Salaam sheikh kishki.Naomba unirekebishe kama nimekosea!."NIMESIKIA", kuwa mwanamke mjamzito haachiki mpaka ajifungue! Je nikweli?.
@ZsbAlbarwani3 ай бұрын
Nakukubali sana Sheikhe wetu🎉🎉
@sitimwarakwe18303 ай бұрын
Shukrani shk umenitoa taka za maskio❤
@meowzna3 ай бұрын
Shukran elimu nzuri👏🙏
@ramadhanisulemani90163 ай бұрын
Mawaidha mazur mno maaashaallh allah akulipe sheikh letu la maana kabisa binafsi nakupenda sana...ila naushaur kwa hao wachukua video kwenye juu picture wanaweka picha zingine za wanawake wakiwa katika hali fulani isio ya kuridhisha,nadhani hilo halijakaa sawa tulitizame inshaallah..Allah atuoneshe haq na tuzidishe juhud za kuifuata.
@Swima-w4g3 ай бұрын
Mimi Niko nje napenda sana darasa zako siku Allah akijaliya nikirudi naomba nijiunge na darasa zako za kina mama ilanaomba namba zenu
@halimaa93673 ай бұрын
SubhanaALHA 😂
@sygtamks16433 ай бұрын
Hili darsa makutana wapi namm nataka kujiunga😢
@hamisikiango46233 ай бұрын
Nilivyo kua mtoto nilitamani sana nikikua mkubwa niolewe na shekhe kishik,,, sasa nina miaka 18 nimeolewa natamani Allah anijalie nikutane nae laivu nampenda kwa ajili ya Allah
@FATUMASAIDI-b9v3 ай бұрын
Mashallah
@KwizeraNasri3 ай бұрын
Asalm alaikm warhamatullh wabarakat ninaswali chekh sas ukifia ni lazima kuka eda???
@JokhaJokhaabla3 ай бұрын
Eda nilazima ukiwa umeachwa au umefiwa
@JokhaJokhaabla3 ай бұрын
Eda ya kuachwa ni pale unapopata piriad mara 3 ila ya kufiwa ni miezi 4 na siku 10
@rahmasalum97663 ай бұрын
Je mtu alokua kaachwa talaka moja Ikawa hujamaliza Eda ya kuachika na mume akafariki huyu anakaa eda
@KHIDMAONLINETV3503 ай бұрын
Kuanzia hapo utaanza kukaa eda ya kufiliwa mume
@MarimSali3 ай бұрын
Ama uko eda aija isha mume akafa je apo inakuaje na eda mbili ama moja tu
@CikeTanzania3 ай бұрын
Eda ni moja tuu apo itabadilika utakaa Eda ya kufiwa.
@MarimSali3 ай бұрын
Na ikiwa umeachatwa talaka yapili mume akafariki je eda zina faa kua mbili