Haleluya asante Mungu nisaidie kwkupitia maombi haya iman yangu ikakue kwa viwango vya juu katika jina La Yesu
@frankngonyani1679Ай бұрын
Amen 🙏
@AnnaMahuvMbongo5 ай бұрын
Asante kwa kunilinda ucku, nzima wa leo nilienda pia ucku huu niepushe nandoto mbaya AMINAAA.
@ClaudeBulambo-s7qАй бұрын
Eee MUNGU wangu niongezee roho ya kuomba ndani ya roho yangu Amina.
@nicodemianarose5216Ай бұрын
Ameen Malaika wafanye kituo ktk nyumba yangu
@MilghaneNyariАй бұрын
Mungu wangu ninakuomba unilinde mm,mume wangu na watt wangu ukatulinde na damu ya yesu itulinde Amina
@VannismokeiraNyakundi Жыл бұрын
Mungu unilinde mimi n watoto wangu usiku huu ktka jna la yesu
@tenaaaten847011 ай бұрын
Amen 🙏
@zenaicenjau95266 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@SoosanOmanАй бұрын
Amen
@IreneUrassa-d9gАй бұрын
Jina Yesu, herufi kubwa mpendwa sio herufi ndogo
@VailethBulaitoniАй бұрын
ahsante bwana yesu nilinde usk uhu waleo na watoto wangu na ndugu na wazazi wangu katika jina la yesu ameeni🙏🙏🙏🙏
@evekamuswekere2039 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@hawaomary1641 Жыл бұрын
Amen Amen
@VailethBulaitoni2 ай бұрын
eeebwana yesu naomba unilinde katika usk uhu was Leo pamoja na watoto wangu na wazazi wangu na ndugu zangu Ameer🙏🙏🙏🙏
@monicaamosi6102 Жыл бұрын
Amen🙏🏻
@VailethBulaitoniАй бұрын
mungu nilinde usiku uhu nawatoto wangu na ndugu zangu na wazazi wangu katika jina la yesu ameeni
@RoidaLeopord-fi1fv10 ай бұрын
Mungu naomba utulinde mimi na wazazi wangu na ndugu zangu wote KWa damu ya Yesu. Aminaaa
@VailethBulaitoniАй бұрын
emwenyezi nilinde katika usku uhu wa Leo walinde watoto wangu wazazi wangu na ndigu zangu katika jina la yesu ameeeni🙏🙏🙏🙏
@VailethBulaitoniАй бұрын
emwenyezi mungu nilinde usk uhuu walinde watoto wang pamoja na ndigu zangu na wazazi wangu katika jina la yesu ameeni
@pendomwaringa75973 ай бұрын
Ameeen Ameeen damu ya yesu ikanifinike mimi pamoja na familia yangu🙏🙏🙏🙏🙏
@monicadittu25543 ай бұрын
Msombi mazuri jaya ya usiku nitalindwa na damu ya yesu usiku huu amen
@HopeJoyce-f4nАй бұрын
Asante Mchungaji kwa maombi mazuri Amen
@nicodemianarose52163 ай бұрын
Ameen Mungu naomba unilinde Damu ya Yesu inene mema Malaika wanilinde mkmi na familia.yangu
@SoosanOmanАй бұрын
Amen
@AquileraKaria9 ай бұрын
Mungu wangu unilinde, damu yako eeYesu inifunike na wanangu wote. 🙏
@Reema12-v5j6 ай бұрын
Ameni nakuomba Mwenyezi Mungu unilinde mimi na watoto wangu usiku waleo malaika wakafanye kituo kwenye chumba changu nacha wanangu amin
@rosemhina611410 ай бұрын
Bwana Yesu nilinde na watoto wangu kwa damu yako ya thamani usiku wa leo na naomba uniamshe salama nikiwa mwenye nguvu na marina ya kufanyakazi upendavyo. Amen !
@nicodemianarose521612 күн бұрын
Ameen Naomba Damu ya.Yesu inilinde nakunifuka Malaika waweke ulinzi ktkt nyumba yangu
@CarolyneNerimaАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏Asante Bwana yesu be blessed mtumishi wa Mungu
@VailethMwaisumo-z5nАй бұрын
Ameen napokea mtumishi wa bwana ubarikiwe.nami nimebarikiwa usiku wa leo.Ameni
Mungu nilinde na watoto wangu na family yangu kwa ujumla 4:13
@akonkwaclemence25404 ай бұрын
Ubarikiwe Mutumishi wa Mungu na maombi hii ipate kibali kwa Yesu 🙏🙏
@AdelaNgeni4 ай бұрын
Asante mchungaji mungu akubaruki sana,na adui hawezzi simama kwa jina na damu ya yesu.amina.
@AncyMerci-un2nu Жыл бұрын
Âmen 🙏 Damu ya Yesu naomba utufunike mimi na familia Yangu popote wa Lipo katika Jina la Yesu kristo 🙏
@RabyDolvin-sp4fh28 күн бұрын
Mungu anilinde Mimi na watoto wangu na ndugu zangu watoto wangu mume wangu kazi zetu zote 1:51
@LevinaSlivanus9 ай бұрын
Eeeee mumgu naomba ukanipe furaha uniondolee machozi yakila mda, naomba uniondolee roho ya wasisi, umauti, naomba amani juu yamoyo wangu,nirudi kwenye khar yangu ya ubinadamu, nirindie wanangu nakiumbe changu nilichobeba, nilindie wazazi wangu, nilindie mwanaume wangu na mahusiano yangu amina🙏🙏🙏
@ConsolataSanga-eq4md2 ай бұрын
Mungu naomba unilinde mimi pamoja na wafoto wangu na nyumba yangu. Amina
@deogratiusdaud3577 Жыл бұрын
Mungu anilinde me pamoja na familia yang tuamk Salam amina 3:23
@nicodemianarose52166 ай бұрын
Ameen Malaika wafanye kituo kwenye nyumba yangu
@GraceTitus-e3z3 ай бұрын
Mungu naomba ucku wa Leo ulinde mtoto wangu uliye nmbariki naye,pia nami,utuepushe na doti baya,amina
@jeannetteekosila-vl3ku7 ай бұрын
Eeh Mungu muumba wa mbingu na nchi ni rehemu Kwa yote nilio ya tenda, na unilinde pamoja na familia yngu yote usiku huu amen
@RehemaJohn-v4e10 ай бұрын
Mungu nilinde mimi na familia yangu usiku huu was leo katika jina la yesu amina
@dfkcic31846 ай бұрын
Mungu nilinde mm na watoto wangu pamoja na familia nzima utufinike na damu ya yesu kristo amen
@estermagige366Ай бұрын
Mungu naomba utulinde mimi na mwanangu na familia yangu wote utuwe salama usiku wa leo mpaka tunapoamka asubuhi tuweze kuamka salama tangu sasa na hata milele yote tunaomba na kushuru tukisema AAAAAAAMEEEEE❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EmanuelSylvester-s8w5 ай бұрын
Ee Baba unilinde na familia yangu Kwa damu ya Yesu, na Malaika wafanye kituo katika nyumba yetu. Amina. 🙏🙏🙏🙏🙏
@dfkcic3184 Жыл бұрын
Amen..yesu nilinde na familia yangu.. barikiwa mtumishi wa Mungu
@RrShd-vq1xy Жыл бұрын
Amen 🤲👏🙏🙌 yesu nilinde na family yang... Mungu bariki mtumishi wako
@nicodemianarose52163 ай бұрын
Ameen Damu ya Yesu inikinde Malaika wa afanye kituo ktk nyumba yangu
@EsterCharlesKibili5 ай бұрын
Ee Mungu wangu nawakabidhi watoto wangu mikonon mwako na ndug zangu na taifa langu ameen
@AgnessFanuel5 ай бұрын
Naomba mungu unisaidie kwa wale Ninaowasadia wajue mimi Ni mama Mguse zuberi Awe na hekima Na Busara kwa damu ya yesu Amen
@AgnessLorry10 ай бұрын
Eeeeh mwenyenzi mungu naomna unilindie mama angu na watoto wang pamoja na watot wa dada angu mdg wang na kaka ang na dada yangu ee mungu naomba usikie ombi langu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nicodemianarose521615 күн бұрын
Ameen Damu ya Yesu inilinde Malaika wafanye kituo ktk nyumba yangu
@TinaNombo7 ай бұрын
Ee Mungu ukunilinde mimi na Wazazi Wangu pamoja na ndugu zangu jamaa na marafiki Damu yako ikatufunike usiku huu Amina
@marianamichael540611 ай бұрын
Mungu naomba unilinde Mimi na Mume wangu Amen
@LauraTalisha-bf8ns10 ай бұрын
MUNGU naomba unilinde Mimi pamoja na watoto wangu usiku wa Leo amen
@Listarmwandenuka-fq8jm Жыл бұрын
Ameeni Tena aminaa barikiwa maraika wazingire maisha yangu usiku wa Leo mm na familia yangu
@نوافالشبرمي-ي4ت Жыл бұрын
Mungu nibariki na unifunike na damu yako takatifu 🙏🙏 penye nakosea naomba msamaha
@AmeenahAnnahZiroh8 ай бұрын
Ee Mungu wangu unilinde mimi na family yangu usiku huu katika jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@FatamaAbdallah5 ай бұрын
Eewe mwenyezi mungu naomba nilinde Mimi na mwanangu usiku wa leo Amina🙏
@KahabiCharles3 ай бұрын
Mungu unilinde mimi na watoto wangu, damu ya Yesu itutee usiku wa leo.
@henritamshai49154 ай бұрын
Mungu nilinde na watoto wangu na mjukuu wangu katika jina la yesu
@SashaJackson-ld3pp5 ай бұрын
Eeeh mwenyezii Mungu naomba unilindie Mimi na familia yang na marafiki zangu na ndg zangu wote dam yesu ikawazunguke pamoja na Mimi naachilia moto ukaunguze kila chama Cha kichawii
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Nakuomba Mungu tukale salama tuamke.kesho.salama kwa Damu ya Yesu
@merrymboya17843 ай бұрын
Mungu nilinde usk wa leo pamoja na watt wangu Amina
@nicodemianarose52167 ай бұрын
Ameeen Damu ya Yesu inifunike na malaika watawale ktk nyumba yangu
@PaulMsinga5 ай бұрын
Mungu naomba unilinde usk huu mm na watoto wangu amen🙏🏻
@MariaNgongoroАй бұрын
Mungu unilinde Mimi na watoto wangu mama yangu utufunike kwa damu ya yesu
@JumaMasudi-n9l Жыл бұрын
Amen mungu awafunike watoto wangu kwa damu ya yesu
@nicodemianarose52165 ай бұрын
Asante Mungu nakushukuru nimeshida salama nilale salama Damu ya Yesu inifunike
@katherinemassawe80539 ай бұрын
Aaamina. Malaika wa Mungu wafanye kituo ktk nyumba yangu na ktk shule za watoto wangu, Mungu atulinde!!! 🙏
@nicodemianarose52162 ай бұрын
Ameen Malaika wafanye kituo nawe Yesu unilinde mimi na familia yangu
@MagrethDavid-d3eАй бұрын
Mungu nilinde na watoto wangu usiku huu pamoja na mume wangu popote alipo
@MerinaLihawa8 ай бұрын
Mungu naomba unilinde siku zote za maisha yangu mimi na familia yangu ktk Jina la YESU Amina
@dfkcic3184 Жыл бұрын
Amen Mungu unilindie usiku huu
@esterpeter2001 Жыл бұрын
Najifunika kwa damu ya yesu usiku huu
@VannismokeiraNyakundi Жыл бұрын
Amen damu ya jesu inifunike pamoja na watoto wangu itufunike usiku wa leo
@dorcasmajela62385 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU akubariki mtumishi wake❤️❤️❤️❤️
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Nakuomba Mungu malaika wa Bwana afanye kituo ktk nyumba yangu
@nicodemianarose52166 ай бұрын
Ameen Mungu nakuomba nilale salamaMalaika wa.Bwana atawale ktk nyumba yangu
@Lainafaustine-e1t9 ай бұрын
Ee Mungu naomba utulinde Usk u huh mmi na familia yangu, na wazazi wangu na yule anaejiandaa kulala umfunike kwa damu yako, tunakataa ndoto mbaya na kila roho zote za giza amina
@Lainafaustine-e1t9 ай бұрын
Kwa jina la yesu kristo Amen
@TinaNombo7 ай бұрын
Amina Eeee mwenyew Mungu naomba ulinzi wako Damu ya yesu ikanifunike ucku wa leo
@MariejeanneLusamba10 ай бұрын
Baba Mungu utulinde mimi na watoto usiku wa leo kwa jina la Yesukristu wa Nazareth ameeeeen
@nicodemianarose52164 ай бұрын
Ameen Mungu nakuomba Malaika wa Bwana anilinde usiku wa keo mimi na famila yangu
@JERADMAKUNDI Жыл бұрын
Amen mungu atulinda
@TheresiaZimlinda-x4f10 ай бұрын
Mungu utulinde mimi wanangu na mume wangu kila iitwapo leo,ktk jina la Yesu
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen nakuomba Mungu wangu malaika wamBwana afanye kituo kwenye malango yangu
@zainakhassim2 ай бұрын
Mungu unifunike mimina watoto wangu kwa damu ya yesu
@jeniphafelix4 ай бұрын
Ehee Mungu nawakabidhi wanadamu wote mikononi mwako wape afaya njema wapate kukutumikia 🙏
@SarahNgataАй бұрын
Ee yesu wangu nilinde mimi na family na mabala yote ya usiku huu
@AgnessEustace5 ай бұрын
Ee MUNGU naomba unilinde mim na familia yangu usiku huu wa leo aminaa🙏🙏🙏
@FaithMaviala-f8fАй бұрын
Hee mungu unisahidie kwahiaobi yaleo ifikie watoto wangu na mamangu
@VELENARWEBUGISA3 ай бұрын
Ee bwana yesu unilinde mimi na familia yangu utufunike na damu ya yesu
@SelinaFelix-gr7og7 ай бұрын
Eee mungu wangu unilinde usiku unifunike Kwa damu yako ulinde pia na familia yangu usiku huu amina
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Damu ya Yesu inifunike mi na fanilia yangu tulale.aslama
@VeronicaRugoyi Жыл бұрын
Mungu Baba utlinde mm na familia yangu utufunike kwa damu yako Baba amen
@cesiliamasumu4328 ай бұрын
Mungu Nifunike kwa Damu yaYesu Ooo kumbe Mungu humpa mpenzi wake usingizi Barikiwa Mtumishi
@nicodemianarose521611 ай бұрын
Ameen Damu ya Yesu inilinde nakufanya kituo ktk nyumba yamba yangu
@TabithaKapande6 ай бұрын
Mungu wangu nawakabizi watoto wangu familia yangu mikononi mwako katika usiku huu wa leo
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Mungu anlinde nilale salama mimi na familia yangu Damu ya Yesu inifunike
@salmaseleman38412 ай бұрын
Mungu baba naomba unioneshe matokeo yangu yaliyo sahihi😭🙏🤲
@KakuleAnicet-jo8vy8 ай бұрын
Amina, asante mtumishi kwa maombi naamini ya kwamba nimelindwa na mungu
@Edina_msele5 ай бұрын
Damu ya yesu kristo imponye kifua na macho mtt wangu
@nicodemianarose5216 Жыл бұрын
Ameen Damu ya Yesu itufunike j kwa jina la Yesu
@jenifasefu1692 Жыл бұрын
Yesu nilinde na watoto wangu na wote wanoitwa kwa jina langu ameni❤
@nicodemianarose52167 ай бұрын
Ameen Damu ya Yesu inifunikie na familia yangu tulale salama
@anarosenicodem5913 Жыл бұрын
Ameen Naomba Mungu malaika wafanye kituo mto nyumba yangu