7nu Жыл бұрын
Asante sana bro kwa mafudisho Yako mazuri Kila video Yako najifunza kitu🙏
@fatmajumapili89185 жыл бұрын
Thank you Joel, haya madini nimeyapata uzuri kabisa
@modestaruta93835 жыл бұрын
Hakika kusudi lako kwetu ni kutufundisha na kutuelimisha. Mungu akubariki zaidi ili tunufaike zaidi.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ameeen
@molaizer9925 жыл бұрын
Kaka #joel_nanauka kweli nabarikwa sanaa na masomo yako napenda sanaa kuwa #speaker je naweza tumia masomo yako kutengeneza ujasiri wangu na pia niendelee kujifunza kwako zaid
@awamkhalid53615 жыл бұрын
Tunasema kufanikiw co kufanya k2 kwa nguv au mda mref ispokua n kufanya ki2 unachoweza kwa wakat sahih Jim rohn aliwah kusema “reasonable time is enough time”
@marympemba88435 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa somo hili umenisaidia
@saidsuleiman74734 жыл бұрын
Ni mzuri sana
@ramadhanhaji29935 жыл бұрын
Ahsate sana . Nimefahamu vizuri
@tungaraza77945 жыл бұрын
Duu kwenye hii video umeongea mambo mazito sana ambayo mtu yeyote yule akiyafuatisha lazima atapiga hatua maishani mwake be blessed nothin more to say
@subilafrancis4705 жыл бұрын
Thank u brother ,mafundisho yako ni mazuri sana na yana inspire watu wengi
@Shukrannsemwa8810 ай бұрын
Ipo vizuri sana mkuu tatizo nimekosa Sana ubunifu sijielewi
@feedomcharles47225 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka ubarikiwe zaidi na zaidi ili uzird kutuelimisha kadili mungu atakavyo yeye
@joelnanauka5 жыл бұрын
Amen nashukuru sanaa
@feedomcharles47225 жыл бұрын
Amina wakushukuriwa zaidi ni mwenyezi mungu atupae uhai
@RatifaKarim Жыл бұрын
Shukrani tunaendelea kujifunza zaidi
@andrewwoiso55595 жыл бұрын
Asante sana kaka Mungu akuongezee ulichonacho! Nakubali broo
@upendofrank49175 жыл бұрын
Asante broo kwa somo zuri
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ahsante sana upendo,tuendelee kushare na wengine
@fitcyprian97844 жыл бұрын
May God bless work of your hands....thank you so much for good lesson
@edwardmsongelwa54555 жыл бұрын
It's very true my brother and you're too unique believe me you have done something to me of which you don't know my brother thanks very much
@joelnanauka5 жыл бұрын
Edward Msongelwa nashukuru,karibu sanaa
@edwardmsongelwa54555 жыл бұрын
@@joelnanauka I so wish you were' there ten years a go I promise you I would have been someone else by now you really have lightened my brain thanks again you're wonderful don't get tired the country needs you my brother may God bless ypu
@happyfesto63605 жыл бұрын
Naomba namba yako kaka @Joel
@sumiodilo11805 жыл бұрын
HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA . Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA. . Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga. . Unachotakiwa kufanya: . 1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org 2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia 3)Chagua jina la Joel Nanauka 4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE. . Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment. . AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234 . See You At The Top . Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.
@ombeningaya1225 жыл бұрын
thanks mentor it's time to walk this talk...
@joelnanauka5 жыл бұрын
It's true
@bukandyafilm Жыл бұрын
Nanauka ubarikiwe sana ndugu yangu hakika humpatii mtu samaki bali unampatia ndoano
@HansLubuva-f1fАй бұрын
Thanks for changing my mindset
@hyahasisimsigala43465 жыл бұрын
Ahsante sana JN Mungu akuzidishie........
@joelnanauka5 жыл бұрын
Ameen
@joshuakaminyoge49545 жыл бұрын
🔥✔ Much respect to you
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Ahsante Mwalimu
@msengisimon16095 жыл бұрын
Nakuelewa vizuri mwalimu
@joelnanauka5 жыл бұрын
Msengi Simon karibu sanaa
@ayubulanda7112 жыл бұрын
Nice bro Hakka umpata neema yalkua mwarmu Mungu aenderee kukutumia
@godfrey_895 жыл бұрын
Safi Sana.... Hizi ndio elimu tunazozitaka mitaani... We learn.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Godfrey Kristo sawa sawa tuwashirikishe na wengine
@godfrey_895 жыл бұрын
@@joelnanauka Yap .
@sumiodilo11805 жыл бұрын
HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA . Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA. . Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga. . Unachotakiwa kufanya: . 1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org 2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia 3)Chagua jina la Joel Nanauka 4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE. . Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment. . AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234 . See You At The Top . Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.
