EXCLUSIVE: MCHUNGAJI HANANJA AMSHIKA PABAYA MANARA / AFUNGUKA MAZITO KUHUSU WACHUNGAJI MATAPELI

  Рет қаралды 234,834

Manara TV

Manara TV

Күн бұрын

Пікірлер
@NeemaHamissi
@NeemaHamissi 3 ай бұрын
Anaye mkubali mch hananja naomba likes zenu
@Mjapancompanylimited
@Mjapancompanylimited 3 ай бұрын
Amazing sana Leo hii, likes nyingi kwangu nione wangap tunamkubali Mch hananja🎉❤❤
@aloycesamba998
@aloycesamba998 3 ай бұрын
Mchungaji wangu namba moja huyu
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 ай бұрын
Manyara wewe bado unaona vitoto tu
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 3 ай бұрын
Tupe historia yako manara
@yohanamhagama5588
@yohanamhagama5588 3 ай бұрын
Pasta sio poa​@@aloycesamba998
@hassanali3200
@hassanali3200 3 ай бұрын
.?​@@MfiriFulgensi
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 ай бұрын
Nimefurai sana leo manara TV nimepata madini mengi sana. Asante hananja.
@EsterNestory-u2s
@EsterNestory-u2s 3 ай бұрын
Mchungaj anazungumza ukweli Sana ananifanya nione ninazembea kidogo kwenye umri wangu,,,,, real talk fine talk and wisdom
@ramadhanhamsini5982
@ramadhanhamsini5982 3 ай бұрын
HUYU MCHUNGAJI GENIOUS SANA
@abelisimoni1748
@abelisimoni1748 3 ай бұрын
Hii ndo interview yangu bora 2024 big up manara
@alaismollely7433
@alaismollely7433 3 ай бұрын
Hii interview nimebakia kutazama na kusikiliza mara mbili tatu❤❤🙌🙌🤗🤗
@rabaniAmri
@rabaniAmri 3 ай бұрын
Mzee hananjaa hana noma kabisa❤❤
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 3 ай бұрын
Big up mchungaji mm binafsi nimekubali sana elimu yako,nitajitolea kufundisha uchoraji sober house mwakani ,mungu akulinde na maadui,pia haji huyu mzee muhoji tena show zake kali,
@halfaniwaziri1914
@halfaniwaziri1914 3 ай бұрын
Hongera sana na asante sana Mchungaji wewe ni tunu ulishushwa na mungu kuikomboa nchi yetu kupitia mahubiri yako. Mola akulinde
@SmilingBeaver-rf6sf
@SmilingBeaver-rf6sf 3 ай бұрын
Huyu mchungaji ni noma sana. Tunae mkubali naomba like please 🙏
@budunaiz6736
@budunaiz6736 3 ай бұрын
A very eloquent speaker Ni motivational speech ambayo haichokeshi kusikiliza uhalisia wa mambo umri na elimu na tajruba ❤ sikiliza upate busara ya uhalisia kama muislamu nakubaliana na mengi anayo zungumza na kwakweli huyu mzee anaingia kwa nyoyo bila idhini😂❤❤
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 3 ай бұрын
Hongera sana Rev, hananja ,swali hlo la manara kuhusu wingi wa madhehebu huo ulikuwa mtego na umbeya wa manara na kwa Majibu uliyo mjibu manara hakika manara amebaki anakohoa ,Nami naongezea manaraaaa, kula chuma hichoooo cha Majibu kutoka kwa mchungaji hananjaaaa
@JumaKibondi
@JumaKibondi 3 ай бұрын
Nimepitia commenty zote sijaona hata moja ikimzungumzia vbaya huyu mzee mm nan nimuongeree vibaya mungu amlinde na ampe afya bora amin
@OscarlucasKagombogombo
@OscarlucasKagombogombo 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@amourmtungo623
@amourmtungo623 3 ай бұрын
Hananja namkubali, anavitimbi, anafurahisha na kuelimisha huwezi kuchoka kumsikiliza. Asanteni nyote kwa mchango wenu🤝
@MusaIBRAHIM-k3r
@MusaIBRAHIM-k3r 3 ай бұрын
Hongera Manara kwa maswali tulivu, hujawahi kuniboa ktk usaili wako wowote.
@JamesDongo-s4f
@JamesDongo-s4f 3 ай бұрын
Moja ya wachungaji bomba kabisa
@CollinsMacha
@CollinsMacha 3 ай бұрын
Leo manara umetushibisha mtu wa maana sana mzee wetu
@AmonFelix-v3j
@AmonFelix-v3j 3 ай бұрын
Mzee km ni uswahilini tunasema hana mbamba ❤😂
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 3 ай бұрын
Mungu akubariki mch kwa kutuelimisha kimaisha watu wafanyie kazi hakuna miujiza ktk maisha ni kweli kabisa miujiza ni baadae ya kazi
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 3 ай бұрын
Mimi Muislam lkn Hananja ndio mkristo wangu bora kuliko wote mwenyezi MUNGU ambariki sana
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 3 ай бұрын
AFANDE MWINGINE ATUMA GENGE LA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE kzbin.info/www/bejne/ipfSfnqDrJZmsLc WAZEE WASHAURIWA WAWE WANAWAMBIA UKWELI WATOTO WAO WA KIUME KAMA BINT FLANI NI MAMA YAKE MDOGO ILI KUEPUKA TUKIO HIlI BAYA KWA AFANDE HUYU ALIYETUMA KUNDI LA WAHUNI KUMAWITI KIJANA ALIYEDHANI ANATEMBEA NA MCHEPUKO WAKE. KWA BAHATI MBAYA KIJANA MWENYEWE NI MTOTO WAKE WA KUMZAA, TAYARI WAHUNI WALISHAMPAKA MAFUTA SEHEMU ZAKE ILI WAANZE KUMFANYIA UNYAMA.. BAGAMOYO. Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
@valentineevarist
@valentineevarist 3 ай бұрын
Huwa ana ongea uhalisia wa maisha
@laitntengo
@laitntengo Ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊p​@@valentineevarist
@HusseinyKalanga
@HusseinyKalanga 3 ай бұрын
Haji manara ❤ na mchungaji wetu ❤ kama unakubali like hapa kama tupo pamoja
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 3 ай бұрын
Asante Bora uwe mtangazaji bro uko vizuri na itakulipa Manara
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Manara leo umeupiga mwingi..soon utafikia viwango vya millard ayyo
@MOHAMMEDMRUMBI
@MOHAMMEDMRUMBI 3 ай бұрын
Millard ayoo adisi nyingine intaviw ya mwanzo na mwisho alio oji manara ni hii haitokei Tena nyingine hii ipo vizuri sana
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
@@MOHAMMEDMRUMBI usimkatishe tamaa.. nimeona amemwachia nafasi mzee aongee hadi amemaliza.. kuna watangazaji wengine wanawakatisha watu kujieleza.
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
​@@MOHAMMEDMRUMBIwewe mbona unaroho mbaya sana hivi unaanzaje kumsemea mtu eti ndo mwanzo na mwisho jamani tuombeanw heli fidunia war akhra😢😢😢😢😢
@mlokaferdinand
@mlokaferdinand 3 ай бұрын
Na mchungaji kasema...ni afya ya akili hiyo​@@kamarhelo
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 3 ай бұрын
Interview haichukizi daaah unatamani iendelee mzee full experience in different life
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp 3 ай бұрын
Kwer
@paulmutailuka2417
@paulmutailuka2417 3 ай бұрын
Manara this is good Enterview by the way congratulation, Nimecheka sana Mch. Hananja namkubali sana huwa anaongea ukweli mtupu.
@DottoLwambo
@DottoLwambo 3 ай бұрын
Mchungaji Hananja hakika wewe umechaguliwa na mungu ktk kuwakombowa wagonjwa wa afya ya akili ,mm nakutazama km kioo changu mbele ya maisha yangu,mungu azidishe umri juu yako tupate hekima zako ,Amini
@amisibilly5084
@amisibilly5084 3 ай бұрын
Safi saana mzee wangu one love from Australia 🇦🇺
@adamuayubumwendolwa7723
@adamuayubumwendolwa7723 3 ай бұрын
Uko sehemu gani? Niko geelong hapa
@amisibilly5084
@amisibilly5084 3 ай бұрын
@@adamuayubumwendolwa7723 Brisbane
@amisibilly5084
@amisibilly5084 3 ай бұрын
@@adamuayubumwendolwa7723 Brisbane
@leoncengabo5799
@leoncengabo5799 3 ай бұрын
Nakukubali Pastor uko vizuri Unaongea point
@bryfrancis7879
@bryfrancis7879 3 ай бұрын
Nice interview,Congrats Manara
@NepporSabith
@NepporSabith 3 ай бұрын
Dahhhh watu waina hii wanazalia kwanamba ndogo sana,sijui mungu anamaksudi gani lakini HANANJA anaakili isiyo yakawaida,.
@RonnieBertin
@RonnieBertin 3 ай бұрын
Usijaribu kumtega huyu Mzee. Huyu Mzee ni hustler anajua kila kitu.
@ClementMoye-t3p
@ClementMoye-t3p 7 күн бұрын
Hakika.
@YunusLilingani
@YunusLilingani 3 ай бұрын
Mzee yuko vizuri anaongea kwa uwazi na ukweli,kazi iendelee!
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 ай бұрын
Kama unamuona Raisi wa Wachungaji wasiokuwa wanafiki nipe like
@Izzoh2021
@Izzoh2021 3 ай бұрын
Napenda sana misamiati yako hohohoho
@kuyasayalel2605
@kuyasayalel2605 3 ай бұрын
Mungu aendelee kukuinua Hon Mch Hananja
@herrycharles1764
@herrycharles1764 3 ай бұрын
Media Bomba zaidi ni hii manara tv
@christopherkyejo3514
@christopherkyejo3514 3 ай бұрын
Wakwanza naombeni like😊
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 3 ай бұрын
Daaah guest wa Leo👍👍
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 3 ай бұрын
Hongera sn manara hii usahili good sn aiseee
@kristofuraha
@kristofuraha 3 ай бұрын
😂😂😂😂dah! Nimeipenda sana hii aisee!!
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 3 ай бұрын
Huyu mchungaji ni very Intelligent. Biblia yote ipo kichwani.
@KaujuMwakajumba
@KaujuMwakajumba 3 ай бұрын
Asante sana kwa ujumbe mzuri.....nakufuatilia vizuri kutoka cape Town SA
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 3 ай бұрын
Mchungaji HANANJA 💯💥🔥
@ednahumazi777
@ednahumazi777 3 ай бұрын
Huyu jamaaa mungu bariki
@cecykaitanus7873
@cecykaitanus7873 3 ай бұрын
Nampenda sana huyu mtumishi ana akili kubwa sana.
@ZurehaMiraji
@ZurehaMiraji 2 ай бұрын
Nakupenda Sana we Mzee Hananja Mungu anajua maneno yako yanatoa faraja sana
@KenethChristopher-o3j
@KenethChristopher-o3j Ай бұрын
Mchanga hananja akiwa na mahubiri, au interview kazi yanga ni ku download hata kama ina dakika 200.🎉❤ najivua, kuwa miongoni mwa wanafunzi wako bora.
@MOSESNOA-u8o
@MOSESNOA-u8o 3 ай бұрын
Tishaa sana mchungaji hananja
@theresiamatiya1599
@theresiamatiya1599 3 ай бұрын
Mchungaji Hananja mtu wa maana sana
@benOfficial36
@benOfficial36 3 ай бұрын
Mchungaji Hananja nakuelewaga sana ❤❤❤
@francomsigala9686
@francomsigala9686 3 ай бұрын
Manara huyo jamaa atunukiwe cheo Cha prof maana anajua vitu vingi sana 🔥🔥🔥🔥
@kimlulu2769
@kimlulu2769 3 ай бұрын
Aisee Mungu akutunze mtumishi maneno yako yanatia moyo
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 3 ай бұрын
Hananji we the best
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 3 ай бұрын
DUUH MZEE UMEENDA HADI JIJI LA DHAMBI UMETISHA SAANA KAMAL TUPU.❤❤❤❤❤❤❤
@mansoursaid8
@mansoursaid8 3 ай бұрын
Duhh aisee uyu mzee napenda sana kumsikiliza
@PeterMsacky
@PeterMsacky 3 ай бұрын
Hatarii Sanaa Kwa kweli mchungani yupo vizuri sanaa
@victoriaandrew1300
@victoriaandrew1300 2 ай бұрын
Mungu amrehemu Didda, nimemkumbuka kwa uongeaji wa Mtumishi
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt 3 ай бұрын
Mungu hakuleta dini bali alileta neno la uzima ,Mungu ni neno lake likujaze hekima,hofu ya Mungu,
@salumuseif3324
@salumuseif3324 3 ай бұрын
interview haiboi nime enjoy
@MudathiriMaulana
@MudathiriMaulana 3 ай бұрын
Hatali sana uyo mzeee
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 ай бұрын
Mch yupo Sawa Sawa kabisa lazima ujitambue kimaisha 🎉🎉🎉
@manoahmahuna6426
@manoahmahuna6426 3 ай бұрын
Aisee nimeisikiliza interview yko unahekima za kujib masuali bila kukurupuka hngr
@MOHAMMEDMRUMBI
@MOHAMMEDMRUMBI 3 ай бұрын
Mchungaji wa mateja upo vizuri sana manara unajibiwa kitaaramu sana swala na Simba hawawezi kuwa marafiki mbaka kiama
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 3 ай бұрын
Really hustler
@josephngowoambroce418
@josephngowoambroce418 3 ай бұрын
Mchungaji safiii
@HappinessMollel-yq2eh
@HappinessMollel-yq2eh 3 ай бұрын
Honger🎉a sana much. Hananja uishi miaka mingi
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 3 ай бұрын
Manara tafadhari tunaomba umuite tena 🎉🎉
@castojulius
@castojulius 3 ай бұрын
Oh yes yes I like it fantastic
@damianmarck7845
@damianmarck7845 3 ай бұрын
Mch Hananja uko vzr sana barikiwe sana
@samsongechamet5374
@samsongechamet5374 2 ай бұрын
Oh big Up Manyara kufanya hii tukio na Mch.Hananja.
@DottoLwambo
@DottoLwambo 3 ай бұрын
Love so much❤❤❤❤❤❤❤
@juliussamwel6606
@juliussamwel6606 3 ай бұрын
Nice hayo mahojiano
@SundayMapunda-k9f
@SundayMapunda-k9f Ай бұрын
Hananja yupo vizuri sanaaaaaa
@dotodizo5354
@dotodizo5354 3 ай бұрын
Huna baya mzeee hananjaaa🦅💥💥💥
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Ай бұрын
Huyu baba nampenda sana 😂😂😂😂
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 ай бұрын
Points 👉 part 2 please
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 3 ай бұрын
Manara chukua hii
@Respecttheogs
@Respecttheogs 3 ай бұрын
Huyu mzee tunamzarau kwasababu nimtanzania
@Dsda-m3n
@Dsda-m3n 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji
@KasalamaAlly
@KasalamaAlly 2 ай бұрын
Big up saaana nimeipenda hii
@georgepewa9624
@georgepewa9624 3 ай бұрын
Bomba la interview ❤
@sophiaMohamed-f9l
@sophiaMohamed-f9l 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 nakubali sana huyu mzee
@nkurikiyearodiedavid6255
@nkurikiyearodiedavid6255 3 ай бұрын
Baba eee,karibu Burundi 🇧🇮,tunakupenda sana
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 3 ай бұрын
Asante mchungaji kwa kutuelimisha
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 3 ай бұрын
Tusigombanie ng'ombe tunagombea MAINI na mwenye ng'ombe AKIGAILI tayari tushaumizana😂😂😂😂 baba mchngaji umetsha sna mzee wetu
@madenge731
@madenge731 3 ай бұрын
JINA LA MGAHAWA: Ugali jelo mboga kwenu. Hakuna mke wako hapa wa kukupikia mboga 😅😅😅
@ChristianKalindo
@ChristianKalindo 16 күн бұрын
😂😂😂
@magrethmicheal4663
@magrethmicheal4663 3 ай бұрын
💐💐💐💐💐💐💐Pokea maua yako Baba 💯
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 3 ай бұрын
Huyo Mch. Leonard Mwimbe namfahamu vizuri sana asee, na yeye ana kimo cha maandamano kama wewe😂
@petrochengula9480
@petrochengula9480 3 ай бұрын
Amewahi pia kuwa mchungaji wa usharika wa Mzumbe
@Wallet-v8h
@Wallet-v8h 3 ай бұрын
Manara tunatamani kilasiku uwe unampa interview uyo mchungaji tunamkubali sana
@Juanjack18
@Juanjack18 3 ай бұрын
Great interview, Bugati 🙌🏼
@ZakhariaMazengo
@ZakhariaMazengo 3 ай бұрын
RESPECT APOSTLE RICH HANANJA
@BrythonyMalusa
@BrythonyMalusa 2 ай бұрын
Good interview 🎉🎉❤❤
@valentineevarist
@valentineevarist 3 ай бұрын
Huyu hananja ni noma 😂😂 eti ana jitafuta kama pilot😂 anaweza ongea hadi mwakani huyu
@IbrahimMatumla
@IbrahimMatumla 3 ай бұрын
Safi sana
@JohnShitindi-zf1xz
@JohnShitindi-zf1xz 3 ай бұрын
😂😂, nimefurah na kupata mafundisho. Amina
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 3 ай бұрын
Hapo kwenye makanisa kuuzwa ulaya ni kweli nimeshuhudia makanisa mengi sana yameuzwa ulaya na Australia na mengi yamenunuliwa na kugeuzwa misikiti
@FarhanahannanaHassanah
@FarhanahannanaHassanah Ай бұрын
Maashallwah
@victormcharo2542
@victormcharo2542 3 ай бұрын
Doctor Richiiiii
@akonaayako7185
@akonaayako7185 28 күн бұрын
Anajibu maswali kwa akili sana❤
@JofreyRwiza-p8q
@JofreyRwiza-p8q 3 ай бұрын
Nimeangalia mpaka mwisho🕶️
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 3 ай бұрын
Hongera sana Hananja hekima kubwa sana
MCHUNGAJI HANANJA: MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUOLEWA NA MWANAMME WA HIVI HAFAI
27:05
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 177 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
MAZINGE KAJIBIWA SWALI LAKE KI RAHISI MNOO NA PASTOR NDACHA
11:59
Bernard Mwaipopo
Рет қаралды 34 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН