No video

MARATHON YAWAUNGANISHA KUISHINDA SARATANI

  Рет қаралды 48

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

DAR ES SALAAM: MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umetoa msaada wa Sh milioni 10 kuchangia mapambano dhidi ya ya Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa akina mama kupitia mbio za NBC Marathon.
Akikabidhi msaada huo leo Julai 15, 2024 kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu ya PSSSF jijini Dar es Salaam, Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama, Yesaya Mwakifulefule, amesema PSSSF kama taasisi ya Umma, imetoa mchango huo ili kusaidia kampeni ya serikali ya mtu ni afya.
“Sisi kama PSSSF tunao wanachama wetu wengi nchi nzima, tungefanya sisi peke yetu tungehitaji fedha nyingi kufanikisha jambo hilo, lakini wenzetu wako mstari wa mbele kufanikisha ajenda ya serikali ya mtu ni afya, wafanyakazi 180 wa PSSSF watashiriki kwenye mbio hizo za NBC Marathon jijini Dodoma,” amefafanua.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,7 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 178 М.
New look opposition: Dont't speak for Genzs- Wajackoya
23:30
KTN News Kenya
Рет қаралды 7 М.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 733 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН