Allah atakusamehe inshaalah Ila natumai ata wengine washasoma kupitia wewe Sasa ombi langu peleka sadaka yakoyeyote Ile kwa ajili ya shekhe wetu msikiti wowote ule ALLAH AMLIPE BARAKA NA AMJAILE AWE MIONGONI MWA WATU WATAKAOPATA DARAJA ZA JUU ZA PEPO (AMIN)
@MohamedHassan-kk5teКүн бұрын
Nisuala gum sana Mohamed mkwepu alolifanya binafsi cjaona msamaha Bali anatudanganya tu yaan kwamaneno aliyoyaongea halfu anasema atishiwa maisha asjitetee niatokee mtandaon aombe radh kaniudh sana mm
@HajiDibwa-n2f2 күн бұрын
Allah amsamehe ndg yetu ktk daa'wah salafiyah alikurupuka sana ktk hili kuzungumza pasipo na msing ya daa'wah salafiyah
@fauznuhu9981Күн бұрын
Mungu akusamehe
@seifsaif-wl2dmКүн бұрын
Muombe Allah akusamehe kwasababu ukweli wote unajua ndani ya moyo wako vyenginevyo Allah akuadhibu adhabu inayokustahiliaa ikiwaunafanya unafiki.
@ZuwenaSalim-dn3qb4 сағат бұрын
Kusameheana ndugu yangu kweli kupo nambora katika umma niyule mwenye kusamehe . Ikiwa kweli wataka usamehewe kiroho safi ufate nyao za shekhe wetu Abdul Iddi hapo tutakuwa pamoja na wewe. Mana kiukweli umetuumiza sana umegonga kisu panapo kidonda.
@AlhajiIssa-jb9hrКүн бұрын
Maneno yake yameniumiza sana moyo wangu wallah'hi.
@salmaramadhan2725Күн бұрын
Yaani utakufa karibuni,Mungu atakuchukua tu...ili ili Uwe mfano
@kingfahad51202 күн бұрын
mwanaharam Mmoja Mshenzi Kamfate Mungu Akusamehe
@alhaad7733Күн бұрын
Sio kukwazika limetuumiza mno hatq sisi wengine hatuna elimu ila wewe mwenye elimu ndio uyatoe haya uyasemw haya kweli chakusema allah atakulipa hapa hapa duniani
@NoorynMody2 күн бұрын
Allah amekuumbua ulikua unamteta marehem kwa group na mwisho wko utakua mbaya ww kwa nia yko mbaya kwa sheikh Mohammed idd Mwenyez Mungu atamrehem kwakua Yye ndo anachuki nae kma ulivo ww😢
@ش.ف.ا.عКүн бұрын
Umenikera Sana ndugu yangu
@mrashisuweid940Күн бұрын
Hata km ungekuwa si kiongozi wa dini lkn inakuwaje binaadamu mwenzio anakufa kisha unafurahi kwani na ww huna ndugu huna familia ukiondokewa watu wafurahi uislam gani uwo umetukera kwa kweli umetutia huzuni msiba wa muislam mwenzio ndio wako
@ramadhanmkandas5733Күн бұрын
Ama kweli duni iko mwishoni tumefikia hapa,.ulijua kua itafika kwenye mitandao mjinga wewe huo sio uislamu mshenzi wewe,mungu anitosheleze Kwa shari zako
@mrashisuweid940Күн бұрын
Si uombaji msamaha uwo iyo.sauti inaonekana bado hujajuta
@ustadhisimbula86222 күн бұрын
Kwa kiasi ambacho shekh alikua anaelimisha ummah huu kuhusu dini na amani katika nchi yetu hii ya Tanzania amefanya kaz kubwa sana nahiyo inadhihir kwa kuonyesha hawa wanafurahia kuondoka kwake kuwa walitibiwa vzr kielimu hawana hoja kaz yao kuwafundisha watu ubishi tu na sio elimu ya haqqi
@UmmuHaytham-o7eКүн бұрын
Jaman tuweni na istiqama mangapi tunamkosea Allah makubwa na makubwa lakin Allah anatumeh tukimuomba sasa kwanini mkanishe msaha ilhali amejua kakosea na kaomba msamaa basi
@ShaibuAwadhiКүн бұрын
Hawa watu wengi hawanaelimu kubwa ya dini.wanahitaji kuelimiswa tatizo ni wabishi mno
@SuleimanMadahaКүн бұрын
Bahati yako wwa usingechukuwa mda yani ww ungejuwa humsiba ulivonigusa hv kufamtuanaye linganiyawatu ktka njiya ya haqi unaonanjambolakawaida😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@UmmuaishaJumaКүн бұрын
Alla anasamehe ukiomba radhi kutoka moyoni mwako
@hamadKhamis-p6kКүн бұрын
Ah yaani mtihani kwa kweli na huo msamaha wake ata huyo Allah haupokei maana hivo alivoomba msamaha ni km amelazimishwa Wala hautoki ndani ya nafsi yake
@mashakabundala9955Күн бұрын
Nyie masarafi mnataka nini?
