Mashallah Allahu Akbar Allah ni ghafuru rahiim Mumefanya vyema kuja na kukiri makosa na kupiga tena shahada . Allah ndiye alo mkamilifu na kila mtu hukosea. Asalam alaekum jamiaa
@healingsschool4630 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki sana. Tumrudishie Yesu Kristo Ile m5
@MbwanaJumaa-t1n7 ай бұрын
Ingekuwa enzi za aliyeitangaza hii dini ya Allah wote washapigwa mapanga hao
@adamseif7270 Жыл бұрын
Allah awasamehe .msiludie tena .na Kama mwakili mmekosea pesa za watu mlejeshe pesa za watu .au ziende Kwa mayatima au bisahh Kwa wao kuzitumia tena tuseje onekana waislam Ni waloho wa pesa.wahadha asalaam aleykum 😭😭🙏
@mkprostudiokasekwa3423 Жыл бұрын
Mungu amewasamehe kwakuwa mmekiri kosa hadharani ingawa wanadam wengine ni wagumu kusamehe Kama mlivyodhalilisha dini ya kiislam nanyi mmekubari kudhalilika Dunian naeapongeza zidisheni kumtafuta mola endeleeni msijari maneno ya watu mimi ni mkristo lakini naheshimu dini za watu hizi dini zote tunakutana kwa msajili wa vyama kwahiyo hizi ninjia tu ambazo tunaamini zinatuongoza baada ya maisha ya baadae yani kifo
@Caffe-gx1hr Жыл бұрын
Utu uzima ni hekima wala mvi ila mwenyezi mungu atawasamehe inshaAllah
@nasrahassan2260 Жыл бұрын
Hy kwa nabii mkuu hivo. Mmeonesha uzaifu. Je siku ya masih dijal simtakuwa wa kwanza kumkubali. Na kfuwata.
@zaerajuma9159 Жыл бұрын
Nasra vp
@ummuhafswa8980 Жыл бұрын
Duh.!! We achatu
@hadijasadiki5825 Жыл бұрын
Kweli hizi nidalili zakiama yaŕabi tujalie imani ya kweli pamoja navizazi vyetu
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Nyinyi Kilicho wa fanya ivyo Ni Njaa Lkn kama mmekiri makosa hatuna cha kukwambien lkn Mngetuji hapo Nakutwambia kuwa kuna Nabii aah Mngejua hamjui Mana twendekupen Mdahalo mtufafanulie Nabii huyo katoka wapi?Alhamdulillah Allah a wasameh إن ما الأعمال با النيات Allah ndo anajua nia Zenu sisi hatujui So Hatuna cha kuwahukum Ila Tahadharin msije mkawa mbele yetu Mnatwambia hiv kisha nia zenu zikawa si Safi Allah بصير بالعباد Allah a wasameh inshaallah
@MbwanaJumaa-t1n7 ай бұрын
Lakin hatuna budi kuwaombea dua
@mwanaulusebe3002 Жыл бұрын
Inshallah mungu atawasamehe
@ummuhafswa8980 Жыл бұрын
Allah awajaalie toba yakweli
@soudia9084 Жыл бұрын
Je unaruhusiwa ujkialikwa kanisani n’a kusema maneno wanayosema wakristo. Maana Waco mashekhe wengine waliosema.
@haarunsaidabdillahi5267 Жыл бұрын
Hao SI masheikh. Ni kurdish la WAJINGA wenye TAMAA ya pesaro za bure..
@kajetefurnituretv393 Жыл бұрын
Radhi wamuombe Allah siyo sisu
@maulidimassanga4183 Жыл бұрын
Cheki surazao kwanza kavuuu km kababu zilizo lala
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Karibu nawewe shehe sisi wanangurumo hatuna dini
@chunanachu2529 Жыл бұрын
Hamna ata haya mmeshadhalilisha dini ....mungu atawadhalilisha na nyinyi kwasababu mmefanya kusudi na akili zenu timamu
@bigirabagaboibrahim8144 Жыл бұрын
Mukiambiwa kaeni chini msikilize darsa msikitini mna kuwa wambele kukunguta viato na kwenda kwenye magenge na hapo kicwani hujui lolote kwenye dini.
@jumahory859 Жыл бұрын
Njaaa hiyooo
@hassanadam3007 Жыл бұрын
Munahitaje shahaada
@suleiman5127 Жыл бұрын
OMBENI MSAMAHA KWA ALLAH NA WALA SIYO KWA WANADAMU.... NJAA ITAWAPELEKA MOTONI KWA UPUMBAVU WENU MNAOUFANYA....
@eliamtinda7222 Жыл бұрын
This is fun🤣🤣🤣🤣! Hela wamepiga na Sasa wanashahadadia! Sitakilawama mimi!
@makinibwika1427 Жыл бұрын
Sheikh elmu ndogo nihatari. Hawa watu wamuombe Allah msamaha
@pillyolsen83778 ай бұрын
Njaa mbaya sana kwakweli😂
@dorcaskarago2876 Жыл бұрын
Acheni kuabudu dini soma Quran yote Muhammad ameshuudia kuwa Yesu ndiye dalili ya kiama
@AzizaHamisi-o6z6 ай бұрын
Wafanye toghba kwa mola wao
@robertathuman9242 Жыл бұрын
Washa kula hela za nabii mkuu wansjifsnya kuomba msamaha hzi njaa hzi??? Hapo karudishen na hela za mzee wawatu ndo mtasamehewa
@harithmuhammad4394 Жыл бұрын
Nyinyi nyinyi ninjaa tu wasaka tonge
@mwadinbakar9553 Жыл бұрын
Hii ya kuita waandishi wa habari na bakwata wala haisaidii!, subirini yaumul'ahad mukaonje mulichokipanda, maana mukiona pombe akili zinawaruka.
@hassanadam3007 Жыл бұрын
Wanafiqi Hawa
@nasrahassan2260 Жыл бұрын
Pesa mlizo pewa pia mrudishe. Smile vya haramu
@seifamran6352 Жыл бұрын
Acani njaaaaaaaa njaa mbaya hanma ata haya aaaaaaaah
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Na pesa murudishe.
@mwanaulusebe3002 Жыл бұрын
Muhende baharini nkaoge maji mengi yakwenye kitovu mtakasike
@miirajmohamed4504 Жыл бұрын
😂😂😂
@lamuchidon7643 Жыл бұрын
Hawa si masheikh na lililochangia yote ni uchache wa ilmu ni jambo baya sana.
@kalamuMedia Жыл бұрын
Tena sana
@hassanadam3007 Жыл бұрын
Niujinga huo munafiqi mkubwa nyiye ushadalilisha dinii hamuna aibu hata kidogo mutarudi tu kule tayari mushakula pesa za shaitani already musha rogow