Masanja is talented ,funny ,bright ,confident and blessed 👏
@paulmadundo80844 жыл бұрын
kuna kitu kimoja umekizungumza mwisho wa hii clip masanja very interesting!; watumishi wa Mungu wanapaswa kutokusahau hilo kwamba wanavyofahamu wao kuhusu Mungu wajue Mungu yu zaidi yao, blessed!!
@danielmlanda25464 жыл бұрын
😁😁😁😁ukimuhoji masanja jiandae kukaa kimya maana jamaa anazima mitambo yote
@khalidyndi4 жыл бұрын
Anaua hakupi nafac ya kuzungumza
@abuusufian65064 жыл бұрын
😁
@rastamabuki1854 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rastamabuki1854 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@emmanuelbitungwa7664 жыл бұрын
Nimechekaaaaaa
@agnesslyatuu80264 жыл бұрын
Pastor Nakupendaga Mungu akubariki sana unaongeaga point sana
@boniventurethadey73534 жыл бұрын
Huyu jamaa ana ni inspire sana
@aggreyenock12214 жыл бұрын
Umeongea point sana......kama mtu umetokea maisha ya chini ukipata pesa unatakiwa uvimbe
@fatumaabdhul86204 жыл бұрын
Nakupenda sana kaka angu unaongea vizuli sana
@salomemukani16274 жыл бұрын
Ati lmgn ningekua na simama alafu watu wana lia Ume nifurahisha kweli.unachoka kuesabu magar duu napenda ww sana ima.. 💪💪💪💪👊👊👊🙋🙋🙋🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦.
@aronnkini93144 жыл бұрын
Ufaham wako/wetu wakumeelezea Mungu, unaishia kwenye ufaham wako/wetu, hapo nimekuelewa vizur sana mchungaji🔛
@propheticministrytz34824 жыл бұрын
My great brother ❤️
@donaldyusuphu18794 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@sweetbazily37614 жыл бұрын
Nakukubali sana bro 💪🏽💪🏽💪🏽 Ur life 🔥🔥🔥 Watasema tu hata ukiishi kutembea na baskeli endelea kupost
@adelinarncc28302 жыл бұрын
Nakupenda sana mtumishi wa mungu masanja 😘😘
@mansoormtuzu91074 жыл бұрын
Safi san masnja umeeleza ukweli
@faucynkrctian66074 жыл бұрын
Usisikilize maneno ya watu, fanya unachokipenda, tunaishi mara moja tu
@happymwinuka26374 жыл бұрын
Hapo umenifurahisha masanja,kwakweli injili ihubiriwe inavyotakiwa,barikiwa
@allymohammedi88324 жыл бұрын
I appreciate that masanja
@baghdad71654 жыл бұрын
Safi big up Sana masanja unajituma.
@johnzacharia23084 жыл бұрын
True umeongea point
@lengoonelaandare96604 жыл бұрын
Hongera mtumishi hapa ni kazi na neno hakika mungu anabariki kazi ya mikono yetu
@mathiascharles4714 жыл бұрын
Nimekuelewa Masanja
@pedrorachidekalamagarachid58044 жыл бұрын
Yesu ndo kila kitu.
@kangaeliasxx89333 жыл бұрын
Hahahahahhaha! Naenjoy Sana Kaka yangu masanja
@laurenciamagera81854 жыл бұрын
God Bless You
@faridasabu89464 жыл бұрын
Sana wewe ni msanii no 1 2 3 4 5 kwangu! Hakuna mtu mwenye maisha mazuri km wewe kisha anafuatia joti! Mungu awabariki mkojuu!
@Mike-yg7pb4 жыл бұрын
Hahahahahaha mi nachoka kuhesabu magari, we uwe unahesabu nikiwa naendesha😂
@Mike-yg7pb4 жыл бұрын
@@mohamedslh5478 😅😅masanja ni shidaa
@anordlaurent87514 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mc_mrope4 жыл бұрын
Hongera sana Masanja umepambana sana🙏
@josephkahindi17134 жыл бұрын
Nakukubali sana bro
@sabinashabani11653 жыл бұрын
Uko vizuri masanja
@petermasai3244 жыл бұрын
""linajaa damu njwiiiii""" hahahahaha ....hongerA sana kaka unanitia moyo Sana katka utafutaji wang
@ibrahimkabonge71632 жыл бұрын
great masanja
@aloycekiwia86134 жыл бұрын
Watu badala ya kuwa inspired na huyu jamaa,Eti wanasema ana-showoff. Si Amepambana ..!!??
@gardmwakyanjala9094 жыл бұрын
Asante Sana
@mariamayoob87344 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😉 masanja noma God Bless
@nashonjoel204 жыл бұрын
Safi sana Masanja. Umezima hoja zote
@richardbuhatwa19404 жыл бұрын
Mtumishi safi ni kweli MTU halazimishi kusikia unavyo hubiri
@JMONELINETV30894 жыл бұрын
Kakaaaaa umesomeka kaka masanja
@shakiramcheni86844 жыл бұрын
Masanja,ni yule yule tuu Masanja wetu wa ze comedy bado nafasi yako haita shuka wee ni namba one,wanivunja mbavu 🤣🤣🤣🤣
@najatmngazija15474 жыл бұрын
Big up masanjaaaa🔥🔥🔥🔥
@immasanga57134 жыл бұрын
Mm cjapewa ma vitu ya kutisha😂😂😂
@fundivigaetzchannel66704 жыл бұрын
Safi sana
@jovintosssi32874 жыл бұрын
Et nasukuma uchovu na bmw 😂😂😂
@wendesimime39504 жыл бұрын
Hongera Sana
@ericsamuel22174 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua
@enockkagomba12614 жыл бұрын
Hongera sana one of my mentor
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Masanja hongera sana mpambanaji..
@ramadhanabas44554 жыл бұрын
Munira Ahmed, nimekuwa nikifuatilia comments zako, siku zote umekuwa positive. Ahsante sana.
@alikizungu2814 жыл бұрын
Munira ahmed naomba namba yako ya simu
@barakaluvanda79414 жыл бұрын
🙌 munira mpaka una 1.2k subscribers
@barakaluvanda79414 жыл бұрын
@@alikizungu281 🤣🤣🤣
@alimbito11944 жыл бұрын
Wekeni jawabu ya kumjibu Allah
@ervinlihawa4 жыл бұрын
Maswindiiiiii 😀😀😀
@kidomgozi38004 жыл бұрын
Aminaaaa
@adelinarncc28302 жыл бұрын
Kweli kabisa
@bjzee19814 жыл бұрын
Masanja kweli hana show off kabisaaa. Vinginevyo tunge ona mengi tu. Safi Masanja
@goodlucklukinga78173 жыл бұрын
Hahaaaa kaka nakukubali mno
@karumunajulianus34714 жыл бұрын
Watu bhana!! mumuache ni maisha yake kapewa na mungu
@rashidimohamedi4264 жыл бұрын
Madhara ya julala na sim Usisite kusubscribe 🙏 kzbin.info/www/bejne/nZCqZZaknKeSrqM
@franksindano67704 жыл бұрын
Nakubal sana aaaAa
@merinakassembe42513 жыл бұрын
Kilasiku Minasemaga masanja ni tajiri no 1 Tanzania.
@josephmbamba97734 жыл бұрын
Hiyo Kali nimeilewa malipo ya kazi hayo enjoy bro
@tusajigwemathias37584 жыл бұрын
Waambie kaka hahahaaa maswindi nomaaaa
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Nimecheka Masanja ana maneno
@acramrich89024 жыл бұрын
Kwel kaka uko sawa
@lamecksalia63194 жыл бұрын
Nakukubali mkali
@gayosanga9754 жыл бұрын
Big up
@barakaalmas33994 жыл бұрын
Hat mm na misfu mkewang
@emanuelmfanga92204 жыл бұрын
👏👍🙏
@khdigahk42464 жыл бұрын
Mtakua na swali LA kuumuuliza masanja kweli ndugu watangazaji😅😅😅😅
@laurenciamagera81854 жыл бұрын
Nice work Masanja
@mashambaelectronicsworksho4954 жыл бұрын
RESPECT
@KURYABOYTV4 жыл бұрын
Masanja umetisha
@yasiniselemani24124 жыл бұрын
Janja janja mingiii
@irenembura56844 жыл бұрын
Amen!!! Ubarikiwe saana🙏
@sifasanga78664 жыл бұрын
Nimecheka Sana leo
@mourindarigo-uy4uo8 ай бұрын
Sana
@severinmmassy76274 жыл бұрын
Pesa za mtandao hizoo
@mcheshcomedy58094 жыл бұрын
Sawa boss💯💯💯🇹🇿
@shadrakdoto93733 жыл бұрын
We mtu nakuamini sana
@udakuudakutv71764 жыл бұрын
Respect
@elcholo73614 жыл бұрын
Ww hesabu tu ukiyaona🤣🤣
@silverman69304 жыл бұрын
Anyone listening to the tune on the back ground 🔥🔥🔥🔥
@princepeter21104 жыл бұрын
Naikubali io nyimbo..country music ni tamu sana
@lubavaclassic70484 жыл бұрын
Masanja mjanja kinoma..Mtu ukishalima nakun mpunga kwa miaka miwili mfurulizo unakoboa nakuuza mpunga unakuwa umeshajua Gunia kumi za mpunga zinatoa kilo ngapi za Michele..Sasa wewe umelima mwak wa 10 now unashindwaje kukadiria Tani za mchele utakaopata wakati umeshavuna mpunga unajua una gunia ngapi za mpunga..??
@frankkazimil86464 жыл бұрын
Kwel 🙏🙏
@sabrinasab29104 жыл бұрын
Heeeee kama kameza kasset
@anicetjames17744 жыл бұрын
Hizo sim sasa za mwaka 2015 hapo nimeiona TECNO CAMON C8 😄😄😄
@oscanyakunga96744 жыл бұрын
Msanja mkandamizaji _umeongea point mimi.sio tu mhubiri ni chuma Cha kupereka injili kwATU
@farisytanzania65664 жыл бұрын
Matendo 11:19) Injili anayoihubiri masanja, karuhusiwa na nani? Pia Matayo 10:2) Majina ya wanafunzi wa Yesu hakuna masanja. Matayo 10:5) maagizo ya Bwana Yesu, israel tu. Halafu huyu masanja si ndo aliyesema: Yesu anastahili kuabudiwa. Matayo 15:8) Yesu kakataa
@danielyusuph32314 жыл бұрын
Sychological of skin style 🤣🤣
@sifasanga78664 жыл бұрын
Nimecheka Sana auf anavoongea kwa ujasiri sasa
@isackathanas42453 жыл бұрын
Ameni
@ditrammgimba27594 жыл бұрын
Safi sana kaka!
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
unaongea point tatizo unafoka sana
@frankfrancis69654 жыл бұрын
Barikiwasana
@Bensonfrank254 жыл бұрын
Jamaa Mpambanaji sana!!!
@dastansimpanzye55584 жыл бұрын
hahahaaa haya masanja
@isacklaurent89484 жыл бұрын
masanja nmekuelewa sana
@mwanzashinyanga80604 жыл бұрын
nakukubari masanja
@denislukumay66544 жыл бұрын
Hahahahh umetisha San broo
@dafrozasangi30384 жыл бұрын
Umetisha masanja umenikosha hapo KWA mkewe nikweli mpede mke wako au mmewako kwasababu huyo wako nimzuli kuliko wote
@rinovarthiliwi13144 жыл бұрын
AACHE TABIA YA KUWASEMA WAPINZANI MAANA NA WAO NI WATANZANIA. FANYA KAZI ZAKO ACHANA NA SIASA UTADUMU SANA.