Mapya yaibuka Ajali MV Bukoba: Walishambuliwa na viumbe vya ziwani, walikuwa wanavutwa miguu majini

  Рет қаралды 15,065

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер
@zayumar2955
@zayumar2955 7 ай бұрын
Sasa jmniiiiiiiii mbona ni mda mrefu sana ilichukua kuzama kwann hawakufanya jitihada za kuwaokoa watu angalau ingepunguza idadi ya vifo😢😭😭 daah haisahauliki kiukweli kifo Mungu anapanga ila mda mwingine ni uzembe wallah 😢😢 mwenye enzi Mungu awalaze mahala pema💔💔💔
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 7 ай бұрын
Ajari nyingi duniani Hua ni matokeo ya viumbe kwa viumbe
@taucdulle7460
@taucdulle7460 7 ай бұрын
Yani mpaka adi sasa mkiniambia nipande airtanzania ya dubai..naogopaaa😢😢😢
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 7 ай бұрын
Kila tukio pamoja na sababu mbalimbali za kibinadamu, huwa limeandaliwa katika ulimwengu wa roho.
@kakore_jr
@kakore_jr 7 ай бұрын
MUKIAMBIA WALIZIDISHA MIZIGO NA WATU LEO MUNATAKA KUSEMA VITU VINGINE MBONA MUNATUTIA MASHAKA
@mamilafx1225
@mamilafx1225 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mamilafx1225
@mamilafx1225 7 ай бұрын
Hiyo ndiyo bongo nyoso,
@mutaji5454
@mutaji5454 7 ай бұрын
Amezungumzia pia prof mbna apo
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 7 ай бұрын
Duuuh hii ni hatariiii Sana
@danielmgonja9906
@danielmgonja9906 7 ай бұрын
Huyu ni Professor amefanya uchunguzi binafsi ajali ya MV Bukoba. Inaleta funzo kwa usafirishaji wa majini.
@taucdulle7460
@taucdulle7460 7 ай бұрын
Iyo ndio banaaaa adi kifo watu wanajaribu kwenye maji
@RoverRoom
@RoverRoom 7 ай бұрын
Mungu wangu jamani haya
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 7 ай бұрын
Aisee
@taucdulle7460
@taucdulle7460 7 ай бұрын
Hao wanatakiwa wafungwe maisha ama wanyongwee
@FarajaSaggo
@FarajaSaggo 7 ай бұрын
God bless us
@princemimi2090
@princemimi2090 7 ай бұрын
siku zote hizo mlikuwa mnafanya uchunguzii na uchunguzi wenyewe inaonekana ulifanywa zamanii maan saivii teknolojia imekuwa zaidii nilitegemea mjee na details deep zaidii kuendana na teknolojia iliyopo saivii sasa mlikuwa mmezitunza muda za nn
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 7 ай бұрын
Kwaiyo hii ni tume ilikua inachunguza siku zote izo leo nd inatupa taarifa za mv bukoba au vp yani cjaelewa
@underratedspirit
@underratedspirit 7 ай бұрын
Professor anachagua project ya kuchunguza na kuja na majibu au Suluhisho
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 7 ай бұрын
Duuuh hatari sana aisee
@adiaygo8546
@adiaygo8546 7 ай бұрын
Chizi watu walivutana siyo viumbe waliotangulia kuzama walijaribukujiokoa Kwa kuwavuta wengine😮😮😮😮
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 7 ай бұрын
Hahahaha, mashua ya police haikuwa na mafuta,😅😅😅😅😅 dah hii ichi mtahan Yan nahisi hata kigamboni pale Panton izame watu wote nahis watakufa
@jwisetv4833
@jwisetv4833 7 ай бұрын
Ila Tanzania ina vituko sana jamani
@khalidibero
@khalidibero 7 ай бұрын
Kwani hii ni taarifa ya tume ya uchunguzi au.Kama niivyo ndio imetumia muda wote huo.
@daslamonline4665
@daslamonline4665 7 ай бұрын
Mlijaza mizigo bana watu walizuiliwa bukoba wakakimbia kemondo waka jazwa
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 7 ай бұрын
Hiyo ndio tafsiri ya kuwa ukweli haupotei
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mi naona nicheke tu mambo ya MV bukoba mnaleta leo
@Thatgurl-l8n
@Thatgurl-l8n 7 ай бұрын
😂hotuba ripoti au Risala watieva Nkurumah imejaa😂😂😂
@aishabrondi236
@aishabrondi236 7 ай бұрын
😅😅😅😅nacheka kama mazuri yani walishambuliwa naviumbe vyaajabu mpaka Meli ikazama😂😂😂yani wa bongo shkamo😂😂je mngekutana na M 23 mngejinyea 😅😅😅😅
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 7 ай бұрын
😮mnatukumbusha ,sasa watu tulishasahau, ni uzembe , wa wafanyakazi walikuwa wanajaza watu kama magunia
@meckcassius3983
@meckcassius3983 7 ай бұрын
Hii itatusaidia kwenye uandishi wetu wa vitabu Ili visaidie watoto wetu
@nyankondoichweka9079
@nyankondoichweka9079 7 ай бұрын
If ever this ship was always overloading passengers and cargo, owning company was overprofeteering. Why couldn't those excess profits buy more and more ships fast boats? Where was the excess profit going?
@MohamedMwishawa
@MohamedMwishawa 7 ай бұрын
Sijaelewa apo yani
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 7 ай бұрын
Yani tuta fika tumechoka sana ni uzembee mtupu wanapakia mizigo mizito sana tatizo la wabongo ni shida watu wanafanya kazi Kwa mazoea ni shidaa tupuu🤭🤭🙆🙆😂😂😂😂
@chiefkwanza495
@chiefkwanza495 7 ай бұрын
how is this guy
@Fardadihd
@Fardadihd 7 ай бұрын
Sio kiumbe ni mwenzio anataka kujiokoa kampa teke😂
@vibetz9991
@vibetz9991 7 ай бұрын
Ecosystem
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 7 ай бұрын
Kwa utafiti upi?acheni uongo,ile meli ilizidisha mizigo na watu
@jamesrichard3971
@jamesrichard3971 7 ай бұрын
Shida ni rushwa mnoo, ndio matokeo yake hayo,, ni kama tuu watu Wa mizani za barabarani,
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 7 ай бұрын
Dah uzembe mtupu
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 7 ай бұрын
SHIRIKA LA RELI AU MELI???
@mamilafx1225
@mamilafx1225 7 ай бұрын
Alieandika hiyo hotuba sijui nani,😂😂😂😂😂😂😂😂
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 7 ай бұрын
Mzee Mpiri
@ambelemwabudu5775
@ambelemwabudu5775 7 ай бұрын
huyu makandala anapata wapi uwezo wa kuelezea ajari iliyotokea kabla hata yeye hapata unprofessor.
@NelsonCharles-po7bp
@NelsonCharles-po7bp 7 ай бұрын
😮😮😮
@oketchmusic4838
@oketchmusic4838 7 ай бұрын
😂😂😂
@mrfestomsyangi1305
@mrfestomsyangi1305 7 ай бұрын
Alien invasion
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Yote unayopaswa kufahamu kuhusu ndege za kivita!
28:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 5 М.
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
MTOTO WA MIAKA 13 ALIVYONUSURIKA KUZAMA NA MELI
18:25
S MEDIAZ ONLINE
Рет қаралды 142 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН