Padre Dkt Kitima atumia dk 18 kuikosoa Serikali na CCM inatusikitisha, wizi wa kura ni dhambi mbaya.

  Рет қаралды 50,902

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Күн бұрын

Padre Dkt Charles Kitima ambaye ni katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania ni miongoni mwa waliopata nafasi ya kuchangia kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano.
Miongoni mwa mambo ambayo ameyaweka wazi ni pamoja na Wizi wa kura huku akisema wazi kuwa ni jambo ambalo limekuwa likirudisha nyuma sana maendeleo ya Taifa la Tanzania ikiwa ni pamoja na kudhohofisha Dhamira ya wapigaji wa kura.
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #HakinaAmani #TEC
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online. .
Instagram:Breez Online Tv

Пікірлер: 82
@josephfkinyaghakinyagha7046
@josephfkinyaghakinyagha7046 Жыл бұрын
Perfect Baba , mzalendo halisi , kwa Watanzani ,, Mungu aendeelee kumuifathi FATHER huyu, wanaokerwa na wewe, ni hao wasiopenda haki
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Ukiona watumishi wa mungu wanaongea janbo moja inamana nisauti ya mungu ,ndivyo ilivyokuwa kipindi cha mwenda zake subili we mama usipotii sauti ya mungu shaulizako .mungu akishusha asila hapatoshikika subili
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Hakuna lolote!
@lucasmombo-di4zr
@lucasmombo-di4zr Жыл бұрын
Hongela padre , mungu atangulie viongozi wetu wadini nanyni sehemu yakuikosowa serikari !
@geraldleger5793
@geraldleger5793 Ай бұрын
Kiongozi hasiye mnafiki usema kweli. Asante Baba Padre.
@chrispinedward6356
@chrispinedward6356 2 жыл бұрын
Upo vizuri padri,tunawataka watu kama nyinyi siyo wengine hawasemi halafu wanataka sadaka zetu
@joyprintspro3845
@joyprintspro3845 Ай бұрын
Umenyooka BABA ...Ubarikiwe sana.
@yodenilunyungu
@yodenilunyungu Жыл бұрын
Mungungu Aendeleekuku Hifazi
@hamismabula9934
@hamismabula9934 2 жыл бұрын
Uko vizuri, Wizi wa kura ah! Hadi watu wamekata tamaa hadi kwenda kupiga kura!
@BonaventureJohn-mk6xh
@BonaventureJohn-mk6xh 4 ай бұрын
Hakika huyu ni mtu mpenda haki wa Mungu ambaye kwake nyeusi ni nyeusi, blue ni blue, si mtu wa kurubuniwa akapindisha rula. Kila mtu positive na smart anakuelewa
@AnordmringoAnordmringo-ge7eh
@AnordmringoAnordmringo-ge7eh Жыл бұрын
Mungu akubariki
@annapeter2889
@annapeter2889 2 жыл бұрын
Thank you Fr.Kitima,your the best.You speak the truth without hesitation
@cyrilnjau6367
@cyrilnjau6367 2 жыл бұрын
Tunahitaji watu wanaosema ukweli bila kumumunya maneno. Asante na hongera baba. Ukomavu wa kisiasa ni kusema ukweli ili tuishi kwa upendo, haki na amani
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 Жыл бұрын
Mara NYINGI wasemao UKWELI hawapendwi ACHA nizidi KUKUOMBEA MY Fr
@Tumaini-dd7kg
@Tumaini-dd7kg Ай бұрын
Mungu akutie nguvu
@elizabethmasinde5934
@elizabethmasinde5934 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki
@alanlugano3322
@alanlugano3322 2 жыл бұрын
Hongera sana father kwa kusema ukweli. Mungu akulinde.
