Nilikata tamaa baada ya kufuatilia maomb yako nimeanza kusikia aman moyon mwang mungu akubalik baba ameen nipo oman naitaj sana msaada wa mungu pekeang siwez
Amen vizuizi vyote vimefunguliwa Kwa Jina kuu lipitalo Majina yote Jina la Yesu Amen
@gladysonkundi9 ай бұрын
Naombe MAOMBI ya kufungua maisha yangu😭😭😭 katika Jina la Yesu chrito🙏🙏🙏🙏🙏
@Ñancykwqmbokq8 ай бұрын
amen.amen.and.amen❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LinetClementina3 ай бұрын
Mungu wangu nakuomba unisaidie katika maombi yangu ninayo omba amen 🙏
@consolataanyambilile-mr5ph Жыл бұрын
Amen Mungu nimepokea kwa jina la yesu
@LindaNdikumana7 ай бұрын
Amen Amen Amen baba mtumishi napokea uzima uponyaji kwa jina ka yesu kristo🔥🔥🙏🙏
@SaraphinaPeter-rx1sm6 ай бұрын
Amina kubwa pastor mungu akubariki sana
@AnnaValeriani-sh4hq4 ай бұрын
Shetani toka kwenye maisha yangu namkaribisha Yesu Asante Yesu kwa kuniponya...
@ethelmarura56612 ай бұрын
Shetani ondoa katika maisha yangu nimechokaa na vizuizi ee Mungu wangu
@chalemalango88194 ай бұрын
Amina mtumish kweli kabisa nmefurai xnaa kusikie hvy mtumish
@AnjelaKavishe4 ай бұрын
Asante kwa kuniponya maombi yako ni kiboko naomba uniombee nipone mgongo na miguu
@FloraJoel-e1k Жыл бұрын
Naomba maombi ya kuvunja vizuizi kwenye uchumi wangu na afya
@elishaathumanathuman1611 ай бұрын
Amen Amen I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Naomba maobezi ya kuvunja vikwazo kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏👏🙏🙏🙏
@feddymwanga5462Ай бұрын
Mungu naomba uniondplee vizuizi vyote vinavyozuia majibu ya maombi yangu
@DenissMezza7 ай бұрын
Amen mchungaji umenigusa sana kupitia maombi haya naimani nimefunguliwa tarejea katika nafasi yangu katika jina la yesu 🙏🙏
@Lizbethlaban-l2b3 ай бұрын
Naondoa vizuizi vyote kweny maisha yangu ktk yangu
@FarajaKimaro5 ай бұрын
Ameen MTUMISHI na Leo ni mwisho wa shida zangu zote nimechoka kuchezewa maisha na huyu shetani Sasa mm Ni NURU sio Giza tena kwa Sasa na limeshindwa Giza kwa DAMU YA YESU ,BWANA wa MAJESHI NDO KIMBILIO langu Mimi sitamwacha maisha yangu yote .🙏⛪
@fridahmbusa-g5x8 ай бұрын
Mungu naomba kwa uwezo wako naomba uniondolee vifungo viote ambavyo vimefunga hatima za watoto wangu kujijenga kimaisha
@ethelmarura56612 ай бұрын
Niko na imani shamba langu litauzika katika jina la Yesu
@friminakiwale70174 ай бұрын
Shetani achia maisha yangu kwa jina la Yesu
@GraceRaphael-k2e3 ай бұрын
Mungu anikumbuke na atoe vizuiz ambavy adui ameweka mbele yangu nisiolewe na piah mungu amkunbuke mwanang apewe kibal na yehova akubaliwe na ndugu zake piah naktaa kila kizuiz kilichop mbele yake
