😢😢😢😢😢😢mtoto nimdogo nikiwa kama mzazi jamani nimejikuta nalia kila nikifikilia maumivu anayopitia huyo mama mungu afanye wepesi mtoto huyu apatikani akiwa hai
@latifamubba100Ай бұрын
Atujui anapitia shida gan anakula nn masski au laiya mwema wame muokota
@israelkisaila8401Ай бұрын
ACHA LEO USIKU NIMLILIE MUNGU KWENYE MAOMBI YANGU,HUYU MTOTO APATIKANE KWA UTUKUFU WAKO MUNGU WETU😭😭
@DantaataАй бұрын
Mungu awe mkombozi kwa hili,, usiache kufanya hivyo,,
@maswamills3161Ай бұрын
Amen.
@israelkisaila8401Ай бұрын
@@Dantaata AMINA,AMINA
@siwonikewilliam9146Ай бұрын
Amina
@juliethmagezi3104Ай бұрын
AMINA... MAMA BIKIRA MARIA NAKUOMBA,NAKUSIHI UMSAIDIE KAMA ULIVYOMLINDA MWANAO BWANA YESU NA HERODE
@Princess-g4u-i1vАй бұрын
May God protect him wherever he is...watching from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mariyamgharib940Ай бұрын
Allah ajaaliye wepesi aonekane Inshaa Allah kwa utukufu wake🙏
@ireneshao7950Ай бұрын
Amen na Mungu ajalie apatikane akiwa mzima
@FatumaMuya-w5hАй бұрын
Amiin Allahumma Amiin
@YOUSUFHUGUGUАй бұрын
Allahumma Amiin 🤲
@ReginaMsoka-pj4jcАй бұрын
Ee Mungu tunaamini hujawahi kushindwa na jambo lolote, tunakuomba baba umlinde huyu mtoto, damu ya Yesu imlinde mtoto wetu apatikane akiwa salama, Ameen🙏
@HappyShirima-k9tАй бұрын
Ameen😢 roho inaniuma sana kwakwel kwanin matukio kama haya yamekuwa too much ohooo my God nakuomba mtoto huyuu apatikane akiwa hai na afya tele Ameen🙏
@sarahmollel8458Ай бұрын
Daah mungu 2nakuomba funguwa njia pasipokuwa na njia mtoto huyu apatikane hakiwa hai mungu ww unaona machungu ya wazazi wa huyu mtot mung watendeee wajuwe ww upo na utazidi kuwepo kwa magumu wanayopitiya kwa sasa mungu tendaaa jamboo mojaaa
@JoyceMwita-e3wАй бұрын
Jamani tumbo la uzazi limeuma Mungu fanya sasa kibinadamu tumefika.mwisho
@ElizabethMlauleАй бұрын
Hapo tafteni wazee wa kimila mtoto anapatikana
@israelkisaila8401Ай бұрын
MIMI NDO NAWAZA HIVYO PIA JAMANI😢
@kale_magaАй бұрын
mnawakumbuka kwenyeshida
@IYEGU-p3nАй бұрын
Matukio haya yanatokea zaidi mkoa wa arusha ,na dodoma kunanini huu mwaka naomba tuzidishe maombi mungu anusulu watoto
@erikalutevele8362Ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati natamani sana nisikie kesho kapatikana akiwa hai jamani maana hawa wazazi wanamaumivu yasiyoelezeka
@enalahantony2691Ай бұрын
Yupo Mungu asikiaye maombi yetu tunaomba mtoto apatikane maana hatuna bwana mwingine tunakuita wewe uliyeumba mbingu nanchi utusaidie mtoto apatikane Amina
@SarahLetionАй бұрын
Mungu wangu wewe ni mwaminifu sana kila tunapokuomba unasikia mlinde huyo mtoto kwa jina la Yesu Kristo apatikane akiwa hai kabisa.
