NASADIKI kwamba nyota cyo ushirikina,NASADIKI kwamba niudhihirisho wa utawala wa MUNGU mwenye enzi katika maisha ya wanadamu,mtu anasiyeamini nguvu za nyota anaonyesha wazi kuwa bado yupo kwenye utumwa wa fikra,mtu kama huyo fikra zake hazijakombolewa,japo yupo huru kimwili lakini nimfungwa kiroho,,mababa wote wa imani,Ibrahimu isaka na yakobo wote waliamini katika nyota
@kagoziprotv10 ай бұрын
Amen
@anordgerison863910 ай бұрын
Acha ushamba
@machoguhameri775710 ай бұрын
Acha ushamba wa Imani.Ibrahimu aliona nyota halisi siyo nyota ya kusomewa na mtu.Mama Jusi waliona nyota halisi iliwaongoza hadi palipozaliwa Bwana Yesu siyo nyota ya kutabiriwa na mtu.Nyota za kusomea watu ni ushirikina kama wewe unaamini nyota za unajimu una bahati mbaya sana.
@josephkiwale37410 ай бұрын
@@machoguhameri7757 we endelea kuota2 bro
@brightcommcleaning9 ай бұрын
Hana amwanga wa mambo ya Kiroho kabisa.... Hhivyo uchambuzi wake ama maelezo yake yakuyaangalia sana...
@BabaWaziwa2 ай бұрын
Nimekombolewa na maombezi yako baba ananja,ubalikiwe sana baba namungu akupe maisha malefu sana,niko pamoja na wewe kila siku baba,
@elibarikimollel714910 ай бұрын
Haleluya! Mch.Hananja wewe unao,tena ni mkombozi wa Nafsi(fikra) chukua maua yako babaa...
@kagoziprotv10 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@brightcommcleaning9 ай бұрын
You are a Star... He is a Super star..... Lugha involves the reality of our life... Itabidi nijifunze asili ya haya maneno ..... Labda ntaambulia kitu
@kagoziprotv9 ай бұрын
🙏🏽
@JohnKeya-b8d4 ай бұрын
Na kuelewa sana mtumishi wa MUNGU 🙏👏
@HassanHassansaidkampun15 күн бұрын
Nakuelewa sana baba hananjaa
@SamuelKarisa-m6d10 ай бұрын
Mungu akipee maisha marefu mch hananja, uendelee kutuelimisha maswala ya kiungu.
@kagoziprotv10 ай бұрын
Amen 🙏🏽 ❤❤
@brightsmartcleaning9 ай бұрын
Kama Hananja anajua mambo ya Mungu hata 10%.. Mambo ya Mungu sio blah blah na kukoti biblia.. Mambo ya Mungu ni mambo ya kiroho... Kuponya, kunena kwa lugha kutoa pepo nk ni agizo la Yesu mwenyewe Mark 15:17 ikiwa ni Ishara ya Mkristu wa kawaida (waaminio).. Alwasy anapinga mambo ya kiroho koz yeye ni wa kanisa sio wa kiroho.. kilaza wa mambo ya kiroho.. Ni mchungaji/padri wa Non pentecostal Church wasio amini karama za Holy Spirit katika maisha ya kila siku. Yes wako wachigaji waongo lakini wanafanana na ngano na magugu .. sio easy kuwatambua.. But mambo ya kiroho ndicho alichokuja kutufundisha Yesu sio utaratibu wa makanisa ambayo yote hawayakuwapo wakati wa Yesu.. Nakuombea umpokee Yesu wa kweli na Roho Mtakatifu akufundishe.. No offense kwa nia nzuri mkuu '
@nemeskulaya396210 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu utumegee maarifa zaidi mch. Hananja
@kagoziprotv10 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@DeboraNeno-s5o8 ай бұрын
Mweee Mtumishi Ubarikiwe
@YohanaRichard-e6p9 ай бұрын
Waovu Wana kuchukia sana , maana wanawatesa Wana wa mungu na kuwapofusha macho ya kiroho wakiongozwa na roho ya kahaba mkuu anae ongoza Dunia kwa upotoaji wake wa neno
@kagoziprotv9 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@DeboraNeno-s5o8 ай бұрын
Hongera sana Mtumishi
@kagoziprotv8 ай бұрын
