Dini si Kila mtu anaweza kuiwakilisha laiti Kama pangekuwa na uchaguzi wa waumini huyu asinge kuwa hata muadhini kwa nidhamu na uelewa alionao.
@dapinitiative24512 жыл бұрын
Uko sahihi ndugu yangu Salum
@mosesnyoni27592 жыл бұрын
Nimependa,kuona mnaishi kwa ushilikiano,na kila mtu kuishi kwa imani yake,
@husseinbachwa83722 жыл бұрын
Yaaani....!!
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Inapendeza ee
@r14kgroup683 жыл бұрын
Raisi wa baraza la Maaskofu katoliki gerephasi nyaisonga ni kiongozi mwenye uwezo wa kujieleza ,hongera.sana baba
@singanoatanasi19943 жыл бұрын
Hakuna ubaya juu ya hili shekhe umesema ukweli na kuzingatia taratibu safi
@hajihaji52962 жыл бұрын
Huyu ni mnafkiki km mnafiki km wanafiki wengne
@rosetreffert67272 жыл бұрын
Safi sheikhe maneno yenye kutia nguvu Sanaa
@bennjanja23824 ай бұрын
Katoliki all the way
@khamisseif98703 жыл бұрын
Mtihani
@fredlyimo12632 жыл бұрын
Tatizo dini yetu inasema tu wasilamu ndo wa Allan wenu na mafundisho yenu yamefanya na kuweka akili zenu mipaka kiasi kwa mambo km hayo akilini zenu zinafika mwisho na kuanza kupungukiwa na amani na kuanza chuki
@fredlyimo12632 жыл бұрын
Na mkumbuke akili za Mungu c za mwanadamu.
@elyhillary20002 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@theophilwhiteheart19972 жыл бұрын
😇🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😆Waslm kma na waona 😆😆😅😅😅😅👌🏽
@RichardAmosnkonje-pq9oh Жыл бұрын
Ndugu zangu waislam mungu tanae muomba ni mmoja tofauti ni dini tu hivyo wakristo na waslam wote ni wototo wa baba mmoja hivyo sijaona kosa kwa shehe hapo tupendane jamani
@magomakabanja48613 жыл бұрын
Innalillahi wainailahi rajiiun sio sheikhe wala sio muumini wa kiislam kwa mujibu wa dini ya kiislam atae kua pamoja nao nae ni miongon mwake ? Acheni unafiki masheikhe
@geraldtarimo32102 жыл бұрын
Yupo sahihi,kwanihapo ni chooni?
@abdullramadhanii6262 жыл бұрын
HAWATAKUBALI MANASWALARA NA MAKAFIRI MPAKA MFUATE MILA YAO .. INNALILAH WAINAILAH RAJUN
@johnbosconagalau15862 жыл бұрын
Kichwa chako hakipo sawa wewe(chizi) kama hauna coment kaa kimya.
@ramadhanmahongole92932 жыл бұрын
kafir na Manaswara mamako alie halisha Mavi ukatoka wewe usie na akili
@geraldtarimo32102 жыл бұрын
Nyani watampinga,lkn yupo sahihi
@ggelishachannel4502 жыл бұрын
Roho mbaya tuu kwani sheikh kakosea Nini hapoo
@basammussa6774 Жыл бұрын
Kilichotakiwa kuzingatiwa ni point anazo zungumza hapo, na sio kutukana bila kutafakari kwa kina
@mfalmekima53183 жыл бұрын
Njaa ni tatizo jamani Mungu atuepushe na unafik
@miriammustafa53802 жыл бұрын
Kweli kbs uasikofu sioo mchezo
@audifansisafari5587Ай бұрын
Wewe ndiyo unanjaa ndiyo maana Kila kitu njaa
@EmmanuelMandela-f7kАй бұрын
Wewe ndo unanjaa yakuelewa kichwani
@Theironrod9373Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@amourmaftah2582 жыл бұрын
Huyu na bakwata yote ni madhalimu ktk Uislam...walwahi ni mtihani mkubwa ALLAH anajua zaidi...SUB'HANALLAH.
@edwinmanji74 Жыл бұрын
We unamatatizo gani wewe,huyo anayeongea sio kiongozi wako mkuu wa dini?kibaya kipi hapo au wewe ndo unajua zaidi kuliko yeye?