@abduhanafi81432 күн бұрын
Hatuto sahau umetukwaza sana
@aminasuleiman8120Күн бұрын
Kusahau ni ngunu😭😭
@AwaShabanКүн бұрын
@@aminasuleiman8120sanaaa yaani sisi tunalia yye anatudhihaki
@alidochi28892 күн бұрын
Bahati mbaya sana uliemshutumu na kumdhalilisha ameshatangulia mbele za haki
@hamadKhamis-p6kКүн бұрын
Kaka Toka uombe msamaha na hivo usione km mioyo yet itaridhika kiivo lkn itakuwa afadhali kidogo tu maan wew hujui ustaarabu
@seydouside40812 күн бұрын
Mwenyekutibia katubia tu ..msamaha ni wa Allah..aliekosewa katoka katika aridhi..alie ongea ndio kaomba msamaha..mnao ongea ni kukosa iman
@razakisaid-u3sКүн бұрын
Ww huyu kavunja heshma ya m2 au watu ili Allah akubali Toba yake shart asamehewe na wale aliowakosea
@KalicKaguzКүн бұрын
Kwa vile alizungumza pasi kuonekana hadharani yatosha kuomba msamaha hata kama hajaonekana hadharani
@abuuzahran96492 күн бұрын
Kwahivo kama isingerushwa kwa magroup usingeomba omba msamaha?
@ramadhaniulende80682 күн бұрын
Yaani hata kwenye kuomba radhi unaongopa 1.Anasema waliomgea kwenye grup lao huko na aliamini yataishia hukohuko.Swali ni hili Je uliposema kuwa wachukie wewe hujali na hata wapige kelele hujali na kelele za chura hazimzuii Tembo na nyie matembo mtakunywa maji sasa hao wapiga kelele wangekusikia kama yangeishia kwenye grupu lenu??? Ukweli ni mwamaba dhamira yako ilikuwa kuwananga hao unaowaita watu wa bidaa na wasikie waumie Acha uongo
@saidali925518 сағат бұрын
Kama ameomba msamaha Game over! Wacheni kuwasha moto! Muhammad Id ayupo tena wala hatarudi! Haina haja hata kujidhihisha!..Allah ndo Hakim wala si binadamu juu ya hili!
@JORWAABDALLAHКүн бұрын
Kasomeni vizuri hadithi inayo patikana ktk arobaunanawaw kwa ufupi mwisho wa hadithi hiyo yasema waweza ukawa wabakiza dhiraa moja kimekutangulia kitabu cha peponi mwisho ukapewa kitabu cha motoni hali kdhalika motoni ukapata cha peponi, ulikosea sana we jamaaa ingelikuwa wewe utabaki hai sawa au una uwakika wa pepo sawa, ndio maana tumehusiwa waislam kuomba mwisho mwema sio kufurahia majanga ya wenzio, wakati unafamilia,ndugu,watoto,jamaa,rafiki.Ndugu tufundishane kauli nzuri kwani wachamungu sio wenye kauli mbaya kaka hizi elimu ziwe sababu ya kutupeleka peponi sio motoni au kujiona sisi wema kuliko wengine hapana jamani usimcheke mamba hali hujavuka mto mimi binafsi nakusamehe kutokana na nilivyo kwazika kaka na allah akusamehe
@wazirihamisi6484Күн бұрын
@@JORWAABDALLAH Ktk kitabu hiko hiko kasome hadithi 5 na 28
Kwanza hawa masalafi wana uislam gn hawa ni mayahudi tena makafiri na hawa ndio watakao tufarakanisha waislam kwa waislam
@libandaonline5358Күн бұрын
MIMI SIJAKUSAMEHE NA BADO NITAKUTAFUTA NIKIKUTANA NA WEWE WAAALLAH KITAKACHO TOKEA ALLAH NDIO ANAJUWA MBWA WEEEE
@MachanoabdullaBakari19Күн бұрын
@@libandaonline5358 إتّق اللّه يا عبد الله. من لا يغفر النّس لا يغفر اللّه.