Amen
@JohnKeya-b8d4 ай бұрын
Upo vizuri mtumishi wa MUNGU
@dankhany338510 ай бұрын
mungu akupe maisha marefu hananja
@kagoziprotv10 ай бұрын
Barikiwa sana
@dankhany338510 ай бұрын
mungu akubariki sana mchungaji hananja
@kagoziprotv10 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@brightsmartcleaning9 ай бұрын
Mungu yupi anambariki mpingaji wa mambo ya kiroho? He is more wa makanisa na wengi wanaomuunga mkono ni wasabato, RC, Anglicans na Lutherans "Non spiritual ama Non Pentecostal Churches".. Mtafuteni Mungu wa kweli msipotezewe muda na ma-celebrities kwa jina la Yesu.. Ubarikiwe sana
@WilsonEmmanuel-bs6op6 ай бұрын
Mm nimemuelewa sana mchungaji yeye hajasema kuusu nyota ya Yesu yeye kasema kuusu wanabii wanavotabili kusu nyota zawatu sasa Uwondio uchawi au kwenda kwa wangaga ndio Uwo uchawi wew utatabiliwaje kuusu nyota wew nyota yako Niyesu tu siyo kutabiliwa
@Muheramaneva5 ай бұрын
tunafika tumezimia miguuni kwamungu 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
@gospelmediaafrica980110 ай бұрын
Ooh hallelujah 🙌😁
@Thierrymuhindo-vs8jk7 ай бұрын
Aksanti mchungaji kwa neno
@kagoziprotv7 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@Kuminamoja199510 ай бұрын
😂😂😂😂😂 points 👉 👈 sana mchungaji
@kagoziprotv10 ай бұрын
Amen 🙏🏽 amen
@brightsmartcleaning9 ай бұрын
Sad
@francofrederick9729 ай бұрын
Narudia unapopambana kuweka udhaifu wa wengine wazi unadhihirisha ulionao na unadhihirika kwa kiwango kikubwa, 😅😅😅😅😅😅😅😅 Wanaojua vzr siri hizi hawana mpango wakuwafunua wenzao
@kagoziprotv9 ай бұрын
Amen
@brightsmartcleaning9 ай бұрын
Bravo... next time fafanua tujifunze.. usiongee kwa mifano kama Yesu
@DeboraNeno-s5o8 ай бұрын
Kweliii
@festinamwakipale39196 ай бұрын
Uchungaji feki ko waganga wanavijua sana vitu vya siri husomi maandiko
@kagoziprotv6 ай бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@renatusmtakyawa59410 ай бұрын
Mmmm Danieli 12 3 Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.
@kagoziprotv10 ай бұрын
❤❤❤
@brightcommcleaning9 ай бұрын
Ushirikina ni utakatifu uliobadilishwa/kubatilishwa na kutumiwa na shetani.... But kila anachofanya shetani ama washirikina vimetoka kwa Mungu.... Ushirikina ama ushetani ni kuiga vya Mungu na kuvitumia kwa njia ovu..... Kuna inverse relationship kati ya ushirikina na Utakatifu.. sadaka, damu nk
@kagoziprotv9 ай бұрын
Really 🔥🔥
@renatusmtakyawa59410 ай бұрын
Mmmm. Mathayo 2 2 Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.
@augustinomathan438510 ай бұрын
Maana ya nyota ni nini kibiblia
@kagoziprotv8 ай бұрын
Amen
@PamelaNdlovu-ot6do8 ай бұрын
Alafu anaesema yeye ni mwanafunzi wa mastai kweli ikawaje mbona afanani kama alifundishwa na mastai .maana mastai ninae mfahamu yule ni mpakwa mafuta haswaa wa Mungu yule ni kkkt kanisa la kiroho.yuko vizuri haswaa nadhani hata yeye atakuwa anamshangaa ananja anaubiri vitu gani
@kagoziprotv8 ай бұрын
Amen
@DeboraNeno-s5o8 ай бұрын
Mtumishi MUNGU akubariki unatufungua akili
@kagoziprotv8 ай бұрын
Amen
@DeboraNeno-s5o8 ай бұрын
Maskiniii
@YohanaRichard-e6p9 ай бұрын
Watu wavivu kuchunguza maandiko ndio maana wanadanganywa, na wataendelea kuwa vipofu na walimu wao vipofu.
