Amen kubwa Mungu awe nasi siku zote atusimamie kupitia maombi haya🙏🙏🙏
@pamelakodhek4038 Жыл бұрын
Amen. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@neemamustafa Жыл бұрын
Amen mtumishi niombee pia Mimi nira zikatike nikifanya biashara inakufa nipo kenya
@user-ru6pz2dx3m6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa maombi ya nguvu naiwe hivyo kwangu nakata kamba za shetani kwa jina la yesu kristo kila nila zote kwenye shingo ninazivunja kwa jina la yesu kila kwa mwanangu ninazivunja kwa jina la yesu kristo, naamini mizigo yote inaondoka kwangu na familia yangu asante mungu wangu kwa nguvu ya jina la yesu kristo ninajiungamanisha na jinala yesu ameni
@sylviamkanyikakenya624 Жыл бұрын
AMEN Asante mtumishi
@adisabetty217311 ай бұрын
Amiiiina Baba Nderwa. Ondoowa Ondoowa Magonjwa Amiiina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@rosemarymghoi3581 Жыл бұрын
Amen nimekombolewa uzidi kuniombea
@hbwayesuphilibert-lv1kg Жыл бұрын
Aminaaaaa mtumishi
@elishaathumanathuman166 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏 napokeya Kwa jina la YESU kristo amen
@user-ct6hf4hl6e Жыл бұрын
Amen 🙏 naamini nimepona kwa Jina La Yesu Kristo 🙏
@consolataanyambilile-mr5ph8 ай бұрын
Amen Mungu niondolee misalaba mizito ya duniani
@JescaRichard-dz7zo4 ай бұрын
Ameni nimepokea kwa jina la yesu klisto
@HappyAlpineVillage-zz5bc2 ай бұрын
Ameni niomba nimejikuta naaamaninmungu akubariki sana baba
@NeemaMbena-u1e7 күн бұрын
Kwa damu ya yesu ninaharibu kila aina ya nila mbaya ambazo nimefungwa zikaweze kutoka kwa damu yako takatifu ee yesu
@claudinemuhimpundu7940 Жыл бұрын
Amenn
@Mari-si7dr3 ай бұрын
Asante sana pastor nimefunguka
@user-mj3zp5ht3b4 ай бұрын
Maombi ni dawa Amen 🙏🏻🙏🏻
@user-hr9xw8gc3d9 ай бұрын
AMEEN 🙏
@marywaweru6089 Жыл бұрын
Bwana asifiwe mtumishi nisaidie kumwombe mama yangu please nitashukuru zaidi naitwa Mary wambui Kutoka Kenya
@estomiiedward78884 ай бұрын
Napokea majibu ya maombi haya. Mungu akushangilize