Asante dada kwa kutuambia uchafu wa martha mwaipaja .achana na wanao kutukana kwa kumsema vbaya
@upendokiza606124 күн бұрын
Pole sana dada yangu , hiyo ni roho ya ibilisi, kinachoitajik a hapo ni mahombi ya kufunga nguvu za Giza.
@EsterDausoni21 күн бұрын
Inauma Sana mungu atutee
@JosephJohn-l1g22 күн бұрын
Mungu akutie nguvu dada songs mbele mama angu
@BeatriceKambole25 күн бұрын
Ukimpata YESU umepata vyote duniani vita ni kali sana , waliokoka kweli ni wachache sana
@RaphaelMbughi-n1g24 күн бұрын
Sema sana Omba ya sikukute akina Mama wa Gulugulu ata ungewapenda na wao wana watoto wanao wapenda " " Hamfanyi yakumfuraisha Dada yenu Mpambanaji Munaamua kumudharau kwasababu munajua ana Pesa Tafuteni zenu nanyie Mugawe kwa Masikini
@tsumiduwe140624 күн бұрын
weh tulia hujui unachosema ni laana
@givenessdavid374323 күн бұрын
Tena ni wanafki wote na mama yao
@BabaWawili-p3r24 күн бұрын
Hai, dada Beatrice naomben sana sana ndugu zangu, hili suala muliombee sana, mungu yupo atawaidia, pia mkumbuke ninyi tayar ni kipo cha jamii.
@malkiarosemuhando331025 күн бұрын
Pole Binti sayuni Mungu ataiponya familia yenu, na dada yako mpende maana sio yeye
@meikoking25 күн бұрын
Mama Una roho nzuri sana nakupenda Rose Muhando
@uredmwasembo857924 күн бұрын
Yani imeniumiza Sana
@GadssonLutaha25 күн бұрын
Hiyo changamoto ipo kwenye familia nyingi sisi tunalia na mungu2
@lilianakeya986823 күн бұрын
Ukweli kabisa
@ClaraCecil-rq4xf25 күн бұрын
Mungu awasaidie
@sabrinafadhil883522 күн бұрын
Mungu akupe nguvu na uvumilivu , inaumiza moyoni
@Yana_queen125 күн бұрын
Hata sisi tuna ndugu yetu huwa anasaidia watu baki tu ila sio ndugu..hilo ni agano ndugu anakuwa ameingia kbs na kuzimu
@neemalambo979025 күн бұрын
Kabisa
@rmond723125 күн бұрын
Yana unaniongea kwa KZbin 😂
@Yana_queen125 күн бұрын
@ Yalaah kwisha mimi😂
@monicakabuka609625 күн бұрын
Sasa dear ukishaijua kweli unawekwa huru! Hayo mapepo yanayolipuka na kuongea ulihitaji kufunga na kuomba kwa bidii bila kuchoka! So unategemea kuombewa badala ya kumtafuta Mungu kwa machozi kama uanvyolia hapo! Hayo ni mambo ya familia na hakuna familia isiyo na matatizo! Find God only and you shall be free
@NtujiNdakiOfficial25 күн бұрын
Jaman,
@maelezo24 күн бұрын
Usipende kufa na kitu wekawazi watu wajuwe kwasababu watu huwa hawaamini pale unaposema mimi Sina kwasababu wanalinganisha na wanao kuzunguka amina dada mungu akutangulie
@RoseAmilet25 күн бұрын
Jamani 😢😢😢😢😢 Pole sana
@GhhhjhKda25 күн бұрын
Pole sana dadaa😢😢, Mungu akutie nguvu,
@hamisially-c4x23 күн бұрын
Inauma sana
@LeahMwilongo-b9e24 күн бұрын
Kama huna loho wangu Mungu huwezi muelewa dada anacho sema
@martinlema419224 күн бұрын
Kuna kinamama wamevunja ndoa za watoto hivyo watoto wanaumia wanakaa kimya kwabahati mbaya Shetani anapitia hapo. Kina mama mnawaharibia binti zenu mpaka leo hawaolewi wanadanga umri umeenda.
@jennipherChristian25 күн бұрын
Inawezekana kuna aliyofanyiwa na mama yake ambayo inamuumiza martha ila Martha kama angekuwa ameokoka kweli angemuomba muumba awese kusamehe amsaidie mama yake hatakama hajamzaa yeye ila amemlea
@MoEd-k8w24 күн бұрын
Kuna kitu hakipo sawa hapa dunian, kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kutojari wazazi wao hasa mama zao. Mungu tupiganie tuepuke roho hizi mbaya
@SaidiNzoa-m2q24 күн бұрын
Upo sawa
@TedyEmanuel24 күн бұрын
Ila we dada mungu anakuona Acha kumchafua dada yako
@emanuelmkama132523 күн бұрын
Nkwel uyo Martha ana pepo
@lilianakeya986823 күн бұрын
@@emanuelmkama1325eti pepo😂😂😂😂
@lilianakeya986823 күн бұрын
Ukweli usemwe
@MohamedAlly-h4u14 күн бұрын
Beatrice amepona kwa kuyatoa ya moyoni. Mambo mazito
@eliudnjenga938523 күн бұрын
Natuma salamu kutoka kenya 🇰🇪tz tunawaezi sana ndugu zetu watanzania kiukweli vita vya kiroho ni ukweli kuna wachawi majini na illuminati hao wote ni kinyume na walokole ila tuombe sana
@LavinaDalimas25 күн бұрын
Ndio maana martha alikua anasema kwamba akaunti yake inafungiwa kumbe ni machozi ya familia jaman 😭😭😭
@aminiunambwe776822 күн бұрын
😂😂😂ikute hao familia wanahack account yake wanamchezea wameshindwa sasa wameamua kupita mtandaoni hahahahaj
@godfreymusungu22 күн бұрын
Hiyo ndio Sheria ya pesa za Giza , wengi wanajificha kwa injili lakini kwa upante mwingine wanafanya vitu tofauti sana
@AminaNdele23 күн бұрын
Duuh,imenigusa hii😢,nmetoka kumpa malaya mmoja 100000/=duuh ngoja nimkumbuke na baba yangu sasa!!
@Zwangendaba9717 күн бұрын
you can't fool us
@AdamuMbilinyi-j6f24 күн бұрын
kweli kabisa namjuwa huyu mama mbaka anapokaa yombo dovya
@ashurahaji479425 күн бұрын
Martha aliamua kumchukua mtoto akamlea hukutakiwa utowe Siri hiyo
@aminiunambwe776822 күн бұрын
Haya sasa watumishi tuache kumchamba dada martha tumeletewa tuombee wachungaji na mafarisayo wameshindwa tumeletewa sisi tumwombeee Martha
@Elizabethkinuwa21 күн бұрын
Kugundua tatizo ni Ushindi tayari
@VeroniqueNgoy-f3q25 күн бұрын
Hujitambui dada hayo ni Mambo ya kifamilia zaidi ayakupaswa kufika huku .mngayamaliza kifamilia zaidi.
@STEVENKAJUMBA25 күн бұрын
Mpuzi wewe
@vitalismarunda676025 күн бұрын
unayejielewa kaa kimya
@FaithMitchell-c1v24 күн бұрын
Wewe nawe are you ok if you were the one crying na mtu anacomment hivyo muone
@VeroniqueNgoy-f3q24 күн бұрын
@@STEVENKAJUMBAkwa akili Yako kuna ushuhuda wa namna iyo ama na nyie ndo wale wale mnapenda kujipatia huruma wenyewe
@VeroniqueNgoy-f3q24 күн бұрын
@@FaithMitchell-c1v hujielewi
@bensonmwita-vv7pb25 күн бұрын
Kuma mnafiki tu wewe Beatrice Mnafiki Sana .....ushahitimu Chuo, Sasa msaidie mama Yako Sasa..... But umetimiza lengo lako kumchafua Martha
huu ushuda ni akika na kweli jamani tumtafute mungu❤❤ imenifungua
@SmilingBreakingWaves-ee6xo25 күн бұрын
Sasa graduation na matatizo ya familia yanahusianaje Kila mtu anamatatizo hata zaidi na yakwako tujifunze kuangalia mazingira humo ndani Kila mtu akiamua kusema yakwenu tafuta hela Yako ni funzo hiloo
@mcstudio699222 күн бұрын
Wee n wew n kamyweso😊
@MamaJack-t7u25 күн бұрын
Yaani wewe ni shida kwa nini unamdhalilisha dada yako.
