Wale woooote walioegemea kwa Magharibi mwisho wao utakua m'baya ,, simameni na misimamo yenu huku mkiwasikiliza wananchi wanachotaka ,, Mataifa hayawezi kumkumbatia mtu mwingine bila ya kua na maslahi yao.
@hamzakimaro37642 күн бұрын
uraisi kwa nchi nyingine ni kaa la moto!!!
@saidybhoky-lb7hg2 күн бұрын
ndy katiba siyo ya ccm kila kitu ndy
@ApostleElisha-u2m2 күн бұрын
MAREKAN WAPO WAPI MDA HUU RAIS WA KOREA KUSINI KUHANGAISHWA?
@blues4life6332 күн бұрын
Sababu za kuchezesha video hivyo ni ni nini kenge ww? Unatuumiza macho