@kagoziprotv9 ай бұрын
Amen
@BernardoAmwayi9 ай бұрын
Mambo ya nyota ni ya waganga
@simonndaro9 ай бұрын
Acheni Mchungaji Hananja awafunde Matapeli walioibaka dini kwa sababu tu ya tamaa zao na uchu wa mali ya hapa duniani. Anachokisema ni KWELI. Mwenye akili atamuelewa tu.
@kagoziprotv9 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@brightsmartcleaning9 ай бұрын
Mwanadamu ana uhusiano na galaxy… iweje mzunguko wa maanamke uhusiane na mzunguko wa mwezi?…… tukijifunza pamoja kuna kitu
@kagoziprotv9 ай бұрын
God bless you
@festinamwakipale39196 ай бұрын
Bora ulivostafu ungetuchanganya wewe unahesabu.mizoga kwenye vita hatuhesabu maiti ukiishi ukiangalia watenda dhambi unaweza ukavurugika
@kagoziprotv6 ай бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@renatusmtakyawa59410 ай бұрын
Mmmm Mwanzo 37 9 Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia. 10 Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie hata nchi?
@kagoziprotv10 ай бұрын
Amen ❤❤
@ShukruMakoko9 ай бұрын
Haijalishi yukoje acheni kubwabwaja fanyeni kazi ya Mungu Yesu atangazwe kote duniani vyovyote vile vyamsingi vimewashinda mnataka kufanya talabu
@kagoziprotv9 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@AlphonceDM9 ай бұрын
Ww mshamba
@AlphonceDM9 ай бұрын
Anayosema ni ya kweli ww kondoo umepotea
@ShukruMakoko9 ай бұрын
Nahisi tungefanya kazi ya kulitangaza jina la Yesu krisito bwana wetu kuliko kobezana maana bado nahisi hata nusu bado enenden mukahubili injili ulimwenguni kote watu wakaijue kweli
@brightcommcleaning9 ай бұрын
Hananja ni mchungaji KILAZA wa mambo ya kiroho kwakuwa anatoka kwenye Non Spiritual Churches.. kuweni waangalifu na upotoshaji wake ama kutoelewa kwake..JIFUNZENI
@kagoziprotv9 ай бұрын
🙄
@samsonhamery38099 ай бұрын
Wewe ndiwe kilaza maana hujui Neno la Mungu.Nyota zinazotajwa katika Biblia Ni nyota halisi siyo nyota za kusomewa na Mchungaji au kuhani. Yesu alipozaliwa mama Jusi waliona Nyota mashariki walikuwa wasomi wa sayansi ya nyota wakajua nyota ile inaashiria tukio muhimu. wakaifuta ikawaongoza Hadi alipozaliwa Bwana Yesu.hiyo ilikuwa Nyota Halisi. Zamani kabla ya kugundulika vyombo vya kisasa manahodha baharini waliendesha manowari zao kwa kuongozwa usiku na Nyota angani. Hata wakulima waliyatambua majira yao ya musimu wa kilimo kwa kuongozwa na nyota zilizoitwa "kilimia" Kuna kilimia jike na kilia dume.Wana wa Israel waliposafiri usiku toka Misri waliongozwa na wingu waliongozwa na nguzo ya Moto pia waliongozwa na nyota. Acha ushamba wa Imani Soma Biblia upate ufahamu.
@andrecarlos10242 ай бұрын
Hananja👌👌🇲🇿
@michaelmbeti504010 ай бұрын
Shida yako wewe kuelezea makanisa mengine hubili mungu 2 kusema watu ujipunguzia maono yako