KADUGUDA-SIMBA HAIWEZI KUFIKA POPOTE/TATIZO KUBWA LA SIMBA SIO MANGUNGU /AWATAJA WANACHAMA SIMBA.

  Рет қаралды 59,436

Kalunduka Online

Kalunduka Online

Ай бұрын

Aliye wai kuwa mwenyekiti wa simba Muhina Seif Kaduguda amesema tatito kubwa linalo ikabili simba kwa sasa ni wanachama wa simba.

Пікірлер: 244
@MpoleJuta
@MpoleJuta Ай бұрын
naitwa Mudrick !!! napenda sana kumsikiliza Mzee kaduguda maana anaongea point sana mungu akupe afya njema na maalifa makubwa
@MICHEZODAIMATV
@MICHEZODAIMATV Ай бұрын
Uyu sio mangungu ni kaduguda
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv Ай бұрын
fire 🔥 ukweli hautakuwi kwenye mpira wa bongo..big up brother
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 Ай бұрын
Kaduguda shida haiko kwa mangungu bali kwa Mo kwa sababu haja kamilisha uwekezaji wake kwa simba. Kifupi Mo hadi leo ni mfadhili sio mwekezaji!!
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 Ай бұрын
na MO anawekaje pesa wakati mchakato haujakkamilika?
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@barnabasmalima4823sasa mbona Kaunda bodi wakati mchakato bado ? C akae pembeni akihitajika ataitwa 😂😂 .... Mbona mwenzake anatoka pesa ila hajanza kuunda bodi ?
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@barnabasmalima4823mo na madunduka wanaviziana tu 😂😂 ... Mchakato bado haujakamilika mtu ameshaunda bodi ...akatimua then akateuwa, Mara rais wa heshima kesho mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji then mwekazaji ni mudi tea vyeo vyote vyake
@salimmalaka256
@salimmalaka256 29 күн бұрын
​@@mwanangusanaTOPOLOOOOOOO 😂😂😂😂 MACHOGO FC WEWE
@user-xf3lv5xp1i
@user-xf3lv5xp1i Ай бұрын
Kaduguda uko sahihi kabisa
@AlliyFaki-vv5ys
@AlliyFaki-vv5ys Ай бұрын
Hatutaki maneno tujenge Simba yeti
@mosesregnald7117
@mosesregnald7117 Ай бұрын
Namkubali sana huyu Mzee
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Ай бұрын
Mwamba upo sahii sanaaa
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Ай бұрын
Mzee ana hoja nzito sana.Anafaa kutangazwa kuwa mtakatifu
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Ай бұрын
Safi sana Mzee kaduguda
@josephsabuni795
@josephsabuni795 Ай бұрын
Mzee kaduguda ulikia unapiga sana hela za MO sasa wamekutoa kwenye mfumo unaongea ujinga mitandaoni, kubali kukaa pembeni huwezi kua kiongozi wa Simba milele.
@user-bl1tx8fc9v
@user-bl1tx8fc9v 29 күн бұрын
Kwani kaomba kuwa kiongozi? Acha umbumbuuuu. Mfano kasema wanachama wanasema wao wanataka furaha tu sa huo ni nn si ubumbumbu? Haya wanachama hawajui katiba wanakurupuka tu,,
@user-bn8xs8zd7i
@user-bn8xs8zd7i Ай бұрын
Safi sana kaduguda waambie hao wanachama na mashabiki ni mbumbumbu na njaa😂😂😂
@HabasuFamily
@HabasuFamily Ай бұрын
Akili zako na zake zinafanana maana nyote vigeugeu
@nurumigeyo4625
@nurumigeyo4625 Ай бұрын
Nimekuelewa vizuri mzee uko sahihi
@yusufukim8439
@yusufukim8439 Ай бұрын
Uko vizuri Mzee sasa tunauwekezaji lakini malengo sahihi bado hayafanyiki kabisa,
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 Ай бұрын
Kwa mantiki hiyo wanachama wa simba ndio tatizo hawaijui katiba yao.ndio maana wamekuwa bendera hufuata upepo na ndio maana wamechagua mtu ambae hana sifa za uongozi wa mpira
@user-jn3nf7uw1w
@user-jn3nf7uw1w Ай бұрын
Simba wa Yuda waambie sambusa na nlopokaji unwell Nguvu nyingi kupambana na watani badala ya kucheza boli uwanjani
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Safi sana kaka
@ericraphael9653
@ericraphael9653 Ай бұрын
Uyo mzee anaongea kweli sana na mwuelewa sana
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 28 күн бұрын
Mashabiki wwengi ni njaa mjaa pigia mstari hapo
@BakariBakari-sf4ld
@BakariBakari-sf4ld Ай бұрын
Umesema sahihi sana Mzee wangu wanasimba kunachakujifunsa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 28 күн бұрын
Simba wa yyuda
@mtumeananiasjohachim8760
@mtumeananiasjohachim8760 Ай бұрын
Mimi siyo mbumbumbu mzeee, wanangu wanakula kupitia mimi, hao unaotuita mbumbumbu inawezekana tukawa tumekupita maisha palefu Sana na umbumbumbu wote.
