Rais Dkt. John P. Magufuli arejea Dar Es Salaam baada ya kuhudhuria mazishi ya Hayati Mhe. Benjamin W. Mkapa; Rais mstaafu wa awamu ya Tatu. Anahutupia wananchi na kuwasikilia.
Пікірлер: 96
@Soon8156 ай бұрын
Those were the days😢😢😢 Alikuwa ametokea morogoro kuzinduwa soko la chief kingalu if i am not mistaken na pia alimwambia mh mbunge Abood ajenge kiwanda atafurahi kuja kukizindua😢😢The rest is history🔄
@sameermilo24924 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Rais Magufuli . Hekima zako ni za pekee 🇹🇿❤️
@Lamecksultan4 жыл бұрын
Naona wataanza jioni hii kujenga choo 😂😂😂
@African.Football7 ай бұрын
😂😂😂
@morgannzambimana23129 ай бұрын
Tears falling on my eyes😢
@dicksonaroka69614 жыл бұрын
Asante JPM tutafika tu hata kwa mijeledi😀😀👍
@kambiibrahim4154 жыл бұрын
Niko njiani naelekea chooni kwa DC ole wake aniambie maji hakuna
@majutorajabu75094 жыл бұрын
Ha ha haaa hapo choo inajengwa siku tatu😂😂😂😂
@minaside67174 жыл бұрын
😁😁😁
@maikopaulmaiko19004 жыл бұрын
😂😂😂
@Lamecksultan4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Lamecksultan4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@MpakabinFeza-zs7nz Жыл бұрын
Tutakukumbuka daima baba
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
Mambo mengine mpaka aibu yaani Rais anajitahidi lakini viongozi hawa wajibiki..yaani choo unashindwa kujiongeza mpk Rais aseme
@jonathanzzed62678 ай бұрын
Whipping my eyes wen i see all these, raisi wwanyonge😢😢😢😢
@swalehemchora31679 ай бұрын
Pumzika Kwa amani mzee
@pascalnzyungu63174 жыл бұрын
Hahahaaaaaa kwa mwendo huo akili imewasogea .,Hahahaaaa
@nyemowanyotanjemaudm43609 ай бұрын
Szan Kama nitakujaga kukusahau magufuli kwel MUNGU alikuleta zawad kubwa Sana kwetu lala salama babalaoooooooo 🙏🙏🙏
@nyikimohamed98723 жыл бұрын
Safi Sana Mjomba magufuri wanyooshe hao
@user-lp7ym6ut2e5 ай бұрын
Vrmnt voici le président qu'on a besoin pas nos congolais
@aloycesimwinga57639 ай бұрын
I miss you baba magufuli. Akika utakumbukwa milele. Mzee
@confidencekplormdo42448 ай бұрын
He make sure work is done woow nice president
@JosephBen-yh7mu8 ай бұрын
Ooooh our lion we miss you daddy
@raviancitygeng9 ай бұрын
Hapo kwa "na mimi nimo serious" is when they knew something was wrong 😅
@user-rg5sg1xz8p6 ай бұрын
Daaaaaa 😢😢😢😢😢😢😢
@wilfredmaimu19589 ай бұрын
Wakati mwingi naonakama siikweli lakini nndio kweli kaondoka
@richardmose47545 ай бұрын
Ulale salama kiongozi wetu African Mashariki. Hekima ulikuwa nayo kweli
@charlesmugisha65299 ай бұрын
Watanzania kweli tulipoteza kipenz chetu 😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@IranziDavid5 ай бұрын
Tutamukubuka mupaka 😢😢😢😢😢😢😢😢❤
@habakuchope3319 ай бұрын
Whooooo Mon président
@HappyAstronomicalModel-kn3hg3 ай бұрын
Yaani ilikuwa sio maonevu NI watumishi WA umma wawajibike ki haki,,Mungu ahifadhi roho yako mahali pema.
@mwitamasisi25099 ай бұрын
Tutakumbuka daima Rais wetu wa milele
@florakweyunga44907 ай бұрын
Kamwe huwezi kusaulika Kwa wananchi WANYONGE.Eee Mungu wetu...😭😭😭😭,KAZI yako Haina makosa....Ris wetu MAGUFUL alituacha njia panda,HATUJUI pakwenda.
@evanswambua579 ай бұрын
A prisdent like no other!
@mariamramadhani61854 жыл бұрын
Nimecheka jaman Big up MR PRESIDENT WANYOOSHE HAO
@cornwellmaliko5 ай бұрын
We miss you dear
@wauwetz3426Ай бұрын
Dah aise pumzika kwa aman boss
@RogerBedaАй бұрын
Daah
@user-cy7mb6lu5v6 ай бұрын
Rais JPM. I will miss this man
@user-zy9ow5rc7m8 ай бұрын
Un président pas comme les autres
@user-kn6zh7ce9s9 ай бұрын
Strong 💪 leader magufuli forever
@LeahAgnes6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@peterjohn19694 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏❤
@DavidMashaurikisungunda7 ай бұрын
Keep
@Treepmachinery7 ай бұрын
LION
@dominicnzuve46977 ай бұрын
Rest in peace peoples president
@user-rx8bm9be5h8 ай бұрын
Baba baba lala salama baba yngu
@DIRAYAKIUNGUTVАй бұрын
❤
@confidencekplormdo424410 ай бұрын
Accountability 😅😂 woow
@user-mw9zt5gw4l9 ай бұрын
Mungu akubaliki ulale mahari pema peponi
@peternjoroge92099 ай бұрын
The best president in the world.
@emmanuelmajele895310 ай бұрын
Lala Salama Rais wangu
@ngusawales20392 ай бұрын
Duuuuuhhhhhhhhh!!!!!!!!!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@SkellyKachangei6 күн бұрын
Tulikupenda sana 😮😮😂😂😂
@jeanrichebigabwa81329 ай бұрын
Rip notre héros
@melvinprince26122 ай бұрын
😊
@user-ct1hi6kj9g9 ай бұрын
Tunakukumbuka baba lala salama
@laylatMuhammad29 күн бұрын
Tutakumisi kwel kipenz chetu 💔😭
@kwilasacharles174713 күн бұрын
😭😭😭😭
@JosephpaulolaizaJosephpaulolai10 ай бұрын
Joseph paulo laiza
@user-rv5kt6ii9t9 ай бұрын
Mungu alitupa Kama zawadi
@emmamuyezi4413Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@danielgroenewald38292 ай бұрын
What I lack on this MAN fast there he short the problem no time
@laurnyandwi-sb1gu7 ай бұрын
My rembering hearts., rest in peace 😢
@barrynzeyimana62704 жыл бұрын
Nimemenda
@VenanceEphraim-hr2cc7 ай бұрын
Repos en paix notre champion J'espère que tu es au paradis 🇨🇩🇨🇩
@hatibbaraka39566 ай бұрын
Kwa kweli ulikua mfano wa kuigwa raisi wetu,kweli kizuri hakidumu waswahili tunavyosema!
@eugenepoultryfarmlimited7 ай бұрын
Lala salama
@BarakaLulay20 күн бұрын
Jaman magu
@martinmureithi93608 ай бұрын
Africa lost a great leader...RIP Magufuli
@edsoniminani5 ай бұрын
Eeee Mungu tunaomba Utupe Tena Rais kama huyu baba ikikupendeza anaezidi huyu baba