Рет қаралды 7,814
Juni 12, 2024 manoari kubwa ya nyuklia pamoja na meli vita 3 za Jeshi la Wanamaji wa Urusi zimeingia nchini Cuba katika bandari ya mji mkuu wa Havana uliopo kilomita 145 kutoka fukwe za Florida, nchini Marekani.
Japo mamlaka za Cuba zimedai kuwa ujio wa meli hizo ni ziara ya kirafiki itakayohusisha mazoezi ya kijeshi, wachambuzi wa mambo wameeleza kuwa kitendo hiko cha Urusi kupeleka meli vita hizo inaikumbusha dunia mgogoro wa Cuban missile crisis wa mwaka 1962 kati ya Marekani na Jamhuri ya Kisoshalisti ya Usovyieti wakati wa vita baridi.
Mamlaka za Marekani zimesema tayari zimetuma ndege na Meli vita zake kufuatilia mienendo ya meli vita hizo za Russia.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.