No video

MANENO YA DHAHABU KWA HARMONIZE || MAIMAMU TUWE MAKINI NA KHUTBA ZA LEO || SHEIKH MUSTAPHA SONGORO

  Рет қаралды 1,590

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@user-yp3jl4ct5i
@user-yp3jl4ct5i 4 ай бұрын
Shekhe hayo maneno inamuongelea wew
@mohammedalghannami3150
@mohammedalghannami3150 4 ай бұрын
Daaah jamaa wanampaisha saaana, Masheikh WA nchi nzimaaa Hadi wanagongana wao Kwa wao ajili ya mpiga mziki.... Alafu nyinyi vipiiii munarudia tuuuu kutusikilizisha maneno ya Kufru... Hatutaki Tena kusikiza ...
@nuriaahmed9986
@nuriaahmed9986 4 ай бұрын
kweli sheikh Allah ni mwingi wa kusamehe hata madhambi yawe mengi mfano wa bahari mola wetu yuko tayari kutusamehe.Allah atupenda waja wake
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
SHERIA YA DINI MURTAD AUWAWE, HIO SIO ZAMBI ZA KUOMBA TOBA. TOBA AWAHI KUSILIMU KABLA UPANGA
@nuriaahmed9986
@nuriaahmed9986 4 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 naam hakika lakini kumbuka mungu ni mwingi wakusamehe kama umezingatia makosa yako yy saa yoyote yuko tayari kutusamehe
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
@@nuriaahmed9986 kabisa, ndio maana nikasema, aidha AWAHI KUSILIMU KABLA UPANGA. Akichelewa yafaa upanga. Mwenyezi Mungu sw anasamehe anae tubia sio anae zembea. Ukiuwa toba yako uuwawe, ukidhulumu toba yako ulipe cha watu. Kwahio kila dhambi lina toba yake na hayawi sawa ili kuwafunza walio hai wasirejee kupuuzika na kujipumbaza. Sheria ni msumeno. Kama kila kitu ni tubembeleze basi Mtume saw asingepigana vita wala asingeua wazinifu wala asingekata mikono wezi. HAMORNIZE ALIFAA AUWAWE KABLA SAA KUPITA. angekuwa kishasahaulika kama Mtume saw yupo.
@AziziMachweo
@AziziMachweo 4 ай бұрын
Mashalah
@nuriaahmed9986
@nuriaahmed9986 4 ай бұрын
Allwahumma Amin
@solomonadams6337
@solomonadams6337 4 ай бұрын
dini wanaswigha
@mohamedmahmudali9346
@mohamedmahmudali9346 4 ай бұрын
Hukumu ni kukatwa kichwa ndio Sheria ya Mungu, na laiti angelikuwa anaishi SOmALia zamani ameshauliwa ama Afghanistan
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 4 ай бұрын
Sitaki hata kuona JUSO lake huyo sheitwani
@fundimagari5825
@fundimagari5825 4 ай бұрын
Kuna clip nyingine sheikh ameongea na msanii mwenzake huyu anayeitwa amornizer ...bado anaendeleza msimamo wake,,wa kijahiri anasema ya kwamba yeye kwanza anaongea kwa akili zake ataki kugusa vitabu vya Mungu..kifupi kwa maongezi yake na mwijaku anaonyesha anapinga hadi Quran....anasema kuoa wanawake 4 alafu kiongozi awe ni mwanaume ni makosa ,,kapewa hadi aya ya Quran ...mwanaume ndio kiongozi wa mwanamke...yeye akacheka sana kuonyesha kwamba aiwezelami mwanaume awe kiongozi wa mwanamke kwa sababu anachofanya mwanaume hata mwanamke anafanya ...yaani huyu mtoto anapinga hadi aya za mwenyezi Mungu ...mimi ushauri wangu kama anampenda huyu kijana basi masheikh fanyeni naye debate...ili izo fikra zake zipate majibu labda ataridhika🙏
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 4 ай бұрын
Mimi ninashangaa hawa Viongozi mbona akisemwa Kiongozi mkubwa labla wa serikali akisemwa vibaya na watu wa kawaida utawasikia wanavyosimama katika vyombo vya habari kutetea kwa nguvu kubwa lakini leo Huyu kijana anamziaki Mungu kwa kumlinganisha na kiumbe mwanamke lakini hao wenyewe wanakuja na kumtetea kizembe?Kama Allah katika Quran yake anasema kitendo cha watu wa imani fulani kusema Allah ana mtoto,kitendo hichi anasema ardhi na mbingu zinatikisika zinakilibia kupasuka vipande,Je kumfananisha na mwanamke inakuwaje?Kila makosa tuwasubiri Wanazuoni?Hivi Wanazuoni hao wako Dar tu?Mambo yawe yanaharibika alafu huku vijiji hetu tuwasubiri viongozi?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
SHERIA YA DINI MTU AKIRITADI AUWAWE. SIO SAWA NA MNYWA POMBE
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 4 ай бұрын
Kwa maelekezo ya Quran au imani sheikh pia nikwahisia au maelekezo ya Mtume kaka nataman kufaham tuuh
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
@@sixytntongambele3038 HAYO NI MAFUNZO YA DINI, MURTAD HUULIWA. halazimishwi mtu kuingia katika Uislamu, QUR-AN "LAA IQRAAHA FIDDIN". lakini akishakubali dini na akaikengeuka hata kwa AYA MOJA TU AKIIPINGA AU AKAIBADILI MAANA, KWA MAKUBALIANO YA WANACHUONI AUWAWE LICHA YA MURTAD NDIO HUKMU YA KUUWAWA IKO WAZI KABISA. mfano Shekh Abdallah FARSY aliofasiri Qur-an, kabla kuenda kenya kufasiri Qur-an, Alikuwa ni mufti wa zanzbar. Hapo zanzbar alitafsiri baadhi ya Aya sivyo akataka kuuliwa kipindi hiko zanzbar inatumia hukmu za dini huwez kufanya mchezo. Polisi walishindwa kuwazuia watu walioizunguka nyumba ya Shekh Abdallah FARSY, akaitwa shekhe mmoja maarufu SHEKH OMAR QULATAIN ni mwanachuoni mkubwa sana zanzbar akawaambia waislamu warudi makwao na wamuache na ukafiri wa kufasiri sivyo, ndipo Abdallah FARSY akawa sio mufti tena na kukimbilia kenya. Na kenya mwisho walimtoa ndio history ilivyosema. KWA UFUPI. HAMORNIZE NI MURDTAD NA AFAA AUWAWE, NA MURDTAD KWASABABU KAACHA MUNGU WA HAKI NA ANAABUDU MUNGU MWANAMKE. KWAHIO KAMUACHA ALLAH SW NA SASA ANAABUDU MUNGU MWENYE JINSIA YA KIKE NA INAWEZEKANA NI HUYO HAWARA WAKE KAMFANYA NDIO MUNGU WAKE BADALA YA ALLAH SW. ALLAH SW HABADILIKI NA HAFANANI NA UKIANZA KUMFANANISHA BASI ALLAH SW ANABAKIA KATIKA TAKATIFU WAKE NA WEWE UNAKUWA UNABUDU YULE ULIOMPA VIUNGO NA SIO ALLAH SW. QUR-AN " LAISA KAMITHLIHI SHAIUN" YAANI " MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HAFANANISHI". kwahio ukitia ufanano tu hata ukisema ni allah basi huwa allah wa kichwani mwako na sio Allah aliotakasika. HAPO MOJA KWA MOJA HAMORNIZE ANA MUNGU MWANAMKE NI SAWA NA INDIA KUNA WATU WANAABUDU TUPU ZA WANAWAKE KWA KUSEMA NDIO MUNGU WAO NDIO WALIPO TOKEA. KUACHA IMANI YA UISLAMU NA KUINGIZA IMANI KINYUME NA UISLAMU NI MURTAD KISHERIA AUWAWE.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Hio sheria ya dini
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Hio sheria
UKIDUMU NA ADHKARI HIZI UTAISHI KIFALME DUNIANI NA AKHERA || SHEIKH OTHMAN MICHAEL
30:41
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 87 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 97 МЛН
MSUKUMA OG KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU
12:28
CHEKESHA TV
Рет қаралды 8 М.
Kısa cha mja mwenye Subra na Hekima - Sheikh Othman Maalim
30:43
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 95 М.
#LIVE: MEZA YA BUSARA-ISRAELI KATIKA UNABII(KWANI MUNGU ANASEMAJE?)
1:39:17
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 87 МЛН