Subhana-Allah niyapi haya ya rabby Allah awaongoze from kenya
@odbin14385 ай бұрын
Allah (Subhanahu wataala) anasema: "Wala musichanganye haki na batil na mukaficha haki hali mnajua."
@eshasalim14715 ай бұрын
SUBHANALLAH sikwamba hatujui kuwa wanawake wafaa wajistiri twajua sote na sauti zetu pia tusiinue
@kharashbabar73935 ай бұрын
Sasa hii ndio maana au ndivyo njia sasahihi ya nyimbo zinavyotakiwa kuimbwa ....nyimbo inanjia zake ndio hivi.... melody ...kama aimbavyo Kassim Mganga, J melody lady j d...........Yani unainjoi hakika.... Super Mariam hamdun....Yani unainjoi Hadi chozi la furaha linashuka❤❤
@eshasalim14715 ай бұрын
Innalillah wainailehy rajiun Tumuogopeni Allah Kwa kweli wala sio Kwa kudanganyana !
@MwanaishaShattry4 ай бұрын
Inna li Llahi. kafa nani?
@adamhashim33525 ай бұрын
Sayyidna Umar akirudi ghafla vichwa hamna
@SbsBts-g3v5 ай бұрын
👌👌👌👌
@AdamRajab-xd3zg4 ай бұрын
@@adamhashim3352 atakushangaen mnakazia ndevu na kuvaa nguo za watoto
@abdul-qadirkhamis25184 ай бұрын
😅😅😅😅😅😂😂😂
@fatmasaid62042 ай бұрын
😂😂😂😂
@EnthusiasticAtv-gn6pb5 ай бұрын
HIVI PEPONI KUNA MAMBO MFANO WA HAYA? KWA SABABU MAMBO HALALI YA DUNIANI NI MFANO WA YALIYO PEPONI. Mwongozo Masheikh na Maustadh tafadhali
@selemanmkumbege4765 ай бұрын
Hii sisemi taarabu ila Mimi siafiki hata kidogo tunakwenda ovyo..sanaa tunavuka mipaka ila Nani atasema ukweli ulimwengu utatuangamiza tusipo sema na nafsi zetu
@MkudeMatombo4 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah yaah salaaaaaam
@hamynas5 ай бұрын
SIKU HIZI MAMBO YANAENDA KIDIGITALI SAANA...MAJIANAMUME MASHEIKH NA KANZU ZAO YAMEJAA KUFANYA MUNKAR NA MENGINE YANALIA KWA KUSIKIA SAUTI ZA MWANAMKE AMBAYE WANAEZA MUOA? “O wives of the Prophet! You are not like other women, if you are God-fearing. So do not be soft in speech. Lest in whose heart is disease should be moved with desire.” (Surah al-Ahzab, 32)
@OfficialA836405 ай бұрын
Kwani c mke wake huyo au vp
@mohammedmataucar665 ай бұрын
Kwaiyo hapo wako chumbani na mumewe ausio
@HassanMohamed-e1h4 ай бұрын
Allah akutoe ktk Giza ewe Bi marym
@daudkindy58075 ай бұрын
Mnayo tanguliza mtayakuta mbele ya Allah kama hiyo din ilipofikia hapo ya Rabi tunusuru wajawako na Mitihan hii ya muziki kuitwa Qaswida
@JabriMwinyi4 ай бұрын
Turudi kwa Mola wetu hakika tutakufa na tutakwenda kuhesabiwa
@fatmaabdallah77095 ай бұрын
Mashaallah 🎉 ana sauti nzuri km umm kulthum
@JumabJumamkuula7 күн бұрын
Duh tumefika pabaya sana waisilam kumbe ndio maana wasema kweli katika mashekhe zetu huchukiwa
@IssaAbushehe5 ай бұрын
Ummu Kulthum wa Tanzania huyu hapa
@eshasalim14715 ай бұрын
Acheni Mila zenu na tamaaduni zenu ..kama ni Dini iko wazi
@daudkindy58075 ай бұрын
Innalilah wainnaileyhi rajiun
@iddyrashid10095 ай бұрын
Mashallah mashallah ummu kuluthuum
@rayisadesigns26465 ай бұрын
BI MARYAM MKE WA BABDEO AMTOWA MACHOZI MUMEWE BABDEO.