@tamariamisi35408 ай бұрын
Amen mutumishi wamungu nungu anibariki namiye baba nashukuru kwamaombi nungu akutie nguvu baba niko uganda
@cydohGen10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu acha mungu akutie nguvu...ila nipo kenya na kila nikijaribi kukupigia ninakuta haiendi
@FelisianaMapunda-dw3db8 ай бұрын
Ameen, naomb nifunguliwe katika njia na mafanikio yangu
@Lucy-l8w5n10 ай бұрын
Amen mungu niponye nikutumikie
@irenmendez6 ай бұрын
Najiunganisha na maombi haya navunja Kila vizuizi vinavyo nizuia kuomba 🙏 nakuwa mazito saana Mungu wa Mbinguni anitete
@rehemasilasi29858 ай бұрын
Roho ya kukataliwa naondoa kuanzia leo Amen
@EvaJulius-nr3mx8 ай бұрын
Naomba maombi ya kufunguliwa maisha yangu yapo kifungoni naomba kufunguliwa kwa jina la yesu
@husnamsangi4122 ай бұрын
Asante bwana namshukuru mungu maana ni.euona mkono wa bwana kwamao.bezi haya
@user-qe2lb9ns8h6 ай бұрын
Naomba maombi yakufungua kizazi changu na tumbo langu ka kina la Yesu
@NellyKadenyi-qc3em7 ай бұрын
Nelly kadenyi midikila mungu fungus baba mzazi ndungu zangu wapate kazi
@feddymwanga5462Ай бұрын
Mungu naomba ufungue njia zangu ili nipate majibu kwa maombi yangu ya kuuza nyumba
@faithnasimiyu74556 ай бұрын
Shetani achia maisha yangu kwa jina la yesu kupitia haya madhabahu
@GladysTabu5 ай бұрын
Shetani wacha maisha yangu na Familia yangu tunavunja. Mathabau ya mgojwa yashidwe Katika Jina la Yesu
@FransMlay Жыл бұрын
Sharom sharom asantee kwa maombi nifarijika sana napopata maombi yako mungu akulinde milele
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Mungu sio mungu
@innahathern7 ай бұрын
Nina Imani Naenda Kufunguliwa Amina🙏
@ShakiSkys7 ай бұрын
E mungu nifungue kwa hii Hari ya mikosi,kutengwa,na kutofanikwa kwa Kira ninacho kipanga vikwazo vimekuwa vikwazo na medeni e baba nimekuwa mtu wa omba omba Kira sehemu 😢 baba nimechoka na hii ari 😭😭😭😭
@friminakiwale70173 ай бұрын
Roho za madeni naziondoa kuanzia leo kwa jina la Yesu
@MagrathOmmary-lo4xc Жыл бұрын
Pasita wangu mungu akubaliki sana kwa maombi
@AshaHalidi-b6hАй бұрын
Amen asante mungu Kwa maomb
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Mungu akui nue sana
@AncyMerci-un2nu10 ай бұрын
Amen Amen 🙏 yaani haya mafundisho yananiusu mm kwa kweli yaani chetani amepitiya watu ambao naishi nao ili iniondoe kwa Mungu
@AnnaValeriani-sh4hq4 ай бұрын
Roho ya vizuizi naikataa kwa damu ya Yesu...
@RajabuHidaya9 ай бұрын
Najiungamanisha kwa jina la Yesu.
@emmyemanueli4 ай бұрын
nimeona udhiirisho wa mungu nashukuru sn adui alikua ananinunia bila sababu leo amenitafuta na kuniomba msamaha
@ElizabethChristian-yg4jx5 ай бұрын
Ameni mtumishi
@FlorahKiseli8 ай бұрын
Naomba maisha yangu yapate kunyook
@اال-خ2ت8 ай бұрын
Amen maombi nidawa🙏🙏
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Kila vikwa kwa Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@HappyAlpineVillage-zz5bc6 ай бұрын
Eeeeeee Mungu naomba vizuizi viniondoke kwajina layesu
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Naomba maobezi ya vikwa JINA LA YESU christo amen baba 🙏
@macfadyneminja10 ай бұрын
Nimeguswa sana na haya maombi siku zote. Barikiwa Pastor Amen
@feddymwanga54622 ай бұрын
Vizuizi vyote vinavyo zuia majibu ya maombi yangu niondoke kwa Jona la Yesu
@MargaretKabibi6 ай бұрын
Naomba niondolewa kizuizi Cha mafanikio na afya
@valentinanduku87189 ай бұрын
Amen asante Yesu
@MarthaRichad Жыл бұрын
Amina mtumishi
@DonatienDunia Жыл бұрын
🙏Amen , pasta hii ni yangu kweli 🧎🧎🧎🧎🧎🧎
@OlivaElias-vv7jf10 ай бұрын
naomba mungu afungue maisha yangu nadoa yangu
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Powerful prayer imenikuza kwa roho yangu kabisa nashukuru mtumishi wa mungu, from kenya
Kila vizuizi vya kila aina vinavyo tuzuilia Kwa kila namna iwe nikutokupata kazi,kutofanikiwa,kutokuwa na amani upande wangu na wànangu popote walipo vishindwe Kwa jina là Yesu Amina
@alisiageofrey62272 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana baba
@veroniquenizigiyimana8648 Жыл бұрын
Amen Amen Ulivyo kuwa unaomba nimebisikiya mikono yangu kutetemeka Sana alafu ika aciya Nika hisi moto kwenye vitanga bya mikono nasukuru Sana kufunguliwa
Navunja kila vizuizi vinavyozuia mwanangu asifanikiwe kwenda masomono,eeh mwenyezi Mungu nisaidie
@gracekayandakayanda3428 Жыл бұрын
Amen 🙏🤲🙏 Duuuuh Nimepokea Kwajina la Yesu🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mzungubayyo95592 жыл бұрын
Amen nafanikia na mwanangu atapona kwajina la yesu
@Ñancykwqmbokq5 ай бұрын
amen.amen.and.amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@magrethjoseph46234 ай бұрын
Shetani hauna tena nafasi kwang damu ya yesu inifunike
@RajabuHidaya9 ай бұрын
Jamani Mimi ninaishi kijijini huku watu wengine Ni wapaganituombeeni na sisi watu wafunguliwe na huku.
@lydiamakenge561311 күн бұрын
Napokea
@breakingnewstz83969 ай бұрын
Navunja vikwazo na vizuizi vya ujenzi wa nyumba yangu kwa Damu ya Yesu
@TheAngelofGod-b1q9 ай бұрын
Allelujah nilipokua katikati ya maombi nikayaona matendo makuu ya bwana nilikua nimeeka earphones nikijiunga na apo tulikua tukipiga na bi boss ambaye ni mpinga kristo thn akawawa ansfry potato yakaungua zote alipoeka Kwa zahani zote zikaanguka nakumwagika
@elishamafulu106 Жыл бұрын
I received i received
@abm14987 Жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏 i receive my miracle
@Lizbethlaban-l2b3 ай бұрын
Ameen Ameen
@lilian4624 Жыл бұрын
Kweli kabisa,nimeguzwa sana
@matildaff67282 жыл бұрын
Amen mtumishi 🙏🙏
@elishamafulu10610 ай бұрын
Naomba maobezi ya kufunguwa vizuizi katika maisha yangu Kwa jina la YESU christo amen
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
@emiliana52182 жыл бұрын
Aminaaaaa nimebarikiwa
@feddymwanga5462Ай бұрын
Shetani ondoka kwenye njia zangu zo maombi ya kuuza nyumba yangu ya Arusha. Navunja kila kizuizi chako cha kuzuia majibu ya maombi yangu kuhusu hili swala pamoja na maombi yangu ya kupata miradi SIHA
@lisalisaaa4902 жыл бұрын
shalom 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 be blessed paster for the powerful prayer 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@elishamafulu106 Жыл бұрын
I received
@MerryMussa-n3z Жыл бұрын
Naomba huniombee kila kizuizi hambacho kinanifanyi nisipate mtoto