@Migapogospel67825 күн бұрын
😂😂😂
@scholarmawala140325 күн бұрын
Mimi naona huo sio ushuhuda bhanna. Nawaza hiviii ,Huwa mnamsikiliza mtu kabla kya kumpa nafasi ya kuongea mbele halaikiiii??? Au Nia yake ni kumsifia huyo mtumishi wa Kanisa lake??think be 4
@VeroniqueNgoy-f3q25 күн бұрын
Ajielewi hiyu dada ushuhuda gani huo sasa
@scholarmawala140325 күн бұрын
@@VeroniqueNgoy-f3q hamna kitu hapo hizo story tu kama story za sungura
@elikanaernesti844025 күн бұрын
Huyo kawekwa waz Mmoja lakin wapo weng wanjifanya wameokaka mbele ya uma lakin uhalisia ni wan Roho mbaya Sana
@jamesmgimba740325 күн бұрын
Baba yenu alikufa? Mbona hamumtaji?
@dignapeter-y9w25 күн бұрын
sijampenda huyu bite ,hata ingekua kweli hakupaswa kuanika mambo hadharani na naamini Martha hayo ivyo
@STEVENKAJUMBA25 күн бұрын
Amesema ili mjue tabia za watumishi wa mungu ni wanafki
@paulinaobiria964924 күн бұрын
Nia yake ni nzuri anamwonea huruma dada yake na anajua dada yake hapitii hali ya kawaida. Hii inatokea katika familia nyingi. Tuombeane tu
@TimotheoAlbart24 күн бұрын
Mimisijaona kosa nivizuli kutowa sumu mwilini
@aminiunambwe776822 күн бұрын
@@paulinaobiria9649lengo.dada anguke kiuchumii coz badala yeye akae kwa dada kule now yuko joan anakula kwa mrija shida ya hii familia ni joan kwanini ananeemeka na wao wanatesekaaa
@ElizabethEdsony25 күн бұрын
Baadala ya kumzalilisha ivo dada yake basi kama wanajua tatizo si waombe waitane wafunge pamoja Mungu anafanya njian au wamwombee dada yao afunguliwe
@LinnaJohn25 күн бұрын
Sio kafugwa kashakula kihapo leo amjui mfungue sasa yy kaokoka nini sasa atakufa gari hiyo ataiacha tu wewe simama na mama yako tu ipo siku ataludi nyumbani tu yule ni mama yake usikate tamaa muombee dada yako atafunguliwa tu
@charlesmganga-gv2cs25 күн бұрын
SASA UNALIA NN HAYO NI MATATIZO SUGU YA KUTOMJUA MUNGU
@denissasso55756 күн бұрын
kama uko na uwezo, umsaidie mamako, wacha kumwangalia dadako, wewe fanya nafasi yako na uombe mungu aendelee kukubariki upate hata zaidi, kuanika siri za ndani za familia adharani si vyema, kila mmoja anapitia changamoto, kwa hio hauna haki hata kidogo kumwongelelea nduguyo mbele ya umati. help your mother like you don't have any other sibling, do your part and learn not to expose your family.
@messikihongosi529019 күн бұрын
fedha ya maagano ina kanuni sana kizuri kura na nduguzo kibaya kula na watu baki ndio agano hilo
@makambakoonlinetv797125 күн бұрын
Tubu dada yangu
@naomikadenge231924 күн бұрын
mungu aitete hii familia haki
@najibuasumbwile709625 күн бұрын
Kila jaribu linakuwa limeruhusiwa. Unahitaji kujifunza kwa nini Yesu aliwasamehe hata waliomsulubisha msalabani.
@sophiakimaro517425 күн бұрын
Huyu ni ndugu yake hata kwa sauti Acha na huyo kichaa anayejiita mtoto wa matha na kusema sio ndugu.
