Bwana Yesu asifiwe maombi yako yamenibariki sana .Nimeshambuliwa na roho ya magonjwa..Nahitaji msaada Kila hospitali nimeenda bila kupata uponyaji
@maulinemakungu5322Ай бұрын
AMEN 🙌🙌🙏
@JulitaAndrea-nu6pzАй бұрын
Asante mtumishi wa Mungu Kwa maombi yako
@NeemaMbena-u1eАй бұрын
Mungu niponye magonjwa yote ambayo yananiandama nikawe Salam kiafya kwa damu ya yesu kristo
@ggfghh6220Ай бұрын
Amen amen in jesus name amen
@LinetClementinaMajanjaАй бұрын
Amen amen 🙌🙌🙌
@StevenSimon-c4nАй бұрын
Mtumishi ume niponya niku kweli nilikuwa nina shida ya ugonjwa wa moyo tangu mwezi wa kwanza hila nilivyo anza kuku fuatilia wewe ume niponya.Asante sana uwe na maisha marefu ❤❤
@MoureenegeizaАй бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
@zawadiz482Ай бұрын
Amen amen
@StevenSimon-c4nАй бұрын
Amen
@user-gg2zb1qb1eАй бұрын
Amina
@flavianamayutta4619Ай бұрын
Amen na asante sana Pastor
@patriciamulokozi5703Ай бұрын
Mungu niponye magonjwa niliyo nayoSukari Kikohoz mafua
@user-hu9nm2ii2eАй бұрын
Amen 🙏
@user-ng6yt2od7lАй бұрын
Nimepona macho na ata tumbo na chembe ya moyo itapona kwa imani in name Jesus Amen
@user-ng6yt2od7lАй бұрын
Mungu kupitia mazibau hii nataka nipone chembe ya moyo na niwe na hamu ya kula tumbo lipone kabisaa in name Jesus Amen