@godfrey_895 жыл бұрын
@@sumiodilo1180 thanks
@gimongegoryo24135 жыл бұрын
@@godfrey_89 yap
@bestcakes70985 жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe mzuri binafsi jumbe zako zimenisaidia naamini 2020 nitafika mbali zaidi
@joelnanauka5 жыл бұрын
Best Cakes nafurahi sana kusikia hivyo..2020 tupate matokeo makubwa zaidi
@judithfungo91523 жыл бұрын
Mungu akubark sana kaka ndio nimekufaham 2022, mungu anisaidie niweze kuyaishi mafunzo yako naona nimechelewa kukufaham
@stevensimion60234 жыл бұрын
Pamoja sana mkuu
@adsonfungo81865 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, Nimeanza mwaka 2020 nikiwa mtu mpya kuhusu kusudi na mipango.
@joelnanauka5 жыл бұрын
Adson Fungo wow,hongera sanaaa
@edwardmrosso48275 жыл бұрын
Wew ni jasiri muongoza njia
@joelnanauka5 жыл бұрын
Asante sana Edward
@eliamulika73195 жыл бұрын
Well done Nanauka
@sumiodilo11805 жыл бұрын
HALOW RAFIKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 HABARI NJEMA . Kupitia kampuni ya Avance Media yenye makao yake makuu nchini Ghana imetoa orodha ya VIJANA 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa mwaka 2019.Ndugu yetu Joel Nanauka ametajwa kama mmoja wa vijana hao katika eneo la PERSONAL DEVELOPMENT&ACADEMIA. . Kwa sasa hatua inayofuata ni kuweka orodha kuanzia wa kwanza hadi wa hamsini itakayotokana na kura yako ambayo hautumii gharama yoyote ile kuipiga. . Unachotakiwa kufanya: . 1) Tembelea hapa (Bonyeza hapa) tz.avancemedia.org 2)Nenda palipoandikwa Personal Development&Academia 3)Chagua jina la Joel Nanauka 4)Jaza jina lako, Email yako na namba yako ya simu kisha bonyesha kitufe cha VOTE. . Zoezi hili litakuchukua dakika 3 ukipiga kura tutaarifu hapa kwenye comment. . AHSANTE SANA KWA KUMPIGIA KURA JOEL NANAUKA.Hakikisha namba yako ya simu unajaza kwa kuanza na +255 badala ya sifuri. Mfano: +255786245234 . See You At The Top . Bonyeza tz.avancemedia.org upige kura sasahivi usighairishe 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 USISAHAU KUSHARE NA WENGINE TAFADHALI.Ukimaliza kupiga kura unaweza kupendekeza jina lake tena pale chini kwa ajili ya mwaka 2020 tena🙏🏻🙏🏻.KUMBUKA UNAWEZA KUPIGA KURA ZAIDI YA MARA MOJA.
@marrycianakarume26085 жыл бұрын
Asante kwa seminer nzuri kaka mungu akubariki uzidi kutufundisha
@saidsuleiman74734 жыл бұрын
Uko vizur kaka
@CeciliaMassawe3 ай бұрын
Nimeanza kukufatiliya kwa sasa il umejijenga mnoo Mungu akubari
@lucyloy16105 жыл бұрын
Thank you for a powerful message
@khalifalutonja69525 жыл бұрын
Brother Ahsante sana kwa somo zuri sana. Brother Joel tangu nianze kukufuatilia 2017 hadi leo 2020 Dah! Kiufupi brother wewe ni mwalimu wangu hasa ktk suala la Maisha (personal development knowledge). Kwakukufuatilia wewe nimeweza kufikia level ya supervisor, thank you very much my Best friend may God bless you and your family. Natamani japo siku moja tuonane, japo nitoe shukurani zangu za dhati live, nina vitabu vyako vi5 vyote vimenikaa kichwani sometimes ninapo lose Attitude huwa naji-motivat kwa kusoma vitabu vyako hasa Timiza malengo mbinu zote ni madini. Ahsante sana brother kwa hamasa yako. Nina namba ya officen lakini pia ningependa sana pia kuwa na namba yako private kwa mawasiliano zaidi, sababu kuna mengi sana ya ku-share hasa katika 2020 hii. Niko Zanzibar ki-kazi.