@onikemwetenih7536
@onikemwetenih7536 2 жыл бұрын
L
@FrankMabinga
@FrankMabinga Жыл бұрын
Baba mungu akuongoze kwa Kila jema,
@TLAQASISULLE-zr5qg
@TLAQASISULLE-zr5qg Жыл бұрын
Tunahitaji watu aina hii msemakweli kipenzi Cha mungu
@eliasduwe5422
@eliasduwe5422 2 жыл бұрын
Fact and Truth! Thank you Fr. Kitima keep this spirit Farther
@dicksonmyalla5496
@dicksonmyalla5496 2 жыл бұрын
Dini nyingi sikuizi wanahubili siasa kupata utajili kwakuombiwa tu bila kazi kupata wachumba sijui tunaenda wapi dunia hii yani wanasiasa na viongozi wadini wanaangalia uzaifuwetu uko wapi hapo ndowanapo simamia
@piomgeni8750
@piomgeni8750 2 жыл бұрын
Great ideas!!!
@peterjosephat6685
@peterjosephat6685 Ай бұрын
Mungu akulinde watu kama nyinyi mungu kawainua kwa maana yake
@rashidlwimbo7864
@rashidlwimbo7864 2 жыл бұрын
Safi sana msema kweli ni mpenzi wa mungu
@athanaskallega4824
@athanaskallega4824 11 ай бұрын
padre acha kutukana serikali una nini baba?Wewe umekamilika kiasi gani? Naomba ukemee pia na ushoga ambao uko mpaka ndani ya dini zetu na hasa RC. Kushuka kwa wabunge katika baadhi ya vyama ni kutokana na unafiki wa hivyo vyama ambavyo unavipigia debe. kazi yao ni matusi tu havina SERA MBONA HUKEMEI??
@christianmilambo
@christianmilambo Жыл бұрын
Fr ,anachosema kitafakariwe kwa making kwa mustakabari was taifa letu inatia hofu viongozi wa kitaifa kusema bila waswasi kuwa chama chenye dola ni ujinga kuona kinashindwa ktk uchaguzi akitumia mifano ya Zambia na Kenya hebu tuwe WAZALENDO jamani
@MosabiManga
@MosabiManga Жыл бұрын
Charles kitima,nakupata Sana Babangu maana nikiwa Saut Mwanza ulinifundisha kujisimamia,kujisukuma mwenyewe na nisisubiri kunyooshewa kidole na mtu au boss wangu kazini ,mungu akutie nguvu useme maana viongozi wamekuwa kama wanakiula huku wakifukuzwa
@michaelyaro
@michaelyaro Жыл бұрын
Vizur father
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Umenena Kitu cha Msingi Sana.... Hongera Sana....hilo ndo Jema kusema Ukweli.
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Ай бұрын
Ya mungu tumpe mungu ya kalisahii tumuache kalisahi.lakini kiona.kanisa.kama liko.sana.upinzani.
@manyoponganju
@manyoponganju Жыл бұрын
mama pole sana wewe kama mzazi uliwaonea huruma watu hawa lakini nakukumbusha msemo ule ukimcheka nyani shambani utavuna mabua au ukimwachia mtoto kukupanda kichwani atakuvua nguo adhalani ifikemahali watambue wewe ni kiongozi wa nchi heshima yako niheshima ya taifa mzima
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Mtumishi kauli zenu ni muhim kubalance hakuna mwema kila mtu apewe haki yke,.
@osoyarabuor4920
@osoyarabuor4920 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 Жыл бұрын
Aise ndgu umenyoosha sana
@athanasevaristmahega7488
@athanasevaristmahega7488 Жыл бұрын
Dah maneno mazuri mno pd tatizo TZ yetu hii viongozi wetu hawa wana njaa Na uchaguzi wetu una haribiwa Na viongozi wa ngazi za wilaya Na mikoa
@selijohn6836
@selijohn6836 2 жыл бұрын
Wewe Fanya Kazi ya mungu mwizi Hana utalatibu ndio maana anavunja hafunguwi
@johnmahu5060
@johnmahu5060 11 ай бұрын
Asnt fadha kitima viongozi walarushwa wezi ndo wanaogombea na kupita kwn wanajua wakipata nafs hawawajibiki kw wananchi wo
@charleskija3681
@charleskija3681 Жыл бұрын
Maana halisi ya kiongozi wa dini
@SeifDauda
@SeifDauda Ай бұрын
Mnaendelea na uchaguzi wenu wa kidoni. Ikiwa mtawala ni mkiristo basi hata akifanya vibaya kanisa hukaa kimya. Lakini ikiwa muislam ndio mtawala basi matamko kila siku ili nchi istawalike.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Orodhesha makosa ya huyo Mkristo na ufuatilie kujua kama kanisa lilimnyamazia kimya, na ikiwa tukiijua haki na tukanyamazia dhambi hapo tunakuwa kinyume na Mungu. KAZI YA KANISA NI KUONYA, KUKEMEA, KUKARIPIA NA MWISHO KUONYESHA NJIA.
@boazbeny4321
@boazbeny4321 2 жыл бұрын
Facts
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo Ай бұрын
Baba ccm ni shida wame luhu makazi hole machinga Kila Kona mabondeni yamevamiwa na wakulima mama lishe kupika barabarani Kila Kona mabwana afya wamekua kama trafiki balabalani ni kuchua pesa mikokoteni na majiko ya chakula jamani nani ataokoa taifa letu nchi yetu imekua jalala la vicha na Wenda wazimu tunaenda uchaguzi watusaidie nini kuibiya raiya
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 Жыл бұрын
Vyama pandikizi je? Vinavyo jitokeza wakati wa uchaguzi kuhalalisha ushindi wa ccm kwa wizi wa kura je? Pili dini zote sio sawa tusijidanganye.
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw Ай бұрын
Ipo siku hii nchi hii mtaipasua kwani maskofu huwa hamtulii wakati nyinyi ndio mnanufaika na keki ya taifa lakini akiwa kiongozi km magufuli mlikuwa kimya lakini kiongozi akiwa c waimani yenu mnaanza ufundi wa kuongea. kwanini msianzishe chama chenu cha siasa au muingie moja kwa moja ktk chama cha siasa
@yodenilunyungu
@yodenilunyungu Жыл бұрын
Jamanijaman Watanzania Tusimamia Haki
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Eti baba inamana akuna ambae amupendi hadi muke wamugombea wapili nae anamnyima kula mmewe niuongo tena sana asikofu ukovizuli
@emmanuelyoabu3400
@emmanuelyoabu3400 2 жыл бұрын
Ukweli mtupu..ingawa ukweli mchungu
@deokessy6596
@deokessy6596 2 жыл бұрын
Caresmatic
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Doctor Katima should be protected by all tanzania sosayat we got saprys to see Catholic Church voice but mwislim leader we don't see them voice think this is Catholic Church only voice no in for tanzania nation lseu and vary sensitive lseu
@mdmachungu7424
@mdmachungu7424 2 жыл бұрын
Yawezekana kukawa na ukweli ndani yake lakini unaona baada ya jpm majizi wanavyo tafuna yeye hakuangalia vyama aliangalia Tanzania majizi Kama wamo nikutumbua yawezekana wakatubu
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Kweli kabisa padri umesema kweli kabisa msema kweli Ni mpenzi was Mungu🙏
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Ай бұрын
Sass.akuna padre aliye funguzwa kwa.makosa
@emmanuelmunuo7529
@emmanuelmunuo7529 Жыл бұрын
Padre unachanganya dini na siasa Inwezekana kweli ?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Heri wewe umesema
@rolax1999
@rolax1999 23 күн бұрын
😅baba yetu
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 4 ай бұрын
Angalau kwa uchachekilamtu angesimamiahaki nchi ingeendakuliko kutegemea mamulaka yamtummoja kamakiongozi huyowa dinianavyodai awamuyatano ilikuwa yakazinakazi hiyo imeacha alama yamfano kwanchizakiafrika .