@hamadKhamis-p6kКүн бұрын
Hapa hapan msamaha
@HassanMatin-eq6esКүн бұрын
Laa tasubbuu mautakum fainnahum qad afdhwau ilaa maqaddam uko wapi wew na hadithi kama si ujinga samahan sim yangu haiandiki kiarabu
@hamadKhamis-p6kКүн бұрын
Halisameheki hili mpk yaondoke maumivu ndani ya mioyo ya waislamu kitu Cha mwanzo ajitokeze tumjue na tumuone
@mwinyijumamwinyi4656Күн бұрын
Kuomba kuna kuiubaliwa na kukataliwa usilazimishe msamaha shenz
@ramadhanmkandas5733Күн бұрын
Wewe sio muislamu huwezi sheherekea kifo cha muumini mwenzio,
@khamisrubea5083Күн бұрын
Kwa iyo mkikaa kwenye vigroup vyenu vya wattup kazi zenu ni kuleta jazba
@UmmuaishaJumaКүн бұрын
Tafta haki iyo sio
@OmarAbdalla-ug5ygКүн бұрын
YOTE HAYA NI SABABU YA ABUL FADHLI ANAVYOWALEA HAWA WANAFUNZI WAKE...KWA KWELI MTIHAAANI HIVI SIVYO WALIVYOKWENDA SALAF SSWAALEH.... HTA KIFO CHA SHEIKH ABU MUAAWIYAH HAWA JAMAA WALIFURAHIA KWAHYO MISINGI YAO TUNAIFAHAMU VIZURI NI MIBOVU HASHASA KUANZIA KATIKA SHINA..... ABUL FADHLI LAZIMA AWAFUNDSHE WANAFUNZI MISINGI MIZURI YA DAAWAH....
@khamisrubea5083Күн бұрын
Sasa ndo unaomba radhi au ndo unatufundisha misimamo yenu ?
@muichorekishagani17512 күн бұрын
Allah msamehe sheikh wetu Abu Iddy mwanazuoni wetu , alituonesha njia kwenye mambo mengi ya haki na dini yetu, wanandoa walielimika, na jamii mbalimbali ndani na nje. Amjaalie sheikh wet Abu Idd kabri lake kuwa miongoni mwa bustani ya peponi. Ameen
@UmmuaishaJumaКүн бұрын
Bila ya shaka kwa msimamo huu mlionao nyinyi mmetumwa ni makafir kuwagawanya waislam juhudi zenu zishafanikiwa
@SawidaSaidi2 күн бұрын
Ila una kashifa mbaya Allah akusamehe tu lkn watu kama nyinyi niwengi sana mnaojiweka kifua mbele kuwaita wenzenu watu wa bidaa lkn jueni kwamba jee nyinyi mtakufa mkiwa ktk hali gani
@Is_hakaOmar-h2yКүн бұрын
Wewe hustahiki kusameheka kabisa umetukera mnoooo Yaania unaona kama vile utaishi milele Hata msamaha wako ni wakinafiki unajua utatafutwa na utapatikana tuuu Bwege wewe Hatuwezi kukusamehe kirahisi hivyo, mbwa wewe.
@ش.ف.ا.عКүн бұрын
Kukurupuka Tu mtihani Sana na msije mkasema kwamba ni kila salafi Yuko hivyo
@UmmuaishaJumaКүн бұрын
Mufti simgonjwa wa akili anajua we hujaomba msamaha umetoa kilichoko moyoni mwako
@ustadhisimbula86222 күн бұрын
Peleka uchiz huko ila huo uwahab mnaotaka muueneze hapa Tanzania mmefelii jambo lakufanikiwa kutugawa waislam haliwezekan tena tushapewa elimu ya kutosha na mashekh zetu
@RajabuMwasenga-h9yКүн бұрын
Wewe jamaa ni katiri sana:
@ASoora-s6uКүн бұрын
كما تدين تدان
@alalawiymuhammad446Күн бұрын
Hatukusamehe hadi utoke hadharani
@kitwanashem32722 күн бұрын
Mbona sauti ya huyu anaomba radhi sauti yake tofauti na ile iliyotowa shutma
@ustadhisimbula86222 күн бұрын
Nasasa tumepewa elimu ya kutosha namashekh wetu hamuweziii
@JORWAABDALLAHКүн бұрын
Allah akusamehe ila pia kama umekiri kosa basi allah akupe mwisho mwema
@saidmasoud90042 күн бұрын
Nyie ndio watu ambao mnaweza kusababisha waislam na waislam kupigana.