@kobylwaho3191Ай бұрын
Mungu asimamie hili😢😢mlima.kwaraa una chatu wanaotoaga sauti kubwa sana hivyo tunaomba Mungu sana awe hai
@MalikiHuseni-f8dАй бұрын
Allah ndiy mlinzi bilayashak atapatikana kwauwezowa Allah amjaalie uzima🤲🤲🤲
@FurahaRyanaАй бұрын
Mungu msaidie uyo mtoto apatikane akiwa hai Mungu wewe ndie mwenye uwezo saidia Mungu wa mbinguni kwa hili ingilia kati Asante Mungu utatenda sawa na mapenzi yako Amina
@nsajigwamwakalonge5702Ай бұрын
Mungu ndiyo kampoteza?
@claudiangowi9628Ай бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702shenzi kabisa wewe, pumbavu kabisa
@teachingtruthmission2140Ай бұрын
Dah Bwana awape uvumilivu wazazi hili jambo Mungu pekee anaweza fariji
@OfficialA83640Ай бұрын
Eeh Mungu wng jaman kwani kuna wadudu wakali au vp kwann apotee mlimani Subhannallah 😢
@rehemaathhmani357Ай бұрын
Mungu amlinde huko aliko awe kwenye hali salama 🤲
@ReginaUshakyАй бұрын
Baba Joel pole mungu akupe nguvu.mwenyez mungu tunakuomba umlinde huyu mtoto Kama ulivyomleta duniani na Leo hii umlnde apatikane mzima
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
Mtoto atapatikana kwa jina la baba MUNGU 🙏♥️
@esthermichael3989Ай бұрын
Mungu aendelee kufanyika faraja kwenu wazazi jamani, pia Mungu awasaidie apatikane akiwa salama.🙏🙏
@Ashreystar8465Ай бұрын
Mm nahisi walikua wanataka kutoa kafara hao,maana haiwezekani kabisa watoto kuwapeleka pori lenye wanyama wakali kisha unasema hakuna wanyama wakali,hio shule ni kuihama kabisa,
@sophiemsuya6507Ай бұрын
Mungu msaidie mtoto wako aonekane. Huu ni mfano mzuri na ndiyo umoja wa kitaifa.
@Emakulatageorge-kt7kzАй бұрын
Hv haiwezekan wakawa wanapishana nae kwl😥,,,ee Mungu tunakutegemea katika hili🙏🏾
@nicethgabriel3319Ай бұрын
Siku nne msituni awe hai, mmmnh tuseme tu katoroka kaenda Sehemu labda
@JosephKingwereАй бұрын
Mungu kaonekanike juuu ya hili la huyu mtt 😢 akaptikane daaah
@MillenMlayАй бұрын
Tafuteni na wachungaji waende wakaombe kwenye hiyo sehemu alio towekea...kuna vitu vingine macho yetu ya nyama hayawezi kuviona mpaka Mungu ahusike...
@evelinakambanga5122Ай бұрын
Mungu mludishe mtoto huyo akiwa salama
@kale_magaАй бұрын
ewe mwenyezingu naomba upokee yangu uyu mtoto ambae kwngu km ni mdogoangu naomba apatikane akiwa hai na afya njema
@neemachavala6553Ай бұрын
Jaman kaenda wapi uwii
@RahemaJumanyАй бұрын
Mungu tenda miujiza kwa huyu mdogo wangu jmn audio tu huko Alison maana ni mtihani wallah😢
@mejumaamwachirero7324Ай бұрын
Maskini wazazi Poleni sana ,ila mi mwenzenu Kiswahili muhifadhi msaidizi ndo nani ntahama Kenya nende TZ nkasome kiswahili
@aliciamwalimu582Ай бұрын
Msitoe sasa mipango mkakati kwanza jmn kama kuna wabaya mnawapa mbinu mpya,mungu asimame ktk hili😢
@vickyjoseph1921Ай бұрын
Mama wa mtoto ingia kwenye mfungo wa maombi huku juhudi zikiendelea
Wale mbwa wa kijesh huwa kaz yao nn au dharau angekuwa ni mtoto wamkubwa je helcopter ingezunguka apo na mbwa
@huyu1993Ай бұрын
Kwa nini mnapenda kuilaumu serikali? Kila kukicha yakitokea matukio mojakwamoja mnailaumu serikali wacheni chuki binafsi
@dianajohnson7268Ай бұрын
@@huyu1993ilibidi serikari itoe wanajesh ndio wamtafute mtoto wewe vip
@helencyprian8745Ай бұрын
Kazi yao kudeal na chadema tu
@rahmaihucha8577Ай бұрын
sio kulaum bali wao ndio kimbilio letu na ndo ulinzi wetu,,unataka tumwambie nan???,,,hata wew nyumban kwako Je unapenda mwanao/ mtoto wako akaelezee njaa yake kwa jiran yako kabla ya kuongea na wew????@@huyu1993
@JosephineMegoraАй бұрын
Kweli kabsa.
@asharamadhani6101Ай бұрын
Wewe sio mtu mpaka useme huongo hiwapo umesema utatenda basi mungu weka njia pasipo na njia
@vero57Ай бұрын
Hana simu munge track simu yake, au tumieni dron kumuangalia , eee MUNGU tusaidie BABA mrudishe mtoto salama 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@Fatima1234-wl1nuАй бұрын
wee nae kwana umesikia anasema chuo hd amiliki simu?
Hivi kile camera kinachoruka kama ndege hua akiendi misituni? Mngejaribu labda ingesaidia Eeh Mungu mlinde mtoto joel
@HappyMwandiga-lo7geАй бұрын
Eeeh Mungu fanya wepesi mtoto apatikane akiwa salama 😭
@AshuuuBakariАй бұрын
Yaani hii stori jana sijaisikilliza ikaisha leo tena naumia siku 4 daaah aisee wazazi hawa mioyo yao inawaka moto duu
@gracemwagangeАй бұрын
Polen sana Jamani Mungu aendelee kumtetea popote alipo Jamani
@Fatmashilinde-nu4fjАй бұрын
Mungu umulinde huyu mtoto apatikane yakiwa mzima 🙏🙏
@SalmaMvungi-m3bАй бұрын
Jamani mbona hivi jamani Kila siku lazima matukio Mungu ona kilio Cha wananchi
@MalaikaBright-rv6ybАй бұрын
Jamani helkopta ama mbwa wa police watumike ama kijiji kizima kitoke dahhhhhh😢😢😢😢😢😢 inauma uchungu wa ajabu
@MatronaEdmundiАй бұрын
Mbona nimeumia hivi Aki Mungu wa Elia na ijulikane kuwa upo 😢😢
@RahimaHussein-vm5uxАй бұрын
Najijuta nalia tu ata sielew nini jamn iman yang inasema yupo mtaani na anaogopa kujitokeza 😢😢
@Ashreystar8465Ай бұрын
Walim hawawezi kutoa ushirikiano juu ya wapi kapotelea,km kapolea kusini watakuonyesheni kaskazini,yaan mnatakiwa kuanza na ile sehem ambayo hawajawaonyesha hko ndio kwa kutia nguvu zaid, Pengne katumbukia shimoni unadhan watasema, Mm nashindwa hata kuelewa hv masomo gani kuwapelekwa wanafunzi porini tena lenye wanyama wakali?
@FatumaAli-y3yАй бұрын
Yaani hapo ni MUNGU TU kwa uwezo wake na nguvu zake amlinde popote alipo .poleni WAZAZI inauma JAMANI
@TatuMkesoАй бұрын
Mungu jaalia hy mtoto apatikane akiwa hai
@johnsangida5158Ай бұрын
Mdgo Wangu tunakuombea ulipo jmn hunaga baya na mtu😢😢😢😢
@marymariki-m5wАй бұрын
Apatikane tu Mdogo wetu Mungu simamia tu
@shuwehaharuna6309Ай бұрын
Mungu amnusuru huyo mtoto apatikane mzima, najiuliza siku ya nne hajakula wazazi wanapitia hali gan yaraby wasaidie
@hawaally2308Ай бұрын
Eee Allah Mpe ulinzi mja wako huyu. Amiin
@AshuuuBakariАй бұрын
Ivi hii tanzania haina vikosi vya maliasili waingie humo
@sibundekileАй бұрын
Mungu msaidie huyu mtoto apatikane salama,malaika mlinzi mlinde mtoto huyu asidhulike kwa chochote.
@HilaryNjama66Ай бұрын
mbwa ndo itaweza kutoa ufumbuz
@FatumaSaid-t4rАй бұрын
Jaman ,hata dalili hakuna? Mungu wangu roho yangu inanimate sanaaaa
@DenisGamanieliАй бұрын
Re mungu mlinde huyu mtoto awe salama
@FaithandrewShayoАй бұрын
mungu attended miujiza huyo mtoto apatikane hata kweye nyumba za watu akiwa hai na mzima
@loner_wolfАй бұрын
Tour ya nini ? Aliyenda kusoma tourism ? Eboo😢
@pendombise6756Ай бұрын
Eeh Mungu fanya Njia Pasipo Na Njia
@RojaMoo-zh2cvАй бұрын
Allah Akbar
@Christinapeter-g1rАй бұрын
Mimi ningependa kushauri walimu kwa sababu kuna muda wanachukua maamuzi yao wenyewe bila kushirikisha wazazi hauwezi jua matatizo ya wanafunzi
@josephineyemmy1349Ай бұрын
Mungu amulinde mtoto apatikana akiwa hai
@neemanziku5403Ай бұрын
Walim wakametwe watolee maelekezo kwan utata ni wa nn
@AfsaRiziwanАй бұрын
Daaah poleni kwa janga ilo
@ayubuShukiaАй бұрын
Yaan mkalale mmuache mtoto mapolini
@victorianchimbi8640Ай бұрын
Sad sad
@EllynethMwasebaАй бұрын
Sasa anakula nn jmn mungu amlinde
@dorahmushi-we6tsАй бұрын
Niulize hapakua na viongozi wao ktk safari ya mlima? wengine hukaa mbele na wengine nyuma na wanafunzi kupangana wawiliwawili kila mmoja mlinzi wa mwenzake? au huenda alichomoka kwenda kujisaidia wakamuacha?
@DorisMollel-fy5efАй бұрын
Mungu bado yupo, naamini huyo mtoto hayupo huko mlimani yuko vijijin kwa watu msikate tamaa atapatikanika tuuu
serikale itoe helicopter,, dakika o atapatikana hapo mlimani
@maryamsuleiman6340Ай бұрын
Yaa Allah ,wewe ndio tunakulilia ,basi tufanyie wepesi zidi yavilio vyetu ,viumbe tunahangaika tusaidie baba 😢
@FatumaMatangaАй бұрын
Kila kukicha afadhali ya jana yarasulilaah mng ndounajua ya dhahir na yslojifich. Naiman tumuombee ty yy mng mana ss binadam tumekuw. Nyoko mweusiiiii ila ipo ck inshaaa. Mng msaidie mtt wet na umlinde huko alipo je huo mlima unamizimwii??? Mpk apotee yy mmojat
@MubinaRoshanАй бұрын
Mtembee na jkipaza sauti uenda atawasikia awafuate
@totonata5384Ай бұрын
Walah watu ni wazembe sana. From day one shule haikua wamejipanga. Mtaendaje mlimani na watoto bila ya kujipanga? Cha pili kwanini waombe Masada kwa wananchi from ile usiku na kumtafuta kwa mfululizo bila ya kupumzika? Vitu kama vipaza sauti na nguvu ya wananchi. I can’t imagine hali wanayopotia wazazi wake. Mungu afanye wepesi apatikane but hii itasababisha wazazi kutoruhusu watoto wao kwenda mlimani
@magigesabai8674Ай бұрын
hapo ilitakiwa watumie drone
@mosesibmshangamshanga7885Ай бұрын
Tumieni ericopta angalao 4
@magigesabai8674Ай бұрын
Hapo vizuri kujua Je huo mlima una wanyama wakali kama Simba, chui, fisi na Tembo ? Je masharti ya mila na desturi ya huo mlima yakoje ? Kwann msitupimie drone kumtafuta ?