@asasiame500
@asasiame500 29 күн бұрын
Shida hujaelewa kile ambacho anazungumza, wameelewa waliosoma cuba
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 29 күн бұрын
Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo mbumbumbu
@salvatorydotto8987
@salvatorydotto8987 29 күн бұрын
Hujamwelewa mzee, unaweza ukawa una elimu kubwa ila kweny mpira ukawa zero yaaan mbumbumbu hajasemea maisha
@salvatorydotto8987
@salvatorydotto8987 29 күн бұрын
Kumhoji mtu mwenye Elimu kubwa kuna kazi sana,unafanya nn hicho mwandishi wa Habari 😮😮
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 28 күн бұрын
Ulivyosema hati inamlikiwa na mpangaji ni sawa na ccm seriali inaiwajibisha ccm
@KayembaRashid
@KayembaRashid 22 күн бұрын
Tatizola. Simba. Wanachama. Hanapesa. Ndiyo. Sababu. Wanachama. Wanamtaka. Moo
@dicksondotto958
@dicksondotto958 29 күн бұрын
Mwanafunzi mwenzangu Udsm ,mzee anapiga kitabu cha michezo hana mzaha na yuko full time tuko nae Mabibo hostel, anaishi Simba mda wote.
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 Ай бұрын
Hamkuwa na wachezaji wenye uwezo wa kuwavusha robo we mzee. Mlikuwa wa kuwavfikisha robo tu
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Ай бұрын
KADUGUDA UKO SAHIHI PIA USIACHE KUSEMA SAID IS KUIOKOA SIMBA MO DEWIJI NI TATIZO SIMBA
@hajikalanje5439
@hajikalanje5439 Ай бұрын
Hayo kaongee kwenye vikao, tatizo wewe mzee unapenda kusifiwa kwa kuiponda simba
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
We mtangazaji mjinga hujui maswali huna
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 Ай бұрын
Acha wivu amejitahidi
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Ай бұрын
Huyu ndio kadugiguda wa mashabik Sema sisi nao Tunazingua kweli
@LowasaSanare
@LowasaSanare 29 күн бұрын
Huu ndio kiongozi Sasa anaona mbali sanaa lkn pumbupumbu hawatawez kuelewa huyu mwamba
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Ай бұрын
Kajula , Mangungu hawafai
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Ай бұрын
Sasa mlimpaje upngozi jamani nanyie sindio mpiga lira kadugida
@allymtunge5530
@allymtunge5530 Ай бұрын
Simba wa yuda
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 Ай бұрын
Kaduguda acha Kusumbua Wanasimba. Juhudi kila siku zinahitajika, kushindwa kufikia Lengo sio Hoja ya kulala. Wanachama na mashabiki hawana lawama. Hata Kaduguda ni Wanachama na pia ni Shabiki. Aache Upuuzu wake!
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Ай бұрын
Mwandishi hujui kuuliza maswali.
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 Ай бұрын
Hiyo Simba aliyoitaja Mwina ilikuwa sio poa
@filbertntibasiga8093
@filbertntibasiga8093 Ай бұрын
Tuachia yanga yetu sisi viongozi na timu wakizingua wote nje sisi ni taasisi kama hawalijui hili yanga tunataka ubingwa wa afrika na uwanja mengine watajua wao
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Ай бұрын
Kaduguda anajua mpira sanaaaaa na anaongea mpira. Hivi huo ukubwa wa Simba Africa uko wapi? Hawajachukua kombe lolote la Africa.
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Ай бұрын
Yeye mwenyewe alikuwemu humo ni mkundu tu huyo ana lolote Kuma huyo
@AliAli-uv5gw
@AliAli-uv5gw Ай бұрын
"Mbumbumbu inaendelea"
@jumandangu9909
@jumandangu9909 Ай бұрын
Hizi Tim Za Simba na Yanga Mpaka Ziachiwe na Serekari Ndio Zitafanya Vizuri huo uwekezaji Unacheleweshwa na Serikari
@charlesmtitu5606
@charlesmtitu5606 Ай бұрын
Mzee anapita kila siku media anataka nin , hii timu ni ya public, anapita kila media anataka nin mi hata sielewi
@HabasuFamily
@HabasuFamily Ай бұрын
C anapewa chochote kitu na gsm ili avuruge makusudi sbb kakoseshwa kula
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂 kwani yeye sio sehem ya iyo public au wewe unaelewa Nini kuhusu iyo public ?? Au ni makosa kuwa na mtazamo tofautiii tofautiii?
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@HabasuFamily... Kwa mitazamo ya namna hii yanga Bingwa 😂😂😂 ..... Hiv madunduka wakat miaka 4 ya ubuntuu ile ya moto 🔥 pale juu kagere chama miquissone bwalya , kotei , wawa , joash ... Okwi ndo hii ya akina jobe , Fred na sawadogo 🤣 😂🤣... Halaf Rudi yanga ya yikpe , Molinga , sibomana , kindoki ... Halaf Rudi sasa pale Paccome Zouzoua, Aziz ki , Diarra , Max halaf bado mnakuja na mawazo barafu kweli ?? Mwambie muamed arudishe watu wa mpira pale msimbazi punguzen janja janja ndugu zanguni bhana Enzi zile unamkuta Hans Pope Evance Aveva Geoffrey Nyange Kaburu Mwamba mkubwa magori Sued Mkwabi ...... Halafu kule yanga kipindi Wana manji Alikuepo Bin kleb Seif magari David mosha
@chemstry409
@chemstry409 Ай бұрын
RAGE ALIKUWA RIGHT KUWAITA WANACHAMA WETU MAMBUMBUMBU...KADUGUDA.
@sinemazakorea
@sinemazakorea Ай бұрын
Mzee unazunguka zunguka lkn point yako ni mangungu sio mtu wa mpira, ukija kwa wanachama wameshaelewa mtu waliomkabidhi hawezi kuwafikisha popote ndio maana wanataka ajitoe..sasa we tuambie mwanachama anatumia kipimo gani kujua huyu mtu atafanya hiki au hiki zaidi ya ahadi za mgombea wanachama wapo sahihi waliishi kwenye ahadi za mangungu ila ahadi hazijaenda kama walivyotaka sasa wanachama unawalaumu kwa kipi
@MashakaMpuruti-di9dc
@MashakaMpuruti-di9dc 26 күн бұрын
Huyo alikua kiongozi alifell zaidi mpaka ka fukuzwa akosa ubunifu amebaki kutamani nafasi yakazi hawezi pata
@SimonSamson-wp5ik
@SimonSamson-wp5ik Ай бұрын
Mo anawaburuza 😂😂
@HabasuFamily
@HabasuFamily Ай бұрын
Kuna wanaoburuzwa na gsm lkn cc kimyaaa walifanya uchaguzi mtu na ukuta lkn cc kimyaa
@danielelikana2615
@danielelikana2615 Ай бұрын
Hakika Kaduguda unaongea ukweli kabisa!! Wanachama wa Simba ndo Mapoyoyo kabisa!..mgombea anawaletea Manzoki na kulishwa pilau bila hata kufikiria, mnampa uongozi...upuuz kabisa!!
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Ай бұрын
Tatizo kubwa linaloikabili Simba ni udalali unaofanywa na baadhi ya wanaohusika na USAJILI Wakala wa mchezaji asipokubali komisheni (kutoa cha juu)basi mchezaji wake huyo hata awe Bora kiasi gani. HAWAMSAJILI Na endapo watakubaliana kwa ahadi ya uongo(asipowatekelezea)baada ya kusajiliwa, humfanyia sokomoko alimradi mchezaji huyo aweze kufukuzwa ADUI WA SIMBA NI SIMBA WENYEWE!!!
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Shida ni tajiri,umsajiri vizuri,halafu unauza wachezaji fedha kibindoni tajiri hamna hapo
@jonathansirkintungi7434
@jonathansirkintungi7434 Ай бұрын
Kaduguda nilifikiri una akili kumbe huna. Wewe ulitakiwa kuwaelimisha wanachama kwa nini dewji ni mwenyekiti wa bodi. Kumbe na wewe hujui kuwa huyu ni mwenyekiti wa bodi kwasababu ana hisa nyingi kuliko mwanachama yeyote. Hiyo ni sheria ya makampuni pia ipo kwenye katiba. Sasa wewe unataka kupotosha watu kuwa wenye asilimia wengi kwa maana wanachama ndio wanatakiwa kuwa wenyeviti ni kosa. Soma sheria ya.makambuni kwenye hisa utajua ukweli.
@peterbayo4677
@peterbayo4677 25 күн бұрын
Kaduguda "Amesema mashabiki njanja, blaablaa, elimu ndogo, wanashabikia vitu vya kuhunihuni!!! Wanachama mbumbumbu, halafu oyaoya!!!!" Huu ndo ukweli mchungu!!!!
@JumaLugendo-rk3rp
@JumaLugendo-rk3rp Ай бұрын
Timu ilipokuwa chini ya wanachama tunajua ilikuwa inafanyaje na mafanikio yake tunayajua tuliitwa wa Mchangani, lakini pia tangu Mo dewji aingie Simba tunajuaaa Simba ilipo mpaka kuogopwa barani Africa, Mzee kaduguda Mpira unataka pesa sio hayo maneno yako hivi kweli kama wewe sio Mbumbumbu pia unawezaje kusema Mwenye 49% asiwe na sauti wakati nyie wote mpaka mabakuli majungu mna 51% kwa Elimu ya hisa Mwenye 49%lazima awe na sauti tuu
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 Ай бұрын
Kweli baba tunaomba utusaidie kuling'oa lile lizee
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah Ай бұрын
Kweli.kaduguda.mangungu.hana.uwezo.
@Elihurumamathew
@Elihurumamathew Ай бұрын
Kwanza mzee anatakiwa atuombe rathi sisi wana yanga mbumbumbu niyeye na wanasimba wenzake sisi kila kitu kikowazi na sawa busara nikuisemea timu yake ndiyo yenye matatizo kwa sasa sisi tunazidi kwenda juu hivi ndani ya misimu 2 tumeshinda makombe yote ya nyumbani tumecheza fainali ya shirikisho na tumecheza robo fainali ya club bingwa naanajua tulitolewa kwa makosa ya waamuzi mzee angezungumzia kuhusu mengine sawa ila sisi atuache sisi niwakubwa kuliko wao mataji 30 yaligi kuu mpaka raisi wa Fifa anatujua nakatupongeza simba wa yuda tupishe angaikia madunduka fc😏😏😏
@righitkileo
@righitkileo Ай бұрын
Ila kusema.ukweli kama inqewezekana tunqepata mwekezaji mwinqine ila huyu Mo hamna.kitu. Yaan huyu jamaa simba haiwez toboa
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Kilomoni mwingine huyu hapa
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Huyu mzee siku hizi mimi simuelewi
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
​@@fredrickipembe8188😂😂😂 kama alivyokuwa hawaelewi mashabiki oya oya
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv Ай бұрын
Anasema ukweli mashabiki awajielewi
@nadulabudodi1816
@nadulabudodi1816 Ай бұрын
Mzee mwenyewe amekaa jujuu TU kama kabanwa na mavi😂😂
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 28 күн бұрын
Duuuu kwwelii ni mambumbu
@chemstry409
@chemstry409 Ай бұрын
Mashabiki MBUMBUMBU....😂😂😂
@abdulhamidnjovu6031
@abdulhamidnjovu6031 Ай бұрын
Mtangazaji ana 'bore' sana...anaidharirisha taaluma kwa kutojipanga wala kuelewa mantiki ya hoja za anayemuhoji!