@MariamKombo-s2v25 күн бұрын
Sasa ameokoka nini, aache unafiki. Au ni pesa za masharti. Mungu tusaidie
@EdithaEditha-z3s24 күн бұрын
Aya mbo yapo kikubwa kumuomba mungu
@vanjemanirkiza368424 күн бұрын
😢😢😢😢😢
@LebahatiLaizer-b4q24 күн бұрын
Daaah kama nikweli walai Martha sisi kama washabiki umetushusha umetukosea sana jirekebishe mama nimungu wapili dunia nzima wadau 🤔🤔🤔
@festomartin863525 күн бұрын
Sijajua kama ni mapepo yamewazingira au vipi?? Kwa hiyo dada anawasaidia watu wengine anaacha nduguze na hasa mama wa kumzaa,,,,,
@Yana_queen125 күн бұрын
Huwa ni maagano
@aminiunambwe776822 күн бұрын
Kwani kama ww dada amsaidii mama nawewe ndoo usimsaidie?? Mama kapauka kweli ww kwanini usimtunze mama??? Haya chukulia hana sasa ungemlilia nani?? Lawama zinaenda kwa mtu mmoja2 ww pia tunakulaumu kwanini mama anapauka na ww upoo??
@zawadimpayo383924 күн бұрын
Yawatu yatawachanganya tuangalie yakwetu🤣🤣🤣
@lilianakeya986823 күн бұрын
😂😂😂😂
@GetrudeGama-gu5rb25 күн бұрын
pole sani😂😂😂😂😂
@Bambagatz24 күн бұрын
Kama unaelewa maswala ya ndugu Utakaa kimya tu Maana ukiskiliza upande wa 2 Unaweza ishiwa nguvu
@Zwangendaba9717 күн бұрын
muigizaji uyu fala
@rambostalon288824 күн бұрын
Kwanini uongee hadharani mambo y kifamilia
@givenessdavid374323 күн бұрын
Vipi kuhusu beatrice kuwa na Mahusiano na shemeji yake ???? Asijisahaulishe
@JaneManyasa24 күн бұрын
Vita tunavyo pigana si vya damu na nyama mbali ni vya roho
@wintherlimited521925 күн бұрын
Wivu wivu wivu
@JobConstantine25 күн бұрын
Eti sio yeye ndiye yeye Maagano umaarufu fedha
@EmanuelStart-jd1vr24 күн бұрын
We acha tu dada hizo ni pesa za mashariti
@RestitutaNjau-k8x25 күн бұрын
Mambo ya familia hayo
@DivineArhusima24 күн бұрын
Mama ni saidie n'a numbers za dada yetu Martha mwaipaja kama za WhatsApp
@charlespaul161224 күн бұрын
Huu utunzi, hii kichwa ya huyu dogo akili hamna.
@94winga24 күн бұрын
Asa maswala ya kifamilia unaongea mbele ya umma aisee huyo hazimtoshi kabsa.
@Isack-b9k25 күн бұрын
Kama ulokole uko Ivo mm siutaki
@LamekiMichael-pz7rv25 күн бұрын
wewe bit si upo msaidie mama utabarikiwa acha kulalamika sana
@AnnaKijazi24 күн бұрын
Tafuta2 ela zako kila kitu kina sababu mpaka amefanya ivyo kuna kitu
@JobConstantine25 күн бұрын
masharti na maagano Usione mtu maarufu kuna nyuma ya pazia mengi
@SaidiNzoa-m2q24 күн бұрын
Sasa asemee wapi mnao mlaumu wajinga sana wanajifanya mastaa wazazi wao wanamaisha duni wapo wengi tanzania wangapi mastaa wanapokufa wakipelekwa kwao kuzikwa nyumba zao mbovu tofauti wanapojitupia kwenye mitandao ndomana kwasasa kila msanii sitaa wanataka kuzikwa kinondoni kundowa aibu kama masogange
@redydasca884624 күн бұрын
Tafuteni zenu acheni kulalamika una mikono na miguu tafuta umsaidie wewe
@LeahMgunda-l8c25 күн бұрын
Huò ni ushuhuda au mashtaka? Umefeli mitihani wa Injili achana na kazi ya Mungu bado hufai. Sasa unalizwa na wivu, Yesu aliwatambua wasikilizaji wake akawakataa baba na mama yake. Unamind dadako anamsaidia John umeokoka kweli????!
@pendomwaiteleke163625 күн бұрын
1 Timotheo 5:8 Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini