NABII MKUU AWAKARIBISHA MASHEKHE WA DAR NA KUWAPA TSH. MILlONI 5 ZAWADI - GeorDavie TV

  Рет қаралды 143,914

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Жыл бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
#1million

Пікірлер: 1 000
@muhammedabdurahman7953
@muhammedabdurahman7953 Жыл бұрын
Hakuna nabii baadae ya nabii MUHAMMAD I SWALAUWAHU ALAYHIM WASALAM, hao siyo mashekhe na nawala siyo WAISLAM,kanzu kofiya nakoti ninguwotu,ALLAH atawafedhehesha hao,AMIN
@jumafundi3133
@jumafundi3133 Жыл бұрын
Kweli
@yasinhemed1680
@yasinhemed1680 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa ila ALLAH atawaumbua tu kama ni kweli waislamu na wameamini et.. eti....kuna nabii baada ya Myume MUHAMMADI basi hao wamekufuru wameipinga Qur aan ambayo haina shaka hata chembe
@abuumkota5505
@abuumkota5505 Жыл бұрын
Kwan wanatumia kitabu gani hawa mbona wameruka mipaka hivi
@ashahassan2667
@ashahassan2667 Жыл бұрын
Allah atawadhalilisha hapa duniani na kesho akhera
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Nimenyewe imejivishaa sikiliza hata matamshi yao sheytwan yupo kazin
@simonitaagesti4765
@simonitaagesti4765 Жыл бұрын
Njaaa kali mungu tusaidie mashekhe nyinyi duh
@blandinasylvester3558
@blandinasylvester3558 Жыл бұрын
Mweh umenichekesha 🤣🤣🤣
@kinogekimbeho3781
@kinogekimbeho3781 Жыл бұрын
Hakuna hata sheikh hapo
@rashidmshindo1527
@rashidmshindo1527 Жыл бұрын
awa wazee wananjaa wapumbavu sana
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Hivi na wewe na akili zako ndo ushaamini masheikh lkn nyie ndugu zetu wepesi kuamini ila waulize kutoka msikiti gani tuwafate tukathibitishe kama utawaona hao
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Kweli Tanzania kunauchawa wa ainanyingi
@sadamabdulally1979
@sadamabdulally1979 Жыл бұрын
Allah tunakuomba watu Hawa wape udhalili utakao shuhudiwa na watu wote Amiin
@rakshanbilally-1341
@rakshanbilally-1341 Жыл бұрын
Ameen ..mana wayafanyayo sikama awayajui ila ndio wao hawajui wako wapi Allah atawateremshia kichapo hawatasahau katika maisha yao.
@huss668
@huss668 Жыл бұрын
Ameen Yaa rabbil alameen
@HusseinHassan-ch7lj
@HusseinHassan-ch7lj Жыл бұрын
Amin ya Allah
@khairatsuleiman4606
@khairatsuleiman4606 Жыл бұрын
Ety anataka n'a yy apewe unabii Laana ya Allaah Subhaanahuu wataala imshukie Haw n'a wanyama n'a wamepotea zaid kulko wanyama Ila adhabu ya Allaah Subhaanahuu wataala n kali zaid Basi wasubr makafiri
@masiwamohamed7814
@masiwamohamed7814 Жыл бұрын
@@rakshanbilally-1341 jj
@angellammbaga7847
@angellammbaga7847 Жыл бұрын
Mashee mlio fika kwa nabii ,mungu awabariki,msiogope maneno ya watu,,wana masikio hawakusikia ,wanamacho hawakuonaaa tuwaombee mungu nao waoneee mbarikiwe sanaaa
@rauhiyasaad5384
@rauhiyasaad5384 Жыл бұрын
Kuvaa kanzu na kozi sio ishekh, nafsi zitawasuta. Allah hachezewi wanafanya dini kama club ya mpira mara simba mara yanga. Allah atupe mwisho mwema
@boraihano2612
@boraihano2612 Жыл бұрын
Molah utunusuru katika dunia hihi utujaze imani kamili utukinge na unafki na utufishe tukiwa weslam kamili sisi na vizazi vyetu. Amin Amin insha Allah
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Amyn
@pazi8207
@pazi8207 Жыл бұрын
Mtiani mkubwa
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Hawa ni wanacha wa chama kimoja ,,unafiki mkubwa😎😎
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Hawa ni wanacha wa chama kimoja ,,unafiki mkubwa😎😎
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Amin.
@hamisimtusi1796
@hamisimtusi1796 Жыл бұрын
Inalillah wainaillahi rajiun Hakuna mashekh hapo guys tubadirike tujitambue na tuache mazoea njaa isitufanye tutetereke katika imani zetu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hapana shekh hapoo wamefundishwa haoo eti jinalake Abuu bakar sidiik
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Жыл бұрын
Wewe ni shehe kwani?
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Hata muhamadi alimtangaza yesu kuwa yuu juu yake na amaktaja maranyingi nahata bikira maria alimtaja ma34 ninyi kinani mpinge dini dunian kwamungu hakuna dini
@janviersobhane6492
@janviersobhane6492 Жыл бұрын
Huyo nabii anataka kusifiwa na kila mtu mwisho wake wa kudhihirishwa kwamba sio mtumishi wa Mungu umekaribia,na kuhusu hao mashehe ukweli hao sio mashehe,kama kweli ni mashehe wajitambulishe ni misikiti gani wanahudumu pale Der esalam.
@rabiministry2389
@rabiministry2389 Жыл бұрын
Msingi wa dini ni upendo na kujariana bila kujari rangi dini wala utaifa. Ni salama zaidi kama dini zitakuwa na upendo na kujariana namna hii.
@jumajaphaly3714
@jumajaphaly3714 Жыл бұрын
Inalilahi wainalihi lajiuni mungu tujalie wisho wema wajawako
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Жыл бұрын
Yaaniii
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Amina huyo nabii wao msanii katafuta wasanii wenziwe
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y Жыл бұрын
Si waislam ao
@glorymbata9195
@glorymbata9195 Жыл бұрын
hata Mungu haindikwi hivyo,siyo mungu andika Mungu,
@glorymbata9195
@glorymbata9195 Жыл бұрын
Kila kinywa kitakiri kuwa Yesu ndiye Bwana na yanatimia sasa
@AhmedHassan-zh8dd
@AhmedHassan-zh8dd Жыл бұрын
njaaa mbaya sanaa aisee wamejivisha vikanzu kumbe makafakiri mungu awalani awa watu pamoja na nabii wao mkuund
@samirally9693
@samirally9693 Жыл бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema wenye kheri kwetu na Hawa wote awaongoze kwenye dini ya Haki na hao masheikh wanaosema ni masheikh Allah awafanyie wepesi katika imani zao dhaifu hakika mtume wetu na nabii wetu ni mmoja tu!Muhammad (s.a.w) ,Kila nafsi inajua inachokichuma hapa duniani tukumbushane mema jamani na kukatazana mabaya hakika kifo huja bila taarifa
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Hahaha eti dini ya haki utakufa kwenye dini yako na MBINGUNI hutapaona, hakuna dini yenye haki, zaidi ya dini ya kumwamini YESU KRISTO, sio kuamini dini yako ya kiislam au ya kikristo bali ni kumwamini YESU KRISTO, na ndio dini itakayokupeleka MBINGUNI
@sadithebest9582
@sadithebest9582 Жыл бұрын
Subhannallah, mungu atunusuru
@lombardocrich6177
@lombardocrich6177 Жыл бұрын
Subhana Allah mungu atunusuru hakuna watu hapo njaa
@enockmohamed8872
@enockmohamed8872 Жыл бұрын
Ni undugu tu, huwezi kuwatenganisha waislamu na wakristo hapa tz waislamu, Zanzibar ndio waliowapa maeneo wamisional wa mwanzoni kbs na wakawachangia pesa wajenge makanisa
@azizimasawe
@azizimasawe Жыл бұрын
Acha hizo wewe
@danielimusa7601
@danielimusa7601 Жыл бұрын
mungu mtu.. Mashehe wa mchongo jamaa anatafuta kila njia ya kujiinua.
@allyabdallahally4854
@allyabdallahally4854 Жыл бұрын
Uzuri wa dini ya kislam ukiongea tu unajulikana wewe ni nani
@kassimali2273
@kassimali2273 Жыл бұрын
Umeona kama nilivo ona mm ao wote sio mashekh wamevalishwa ili jamaa akuwe kwenye sector yake
@kibwanamwalimu9654
@kibwanamwalimu9654 Жыл бұрын
mawazo yako yako sawa sawa na mm kwanza angalia salamu wanavyo itoa mwislamu ana lafidh nzury sanaa ktka kuitoa salam
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 Жыл бұрын
Ukiona watu wenye akili wanakubaliana kufanya jambo la kipumbavu "Wana maslahi" by mwl Nyerere
@danielimusa7601
@danielimusa7601 Жыл бұрын
@@kassimali2273 live kiongozi mashekh wanamsimamo ni balaa hawawezi kujisaliti kijinga namna hiyo eti kisa pesa. Uyu jamaa nilipumbavu sana.
@maryamnuru2024
@maryamnuru2024 Жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilaihi raajiun YAA RABBI nakuomba uwadhalilishe watu Hawa duniani na akhera
@rahel6725
@rahel6725 Жыл бұрын
Hawadaliliki Ila watawashabgaza
@user-cf7ho1mb4h
@user-cf7ho1mb4h Жыл бұрын
Baba naomba nyota utumisi sitaki pesa Niko Kenya Mombasa Huku tuakupata vizuri
@mariajerome726
@mariajerome726 Жыл бұрын
Yaani nikiona hivyo nafurahi sana kushirikiana, bila ya kujali dini Mungu mmoja.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Nabii wenu anazima video yake aliodhalilishwa na mungu akusifia zinaa
@elishasalingo1819
@elishasalingo1819 Жыл бұрын
Njaa tuu mashehe wangu. Heri muokoke tu
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Жыл бұрын
@@elishasalingo1819 njaa kweli kweli kujidhalilisha tu
@medimisi6930
@medimisi6930 Жыл бұрын
mungu mmoja sisi wa islam mungu wa kwetu anaitwa allah wa kwenu nyny wakristo anaitwa nani ili tujue kua mungu wetu ni mmoja. nasubili jibu kwa yyte anaeweza kulipata
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@medimisi6930 halipo na halitokei
@Alakhyasirabuammar
@Alakhyasirabuammar Жыл бұрын
subhana allah .. Hawaa zao zinawapeleka pabaya allah awanusuru. njaa ni mtihani mkubwa
@Fatuma_12323
@Fatuma_12323 Жыл бұрын
Subaana Allah nime walaani hawa wanajifanya waisilamu Allah awalaani
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Hizo njaa zitawaponza shetani anawatu wake hongera hatanguruwe watariwa mmenasa
@nuruathman6453
@nuruathman6453 Жыл бұрын
Daah ndoivo dunia imeisha tumuombe mungu mwisho mwema
@ashirawaziri3195
@ashirawaziri3195 Жыл бұрын
Subuhana Allah jamani Allah atusaidie ni mtihani huu
@HusseinRj
@HusseinRj Жыл бұрын
Hii kweli Kali, Innalillah wainnaillaih Rajjiuun
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 Жыл бұрын
Ili ujue hakuna shekhe hapo Salam tuh.Wanaangaika nayo njaa ni mbaya Sanaa.Hata mtume anatuambia ufangiri upo Karibu na ukafiri ni kweli kabisaaa...
@bernahappy2450
@bernahappy2450 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hansboy1443
@hansboy1443 Жыл бұрын
Shee namba 3 ni mnafiki sana kabisaaaaa ananjaa sana
@sahiyaali4466
@sahiyaali4466 Жыл бұрын
😂😂😂
@user-ye9jz2om8q
@user-ye9jz2om8q 3 ай бұрын
Kabisa kaka
@FatmaFatmA-qk3zl
@FatmaFatmA-qk3zl Жыл бұрын
Subhaanallah subhaanallah subhaanallah
@zeddybass6672
@zeddybass6672 Жыл бұрын
MUNGU ni mmoja tu congratulations NABII MKUU MUNGU WA MBINGUNI AKUTUNZE
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Mungu wa waislamu na Mungu wa wakristo ni tofauti,wao wanamuita Allah na wetu anaitwa Yahweh
@rickmsodoki348
@rickmsodoki348 Жыл бұрын
huu nimtihan kabisa mungu tupe mwisho mwem
@eliudkibona7926
@eliudkibona7926 Жыл бұрын
Mungu sio mmoja ndugu
@JacobMaganga-re9ji
@JacobMaganga-re9ji Ай бұрын
Allah azidi kuwabariki na kuwatia nguvu Amiin
@kinoisfilsinsamboy
@kinoisfilsinsamboy Жыл бұрын
asante sana baba nabi mku kwa kuponesha Watu nakufanya Mambo yanapendeza sana wana damu naona kama wewe ndiye yesu Kriston utukumbuke nasisi tuko Congo
@gabrielchacha1551
@gabrielchacha1551 Жыл бұрын
Naona Dini mpya inaenda kutokea Mwakani... krislam au Chrislam
@Tchimbatchimba
@Tchimbatchimba Жыл бұрын
😱😱😱
@adamufundikira7878
@adamufundikira7878 Жыл бұрын
@@Tchimbatchimba waisilam mnabwata sanaa kwani hamjifunzi mtume Muhammad alisema mjifunze kwa waliotangulia yaani Kristian
@fadhilamaulid9843
@fadhilamaulid9843 Жыл бұрын
@@adamufundikira7878 tujifunze nn na kitabu chetu kimeshaeleza kwa uwazi na tumejifunza kweli maana tunatawadha na kusali kama biblia inavyosema tunasli msikitini kama biblia inavyosema
@richardIyanga
@richardIyanga Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah.Asante YESU kwa Mashehe kwa kuijua kweli ya MUNGU MKUU anayefanya kazi kwa kiwango kikubwa kupitia Nabii Mkuu Mhe. Dkt.GeorDavie Balozi wa Amani ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.Hakika hawa ni Mashujaa wa Imani hallelujah 🔥🔥🔥🔥🔥
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hao wasanii sio mashekh kwa shekh hapo humuoni
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Shehe wapi hao
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Njaaa
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Anasaidia kwa kuchorwa kiama
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Kakusanya vshehe njaaa
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 10 ай бұрын
Asante mashekhe mungu awabariki kwakumtia moyo nabiii
@user-ox8pc5wu7u
@user-ox8pc5wu7u 3 ай бұрын
Mungu ataawadhalilisha hapa hapa duniani kwa kumuongopea mungu kwamba wao ni waislamu.kanzu ni vazi uislamu ni iimani
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Wazee wataka kiki duniani tu lkn Wana sahau kuwa Kuna kesho kwa ALLAH
@dominickndomba4474
@dominickndomba4474 Жыл бұрын
Mungu mmoja rangi yetu ni moja
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
Asanteni
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 Жыл бұрын
Innlilah wainna ilayhi rajiun. Wapuuzi wakubwa nynyi wote makafiri.
@apostlekwfrancis1516
@apostlekwfrancis1516 Жыл бұрын
Great... Every knee shall bow and every toung shall confess that Jesus is Lord
@frankshirima4029
@frankshirima4029 Жыл бұрын
Amen
@omaryally7243
@omaryally7243 Жыл бұрын
Wala hawa sio waislam jamn wala wasituumize kichwa
@baby_face_
@baby_face_ Жыл бұрын
now they’ve confess Jesus is God Islam ☪️ must confess Jesus is God
@kingshairsalon
@kingshairsalon Жыл бұрын
Ya kaisari mpeni kaisari na ya mpeni mungu
@mariajerome726
@mariajerome726 Жыл бұрын
@@frankshirima4029 amen 🙏🏻
@killingofficial5005
@killingofficial5005 Жыл бұрын
Wote Hawa wamesha angamia na Allah awajalie awape Lana hapa Duniani na kesho Akhera Ameen, na Hawa cyo mashekhe ispokuwa ni wanakharamu wasio na dini wamejidai kwamba ni mashekhe Hali ya kuwa ni makafiri waliopewa psa na hyu mtoto wa ibilisi waufedheheshe Uislamu lkn kw uwezo wake Allah hawatoshinda mbwa Hawa na atakae waunga mkono Hawa mbwa Allah hatomuacha, Inshaallah,
@nasrayahya2885
@nasrayahya2885 Жыл бұрын
Huu nimtihani mkubwa sana au tuseme nidhiki inawasumbua nakidini kwahili sijui like wallah ila mungu yuwajua
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Hii ndio tanzania umoja ni nguvu
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeen. Karibuni sana hapo mmefika
@lailaoman3856
@lailaoman3856 Жыл бұрын
Munajidanganya,ao si waislam awo ni makafiri kama nyie
@lailaoman3856
@lailaoman3856 Жыл бұрын
Nakama waislam,basi ni waislam jina,atuwatambui katika dini yetu,mimi ataunipe tilioni,siwezi acha kumuabudu allha,na muhamadi mtume wetu,au nabii wetu,na niwamwanzo,na niwa mwisho
@mohamedkitwana7501
@mohamedkitwana7501 Жыл бұрын
Innalillah wainnailayh rajiuun Ndugu waislamu turudini kwa Allah kwan yeye ni msaada tosha kwetu na pia ni haramu kufanya kama hivyo kwan kuna maneno hapo yanawatoa katika uislamu
@justinekashililika6329
@justinekashililika6329 Жыл бұрын
Asante Mungu wa Geo Devi leo shekhe anasema uje Dar Mungu YESU aonekane duh injili iende mbele
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Kwahyo huyo nabii wenu ni mungu yesu au siyo??..mtaenda kuchomwa Kama kuni kenge nyieee...usimwabudu binadamu wenzako
@desderyblessmakoi8218
@desderyblessmakoi8218 Жыл бұрын
End time sign ya Chrislam...Jitahidi kuwa First Group Trumpet is about to sound
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Жыл бұрын
In Christ we are the trumpet and we sound great
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Жыл бұрын
In Christ we are the trumpet and we sound great
@desderyblessmakoi8218
@desderyblessmakoi8218 Жыл бұрын
@@MtazameKristoTv prepare your soul,spirit for rapture.Trumpet is about to sound
@prosperkisama655
@prosperkisama655 Жыл бұрын
Really this is the last time and one among the signs is those too much loving money and to make yourself proudly
@johnpatric3742
@johnpatric3742 Жыл бұрын
NJAA MBAYA Sana hao WOTE ni madalali wa vyumba vya elfhamsini hamsini hakuna hata mmoja anae juwa Dini wa mekwenda kuchukuwa Chao wasepe huyo anaejiita nabii a napenda SIFA kukuza lebo yake ya kazi na SIFA tu nasema tena mm mtt wa mjini tena kwa sana hao walio kwenda huko arusha wa mekwenda kidili na wamepewa mchongo na mtu wa hapo kanisani sawa
@rhma6073
@rhma6073 Жыл бұрын
Subuhanallah mungu atunusuru
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 Жыл бұрын
Haya vana ALLAH tunamkabidh Mjuzi Mwenye Khabar zote
@ABDULGAMETZ
@ABDULGAMETZ Жыл бұрын
Hao mashee wana maana yao sio Kama munavyo zani din ni moja tu mungu awabaliki mashehe wetu
@evalinamwakilema7402
@evalinamwakilema7402 Жыл бұрын
Ameen mungu ni mmoja tu
@kassimualli1755
@kassimualli1755 Жыл бұрын
Pesa ilimfanya yesu akasalitiwa,waislamu wa kweli hatushangai Kwa hili
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 Жыл бұрын
Kumbe unamkubali Yesu🤣😆😂
@jumajaphaly3714
@jumajaphaly3714 Жыл бұрын
Imani nan pesa mungu tijalie waja wako tuwe na imani ya kweli
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
Njaaaa mbaya
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Usiombe njaa
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 🤣🤣🤣🤣😝😝
@merissehassa5705
@merissehassa5705 Жыл бұрын
subhanallah Allah atawatshoma aba besilamu ni ma cheikh
@privamushi2512
@privamushi2512 Жыл бұрын
Dah haya mambo Bhan mungu atujalie mwisho mwem
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Жыл бұрын
Hakika kila Goti lutapigwa Ameen 😍♥️🙏
@akramdinn8602
@akramdinn8602 Жыл бұрын
NAKAMA KWELI NYINYI WAISLAM KWELI BASI INSHA'ALLAH MUNGU ATAWAJIBU
@josegambi7149
@josegambi7149 Жыл бұрын
Achen unafiki ninyi lazima wote mkiri
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 Жыл бұрын
@@josegambi7149 mbona wewe hujakiri
@josegambi7149
@josegambi7149 Жыл бұрын
@@wasilaahmad7913 mimi ninajua ndo maana inawapasa kukili na kutubu kuwa yesu ni bwana. Hilo ni jina lipitalo majina yote. Ila katika hali ya unabii hakuna na haji kutokea kama manabii waliopita.
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 Жыл бұрын
@@josegambi7149 yesu kazaliwa na nani?
@josegambi7149
@josegambi7149 Жыл бұрын
@@wasilaahmad7913 yesu alizaliwa na bikra mariam. Na alizaliwa kwa uweza wa roho mtakatifu. Alizaliwa kwa kusudi maalumu. Je, mtume muhamad alizaliwa na nani?
@talentedboys-tv1507
@talentedboys-tv1507 Жыл бұрын
Inshallah masheihk mungu anawapenda pesa inawapendaa njooni kwa yesu kuna rahaa xawa wazeee ,kma wao wanawadhihaki kuleni maishaa acheni mbambamba nyingiii ikiwezkana swalini sanaa ibadaa na kwa nabii mfikee awape dua
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ushekhe mchezoo
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Fikra potofu acheni udini
@abduomar8438
@abduomar8438 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 sio haramu kwenda kanisani kinacho angaliwa ni niya
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@abduomar8438 hahahaaa kwa nabii mkuu na kuamini kwamba ni nabii jamanii wangemsifia tu kwamba anasaidia watu hachagui lakini na kumsifia unabii wake kwelii hee hapana nia njema pale ivi kuna muislamu anaamini kuna nabii mwengine zaidi ya muhammad kwelii
@abduomar8438
@abduomar8438 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 kusema nabii kw sababu ndio anavyo jiita sio wao ndio wemempa jina kumbuka Hiyo ni imani yao unatakiwa uiheshimu japo wanajuwa sio nabii wanaiheshimu imani yake sasa Mungu anaangalia imani km wamekwenda kw ajili ya pesa watalolipwa walichokwendea km kw ajili ya upendo pia
@chrisjjustina5210
@chrisjjustina5210 Жыл бұрын
Waislam oyeeee... kitaeleweka tu, mkatae mkubali YESU NI BWANA WA MABWANA, NA MFALME WA WAFALME. Na kipindi hiki waislam wengi wataokoka kote duniani, itakuwa ni jambo la kihistoria ulimwenguni kote. Yesu hakuwa anacheza kamari alipokuwa ametundikwa msalabani kwa ajili ya hukumu ya watu wote. Alaaa... mtakuja kwa Yesu kwa lazima. Gloryyyyyyy be to Jesus!!
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 Жыл бұрын
Kila got litapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba Yesu ni bwana
@zihinjishinifa7573
@zihinjishinifa7573 Жыл бұрын
Ee mungu nipe ufahamu wa kujitabua, na unipe mwisho mwema,, usiniludishe nilikotoka, allha kareem, usinipe njaa ya kukufuru , nitosheke na nilichonacho, unipugizie mitihan, Allah, Alllah tujaliwa waja wako utuongonze njia iliyonyooka
@sadamkapilima
@sadamkapilima Жыл бұрын
😭😭😭😭 Msiba mkubwa wallah but... Quran ilisha tabir haya
@saramss7262
@saramss7262 Жыл бұрын
@@sadamkapilima wewe mwenyewe ndio msibaa mzitoo
@sadamkapilima
@sadamkapilima Жыл бұрын
@@saramss7262 Sallah kila mtu anaruhusiwa kutoa maon kulingana na ufahamu wake Kwa hyo hao walio jitambulisha kuwa ni mashekhe we unaona ni mashekhe Oky me mtazamo wangu cjalazimisha uamin ninacho Amin relax
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Amiin insha Allah
@neemasamwelishange2432
@neemasamwelishange2432 Жыл бұрын
Nimewapenda Hawa mashehe bure, mko vizur Mungu wetu sote ni mmoja.Mungu awahifadhi mwendelee kuwa mabalozi wa Mungu aliye hai.mkimtangaza Mungu kupitia matendo makuu aliyoyatenda .Hongera mtumishi wa Mungu Geordevi .zekaria ...watu watashika upindo wa vazi wakisema tutakwenda naww kwasbb tumemuona Mungu wako.
@alhajimbiru186
@alhajimbiru186 Жыл бұрын
Akili hawana hao, ni makafiri wenzie na waliotengenezwa
@alhajimbiru186
@alhajimbiru186 Жыл бұрын
Wa mchongo hao na njaaa ,pia hata firauni alikuwa na wafuasi wake,na hao wote mafiraun
@alhajimbiru186
@alhajimbiru186 Жыл бұрын
Mashehe gani hata Salam hawajui ,hao makafiri wenzako
@Punda284
@Punda284 Жыл бұрын
Mashehe Sasa Mumgeukie YESU Kristo ,msibaki kukubali Kazi zake bila kumkabidhi Maisha yenu.Bwana Yesu Kristo asifiwe.
@marieayinkam4521
@marieayinkam4521 Жыл бұрын
Mungu nimwaminifu anabadilisha wathu kwawakati yake
@abdulhalimumlai3056
@abdulhalimumlai3056 Жыл бұрын
Ama Shetwani analeta ubunifu wake na njaa huwafanya watu kukufuru Kwa thaman ndogo Sasa wakauza roho zao.
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 Жыл бұрын
Jamani kuweni MAKINI NA MTU HUYU ETI NABII IPO SKU MTULIA
@zanlec7357
@zanlec7357 Жыл бұрын
😭😭😭😭Innalillahi wainna ilayhi raajioun 😥😥 Hakika mtaenda kujibu mbele ya Allah. Uislamu uko mbali na Sana na Matendo yenu. Rudini na tubieni kwa Allah kbla ya kifo kuwafika. Ndugu katika iiman hawa sio Masheikh n waluchokifny ni kinyume n Mafunzo y dini y kiislamu. Wapuuzeni n tuwaombeen dua Allah awaongoe ktk njia y haki aaamin
@noelbernard6390
@noelbernard6390 Жыл бұрын
Mbona Leo hamsemi Takbiiiirrr
@rashidimmsami327
@rashidimmsami327 Жыл бұрын
Subhanallah!! Awa Wana elmu ya Allah kwel😢😢😢😢😢
@Ibrahym2422
@Ibrahym2422 Жыл бұрын
Mjuzi ni Allah ila wamekufuru Hawa na wanatakiwa watubie haswaa. Ndio maana wakiambiwa someni kwa watu wa sunna hawataki hiv ahlul sunna aweza kweli fanya upumbavu kama huu. Wallah hii diyn inafanyiwa mzaha saana Hawa ni wakutengwa kabisaa majahili haya
@hidayajuma907
@hidayajuma907 Жыл бұрын
Nendeni zenu hamwezi hata kuwashawishi waislam kwa staili hii .Uislam kutokuwepo,upo na utaendelea kuwepo.Nabii wa mwisho ni MUHAMMAD TU. Msijichoreshe nyie waislam na NJAA ZENU. Hamwezi kumpata muislam mjinga kama nyie
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Wewe ndo huna elimu ya kweli, una elimu ya dini yako yenye miungu majini,mizimu, waganga,wachawi na washirikina, njoo kwa YESU KRISTO upate elimu ya kweli ya MUNGU ALIE HAI(YESU KRISTO) ambae hashirikiani na miungu unayoitumikia wewe kupitia dini yako, maana yeye ndie MUNGU MWENYEZI
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
@@hidayajuma907 wewe ndo mjinga eti muhammad ndo nabii wa mwisho unaon kama MUNGU(YESU KRISTO) ameishiwa kuleta manabii atii
@sumasule6207
@sumasule6207 Жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajiun
@aliabdalla5757
@aliabdalla5757 Жыл бұрын
Innalillah wainna ilyhi rajiun ....... kiukweli hao so waislamu hao n wakristo kma wakristo wengne na huo n mchezo wa kuigiza t ..........
@mahmoudjuma3825
@mahmoudjuma3825 Жыл бұрын
Innalillah wainillah rajiun
@FatmaFatmA-qk3zl
@FatmaFatmA-qk3zl Жыл бұрын
Inalilah wainna ilayh rajiuun
@swariotibi6134
@swariotibi6134 Жыл бұрын
Jamni subuhanallah Allah awaogize Kwa njia ya kheri nyinyi mashehe ni chaa ya wasumbuwa
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Жыл бұрын
Amin Amin
@alisiaaly5018
@alisiaaly5018 Жыл бұрын
Mkali wenu hongera kwa hichi ulichoenda kukifanya baada ya kurudi dar
@aaaaaah290
@aaaaaah290 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jumahamis5137
@jumahamis5137 Жыл бұрын
Mashehe wa mchongo tumesamda waisilaam
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Si Mashekh hao hawajulikani hatta
@hamischilinga6706
@hamischilinga6706 Жыл бұрын
Innalilaih Wainna illaih rajiuna njaa mbaya sana
@melckdirector
@melckdirector 10 ай бұрын
Jamani waislamu kwanini katika kila mnalolizungumza mnazungumzia kifo. kifo kipo ila maisha pia yapo ishi sasa bila hofu ya mauti ukiingia kwa yesu
@rashidyahya99
@rashidyahya99 Жыл бұрын
Kwa Mwislam wa kweli amecheka sanaaaa!!!! ukistaajabu ya Zumaridi utayaona ya Joe Devi!!!!(Geor Davie)
@shigellalambo9724
@shigellalambo9724 Жыл бұрын
Nashangaa watu wanayumbayumba katika imani zao kwa tamaa za pesa!!
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
5tatizo siyo Imani hakuna dini inayoamrisha uovu ,Ila wanadam tujitambue.kwamba hakuna cha bure
@apostlej.rministiryprophet2219
@apostlej.rministiryprophet2219 Жыл бұрын
AMEEEEENI this wonderful
@binammwanafa2033
@binammwanafa2033 Жыл бұрын
😁 muslam ukimuona wamjua n kauli zake zinajuilisha 😁 ao wezenu hamjui hata Act 😁
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
Nyinyi sio waislamu, mnasema Yesu ni Mungu? ALLAAH hadhihakiwi, atawalipa. Ameen
@maalimsule9203
@maalimsule9203 Жыл бұрын
SUBHAANA LLAH. INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUWNA NYINYI SIO MASHEKHE BALI NYINYI NI MASHEHENA NA WANAAFIQ WAKUBWA WANAAFIQ NJAA MMEKUBALI KUUZA AKHERA DINI NA AKHERA YENU KWA SABABU YA UBWABWA
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe 🙏🙏🙏🙏
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
AMEN
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Asifiwe au asifirw
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
sifa nyingi kwa mwanadamu!!! kulikoni!?? sisi sote tunapaswa kushuka Yesu tu ndiye anapaswa kuinuliwa!!!
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Soma vizuri biblia Hawa lazima wawepo haya Mungu aliwaweka akima Musa
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 Жыл бұрын
Na hii njaa mlionayo mtatiwa hata mdole mpewe pesa mtakubali wallah...Mungu alivyotuambia kuwa na subra hakukosea waislaam wa Sasa hatuna subira...
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 Жыл бұрын
Innalilah waina ilayh rajiun..hizbu shaytwani humul ghafilun ...
@mswadickbushumbiro6923
@mswadickbushumbiro6923 Жыл бұрын
Duh,Hakika njaa Na matumbo yatatupeleka motoni
@hamisigwalema4786
@hamisigwalema4786 Жыл бұрын
Nahitaji mawasiliano
@paulkkinuma1587
@paulkkinuma1587 Жыл бұрын
Bila kupepesa macho naona sasa dunia inaenda kubarilika kupitia mtumish wa mungu kama watu ambao si wafuas wa kristo wanatiii mamlaka inaomilikiwabna jina la yesu .mungu akubarikisana mtumi nimeanza kukufahamu toka wakat wa ziara zako za islael nk
@nuratybarua2979
@nuratybarua2979 Жыл бұрын
Nakukubali sana na nakuamini sana Nabii mkuu mpaka nimezaa mtt na kumpa jina lako yani Geordavie namuomba MUNGU mwanangu ajekuwa kama ww Nabii wangu.
@ibrahimshabani7512
@ibrahimshabani7512 Жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun
@rhma6073
@rhma6073 Жыл бұрын
Njaaa tu ila sisi bado ni binadamu tu mungu ndio atawahukumu
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Жыл бұрын
Mh hatari kwa kweli, mungu atupe mwisho mwema mana ni hatari ya hali ya juu kabisa mungu atusameh kwa sote ishaalwah na awape mwisho mwema kwa sote ishaalwah
@yustoedward2224
@yustoedward2224 4 ай бұрын
Mnajidanganya mungu anawajua
@ellamsakafu60
@ellamsakafu60 Жыл бұрын
Allahu Akbar huu ni msiba
@mwanakhatib5825
@mwanakhatib5825 Жыл бұрын
Mungu awa kalibu na yiyi huu ni mtihani njaa inatupeleka pabaya Sana mashehee wetu
@mwanakhatib5825
@mwanakhatib5825 Жыл бұрын
Munamfuata shetanu huyo hata kucheka kwake munamjuwa Kama huyo ni shetani ibilisi maruni
@josephmazengo1113
@josephmazengo1113 Жыл бұрын
Njaa mbaya kweli😃😃
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Amina tumewakubali
@ayubuissacka5568
@ayubuissacka5568 Жыл бұрын
ela ela awapi ela uyoooo mashekh wauni mnataka ela
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 Жыл бұрын
Njaa imetoka tumboni imeamia kichwani.... Mambo ya ajabu kama haya lazima yatatokea kazi kweli kweli. Allah waongoze hawa watu au vunja migongo yao.
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 Жыл бұрын
Kuna mengi ya kuuzunisha ktk hii dunia Ila wacha 😂😂🤭 Mungu pekee anajua
@ahmedmbarouk3463
@ahmedmbarouk3463 Жыл бұрын
Inna lilahi wainna ilayhi raajjighuun
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@mudathirspice5112
@mudathirspice5112 Жыл бұрын
nyinyi nimakafiri wote na hamjui mnacho kifanya Allah atunusulu amen 🙏🙏🙏
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Wewe ndo kafiri usiekuwa na imani ya YESU KRISTO, yani kiufupi ni mpinga kristo
@rahmaal8926
@rahmaal8926 Жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🙏🙏👍👍😭😭
@jumamohammed5378
@jumamohammed5378 Жыл бұрын
Inallillah wainailaih wainailaih rajuun Ya rabi tupe hidaya
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y Жыл бұрын
Si waislam ao
@zoab2699
@zoab2699 Жыл бұрын
Plz sijaelewa hawa wanafanya nn hapa plz naomba mnifahamishe wako wapi masheikh wakubwa nurdini kishki 😲
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
@@zoab2699 kaka hawa watizame tu hata wakiambiwa yao ni matusi tu, hawana wajualo, na hao si mashehe, shehe hawezi kusema hayo hata kidogo na mbona hawajasema wanatoka misikiti gani ili tuwathibitishe.
@zoab2699
@zoab2699 Жыл бұрын
@@samxx411 manake nimeshangaa nimebaki nakodoa😱
@kassimmsemo5205
@kassimmsemo5205 Жыл бұрын
Hawa ni actors wamemezeshwa hayo maneno, eti anaitwa abubakar swaddiq radhiallahu anhu...njaa hizo jamani
@akhrazjunior4089
@akhrazjunior4089 Жыл бұрын
Inalilahi waona ilahi rajiun, huu ni mthian, Yaa Allah wasamee maulamaa awa wanafqi wanatudhalilisha, na na kumdhalilisha mtume Muhammad (saw)
@saidmilanzi3788
@saidmilanzi3788 Жыл бұрын
hao sio maulamaa ni makafiri aliowapanga huyu shetani mkuu Jo devi
@ibrahimmchucha3034
@ibrahimmchucha3034 Жыл бұрын
Innalillahi wainna ilahi rajiun huu ni msiba mzito 😭😭 umewahadaa wakristo kwa triki za kanzu eti ni masheikh Subbhanallah kwa hakika hao sio masheikh na wala sio Waislam tupe ushahidi wa hao watu wanapofundisha dini, na hakuna mtume atakayekuja badala ya Muhammad (S.A.W)
@sifasanga7866
@sifasanga7866 Жыл бұрын
Nasubiri season inayofuata....
@abdalahligunga2965
@abdalahligunga2965 Жыл бұрын
Wananjaaa hao
@AngelOmary
@AngelOmary 2 ай бұрын
Hawa ndio mashekhe wakweli mungu ndie mwanzo nanimwisho amen
SHEIKH KISHKI AWAJIBU WALIOPEWA PESA NA NABII MKUU
23:22
Kishki Online TV
Рет қаралды 182 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 66 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 117 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 25 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
KUJIGONGA GONGA KWA NURDIN KISHKI
2:46
Nahjusalaf Online Tv
Рет қаралды 13 М.
TAZAMA: MIUJIZA FEKI INAVYOFANYIKA MAKANISANI - Mchungaji Peter Mahenge
1:53
UBUNGO CHRISTIAN CENTRE
Рет қаралды 58 М.
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
MSAFARA WA NABII GEORDAVIE NI KUFURU ARUSHA | WATU WAANDAMANA BARABARANI
8:55
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 51 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 66 МЛН