@UmmuaishaJumaКүн бұрын
Bora nyamaza we mshenzi izo samahani zawachawi
@UmmuaishaJumaКүн бұрын
Kwa hii kumswalia kwake mtume haitimsaidia chochote endapo atakua na itikadi hii ndani ya mm moyo
@ashaMgindo2 күн бұрын
Maiti kajibiwa na mwenyezimung walimteta Allah kawaumbua
@SaadiyaMohammad-og5bgКүн бұрын
Astaghaferullah. Jamania mashikhe sio vizure mtu amikufa kumtaja vibaya waslamu twailikia wapee mm sijapenda usihukumu mtu mungu tu ndiyo anahukumu
@selemanigongi89702 күн бұрын
Bado haujaomba msamaha , huonyeshi kujutia kwa kusema kuwa hata kama ni msimamo wa Salaf , hukupaswa kusema kwa muda huu , kumbe ipo siku mngesema na mtasema sana ,Allah akusamehe , sisi tunamshukuru Allah kwa kifo hichi Cha Sheikh Allah ametuonyesha Rangi zenu halisi Masalaf ,mna chuki sana juu ya waislamu wenzenu au wale waliopelotea Allah anasema "HAMTAINGIA PEPONI MPAKA MUAMINI NA HAMTAAMINI MPAKA MPENDANE",
@SaidIssa-tq3yvКүн бұрын
Tutabweka tuu je sisi ni mbwa ?? Hu ni uhuni wa manhaji ya kisafi ndivo wanavolea vijana wao hapa Tanzania kuanzia tanga mpaka unguja.
@OmaryJafary-d7e2 күн бұрын
Nashangaa eti mtuanashangilia kifo yeye ameshajua sikuyake Na anajua mafikio yake hatahuousemi atianaomba msamaha sikweli hanamaana kweli siamini kama Elim yake inatumika kwaajili ya Allah
@AhmadAlmas-y9tКүн бұрын
Umejiaribia ata kama itapita miaka elfu tambua ukifa watu pia watashangilia
@saffarrysallum90422 күн бұрын
*Tulitegemea maneno kama hayo yangeongelewa na wasiokuwa waislam. Waislamu tunagawiwa mapande kwa juhudi kubwa mmno. Tunakoendea Uislamu tunaufanya kiushabiki kama timu za mpira* Allah atuhifadhi. Yapo mambo mengi yanayogharimu kizazi cha kiislamu. Lakini tunayafumbia macho. Firaha kwa kuondokewa na Muislamu mwenzio hii tena too much!!! DOH!! Yapaswa asamehewe kwavile amekiri makosa yake!! Wallahu A'alam.
@hamadKhamis-p6kКүн бұрын
Yaani ameyakanyaga huyo Wala hakuna alowahi kuyakanyaga km yeye hivi Anaon Allah na mtume wake wako radhi nae huyo
@AbdalaAyubu-j5f2 күн бұрын
Ndugu zangu hebu turudi nyuma kidogo, yalivyoanza, kina bachu Hadi kutupa kitabu, Kenya akiitw abubakari na matusi yake, twajuwa Hadi Kule lamu walifanya nini kaburi la sayyid albiidh, na hata huyu hebu yaangalieni manenoyake Kwa umakini, bila ushabiki, ni nini malengo Yao????? Bado hata hii clip Bado anaona yupo sawa, Hawa ma Wana kiukweli ni project kubwa na pengine wengi wetu hatujui, mkubwa wao akiwa ni suudiya,
@AniphaRamadhanMuna2 күн бұрын
Gogo limeondoka lazima matawi yafurahi lkn kama wana busara wanapotoka kusoma huko nje wapige ggoti kwa mashekhwa kisufi waasomevilii waonje radha za kielimu
@Kzm-c9u2 күн бұрын
Hapa hakufaa kuomba msamaha kufurahia kifo cha mzushi ni desturi ya Ahlu sunna
@joharifarahani2739Күн бұрын
@@Kzm-c9u kama ndio zehebu lenu linasema hivyo kufulaia kifo Cha muislamu mwenzio ni mitihani huu..