@AfsaRiziwanАй бұрын
Mtoto atapatikana maombi yanaitajika
@nashnene6326Ай бұрын
Walimu acheni kubuni hii mipango mbuzi ambayo hamuna uzoefu nayo, leo mmezua kupeleka wanafunzi mwituni kujifunza nini? Sasa mnatoa maelezo gan kwa wazazi? Mnafanya vitu nje ya uwezo wenu ona sasa matokeo yake? Msiowasomesha watoto darasani mnajitia kwenda nao field tena bila experience 🙌
@rahmaihucha8577Ай бұрын
Kwani helicopter ingepita toka siku hiyo kukagua mlima wote na iksaidiana na watu hao , si ingekuwa afadhali, siku 4 ! Anakula nini na hat mkisema matunda sawa au chakula alikuwa nacho yote sawa,,, je wanyama wakali ataepuka vp??? Mwenyezimungu awafanyie wepes pia nyiny kuwen wepes
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Daah inauma sana hii mi naogoa wanyama huko au njaa
@HyacintaGuguАй бұрын
Wanyama wakati jamani..Mungu mlinde kijana wetu...Au wangeomba serikal iwape Elkomta wamtafute nayo
@ubuntubantu2404Ай бұрын
Nina imani yu mzima sehemu.
@HasnaSawaidАй бұрын
Jaman watt tuwawekewapi😂😂
@mariumseif6751Ай бұрын
Mungu atende na iwe hivyo
@ubuntubantu2404Ай бұрын
@@mariumseif6751 amina
@Rehema-h6tАй бұрын
Ila kiukweli tzd imekuwa sehemu ya umwagaji damu za watu wasio na hatia sasa hii selikali ya awamu hii tuipe jina gani maana hajawahi tutokeya katika nchi yetu kila siku watu kupoteya kukutwa wamekufa yani ni mtihani kwa kweli kwa siku moja ukibaki hapa unapata taalifa kalibiya tano au sita za kutisha tanzania heeeeeee jaman mungu baba saidiya taifa hili tumechoka jamani 😢😢
@RozPeter-s5zАй бұрын
Hapa ni wapi et
@VeronicaRugoyiАй бұрын
Wekeni mbwa😢😢😢
@esterdoriye8377Ай бұрын
Si helicopter ije jamani izunguke huo ni uhai ya mtu jamani 😢😢😢
@GladnessSamson-xk2iiАй бұрын
Duuh Yesu atende miujiza jmn😢
@barakaba8417Ай бұрын
Chadema wanahusika kumbuken shule za bweni zilichomwa kipindi cha magufuli ili kuivuruga serikal
@VickyVictor-l1oАй бұрын
Hinamaana kwamba wanafunzi wenzake hawaakuona mwenzao hawako na yy? Mungu mtetee hapatikane akiwa hai
@NaomyLyimo-c6cАй бұрын
Katika milima ya bwana atapatikana.
@HilaryNjama66Ай бұрын
sasa kaz ya mbwa nini kila kukicha mnatoa taarifa za kutisha
@teddymwageni1763Ай бұрын
Wanahifadhi huo msitu hauna chatu?japo uwezekano mkubwa alikuwa hataki shule kajistiri mahali,aliyemuweka amuachie arudi Kwa wazazi wake
@AgnessAlly-tx2yxАй бұрын
Mtoto yupo ukouko ila yupo katika pango kaka uko na mzima kabisa ila kitakacho muuwa nja