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Жыл бұрын
Kwenye siasa ujiondoe kabisa mchafuko ukitokea Sisi tunatarajia kukimbilia makanisani tunakusihi sana
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 8 күн бұрын
Hakuna vita CCM ndiyo watakaoleta vita maana Wana tamaa ya madaraka Sana wamejitwalia nchi hii Kama Mali yao umaskini unaongezeka watu wako barabarani hawana kazi CCM na serikali yake hawana uwezo tena wa kuongoza nchi
@AdamsongoloSongolo
@AdamsongoloSongolo Жыл бұрын
Msemakweli ni mpenzi wa mungu wewe sijui Kama unaubaguzi wa kidini?lakini umeongea ukweli
@devidmaembe
@devidmaembe Жыл бұрын
taifaletu ususa nichama chaccm malanyingi umuchukia anaesema kweli naninacho kijuwa wapowa pumbavu watakao kuchukia kwakusema kweli nimesema neno wapumbavu wengine watachuku liakuwa nawatukana tafusili yaneno mpumbavu niyule anaeamini mambo yasiyo sahihi kwakujipa tiavitu fulani iloata katika vitabuvita katifu yani kwenye bibilia takatifu
@athanasevaristmahega7488
@athanasevaristmahega7488 Жыл бұрын
Pd TZ TZ njaa
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Жыл бұрын
Mzee hubili bibilia kanisani nawaisilamu msahafu misikitni ukitaka siyasa sema au ingia kwenye siyasa usiseme ma asikofu wamekutuma au wewe ni asikofu kuwa kama gwajima acheni udini
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Fact 💯
@sanyiwamathias9504
@sanyiwamathias9504 2 жыл бұрын
Nani nakupongeza kwa kusema ukweli,mwenye masikio na asikie Sasa,na wahusika mukafanyie kazi ili mpiga kura anufaike.
@yodenilunyungu
@yodenilunyungu Жыл бұрын
Tunashukulu Baba leak it use me a Sisiwanyonge
@manyoponganju
@manyoponganju Жыл бұрын
wanapata wapi jeuli hii ya kuzarau bunge limeshapitisha namkumbuka rais magufuri alipo sema iacheni selikali iwatumikie wannchi subilini 2025 ndio muiukumu
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 Жыл бұрын
Ameongea anavyo Hona yeye
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd Жыл бұрын
Ovyoo hamna kitu hapo ni porojoo tu.
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 Жыл бұрын
Wewe huna hakiri rudi dalasani ukasome, tatizo ulisomea mgogo baada ya kwenda mbele unaludi nyuma lazima uwe na hakiri mgando.
@2003hintay
@2003hintay Ай бұрын
Huyu ni mnafiki mmoja wa Chadema mbona haikosoi Chadema hawafanyi uchaguzi saccos na huyu ndo mwandishi wa katiba wa chadema. Ujinga tu huu
@AnordmringoAnordmringo-ge7eh
@AnordmringoAnordmringo-ge7eh Жыл бұрын
Penda xana watumishi kama ww,
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Wasomi kama hawa tunawahitaji nchini
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Usomi wa bible knowledge?
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 жыл бұрын
Je unaweza kuyathibitisha hayo unayoyasema? Wewe Ni mtumishi wa mungu ni lazima uwe na uhakika wa like unachokisema.
@josephngwega7398
@josephngwega7398 2 жыл бұрын
Inamaana hukuona Acha uboya
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 2 жыл бұрын
mtumishi wa Mungu ndio mshauri na muelimishaji mkuu iwapo nchi au jamii inaharibika.ulitaka asiseme ukweli?
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 2 жыл бұрын
huwaoni akina Halima mdee wameendaje bungeni wakati nafasi yake alichukua Mch.Gwajima? hukuona.? au huyaoni?
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Жыл бұрын
Mawazo yake
@charlesphilipo6443
@charlesphilipo6443 2 жыл бұрын
Ukiona watu kama kina Njau wana comment kuhusu watu wa dini kuwa anaongea point ujuwe hapo ni pumba tupu na uvivu wa kufikiri,,,,,dodoki na muhuri,,,
@kat.josephmission9088
@kat.josephmission9088 2 жыл бұрын
Fr kitima uko sawa
@denismsanzya7145
@denismsanzya7145 Жыл бұрын
Baba upo vzr sana
JENERALI ULIMWENGU ANENA HAYA MBELE YA VIONGOZI WA DINI KUHUSU HAKI ZA BINADAMU
51:46
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 19 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 30 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 33 МЛН
YESU SI MUNGU MASKOFU WAMJIA JUU MZEE WA UPAKO
6:33
Mzee wa upako
Рет қаралды 37 М.
ALICHOZUNGUMZA PADRE AMIGU KATIKA KONGAMANO LA LITURUJIA,MAASKOFU WAFURAHISHWA NA HIKI..
1:07:10
MSTAAFU ASKOFU KILAINI APEWE MAUA YAKE AJIBEBEE KWA MIKONO YAKE
39:48
SK Media Online TV
Рет қаралды 12 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 30 МЛН