@PeterLubala8 ай бұрын
Akili huna
@raulianraphael68536 ай бұрын
Mungu wetu n wa Upendo ndio maana hata mwizi akiiba Mwenyez Mungu hamuondolei pumzi nae akifanya Toba Asamehewa Sasa kama wewe una Mungu wa peke ako Mbinafsi tuambie
@Othmansheby2 жыл бұрын
Mswiba innalillah wainnalilah rajiun
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mmm acheni fitina
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Achana na chuki za wakoloni wa kiarabu na kizungu,cc ni waafrika na tunatakiwa kuishi kwa umoja kama huu
@khamisikhalfan4720 Жыл бұрын
Njaaaa hiii itatuua imani zetu kwa kweli
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Umoja siyo njaa,achana na chuki tulizopandikiziwa na wakoloni wa kiarabu na kizungu.Huu ndo uafrika halisi
@kelvinkaijage32752 жыл бұрын
Daima watanzani tudumishe aman na upendo
@Mapenzi26352 ай бұрын
Shehe amesema ukweli Mkubwa sana ambao sio ukweli wote. Truth in a limited sense . Hata hivyo kuna fursa ya Waislamu na Wakristo kufanya Tanzania kuwa bora kuliko ilivyo sasa (moving away from globalization is to demonstrate the highest level of intelligence).
@sultanmussa28382 жыл бұрын
alicho kifanya bondia umeitwa MCHONGO yaani pesa tupuuuuu apo
@alexbenedict53783 жыл бұрын
Duh
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
This is what l have been looking for before late John pombe makufuli deeth mwislim and cresianity are they one single africa not wait people culler first our culler then religious because African American calctur is out skin then religious because we have born in Africa land first respect of our africa calctur then our religious this is Tanzania unity. On our national Africa belong to our calctur on trable believe before religious
@Simulizi_Tamu2 жыл бұрын
Daaaaah ebu jaribu kupitia comment zote utagundua kinachonisikitisha.
@AshrafuJonny-sz4gsАй бұрын
Kwanza kwann mulilichagua jitu naswara kama huu msiba aisee bola niwe suni
@yohanalukanga62632 жыл бұрын
Sihaminigi hizi dini bali na mwamini mungu tu
@trophywilson72112 жыл бұрын
Siamini Kufuata Muhamad naamani kumwani Yesu Kristo tu
@mustafaosman18382 жыл бұрын
Duu uyu shekh vp jaman mbona mm sijakuelewa huyu nishekhe au ni padri watanzania
@greysonmheni51762 жыл бұрын
Utaelewa mdogo mdogo 😃😃
@nelsonjr77953 жыл бұрын
Njaa mbaya sana Hawa Wataweza kukubali hata Ushoga
@modernfarming59383 жыл бұрын
Utahira mlionao ni kwamba ulitaka ataje kanisa unalosali ww . Ebu ifike mahali akili ziwafunguke
@f.a60432 жыл бұрын
Kwanza nikupe pole sana maana ushoga ni kazi ya ibilis shetani Hawa viongozi wa dini wanahubiri habari njema ya MWENYEZI MUNGU ya KRISTO YESU MKOMBOZI WETU ALIE MTAKATIFU WA WOTE wala hawana mawazo machafu kama hayo yako ya ibilisi lusufa kwahio anaetoa mawazo mabaya kama yakwako juu ya viongozi wa dini watu wa MUNGU nidhari kua hata ww mwenyewe nimtumwa wa hayo anayojaribu kubambikizia viongozi wa dini Mh. Sheikh ameongea kwa busara ya hali ya juu sana kwa namna ambayo sikudhania hata kidogo kweli kweli Sheikh yu nahekima kubwa sana MUNGU AWABARIKI WATU WAKE SANA!
@halimamnyati93112 жыл бұрын
Nikweli hii ss ni hatr tuombe mungu atujalie mwisho mwema
@raynoldlisanga81062 жыл бұрын
Kiigizo chema ni mtume uwisilam bila elimu ni mtihani
@jeremiahpirminnyoni6182 жыл бұрын
Huyu Sheikh ni msomi anaelewa anachokisema
@jamilahamis24622 жыл бұрын
Huyo sio she no kafili mwenzenu laana kum
@saidmuhsin24463 жыл бұрын
Mhhh hatar!!Allah atulinde
@greysonmheni51762 жыл бұрын
Aamin
@aishamamii29422 жыл бұрын
Amiyn njaa zinawaponza wengi
@faisalmohamed7272 жыл бұрын
(wamakana Muhamad abuu ahad) sasa huyo askofu umempa cheo ambacho hata bwana mtume swalallahu aleihi wa Salam hana, hiko cheo ulichompa askofu ndio kimenishangaza salamu haikunishangaza.