@ThabitMwanguКүн бұрын
Ukasome Tena wewe ngurue mmoja wewe😊
@ThabitMwanguКүн бұрын
Hawa Ma salafi ni maadui wa dini
@MustafaRashidi-x1m2 күн бұрын
Hapana ww sio binadamu huwezi semehewa kwa hili ulichokifanya tuna huzuni nakuondokewa na ndugu yetu ww unaongea upumbafu uuwawe tu
@ustadhisimbula86222 күн бұрын
Hajateleza ni makusudi amefanya na hao masalaf kaz yao kubeza viongoz wawe wadin au waserekal hao kazi yao nikuwadharau viongoz huyo anatakiwa apate funzo kwanza anafanya hii kama haina viongoz mjinga huyu
@PanduKarows2 күн бұрын
Usijifanye kuomba radhi huo ndio msimamo wenu mawahabi na nayo hayatoki moyoni ya natoka mdomoni tu. Huna cha fikra, mawazo wala kutotarajia kufanyahivyo. Toka hadharani uyaseme nayo. Unakosa aibu? fikr
@ashamahadi52812 күн бұрын
Laana kum huyu hamjaamua kumfatialia mkitaka kumpata tcra kiurahisi, bado unakosa kwanini ulimteta marehemu, Allah amekuumbuwa tu. Yaani wewe uliwezi bifu la Waislam, wenzio tumondokewa na Mwalimu kwenye mtandao kwa sisi maamuma alikuwa anatuhamasisha.
@HusnaRamadhani-o2yКүн бұрын
Huo msamaha wa kinafiki nenda zako huko ww
@SoudSanawari2 күн бұрын
Huo sio msamaha huo ni UNAFIKI kwa sababu unachoongea sio cha kweli Yaani wewe bila kuminywa KHASWA HUKAI SAWA
@NuruMuhammad-jf2ug2 күн бұрын
Umekufuru kupita mpaka ulikua umevuta bangi umetutia uchungu Sana Morongo wewe huna uswafi mjinga mkubwa watu wrote wameshtuka Na wamehuzunika Ila wewe mwana was abulahab
@HabibuUrasa2 күн бұрын
Tatizo lenu hamna hikma ,kikubwa muombeni. ALLAH akupeni hikma pia acheni dharau pia msijitukuze nafsi zenu
@ThabitMwanguКүн бұрын
Huyu mshenzi tuu akamatwe na ashughulikiwe kisawasawa
@SaadiyaMohammad-og5bgКүн бұрын
Mm nitakavo huyo Alo omba msamaha alikwea watu nayeye ajia ndiyo aombia msamaha hapo tutarethika namsamaha wake laasivo hatumsamihe am from kenya
@Kzm-c9uКүн бұрын
@@SaadiyaMohammad-og5bg wewe ni nani kwani ebu tuanzie hapo
@abulhakim22942 күн бұрын
Kwanza sirikali ipambane na hili kundi laki salafi wengi wao walikua ni magaidi na roho zao ni ngumu sana hawajali kutusi mtu yoyote sawa awe hai au amekufa. Na huyu asisamehewe na waislamu wamlaani popote tulipo kwa dua na kunuti
@Ustadhirajabu2 күн бұрын
Walhi utakuf huu mwaka hutoisha inshalah
@KhalfanKikoКүн бұрын
Ukwel nafs yang hauko radhi kukusameh
@ShaibuAwadhiКүн бұрын
Kuna watu wanajiingiza peponi wenyewe wanajidanganya
@abdulkawingaabdulrahman-sc82842 күн бұрын
Inabidi akamuombe radhi Marhum Sheikh Mohammed Iddy (Abuu Iddy)
@SogoroAtibu2 күн бұрын
Umesomea madras gani shekh gani kakusomesha wewe unaye kosa busara kiasi hiking hakuna uislam wakukosa busara kiasi hiki hata kama una ugomvi nayeye hufai kufanya hivyo
@OmaryJafary-d7e2 күн бұрын
Huyu kwanza anastahili. ajitokeze maana alikusudia na bado anatakiwa achunguzwe yeye huenda kuna agenda yasili juu viongozi wasomiwadini kiutamaduni hata ikiwa inje na dini kwanini amefurahi na kusema anajua watabweka asifumibiwe macho
@MohamedHassan-kk5teКүн бұрын
Hta angekufa kafri maneno hayo niyasawa kutamkwa?tuuizane sisi waislam nani anaweza sema bora amekufa Badr au mchungaji halfu mtu anashahada katumikia dini mdomo wamuislam unatamka tu hvi
@IsmailGavara-do4wiКүн бұрын
Kama ni msimamo wa salafi shida iko wapi
@ThabitMwanguКүн бұрын
We nahuyo mwenzio wote mbwa
@suleimancomplex20362 күн бұрын
Duh yaani unapanga Kufanya starehe kwa kufa muislam tena shehe mkubwa kama huyu eti kwa sababu tu nyinyi ni masalafi. Ni hatari sana.
