sawa broo me ni mtoto wa mama nyangi kazana utafika mbali sana mungu pamoja na we
@emmanuelmkalawa92426 жыл бұрын
mtumishi nimekuelewa vzr mnoooo kula unachotaka na kula unacho kipata
@isaacmgaya20676 жыл бұрын
Emmanuel. You are very crazy. Ange ndisi baho. Ugali is food. Believe me. One day you wll come back to it.
@catenzeki6786 жыл бұрын
Uko juu bro...mm binafsi nkukubali...kipaji apo kipo
@nasmafarmsltd91465 жыл бұрын
Mìýè nķo Oman nime miss ugal wal kinachosha
@happinesssteven11556 жыл бұрын
heshima ya mwanamke iko ktk kukua ktk kumjua kristo.
@christophermgoli12365 жыл бұрын
Piga kazi Mchungaji😄😄😄🙏🏼
@michaelrungwe37166 жыл бұрын
Masanja kanyea kambi
@enockmtepa69726 жыл бұрын
Maisha ni haya haya
@joshuahamisi99886 жыл бұрын
Nikatika comed tuu najua unakula broo
@bonifacembilinyi55766 жыл бұрын
bora wewe umemuelewa message nyingi zinamponda bila kujali ye ni comedian
@catenzeki6786 жыл бұрын
Hahahahaha...eti kwni kuna manabii...mmejuaje😂😂😂
@majmadramas57266 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaaaaaaa like you more ma bro😍😍😍😍
@musadaud6526 жыл бұрын
Hahahaha wadada miguu imepinda kwjili ya ugali dagaa hahahaha
@delartone30167 жыл бұрын
The man is so fun 😁😂
@dangeloelliot9603 жыл бұрын
you probably dont care but if you are stoned like me during the covid times you can watch pretty much all of the new series on InstaFlixxer. Been watching with my girlfriend during the lockdown =)
@rolandryder58113 жыл бұрын
@Dangelo Elliot yup, have been watching on instaflixxer for years myself :D
@ngometvarusha40306 жыл бұрын
Kwan ugali siyo chakula mhiiii sasa
@dawillygene5 жыл бұрын
Nimecheka mpaka machozi
@mwendwajohn39226 жыл бұрын
Kwan ugal sio chakula au
@ibrahimmfundo83836 жыл бұрын
Ukisikia kufuru ndio hii
@rechoalmasi21075 жыл бұрын
Antania tu
@deborahmwakatoga71924 жыл бұрын
Yuko kazin apo anaingiza pesa niutani tu
@deborahmwakatoga71924 жыл бұрын
Yuko kazin apo anaingiza pesa niutani tu
@berithachumila93686 жыл бұрын
Hahahahaaaaah ubarikiwe mtumishi wa mungu
@erickmwananjela6 жыл бұрын
Semelea
@queencharles48236 жыл бұрын
Waswahili wengine bana, yupo kazini apo, kula ana kula ila ni kazi ya kuchekesha! Mimi nimecheka kabisa hahahhahahhaahahahha! Muache unegativity nyie wabongo!
@nanawish8516 жыл бұрын
😂😂😂😂 spare my ribs
@kajaymopao16725 жыл бұрын
Wewe wacha zako ugali ni chakula cha tamaduni yakiafrika mimi mwenyewe millionaire tena millionaire mkenya na siezi kosa ugali wiki moja na nimelelewa na ugali tangu nikiwa mdogo usitharau ugali wacha zako unashukisha tamaduni zetu zakifrika
@roseboniphace51436 жыл бұрын
mbona ulikula mihogo shambani kwani ugali unatofauti gani na mihogo?
@gwantwaseke84067 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@dicksonsheja93766 жыл бұрын
Hahahaaaa
@yassinabdy89626 жыл бұрын
Hovyo ugali ndio staple food ya Africa ,pumbav
@mwidinijuma15806 жыл бұрын
Mchungaji wewe unashangaza, ugali ni chakula kama chakula kingine Sasa wewe unaupondea ugali mimi sikuelewi aliyekupa wewe wali ndie aliyempa mwezio ugali
@JOHN16verse335 жыл бұрын
1. Easy man its comedy 2. Amesema ameshakula sana ugali..amezaliwa Njombe na kule ugali ndio chakula kikuu wananywea chai hata asubuhi. Mke wangu amezaliwa Moshi hali ndizi zikipikwa kabisaa kwa madai hayo hayo. Msukuma anaweza kukwambia the same thing habari ya samaki Waliozaliwa Dar tu ndo walikua na variety ya vyakula na ugali ulidharaulika. Utanielewa kama umri wako ni rika letu yaani mi na Masanja otherwise watoto wa siku hizi wamezaliwa kwenye vyakula vingi wanajichagulia
@kevohmsangi6496 жыл бұрын
The thing you are talking about is not alright kabisa, coz ugali ni chakula pia haina haja ya mtumishi wa Mungu kujigamba kuwa hali ugali, that's not God's way
@bonifacembilinyi55766 жыл бұрын
IT'S COMEDY BROO , USIPANIKI
@ThobiasMarandu6 жыл бұрын
Hiyo sio Comedy ni Arrogance. Kuwa Humble, Yesu is not all about money, Mavazi, na Mali. Huo ni Ujinga.
@queencharles48236 жыл бұрын
Its comedy, hujawai kula ugali wewe asubui mchana na jioni, ndani ya mwaka, huli tena maishani! Alafu unaenda kula sehemu nyingine kubadili mazingira wanakupa dozi hehhehehehehe! He is fine na watu wamexheka, chekesha na wewe!