@seifjuma47433 жыл бұрын
Eeeeee kak weee hujui kuwa hapa dunia ni miaka 60 ad 70 tu subir ss
@atamotivetv81042 жыл бұрын
Kiukweli waislam mnaubaguzi Sana yan nimesoma comment du!!!
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Wakoloni wa kizungu na Kiarabu walitugawa sana kifikra waafrika
Ukiona vya eleya, vimeundwa, na ukisikia yanayozungumzwa uwe mkini, kwasababu yanawezayakakujenga na yanawezayakakubomoa , tafakarini sana yanayoendelea hasa kuhusu mkataba wa BANDARI
Uliambiwa na nani? Na hao ni akina nani, soma vizuri kuruani usisikilize hadithi za mitaani.
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Acha ukoloni wa Kiarabu wewe,usijifananishe na mwafrika mwenzio alafu ujifananishe na Mwaarabu au!!
@saumsaum19162 жыл бұрын
Kwni baba wa taifa alibagua dini wakati anatafta uhuru?acheni ubaguzi mungu ni mmoja na wote shia moja
@faustinesamani63592 жыл бұрын
Nawaonya sana ssna viongozi wetu wa kikatoliki msijiingize kichwakichwa kwenye kundi la huyo mfiraji wa wake za waumini wke wasiojielewa mtatuudhi sana. Kazi kwenu.
@gibsonjosephat63522 жыл бұрын
Wewe ndiye nini?
@jenifagerald18222 жыл бұрын
Shekhe umeongea vizur sana na ukweli mtupu 👏👏👏
@FrancisAngomwileАй бұрын
Huko ndio kukomaa Kiroho dini sio malumbano
@CHRISTOPHERDENIS-p6s5 ай бұрын
Mtasema yote..bado
@salhabashir82802 жыл бұрын
Huyu ndio shekh wakupigwa mjinga sana yeye dunia tuu
@gabrielmdem42712 жыл бұрын
Wewe ndo mjingaa Yani huerewi lolote tunajemga nyumba oja tambuwa ivoo tofautu ni matilio ola nyumbaa ni ilelie hii ndo busaraa ya dino sijuio umenierewa labda mikuulize pengine huna erimu ya kutoshaa je umesoma dino IRA huna erimu ya Shure e Hilo ndo tatizooo sikulaumu
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Acha ukoloni wa Kiarabu
@azzanalzakwani7474 Жыл бұрын
Wakristo pia wamcheka
@fortyyellu99712 жыл бұрын
Huyu shek anatuaribia dini yetu jaman.. muft upo wap na unamwangalia tu na kumuacha
Huyushehe anatia was was muislamu wakweli hasemi hivyo mana diniyetu inatufuza hata mtume aliambiwa yeye anadini yake na wao wanadini yao.VIP awasifu.mjinga huyu shehe pesa
@greysonmheni51762 жыл бұрын
🤣🤣🤣,Yesu,Yesu,Yesuuuuuuuuuu
@genovevajohn41702 жыл бұрын
Ubinafs utakuua
@fadhilahaji79292 жыл бұрын
So waislm hatujui nyinyi masheikhe wetu mkoje na jslimu wetu mbonahatukueleweni
@ramadhanaldawiyya86592 жыл бұрын
Sadakta
@nathanieldaud37442 жыл бұрын
mchapio wa nguvu eti amani ya Bwana iwe nyani, all in all umesema vizuri na ukweli huwaweka watu huru
@LucasLucas-sq3bc3 ай бұрын
Sheikh na mufti wanajali umoja
@josaphatlukwaro23786 ай бұрын
Ukimsikiliza huyu shehe bila makasiriko utamuelewa
@AbuKhayrati2 жыл бұрын
kuna udugu gan baina wasilamu na manaswara
@mariyamsalalah82042 жыл бұрын
😂😂😂mwisho shekhe umenichekesha
@jumajuma74132 жыл бұрын
walaatardhankal lyahudu walannaswara hatta Titania millatahu
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Andika kiswahili,usituandikie lugha za kikoloni hapa
@soudia9084 Жыл бұрын
Sasa nimefahamu kwanini dr Mwaka kasema anataka Mufti atoe talaka sio wewe.
hii kwa wasomi inapatikana wapi? kwamaswahaba au kwa mtume kanza mungano wa dini mbali mbali maana kama mtuma alikatazwa na ikashuka sura ikimkataza mtu asiungane sasa hii nini? naomba fatwa kwa wasomi
@priscamathewpriscamathew59522 жыл бұрын
Abduli toa ubaguzu wako mungu ni moja tu sasa wewe nani
@siamuchunguzi2 жыл бұрын
Waislam mmeniangusha jamani,,, kama kweli dini yenu ni safi kwa nini hamna Upendo??? Kwa comments zenu tu mngekuwa na uwezo mngemsaidia Israel kufanya kazi,,, ila hakuna shida tunawapenda tu maana sisi sote ni wa Mungu
@husseinbachwa83722 жыл бұрын
Kama umeona la kujifunza basi wafuate wewe unadhani uislam upo kwaajili ya Dunia!!?? Uislam haufungamani na upuuzi... Kasome Dini.
@hajihaji52962 жыл бұрын
Sheikh wa mchongo tubia kwa Allah hwenda Allah akakuongoz
@greysonmheni5176 Жыл бұрын
Atubu kwa kosa gn.Acha ukoloni
@binbadru84082 жыл бұрын
Shehe hamjielewi,msibabmkubwa huu
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Shehe umewakosea wakristo wa madhehebu mengine unapodai kanisa katoliki ndio kanisa halisi linaloonyesha ukristo wa kweli kweli!
@jumakapilima56743 жыл бұрын
@Crazy Compilation soma vizuri hiyo comment
@rosetreffert67272 жыл бұрын
Juma huo wifi
@greysonmheni51762 жыл бұрын
Hakuna shida,kanisa linawakilisha alama moja tu ya Kristo
@lumumbasankara63882 жыл бұрын
Sijawahi ona shekh wa ovyo kuwahi kutokea kama huyu
@gabrielmdem42712 жыл бұрын
Wewe huna erimu kwanza hujui lolote kichwani umesoni din tu huna erimu darasani tambuwa kuwa mungu ni wetu sote sote tunajemga nyumba Moja tofautu ni matilio kira mmoja na Imani yake Imani sio uadui maskini pore ndo ulifunzwa ivoo kuamini ivoo tambuwa kuwa hatubaguani Kwa Imani wars dino ya Fulani sisi ni viumbe wamungu tunwachia mungu hukumu zetu harafu waweza kuwa mi mzima harafu huna akili usimwaminishe mtu unachoamini wewe ndo mama Nyerere alikataaa udini ndan ya ncho yetu akatupa uhuru wakuabudu vote akili huna una udini Yu ndayake kifunze wewewisram feli
@harsoshelezi46582 жыл бұрын
ndiyo maana unapopolewa na waumini kwa tabia zako za undumakuwili
@abdulswalehe69592 жыл бұрын
Wewe shekhe alihadi naww nikafilikamawao
@gracemwakibolwa7910 Жыл бұрын
Hata weeye ni kafili hivyo hivyo.tena zaidi ya huyo unayemtusi.
@awadhrajabu14032 жыл бұрын
Kwenda Kwako Ni Sawa Kwasababu Apo Iko Msuguano Wa Dini Kubali Wito Toa Neno Washike Neno Siku Bola Uvune Wafuasi Kutoka Ndani Apo Apo Kwenda Apo Ni Sawa Kusalimia Pia Ni Sawa Kuwapongeza Ni Sawa Lakini Ndani Yake Utawapa Neno Ambalo Upande Wa Pili Akuna Wanaozani Kwenda Apo Kusalimia Sio Sawa Ao Awajui Imani Wanachojua Malumbano Bila Ukweli
@FatmaJumanne-mi2et Жыл бұрын
Sheheh wewe ni mfano wakuingwa
@mwamedypwemu61172 жыл бұрын
msiba; mkubwa yan wakristo wanampinga allah na wanamkubali yes nabii issa nawe waunga mkono kwa wakristoo daa msiba mkubwa san yule anae kufa so muslam na akamkana mungu wa kwel na mtume wake uyoo ayupo saw ndo uyoo sufiiiiii wa mkoa
@erastoernest9092 жыл бұрын
👏👏🙏
@saidmuhsin24463 жыл бұрын
.
@kijitamfyomi55983 жыл бұрын
Kwa hiyo sisi waislamu hatuna nidhamu kwa mtume wetu Muhammad sw hatuna nidhamu kwa maswahaba hatuna nidhamu kwa wanawachuoni wa kiislamu hii kauli tunamuomba mufti amwambie huyu sheikh Alhady awaombe radhi waislamu co kauli njema
@kassimmussa80153 жыл бұрын
Yani namuhisi kabisa anatamani awe askofu leo hii dah shida jamani.Allah ilinde dini yako tunaowategemea kama viongozi wadini yakiislamu nawao wanatamani nakuhusudu vyeo vyajuu katika dini nyengine.