Kumbe bro @millardayo umekula chumvi sana 😅, 2004 nilikuwa la kwanza la shule ya msingi na muhimu. 😂
@KhaimuMkumbaru-zs7zr7 ай бұрын
Waziri sisi wananchi mkoa pwani hatumjui mkuu mkoa wetu tunakuomba waziri mkuu kiongozi huyu atembele vijiji ..kata tarafa ..wilaya maeneo hayo yote kuna matatizo mengi awe kama mkuukoa arusha muheshimiw makonda..
@namelockmaasailady80027 ай бұрын
Woooooh,keep going brother
@saidimwanyiro51477 ай бұрын
Bora wewe kwa mwezi nilikuwa nalipwa 15000 kwa mwez nikaja 40'000 nikaja 100k mara ya mwisho 111k 2008 now mungu ni mwema nishasahau yoote hayo
@AbdulkarimuShabani7 ай бұрын
Semeen nabando kuisha g1 dk15 kwel,
@umbaliche7 ай бұрын
Hivi Millard ana miaka mingapi?
@MtazameKristoTv7 ай бұрын
Serikali pia iangalie Kuna mitandao ya kijamii hapa Tanzania haiwalipi waundaji wa maudhui wa MITANDAONI Mfano Facebook, kwahiyo talent na waandishi wanatumia gharama lakini hawalipwi
@drcharlestz7 ай бұрын
Hulipwi wewe me mbona Facebook yangu inanilipa vizuri tu.
@MtazameKristoTv7 ай бұрын
@@drcharlestz mbona kama inaniambia your in ineligible country
@drcharlestz7 ай бұрын
@@MtazameKristoTv me niliset kwa vpn na ikakubali vizuri, kuna instream Ads na Stars zote naingia pesa.
@Sajaonlinetv7 ай бұрын
Kaka wanalipa Mimi mwenyewe nalipwa
@MtazameKristoTv7 ай бұрын
@@Sajaonlinetv Facebook? Mbona Mimi hawanilipi Kamwe na Nina followers 28k na nimekidhi vigezo vyote wananiambia Niko ineligible country
@georgedaniel49627 ай бұрын
😢sema 5000 kwa week sio kwa mwezi kwake hapo umechemuka
@gracekaboigora1897 ай бұрын
Dogo ni mjanja awe wazi, anameza tu
@aishajuma78137 ай бұрын
🙏🙏🙏❤❤🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲
@samdigitaldesigner37867 ай бұрын
kaka nikweli hulisemalo kwasababu hatamimi natumia simu kurekod video na pia natamani kujisajili lakini pesa ni tatizo kongole kak kututetea
@aishajuma78137 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@MohamedSeif-wp5vi7 ай бұрын
Hakuna elimu bure hapo tunapigwa Tu sasa kma elimu ni bure vipi tunawaandikisha watoto wetu tena darasa la Kwanza na Bado tunalipiaa tena shuleni kwenyewe wanasema ni michangoo ya nin sasa kwatamzamo wng hivii sasa huu ni wizi WA kutuibiaa akili
@gracekaboigora1897 ай бұрын
Atwambie
@KhaimuMkumbaru-zs7zr7 ай бұрын
Wananchi mkoa pwani wote inatakiwa uwatwmbele katika maeneo kusikliza keto zao