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 Ай бұрын
Kwl mzee wanachama wengi ni mambumbumbu ndio maan tuliletew Manzoki kwenye uchaguzi halaf wakawachagua leo wanaanza kulialia
@user-it3im4di4q
@user-it3im4di4q Ай бұрын
pale simba tatizo ni moooooooooooo hawa wengine ni mbuzi wa kafara tuu
@davidfelician2903
@davidfelician2903 Ай бұрын
simba wamekosa watu wa mpira walifeli hata kusajili watu .nashauri body iondoe viongozi hao wote wasiokuwa watu wa mpira.
@IsraelMakwabulo
@IsraelMakwabulo Ай бұрын
Huyo Kaduguda hana jipya, aliongoza Simba lakini haikufika popote, kila mara kulialia tu eti ana vaa suruali ya kitambaa. Sasa ulitaka jeans nani akununulie? Mpira ni pesa wewe kutembea na sarafu mfukoni huna hata noti moja wa Nini?? Mpira pesa baba wewe Lia tu , tafuta pesa urudi Simba. Unasimanga wenzio bila kusema wewe ulipats taji Gani??
@user-le3wy6ug7m
@user-le3wy6ug7m Ай бұрын
🙏🙏🙏
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Acha ujinga kwani nyie ndo wachumia tumbo.Mnapinga kuongozwa na wenzenu
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 Ай бұрын
Huyu mzee njaa inamsumbua sasa anaweweseka anatembea kwenye vituo vya redio kuichafua Simba.
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 Ай бұрын
Anadhani kuingia nusu ninkazi nyepesi, nenda ulaya arsenal mpaka leo hana kombe la champions league
@ChalambaMrisho
@ChalambaMrisho Ай бұрын
Kwa nini zisiwe clabuni, zinawekwa Ostabee
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd Ай бұрын
Liverpool imekaa miaka mingapi hata kuchukua tu ligi
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv Ай бұрын
Mtangazaji mpe muda wa kujieleza unakua kama mangungu wa media
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
MO Mangungo Tray again wote wapigaji
@nimlambangu2771
@nimlambangu2771 Ай бұрын
Kawekeze katika kutuelimisha maarifa uliyonayo wape basi na wengine
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Ай бұрын
Mwandishi mjinga hujui kitu
@chemstry409
@chemstry409 Ай бұрын
KADUGUDA ANAONGEA KWELI TUPU....
@Mkazially
@Mkazially 23 күн бұрын
Basi tunaowaombea wawe hivyo hivyo wasifike polite daima dumu ligi hii itakua 10 on aggravate
@user-ne5ff1lj1o
@user-ne5ff1lj1o Ай бұрын
Human jipya
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 Ай бұрын
Sasa kwani Kaduguda si aliwai kuwa kiongozi pale Simba alifanya nini cha maana
@emlongetcha88
@emlongetcha88 Ай бұрын
UNALILIA KATIBA YA SIMBA BADALA YA KATIBA YA NCHI... NAWEWE NIMJINGA TU KAMA WAJINGA WENGINE
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 Ай бұрын
Kweli mzee mashabiki wa Simba mbumbu wanafuraiya kitu chakijinga mo kaongea mtandaoni wao wanafuraiya mwiteni mo aje mkae kikaopamoja siokuongea mitandaoni mnajifanyamnajuwa hamjuilolote ndiomaana mnapingwa namtapigwa kilasiku Sasa mo kaludisha viongozi walewale mnafuraiya ligi ikianza hatumtaki furani hamuoni hapo mashabiki mnashida kazi mnakaa kwenyemidia mnatukana viongozi huu Sasa ndiowakati wakukutana na viongozi kwapamoja nakuongea ukweli
@BensonKelvin-tr7ul
@BensonKelvin-tr7ul Ай бұрын
Hii ndimu anayo isema 😂😂😂😂 bila D mbili utoboi 😊
@vicentjuliusmbalamwezi3687
@vicentjuliusmbalamwezi3687 Ай бұрын
Mhuni tu anataka kutuvuruga tu naona ,Wakati wake alifanya nini ?Hatua hiyo tuliyopo amewahi fika,?Aache kutumika na wahuni wenzake
@user-ct3wy7el3e
@user-ct3wy7el3e Ай бұрын
Mzee unatuvujia heshima kutuita mambumbu wewe ezizako umefanyann
@AndrewShayo-np1sy
@AndrewShayo-np1sy Ай бұрын
Wanachama wana shilingi ngapi? Wewe mpigaji tu.
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Ай бұрын
We mzee huna akil
@shaurichapote1138
@shaurichapote1138 Ай бұрын
Mzee wangu kwa heshima yako ayo mambo ungeachana nayo tu wew kwenye uongozi wako umefanya nini?
@hashimsadiki4389
@hashimsadiki4389 Ай бұрын
Tatizo ni project. Club inaendeshwa kama mali ya mtu binafsi
@Kabeya410
@Kabeya410 Ай бұрын
KWELI ENYIMBA YA JUZI IMEBEBA UBINGWA
@abiolasereman2575
@abiolasereman2575 Ай бұрын
Wewe mzee wivu wewe ushawai kua bingwa tatizo wewe mzee umeferi
@user-ht5tc5yv5t
@user-ht5tc5yv5t Ай бұрын
Wanasimba mtaendelea kuporomoka kila siku mkiendelea kukaza fuvu, na saiv mnafurah et mwakan mtabeba kombe kisa moo karud lkn mwakan baada ya msimu kuisha mtagombana hivhiv make hamjielew
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Ай бұрын
Mbna Kuna Tim kubwa zinaixhia robo acha njaa
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Ай бұрын
Una mpila wa making wakat wew Ni kiongoz uliipeleka WAP ximba
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
MBUMBUMBU 😂 TENA OYAA OYAA😂😂
@saxannjo6173
@saxannjo6173 Ай бұрын
Mashabiki NJAA na kina MZARAMO,,,,KISUGU,,,😂😂
@lusajomwasumbwe2735
@lusajomwasumbwe2735 Ай бұрын
Huyu mzee mwanzoni sikumuelewa ila kaongea point sana
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah Ай бұрын
Mo.hana.tatizo.si.anatowa.hela.zake
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
KADUGUDA UKO VIZURI NAKUFAHAMU
@shukurually8769
@shukurually8769 Ай бұрын
Kiukweli hata mimi nasema tatizo la simba ni wanachama na mashabiki
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Ай бұрын
Kaduguda ww mwenyewe mwanachama kwa hiyo na ww ni mbuumbuu tuu si mwanachama
Mangungu Awataja Wasaliti Wa Simba | Alikana Tawi la VIP
15:52
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 65 М.
SIKILIZA MADINI YA MWINA KADUGUDA MECHI YA YANGA Vs SIMBA MUDA HUU
47:14
Daily News Digital
Рет қаралды 27 М.
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 8 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 51 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 4,4 МЛН
MCH. MSIGWA KAACHA PENGO CHADEMA, ALITUDEKEZA "NYALUSI "
4:56
NURU DIGITAL TV
Рет қаралды 2,8 М.
SAKATA LA MANULA LIPO HIVI l MAHAKAMA YAMUONDOA HERS YANGA
KISSFM TANZANIA
Рет қаралды 22
KADUGUDA AFUNGUKA NKWABI KUONDOKA SIMBA/NA YEYE KUACHA UWENYEKITI SIMBA.
4:14
സ്വീകരണ സമ്മേളനത്തിൽ നടത്തിയ പ്രസംഗം
25:11
KADUGUDA AFICHUA UNDUGU WA SIMBA NA YANGA/KAMWE AWAPATANI.
2:46
Kalunduka Online
Рет қаралды 4,3 М.
Ronaldo Vs Other Players ☠️
0:42
ENBYAENGN
Рет қаралды 13 МЛН