@khamisrubea5083Күн бұрын
Khitilafu za dini ndo zimekua chuki kiasi hiki
@AbduRaheem-k8u2 күн бұрын
Kumbuka huko kwenye group ulipozungumza wenyewe walikuzunguka baada ya kuona ulichofanya sicho ndio clip ikarushwa ujue kua hampendani pia
@rajabubwakila19772 күн бұрын
Kwa kweli waislam hatupendani na ndio maana mambo yetu hayaendi,haiwezekani muislam mwenzio anafariki wewe unafurahi!!p😊
@NaimaNuru-h3b2 күн бұрын
Hukumu yetu anaijua Allah sio nyie
@RajabuMkwama-n3z2 күн бұрын
Wewe mnafki kama una elimu Toka mjini kawalinganie watu vijinini hawana elimu wanaswalishwa na wasichana acha kuropoka kwenye mitandao na chiki za kiyahudi
@nabiljumaothman59122 күн бұрын
Sema Marehemu abuu eid Allah amfanyie wepesi alipo .. lakini Alikuwa hana kauli nzuri kwa ahlu Sunna na alikuwa mtu wa chuki juu ya ahli sunna huu ni ukweli.. Ila kuchangilia kifo cha muislam mwenzio sio adabu
@solomomadej2 күн бұрын
@@nabiljumaothman5912 kikubwa ni kuacha mambo yakusemana vibaya pia kujiepisha na kujiona uko sawa kwa kila kitu
@KASAKUGENERAL2 күн бұрын
ABUU IDD ALIKUA HAONGELEI PEMBENI ALIKUA ANAONGEA HADHARANI NAMBA ZA SIM ZILIKUWA WAZI MDA WOTE NA ALIKUA ANATOA RUHUSA KWA YEYOTE MWENYE HOJA AENDE AKAJADILIANE NAE, SASA HAWA WANASENGENYA NDO SUNNAH HIYO???
@KASAKUGENERAL2 күн бұрын
SASA KAMA KAULI IPI INAONYESHA ILIKUA SIO MZURI KWA WENGINE? WAKATI HAWA MAWAHABI NDO WALIANZA KUWAITA WENZAO MAJUHALA MALA MUBUPATAD HAYO MANENO AMJAYAONA ETI??
@alidochi28892 күн бұрын
Sio kweli
@nabiljumaothman59122 күн бұрын
@@KASAKUGENERAL bro ameshakufa tusimseme kwa ubaya ila yeye mwenyewe uhai wake akitengeneza chuki kubwa na watu wa ahl Sunna
@Twahamwela-ch5lz2 күн бұрын
Bhs tena km kaomba msamaha lillah haina haja ya yeye kujitokeza
@jamilbillo59442 күн бұрын
Kama kishaomba msamaha asemehewe tu, kakosea kwenye mitandao na kaomba radhi kwenye mitandao vile ni sawa Haina haja ya kujitokeza,, na amefanya uungwana tu
@nassirali74992 күн бұрын
Mijitu mengine mijinga kweli kweli hata kuliko Abuu jahl, hadharani inatamka mineno ya kijinga halafu inategemea kuja kuomba tadhi baadae.
@abdulaziz13972 күн бұрын
Sasa hapo ndo umeomba msamaha abuu idd huwez mfananisha nampuuzi kama wewe