MASANJA AONESHA NYUMBA ANAYO ISHI KIJIJINI NA USAFIRI!!

  Рет қаралды 60,664

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

Күн бұрын

MASANJA AONESHA NYUMBA ANAYO ISHI KIJIJINI NA USAFIRI!!

Пікірлер: 72
@neemamabiki6164
@neemamabiki6164 5 жыл бұрын
Daaah!mtu wa watu anajituma akifanikiwa watu oooh!!masanja Freemason kama ni rahisi kihivyo na wao wajiunge.
@magejoseph9258
@magejoseph9258 4 жыл бұрын
Napenda Sana kuwa mkulima maana nami pia ni mtoto was wamkulima Ila Sasa pesa to ndo shida maisha yangu bado kabisa naomba Mungu nami anisaidie ili kutimiza ndoto yangu hongera sana kakaangu kwa kazi nzr
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 5 жыл бұрын
Kukiwa na vijana kama hawa million2 nchini hakika Njaa tutaisikia tu,,,, sio tuna vijana wa majungu tu. Hongera kijana.
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 5 жыл бұрын
kk masanja ww nomaaaaaaa big up
@joycengowi2429
@joycengowi2429 4 жыл бұрын
Mungu azibariki kazi za mikono yako
@danfordmwangesile9043
@danfordmwangesile9043 5 жыл бұрын
Ahsante Sana Emmanuel Mungu azidi kukubariki. Sijui nakupateje ili nijifunze kitu kwako Kaka?????
@marcobulili4341
@marcobulili4341 5 жыл бұрын
Uko vzur sana ktk masuala ya kilimo! Nakushauri ulime kisasa kwa kutumia mshine za kupanda na kuvuna ili kuepuka hasara ya hapo baadaye ya kukosa wapandaji
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
pole pole mwanawane kapikipiki unakakuruza mno au sabu amna police uko
@cheweathumani6333
@cheweathumani6333 5 жыл бұрын
Safi sana brother kwa kujituma, j alteza hapa,
@billydadkiswaga9461
@billydadkiswaga9461 5 жыл бұрын
Excellent job
@daudmayombo6763
@daudmayombo6763 4 жыл бұрын
Safi sana bro dalasa tosha
@pendobaharia9885
@pendobaharia9885 5 жыл бұрын
Mungu akujaze zaidi na zaidi
@denismwalukunga8686
@denismwalukunga8686 5 жыл бұрын
Hongera kwa kujituma wengine wanaona raha kuwa maarufu bila kujishughulisha
@sadajuma5135
@sadajuma5135 5 жыл бұрын
Honger masanja
@georgemligo3420
@georgemligo3420 5 жыл бұрын
Weeeee mzeee una utofauti aiseee big up sanaaaaaa. Investment unayo ifanya ni nzuri vipi iyo ni Ubaruku au Kapunga???
@yasintamartin3426
@yasintamartin3426 5 жыл бұрын
hongera sana masanja
@Vuvuzelaz1
@Vuvuzelaz1 5 жыл бұрын
Big up Masanja napenda sana kazi za Shamba uwiiii mpunga huooo
@neemiandondole6168
@neemiandondole6168 4 жыл бұрын
Be masanja uliunofu swee nde valonge swela.
@brhchannel6618
@brhchannel6618 5 жыл бұрын
Najifunza vitu vingi Sana kutoka kwako Brother hakika wewe unani inspire Sana with your beautiful wife hana maneno Mtoto wa kisukuma jamani @Masanja
@neemajohn6086
@neemajohn6086 5 жыл бұрын
Eng.Muyengi Baraka vp
@brhchannel6618
@brhchannel6618 5 жыл бұрын
@@neemajohn6086 Pouwah Mzima Ney.
@saddykayage6519
@saddykayage6519 5 жыл бұрын
Naomba kazi boss masanja
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 5 жыл бұрын
Safii sanaaa maisha ni mapambanooo
@raysonmero5649
@raysonmero5649 5 жыл бұрын
Much rspect broo
@emmanuelkimonge7013
@emmanuelkimonge7013 5 жыл бұрын
Big up sana wajina ngoja tuanze kujipanga ili next time na sisi wengine tuje huko aiseee nimeipenda sana hii.
@makalangele6229
@makalangele6229 5 жыл бұрын
Big up Masanja
@neemakaluwa5856
@neemakaluwa5856 5 жыл бұрын
Kwa kujituma huko kwann Mungu asikukumbuke? Ki ukwel unanitia hamasa yakuendelea kuhaso na kutokata tamaa.
@saphynjaule4849
@saphynjaule4849 5 жыл бұрын
Kweli kaka Mungu azidi kukubariki zaidi kwa jitihada zako.unani inspire saana
@magelupia7897
@magelupia7897 5 жыл бұрын
Appreciate you bro
@barakachami8218
@barakachami8218 5 жыл бұрын
Daah.. Ngoja nipate money na mm nikalime Aisee kilimo kizuri ukiwa na pesa
@falictv9058
@falictv9058 5 жыл бұрын
We ni noma
@deusmauka9626
@deusmauka9626 5 жыл бұрын
Hakuna haja ya kuwapa wawekezaji ardhi ilhali wapo Watanzania wachapa kazi, hayo mashamba ya wawekezaji mpeni masanja.
@dicksonmpululu1800
@dicksonmpululu1800 5 жыл бұрын
Hongera sana kwakaz!!!?
@swaumumohammed5710
@swaumumohammed5710 3 жыл бұрын
Iki kilimo kizuri ila usikurpuke ela lazimaiwepo
@godfreymgaya1862
@godfreymgaya1862 5 жыл бұрын
Najifunza Sana kakaa
@francischela2760
@francischela2760 5 жыл бұрын
Mkuu kazi inanihusu hiyo
@emmanuelkimonge7013
@emmanuelkimonge7013 5 жыл бұрын
Ila pia wajina nasubiria ile tour ya kuja huko tuje kujifunza
@jasiminjasimin7694
@jasiminjasimin7694 Жыл бұрын
Kiukweli nitakutafuta broo unipe binu niaze kulimisha
@bishopgeorgemao999
@bishopgeorgemao999 5 жыл бұрын
Safi sana
@godfreykaduma2561
@godfreykaduma2561 5 жыл бұрын
George Mao nakubali
@hamumyahmed9652
@hamumyahmed9652 5 жыл бұрын
Pambana bro
@magejoseph9258
@magejoseph9258 4 жыл бұрын
Ivi nikiuliza Kaka unalimia wapi itakuwa vbya samahani rakin
@benadolphabiandustan4109
@benadolphabiandustan4109 5 жыл бұрын
watu wanapenda sifa eti mchungaji hu hu hu huuuuu
@ibrahimdea2659
@ibrahimdea2659 5 жыл бұрын
We jamaa kichwa sana
@jacobwilliam2630
@jacobwilliam2630 5 жыл бұрын
Unalimia eneo lipi mkuu
@karimujuma7784
@karimujuma7784 5 жыл бұрын
Unania ya kukwepa kod non mbna km unajitetea kabla hujaambiwa unadaiwa b mbili hapo badae
@littlelion7276
@littlelion7276 5 жыл бұрын
Aysee inabidi nikutafute unioneshe namna ya kupractise kilimo bora.. Nitakutext whasap mkuu
@سبحانالله-ح7د
@سبحانالله-ح7د 5 жыл бұрын
Usiku si itakuwa giza.
@hellenmgungus1202
@hellenmgungus1202 5 жыл бұрын
Unalila sababu ya kuwa bilionea masanja
@franklugalamila4473
@franklugalamila4473 5 жыл бұрын
Duuh uyu bro mfano wakuingwa
@dorcasanderson4825
@dorcasanderson4825 5 жыл бұрын
Hongera sana Bro...
@bonishani8570
@bonishani8570 5 жыл бұрын
kilimo nikizuri san
@sigifridaloyce9914
@sigifridaloyce9914 5 жыл бұрын
uyu jamaa yupo kama muhaya bhn hata simuelewagi yupo kama muhaya
@marwaryoba9725