@francismsangi32445 жыл бұрын
Nimekuelewa sana ndugu
@joelnanauka5 жыл бұрын
Francis Msangi nafurahi kusikia hivyo
@veronicamwautenga7394 Жыл бұрын
A good teacher
@rashidimussa32945 жыл бұрын
Asante sana kwa knowledge hii...nasubir sehemu ya pili
@mwamengele5 жыл бұрын
Imeshatoka
@leonardbugomba85484 жыл бұрын
Kaka Tunashukuru Mungu KWA kutupatia mtu Kama wewe, Hakika Mungu aliweke kusudi kubwa juu ya Maisha yako ili uwe msaada Zaidi kwa wengine.....,
@OnaTimestv5 жыл бұрын
joel nanauka napenda sana video zako ila nadhani video zako ni ndefu zako sana..... ningekushari uzivunjevunje kwenye vipande vidogo vidogo itatusaidia sana.... asante
@joelnanauka4 жыл бұрын
Karibu Sana,fupi zipo pia.Hizi ndefu Ni za semina ambazo Zina masomo.kamili
@samweliyangson12785 жыл бұрын
Asante kwa somo hili ndugu Joel
@MalembekaKuyonza Жыл бұрын
Kaka nashukuru sana umenisaidia Mambo mengi sana
@linusbenignus26585 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka, somo limepenya.
@johansenjackson9604 жыл бұрын
Shuklan saana bro ubarkiwe🙏🙏
@samweligawa52475 жыл бұрын
Nzuri
@madamtunu21915 жыл бұрын
Napenda sana masomo yako kaka joel nanauka lakn video hii niliipokea kwa furaha nikijua unafundisha jinsi ya kupanga malengo ya mwaka yan kwasiku wiki adi mweZ Ila sijakuta Ivo nimeuzunika mini😭😭😭😭
@joelnanauka5 жыл бұрын
madam Tunu subiria part two ndio tulijifunza hiyo
@madamtunu21915 жыл бұрын
@@joelnanauka inatoka lini hiyo na hamu nayo sana yaaaani acha tu brother natamani mwaka huu uwe wa ushuhuda kupitia ww mwanga wetu
@veronikaagustino8745 жыл бұрын
Asante kaka mungu akupe umri mrefu ili tuzid kujifunza zaid tusiyoyajua
@joelnanauka5 жыл бұрын
Veronika Agustino Ameen
@mkakampole78025 жыл бұрын
Nazidi kujivunia kuwa Mtanzania kwaajili yako kaka. Mungu akuweke miaka mingi sana, taifa linakuhitaji sana kuzidi kuwa inspire wengine. Kupitia mafundisho yako tunapata nguvu kubwa mno
@alibujaga9728 Жыл бұрын
Asante nawezaje kufaham kusud kangu
@finaedward74845 жыл бұрын
Thanks for ur lesson
@frankgabriel50364 жыл бұрын
Kaka formula ya mwisho nimekuelewa pamoja nakuchelewa kukujua nimekuelewa mno asante! Kuanzia sasa naenda kuiishi kusudi na nitarudi kukushukuru
@felixngwasi94695 жыл бұрын
Thanks bro Joel...ubarikiwe sana
@joelnanauka5 жыл бұрын
Felix Ngwasi Amen Felix
@citymaxbookshoptanzania29245 жыл бұрын
asante sana JOEL, semina hii hatutakuja kujutia kamwe ilikuwa yenye nguvu sana kwetu ambao tulihudhuria
@daviderinest10 ай бұрын
hongera sana joel
@MrRolandVlogs24 жыл бұрын
Nashukuru sana kabisa
@maryndito75535 жыл бұрын
Ur genius brother Nanauka.I am blessed
@rchrismbarikiwa5 жыл бұрын
I have got you Sir Ubarikiwe
@joelnanauka5 жыл бұрын
R Chris Mbarikiwa Ameen
@CleraJuliusMunishi11 ай бұрын
Asante sana Bro
@masterplani64613 жыл бұрын
Thank you brother
@telesiamkumbwa88885 жыл бұрын
asante kaka unasaidia sana mungu akubariki
@josephmhando8757 Жыл бұрын
Safi sana Mimi nafulahi Sana kufundisha watu tubadilike. Wengi hatuishi maisha yetu
@aishamaulidi46795 жыл бұрын
Joel mungu akuzidishie maarifa kwa hicho unachofanya.mana unatugusa sana
@moseskahamba42315 жыл бұрын
Somo zuri sana coach Joel
@joelnanauka5 жыл бұрын
Aisha Maulidi nashukuru sana Aisha
@leilamohamed74455 жыл бұрын
Ongera kaka kwakutu elimisha ubarikiwe
@CharlesAndrea-d6kАй бұрын
Congratulation to you my brother good work 🥀
@amanbuzwagala1025 Жыл бұрын
Ndy nilichelewa kuwa sereouse na mafundisho yako kaka but now nafatilia MDA ote kunamabadiliko katika hakiri yangu Kwa sasa mungu akuweke Sana kaka naamin siku moja ntakuwa tajir
@kenyantotoz42444 жыл бұрын
Nimekuja hapa kuhusu kupangilia 2021 InshaAllah
@thomasboniphace72545 жыл бұрын
Asante sana toka ndani ya moyo.
@mathiasvicent99555 жыл бұрын
Joel kaka nashukuru sana kwa kazi unayoifanya Mungu akutangulie Kwa kila hatua yako.