@labunaabouna61225 ай бұрын
Nyimbo nzuri ina ujumbe
@fatimahants15264 ай бұрын
Mashaallah ³
@MwihindiWetu5 ай бұрын
Babdeo Leo toka chozi chezea dada ummu
@OfficialA836405 ай бұрын
Taarabu kumbe Subhannallah 😢
@aliyissa98573 ай бұрын
Bhot achaye
@ibnuomar61084 ай бұрын
قصيدة ممتازة
@MwihindiWetu5 ай бұрын
Mridhi hatokuridhi Mashaa allaah 💐🎉🎉❤❤
@rahimhassan67225 ай бұрын
Maneno ya almarhuum shekh nyundo..tarabu tu izo
@SalmaBinyaga5 ай бұрын
Kabisa
@SaidaliHamoodaljabri5 ай бұрын
Wanakufuru tu eti kasida hii kasida nyimbo ya Tarab 😢
@andallaathman38565 ай бұрын
@@SaidaliHamoodaljabrinop sio kufuru NI haramu ukisema kufuru wakosea hawajamshirikisha mungu hapo wao NI Jambo la haramu Hili
@EnthusiasticAtv-gn6pb5 ай бұрын
Katunzwa Tzs ngapi
@AllyMbange2 ай бұрын
Kama hujui uliza
@AliSwalehAli4 ай бұрын
Wanao umia waumie tu tuacheni na mambo yetu swallu alaa nnabii
@fabianmaganga57875 ай бұрын
Qaswida au taarabu hakun tofaut na mziki
@muktarkassim66475 ай бұрын
Mziki ni nini?
@eshasalim14715 ай бұрын
Leo kukosa imaan wanawake wamejurembesha nyuso wazi vibapa havina haya
@ashrafhashim21165 ай бұрын
Muogopeni allah hiyo dini mmetoa wapi???
@hajiabdalla57725 ай бұрын
Hawajasoma Qur'an
@batashqiraa99365 ай бұрын
Sasa hayo mambo mmeyatoa kwenye dini gani, maana ktk uislamu hakuna upuuzi huo
@OfficialA836405 ай бұрын
Wanaiga uarubuni huko 😂
@Rizikialiamechannel7635 ай бұрын
@@OfficialA83640mm niko warabuni cjawahi ona mwaka wa nane
@MdNasr-jm8pj5 ай бұрын
Mnapita kwenye Taraabu asilia😢
@Yayouselim5 ай бұрын
@@MdNasr-jm8pj naam mule mule kwa raha zetub
@Yayouselim5 ай бұрын
@@MdNasr-jm8pj yap kwa raha zetu
@mirajiyombe16013 ай бұрын
Wanaume wameiharib kaswida
@MkudeMatombo4 ай бұрын
Tuwacheni na raha zetu
@HussainMaula-wr5co5 ай бұрын
Nashangaa waislamu kutwa tukikaa kuwakosoa wakristo wakati katika dini yetu kuna watu matendo yao sawa sawa na ya wale wakristo tunaowakosoa vinanda vyao sasa muislamu yupi atajenga hoja kwa mkristo kwamba vinanda magita ngoma hazifai ..
@Mumewangu5 ай бұрын
Kwa iyo wewe unawatetea wakristo au sio? Soma ndugu kesho Akhera kuna kiti kinaitwa kursyu Ruh. Weka namba nikupigie nikueleweshe. Waislam tutaendelea kuwakosowa wakristo mpaka waelewe
@HussainMaula-wr5co5 ай бұрын
Hata wakati wa mtume kuna mama alikuja na kumsifu mtume lakini ni hivi ambavyo tunamsifu sisi au kuna usahihi juu ya hili au tumezidisha kama manaswara na mayahudi hakuna kumsifu mtume kwa kupiga vinanda mikelele wanawake kuchangamana na wanaume kucheza kama muziki io ni haramu haifai .
@commandokhalidi52845 ай бұрын
Nenda kasome
@dalusidd23495 ай бұрын
Uislamu hauna ngoma wala nyimbo bali huu ni USUFI (SUFISM)
@dalusidd23495 ай бұрын
This is SUFISM NOT ISLAMIC RELIGION
@binabeidsalim63802 ай бұрын
Eti wengine sayyidna Omar akija hamna vichwa Nyie mwahabi ni ma mbwa
@AhmadMohamad-ew8vo5 ай бұрын
Allah muongoze Babdeo pamoja nasisi kuichukie vinanda na music
@YahyaAli-o9z2 ай бұрын
Saw ila kamsomen imamu shaukan na ibni hazmi nd waliruhus h
@adamududu126025 күн бұрын
Amiin
@FatmaKombo-y8e5 ай бұрын
Hii sio kaswida hii ni nyimbo ya taarab
@JUMAOTHMANJUMA5 ай бұрын
Huyu Bi Maryam anatafauti gani na akina Rukia Ramadhani, Asha Simai nawengineo walipokuwa wakiimbia Nadi Ikhwansafa ya Malindi?
@aooshosho42554 ай бұрын
Kaa mtume ndio kiongoze mnaemfata kwani kawafunza hayo munaofanya....mnakopi warabu wenye hawajitambui wenye kunitambuwa wako mbali na hayo.
@labunaabouna61225 ай бұрын
Napenda nyimbo yake ya utu ni utu huyu sister
@TotiMohamed-c3g5 ай бұрын
Mashaallah mashaallah yaah salaaaaaam
@sfiaalanazi54795 ай бұрын
Nyimbo kabla kuanza inachukua ukanda nusu
@abulhakim22944 ай бұрын
Upuzi2 na masifa ya kujufanya kulia ati kwasabbu ya mtume ni uongo2 hta hawo wanawake hapo walikua wakimcheka huyo babdeo wenu😂
@adamududu126025 күн бұрын
Mtihani hakuna tofauti na kwaya kanisani au akina zuchu stejini
@mannahsalwa84335 ай бұрын
Bab deo najua mlipofika home ulizidai pesa zako😂
@mohamedhadad60084 ай бұрын
Tafuteni mbinu ya kufanya Nusra sio kutukana na kuwakejeli watu kama unahisi ww upo sawa basi mlinganie mwenzako kwa njia Nzuri. Kipindi Cha Mtume Muhammad mtu kakojoa msikitini na Mtume kakataza apigwe. Kuna dhambi kubwa zinafanyika lakini watu wamebaki kuswali Khalas
@AhmedMasud-lp4bn5 ай бұрын
Natamani nisikie ile ya chozi langu langu la nyamani
@ahmadhemba8455 ай бұрын
Majanga hayo
@aooshosho42554 ай бұрын
Sasa tofauti ya taarabu na hii iko wapi
@kassimsaid44815 ай бұрын
إذا أردت أن تذكر عيب غيرك فذكر عيبك! Andika Allah hivyo wala si allah kwa small a. Upo
@ishirininasita26264 ай бұрын
Imagine mke wako ndio yuko hapo sasa🤔🤔akili tu bila dalili
@binabeidsalim63802 ай бұрын
Nyote hakuna adabu mumsemao huo fannanah mariam
@yahfatmudswiddiq22715 ай бұрын
انالله وانا الیه راجعون
@muhammadally77803 ай бұрын
Tunajifunza nini hapa waislamu
@khamisjuma76164 ай бұрын
hapo mna makosa ma2 kuimba mziki na kumjumuisha mtume ktk miziki yenu wacheni ushetani
@jumakapilima72954 ай бұрын
Hii ni taarabu, kama zilivyo nyingine,,,
@mudyhmedia4 ай бұрын
Muumewe
@eshasalim14715 ай бұрын
Llah kila kukicha huzidi mambo makubwa makubwa tukidhani ni madogo
@EnthusiasticAtv-gn6pb5 ай бұрын
MRIDHI, UKIKOSA OMBA RADHI
@RashidSaid-l9m5 ай бұрын
Eee yote majimbo tuuu qasda anashid nyimbo zote
@hamadrashid51405 ай бұрын
Madayuth pekee ndo wanakubali upuuz huuu
@Salim2019-BD5 ай бұрын
Naaam😆
@Yayouselim5 ай бұрын
@@hamadrashid5140 hata wew pia dayyuth
@MA-ht7po5 ай бұрын
Nakubali
@SalimWarda-z3p5 ай бұрын
Wew ni shoga dayuth mkubwa ni wew umeona watu washikana Matiti hapo shoga mzee wew huna haya dayuth ni wew unae shindwa kumtombaa mkeo nyumbani atombwa na wanaume wengine njee hanith wew
@AkramJuma-b5r5 ай бұрын
Hamna kasida hapo
@musamusa63745 ай бұрын
Si mke wake huyo jaman
@Thwahasopayiikaji4 ай бұрын
Mziki huo siyo kaswida hiyo
@eshasalim14715 ай бұрын
Kwa machozi gani kuililia hio nyimbo mliliye mkeo Kwanza na wewe mwenyewe hivo mufanyavo ni madhambi
@adamhashim33525 ай бұрын
Watu wanakufa bila kalma umma uko taaban sisi tunaimba
@AdamRajab-xd3zg5 ай бұрын
Lingania xx mbona kuna maswahaba walkuwa washair na walipata kalima wakati wanatolewa roho acha kujzma data
@adamhashim33524 ай бұрын
@@AdamRajab-xd3zg hakuna swahaba alipoteza muda kuimba akaacha kulingania na huwezi bashiriwa pepo kwa kuimba
@HassanMohamed-e1h4 ай бұрын
Hebu naw waambie? Wametowa wap
@SalumuNuhu5 ай бұрын
Hii ni dini aliyotuachia mtume صلى الله عليه وسلم na maswaha wake kweli?
@eshasalim14715 ай бұрын
Mawaidha gani tuambiwe nyote twayajua ila nikukumbushana tu
@ustadhisimbula86225 ай бұрын
Umm kuluthum wa tz
@AishaSuleimani-k5o5 ай бұрын
Nampenda uyu dada wallah
@kassimomar75895 ай бұрын
Mbona wanaga Gita jmn
@alidadi61565 ай бұрын
Shagazi yake taarab hiyo!
@omaryissa18215 ай бұрын
Nyimbo raaaiiin hadi ki usingizi.kimenipata
@hajiabdalla57725 ай бұрын
Kasida taarab
@aishaabdalla76244 ай бұрын
Bi Maryam na wenzako naomba urudi kwa mola wako usikubali hayo SIO QASWIDA hy ni NYIMBO kama nyengine wakati zimetumia ala za muziki ni KHARAM, pamoja na mchanganyiko wa waume na wakike ni FITNAH
@fabianmaganga57875 ай бұрын
Hahahaha elimu hizi jmn mwanamk anachez mbele ya wanaume na anatoa saut mbele ya wanaume daah
@JJ4ZA5 ай бұрын
Kwani hana sauti mpaka asitoe?
@nasseralaufi93082 ай бұрын
Hii ni ndugu yake tarab
@hamynas5 ай бұрын
we babdeo sijui deogratius unaalika walevi katika programu zako?ha ha ha haa
@jumakapilima72954 ай бұрын
Halafu utamkuta mtu anawatukana ANSAR SUNNA,,,
@zainabumartin95205 ай бұрын
Kwani hapo kakosea nini jaman
@eshasalim14715 ай бұрын
Naomba kasome Dini utajua Ikiwa huna Dini kila kitu utaona Sawa tu
@Yayouselim5 ай бұрын
Hii ni ktk dini Ibn hazm kasema inajuz na pia huo ni utamaduni wa waswahili unaotakiwa ufufuliwe
@eshasalim14715 ай бұрын
Huyo Ibn hamz wako na Quran Bora ni nini Ikiwa Quran imetukataza wanawake tujistiri na tusitoe sauti zetu
@eshasalim14715 ай бұрын
Na musifufue utamaduni wawaswahili Tu kisha wafufueni yaswaswahili wenyewe walikufa
@eshasalim14715 ай бұрын
Hizo tamaaduni zenu mutakuja juta siku ya kiyama
@Yayouselim5 ай бұрын
@@eshasalim1471 quran imekataza nn?
@Yayouselim5 ай бұрын
@@eshasalim1471 wew ni mjinga 2
@HarunaArmani4 ай бұрын
Huu ndio uislamu inavyotakiwa nasikia kinyonge kinyonge lazima sikuzakufurahi ziwepo tena kwa maneno murua kama haya
@Bahati475 ай бұрын
Makubwa haya. Magitaa na vinanda Tena?
@ishirininasita26264 ай бұрын
Imagine mke wako ndio yuko hapo sasa🤔🤔akili tu bila dalili