@marwaryoba9725 5 жыл бұрын
Jamaa jinsi anavyo post hizi mambo ana maan kuw vjn tuchangamkie frusa afanyi kwa sifa bali kutuinsipire,,,tusibweteke na viajira vya kuajiriwa,je kesho haupo familia yako itaridhi nn? Tutafakar tuchukue hatua.
@mikembokaila4241
@mikembokaila4241 5 жыл бұрын
kibanda chako kiboreshe kidg
@rahimatanzani6509
@rahimatanzani6509 5 жыл бұрын
Yani wewe masanja ni mfano wa kuigwa kabisa mm nimetaman sana kazi za shamba mtaji bei gani
@godfreymgaya1862
@godfreymgaya1862 5 жыл бұрын
Eka moja laki 6
@rahimatanzani6509
@rahimatanzani6509 5 жыл бұрын
@@godfreymgaya1862 huko kwenu mshamba yapo japo eky moja
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 жыл бұрын
mtaji mkubwa kabisa ni nguvu zako mwenyewe
@rahimatanzani6509
@rahimatanzani6509 5 жыл бұрын
@@mohameddamka922 sawa sikatai nguvu nyingi ni nzangu ila nahutaj shamba
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 жыл бұрын
@@rahimatanzani6509kwakua ndo unaanza tafuta shamba ambalo si kubwa saana lima kwa kutumia mkono kwanza harafu taratibu utakwenda unaongeza ukubwa wa shamba
@kelvinmhagama9535
@kelvinmhagama9535 5 жыл бұрын
ngighelye ighasi yewifanya ,ghumwaka iludewa yagho wichake tughaghulolela
@asifiwediodos1328
@asifiwediodos1328 5 жыл бұрын
tractor haizami?
@billydadkiswaga9461
@billydadkiswaga9461 5 жыл бұрын
Excellent
@lailasalim1443
@lailasalim1443 5 жыл бұрын
Hayo Ni maji ya mvua ama yakumwaga masnja?
@alfamwakibete1713
@alfamwakibete1713 5 жыл бұрын
Natamani nijemimi uko je? sha mba kukondisha shigapi
@richardmercio3855
@richardmercio3855 5 жыл бұрын
Inabidi jeshi la polisi tukukamate kwani umeendesha pkpkp bila kuvaa kofia ngum
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 5 жыл бұрын
Safisana
@cheweathumani6333
@cheweathumani6333 5 жыл бұрын
Safi sana brother kwa kujituma, j alteza hapa,
@alexisntawuyankira8507
@alexisntawuyankira8507 5 жыл бұрын
Ongela mutumishi hapo kzi tu
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 56 М.
MASANJA NDOA ZINAKUFA KWASABABU HAMPELEKI MOTOMOTO
3:12
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 52 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 10 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
Masanja MONICA ft Walter Official Video
5:13
Link Tv Tanzania
Рет қаралды 678 М.
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
UNSORTED
Рет қаралды 4,5 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
HABARI HII YA PAUL MAKONDA MCHANA HUU YATIKISA DUNIA,,WENGI HAWAJAAMINI
8:18
LIVE : KIKOMBE CHA MAPITO | FEEL FREE CHURCH | BISHOP.MASANJA MKANDAMIZAJI
1:23:16
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 410
Bunge lamuidhinisha profesa Kithure Kindiki kuwa naibu rais
6:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 55 М.
Kilimo cha Mpunga Madibira
2:32
Dream Media
Рет қаралды 6 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 10 МЛН