No video

MASHEIKH WATOA MSIMAMO KUHUSU FUNGA YA ARAFA

  Рет қаралды 51,455

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Video from Ramadhani Shabani 📹

Пікірлер: 181
@iddramadhani2715
@iddramadhani2715 5 жыл бұрын
Mashekh zangu mko vizuri na pia mko sawa Allah awalipe kila la kher.
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qHisq3Sbe5lrl9k
@NzaraMreto
@NzaraMreto 2 ай бұрын
Very true sheikh Nurdin kishk, sina shaka na hilo
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 6 жыл бұрын
Mwaapoteza umma
@alikirobo141
@alikirobo141 5 жыл бұрын
Sure
@Silay1034
@Silay1034 4 ай бұрын
Sasa hyo Hadith inayosema arafa ni moja lete hyo dalili ya kufuata Makkah mmefeli mashekh hamna lolote
@minaziparasu4980
@minaziparasu4980 6 жыл бұрын
Dah kwakweli tusiokua naelimu munatuyumbisha Sana. Ila tutashika ilekauliyake Mtume SAW pindi muonapo mitazamo isiopatikana jibu basi shikeni Shina lamtende. Nadhani mudawake umefika
@hasreeyasini
@hasreeyasini Жыл бұрын
Apa vip na kule vip sheikh Walid sijakuelewa
@saeedal-awen2190
@saeedal-awen2190 5 жыл бұрын
maneno yako wazi kazi kwenu bakwata ima mfate haki au batili. masheikh mashaAllah wameongea vzr
@allymwabawa1882
@allymwabawa1882 5 жыл бұрын
maneno ya nani?
@user-qy3br1xc5m
@user-qy3br1xc5m Жыл бұрын
Masheikh waongoo ndio hawaaa
@salimally6877
@salimally6877 5 жыл бұрын
Shekhe kishki mungu akulipe kwakila lenye heri ishaallah
@allyhamisi4709
@allyhamisi4709 5 жыл бұрын
Amin
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 5 жыл бұрын
Aaaaaaamiin
@seifriyembe6746
@seifriyembe6746 2 жыл бұрын
Mbumbumbu hawajui jiografia.
@mimukenya889
@mimukenya889 6 жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 2 жыл бұрын
Muwe makini tu na video hii inakaribu miaka minne au Zaidi tokea niione Mimi sahivi 2022na nakumbuka ilieditiwa kwa kutaka watu ufuatwe msimamo wao
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 6 жыл бұрын
MashAllah
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 жыл бұрын
hii video ni ya kutengenezwa na masheikh wote walitoa misimamo tofauti isipokuwa imekatwa
@kananiitv4643
@kananiitv4643 3 жыл бұрын
Huyo kishki na wenzake wamuogope mungu, arafa sio moja, arafa zipo3, arafa kitendo, mahali na kisimamo, wanavyotuambia arafa1 hatuwaelewi
@husseinyahaya2639
@husseinyahaya2639 5 жыл бұрын
Mambo haya ni mapana sana ndugu zangu acheni hawaa semeni haqq wattaqullaah alaa aq waalikum
@kassimally1803
@kassimally1803 5 жыл бұрын
Sahihi kabisa hakuna dalili nyingine zaidi ya hizo shukraan jazaq llahu khairaa
@maawymuhammad6779
@maawymuhammad6779 Жыл бұрын
Mtume aliulizwa kuhusu siku ya arafa akajibu kwamba arafa ni tarehe tisa hakuna hata riwaya moja isemayo kwamba arafa ni siku ya kismamo hakuna Nakuuliza swali je kama wewe umeona mwezi mbele ya suudiya alafu kwako ikafika kumi na kwao ikawa ni tisa je utafunga tarehe kumi haya funga kama wewe ni mkweli upate madhambi.Hili ni swali bin baz aliulizwa shekhe wenu wa kiwahabi akasema kwamba ni haramu kufunga kwa hiyo haya ni maelezo tosha yanayoonyesha kwamba arafa ni tarehe tisa Mtume aliposema kwamba alhajju arafa hiyo hadithi yawahusu mahujjaj si wale ambao wanaofunga.Hao wazungumzaji wajidai mashekhe na hakuna wajualo.
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 5 жыл бұрын
Acheni uongo, elezeni haqi
@ibrahimcharlesswaleh
@ibrahimcharlesswaleh 5 жыл бұрын
Arafa ni moja, wewe kama unakaza kichwa endelea. Na dunia nzima watu husimama Arafa ndani ya masaa24.
@saidnyonzo850
@saidnyonzo850 5 жыл бұрын
KWA HIYO WANAZUONI WA SASA WANAWASHINDA WA ZAMANI NA MTUME
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 5 жыл бұрын
Sheikh Kishki taratiibu basiii
@husseinally5550
@husseinally5550 3 жыл бұрын
Maneno matupu
@halfansaid9313
@halfansaid9313 2 жыл бұрын
maneno mazuri mmeyapata kitabu gani
@abdullirahimuramadhani4675
@abdullirahimuramadhani4675 6 жыл бұрын
waambie mashehe ubwabwa akina suraga
@sanuramakame5122
@sanuramakame5122 5 жыл бұрын
Uislam ni kiboko ya sayansi sasa ukisema kua duinia nzima tufuate mwandamo wa mwezi mmoja nisawa sawa kusema uislamu na sayansi ni vitu viwili tofauti na hali ya kua sio kweli.
@hamadisambi4124
@hamadisambi4124 5 жыл бұрын
DALILI NINI??
@saidnyonzo850
@saidnyonzo850 5 жыл бұрын
Hiyo ni mitazamo yenu na kitu kibaya zaidi kwan mnapotosha na wengine
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 5 жыл бұрын
Alhajju Arafa!! Unaijua hadithi Sheikh mafhuum yake
@sajjadally9248
@sajjadally9248 3 жыл бұрын
Mnachakachua kipande cha sheikh Al arif 😀😀😀😀baada ya kuumbuliwa.Huyo Kilemile anakula matapishi yake
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Arafa ni moja hata kama si kusoma,M/Mungu angetaka Arafa ziwe nyingi asingelazimisha makabila yote yakutane kule,angeacha kila mtu akae kwao naafanyie hukohuko.
@asiakheir6406
@asiakheir6406 6 жыл бұрын
Shukran tutafuata maka in shaa Allah
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Fuata sunnah ambayo ni kufuata muandamo wa uliko sheikh
@user-bt8wh8cd3g
@user-bt8wh8cd3g 2 ай бұрын
Ww waulza kisimamo au swaumu hzo nztu tafaut
@assadhassan6919
@assadhassan6919 5 жыл бұрын
Tatizo mnaongea bila dalili, hebu tufafanulieni Quran na hadith zinasema nini kuhusu arafa, na mwezi tisa
@kassimally1803
@kassimally1803 5 жыл бұрын
Dalili unazo wewe
@omaryenock8203
@omaryenock8203 6 жыл бұрын
Shekh kish Allah akulipe kila LA kheri
@fatmayarabbitunusuruawadh6544
@fatmayarabbitunusuruawadh6544 6 жыл бұрын
ampe umri mrefu wenye manufaa
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Umri wa kutubia kwa urongo alosema
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Kishki na masheikh wengine wamedanganga waziwazi bila aibu
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qHisq3Sbe5lrl9k
@afric01
@afric01 2 жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Mambo haya yaskitisha sanaaaaa. Allah atuongoze. Sijui tusemeje. Tafadhalini zungumzenu muelewane. Shukran sana. Allah atulinde na atutaqabalie dua zetu tunapo muomba. Yahuzunisha. Insha Allah kheir 🙏
@banihashim5347
@banihashim5347 2 жыл бұрын
Masufi mwashangaza sana mwanamuita ibnu baaza na ibnu uthaymeem kuwa mawahabi, Lkn hapo hapo Eti mnatumia fatawa zao,!!!
@feswalsalim7909
@feswalsalim7909 3 жыл бұрын
Aslm Shekh wa shekh kuluamu waatum bihery minal admin
@nganzirashidi1463
@nganzirashidi1463 6 жыл бұрын
Tatizo Elimu ndogo sana
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 6 жыл бұрын
Ng'anzi Rashidi tende zasumbua watu. Hawataki Kurosawa dalili ya Hadith Swali tarehe 9 na hajj ipi ilikuwa mwanzo
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Kweli kabisa rashidi,na ilimu ndogo sumu
@khamisijuma3167
@khamisijuma3167 3 жыл бұрын
Waisilamu tuacheni ushabiki tuangalieni Mambo kielimu nadalili zake
@nawawisaalim7173
@nawawisaalim7173 5 жыл бұрын
Uongo huo clip zote tunazo zote hizo zimetengenezwa kila aliye tengeneza hili aandae cha kujibu mbele ya Allah
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 5 жыл бұрын
Hao mashekhe wapo na huo ndio msimamo wao kwa mujibu wa mafundisho ya Mitume
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 5 жыл бұрын
Hao mashekhe wapo na huo ndio msimamo wao kwa mujibu wa mafundisho ya Mitume saw
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 5 жыл бұрын
mohd khatib tatizo video imeeditiwa hiyo
@uledihassan6065
@uledihassan6065 4 жыл бұрын
Imeeditiwa wapi kijana acha ujinga
@ludacrissrangiyabank3737
@ludacrissrangiyabank3737 6 жыл бұрын
Kwa iyo tusitizame mwezi ktk nchi zetu
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 6 жыл бұрын
Sidhani kama utapewa jibu. Labda sie huku si sehemu ya dunia. Mungu aliiumba dunia tofauti na haitotokea kua sawa
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 6 жыл бұрын
Katika Ibada ya Hijja hesabu ya mwezi haitazamwi nchi tofauti na Saudia Arabia, hivyo ili kupata fadhila za funga lazma uendane na mahujaji wakiwa katika kisimamo.
@rayaalaisari4592
@rayaalaisari4592 5 жыл бұрын
Lazima kila nchi itazame muandamo WA mwezi kwao mkitaka ukweli Saudi Leo Wana miaka 38 wao hawatazami mwezi wao wanafata kwa kuhesabu tu..... Namkumbuke Kuna nchi zingine sisi Asubuhi wao usiku Sasa mkisema watu ndunia nzima ifunge siku ya Arafa itakuwaje jamani
@alikirobo141
@alikirobo141 5 жыл бұрын
Hawatakujibu hao. Bidaa
@rahmahkhalfan1178
@rahmahkhalfan1178 4 жыл бұрын
@@saidmuhama9846 lete dalili.usilete propaganda za kiwahabi
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 6 жыл бұрын
Toa dalili between Tarehe 9 na hajj kwa hadith au quraan
@user-bt8wh8cd3g
@user-bt8wh8cd3g 2 ай бұрын
Ww wacha unafik Yule sheikh mwengne alpokuja alpoulizwa alisema kila mmoja na mwez wake
@ahmardlwambo6299
@ahmardlwambo6299 5 жыл бұрын
Shukran Sana
@salimually5716
@salimually5716 3 жыл бұрын
عليكم بالعتيق
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 5 жыл бұрын
Arafa sio moja Mzee
@feswalsalim7909
@feswalsalim7909 3 жыл бұрын
Aaslmalykm shekh unanikumbukaa nilikuaaa jirani yako hapo shule wakumbukaa dar kwa mzee mwarabu aliekua Ameo mswahi
@malikshaban5113
@malikshaban5113 5 жыл бұрын
A.alykm tunaomba mwenye clip mzima aitume ili tuweze kufahamu zaidi sio hii ya vipande pande
@binrashid8671
@binrashid8671 5 жыл бұрын
Dah umeniweza kwel na huyo sisimizi..
@abdulmajidothman8956
@abdulmajidothman8956 3 жыл бұрын
Zamani na saivi tafauti tuekeni wazi mashekhe wetu zamani hakukuwa na internet ambayo watu wata pata habari moja kwa moja kwamba leo au kesho ndo kisimamo cha Arafa
@halakamsiba
@halakamsiba 6 жыл бұрын
Ya Allah tuongoze kwa njia ya haki.
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Amiin
@ajuayeofficial
@ajuayeofficial 5 жыл бұрын
*EIMU ZENU NDOKA SANA*
@ramadhankigwede4895
@ramadhankigwede4895 5 жыл бұрын
Kinachosikitisha zaidi majadiliano yote ya mwandamo kwa mwezi huja ndani ya Ramadhan na Mfunguo tatu baada ya hapo wale wote wanaufuata mwandamo wa saudia wanausahau na kufuata mwandamo was Tanzania hebu twambeyeni hapa kati pana mini hata pana sahaulika
@hassanal-husseiny9144
@hassanal-husseiny9144 5 жыл бұрын
Wale walioko New Zealand ambao ni Masaa tisiya mbele watafuata Arafah vipi? Na wale walioko America wataipata Arafah vipi.
@yasinsaid6354
@yasinsaid6354 5 жыл бұрын
HASSAN AL-HUSSEINY hoja yako igeuze na upande wa pili ili uone kama unaongea point
@hamdanzagar9133
@hamdanzagar9133 5 жыл бұрын
Tunakubaliana kwa mujibu wa naswi Kiama ni siku ya ijumaa vipi New Zealand itakua jumapili na America jumamosi tunaomba majibu?
@khamisimaallimtv8539
@khamisimaallimtv8539 2 жыл бұрын
Kwa ubishi huu bora usifunge kabisa mana funga yenyewe sunna
@Salim-hp2ri
@Salim-hp2ri 5 жыл бұрын
Kwa kweli ma shekh mnatuyumbisha sasa ss tutafata makkah siku watu wako arafah miaka yote huwa tunafunga siku watu wamesimama arafah
@suleimanmustafa6042
@suleimanmustafa6042 4 жыл бұрын
Kasomeni tena riyadhwa au madina mawahabi bado mkonyuma.
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 6 жыл бұрын
Naona wote wanatumia vichwa vyao tu quran, sunna na salafy wamewekwa pembeni
@allyndambwe4354
@allyndambwe4354 5 жыл бұрын
sasa ni siku ya kisimamo cha arafa au siku ya arafa?
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Jamani shekh Waleed wamekata maneno yake mwanzo namwisho angalieni vizuri clip inavoruka
@kawelasaidi502
@kawelasaidi502 5 жыл бұрын
komaeni na masheikh wetu waliyoko mshauri huu mjadala hamuwezi tusubiri mrejesho siku ya kiama hapa hakuna majibu nani yuko sahihi kila upande una hoja zenye mashiko
@fatumajuma1341
@fatumajuma1341 5 жыл бұрын
Swadakta
@alikirobo141
@alikirobo141 5 жыл бұрын
TV yenyewe kumbe ni kishk tv online? Mnazusha mna edit.
@aisharashidy4117
@aisharashidy4117 5 жыл бұрын
Alhha awajalie kwamisimamoyenu tupo pamoja
@alikirobo141
@alikirobo141 5 жыл бұрын
Mi simo kwenye misimamo yenu hio
@yusufu.bakari1150
@yusufu.bakari1150 5 жыл бұрын
Mashekh wengine wanasema vitabu vya fiqhih havisemi ivo mnavosema bali vinasema arafa nisiku ya tisa Napia geographia hazifanani itakuwaje wote tufate mahujaji? Au mwafata utandawazi sababu miaka ya nyuma haikua ivo
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qHisq3Sbe5lrl9k
@allyndambwe4354
@allyndambwe4354 5 жыл бұрын
nyinyi mmepata wapi
@shaabanijoseph4562
@shaabanijoseph4562 3 жыл бұрын
Dalili iliyobaki nimoja tu mtukufa ukajionee mwenyewe kaburini
@zafarmohamed9413
@zafarmohamed9413 Жыл бұрын
huyu kaunganisha clips
@user412
@user412 6 жыл бұрын
Hakika
@mapishinasherry7671
@mapishinasherry7671 5 жыл бұрын
Shukraan
@user-bt8wh8cd3g
@user-bt8wh8cd3g 2 ай бұрын
Sasa wale ambao kwao niusku je hawatapata arafa
@abdulabuu7428
@abdulabuu7428 2 жыл бұрын
Walid nae msimamo wake Ni upi hahahaha mbona mtihan hi ilitoka lin
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 4 жыл бұрын
Mwaka huu Kuna ugonjwa wa Corona jee Saudia ikizuia ibada ya hija tutafuata Arafa ipi?? Eee jamani nyi waislam kwani khasa muna ajenda gani yasiri zidi ya uislam??
@khamiss3930
@khamiss3930 3 жыл бұрын
Ibn Baaz na Ibn Uthaymeen weshatoa msimamo yao inayofanana katika Fatawa zao. Sasa mbona twarejeshwa nyuma?
@ahmadothman9899
@ahmadothman9899 6 жыл бұрын
Kila nchi na muandamo wake
@mustafanyagawa2606
@mustafanyagawa2606 6 жыл бұрын
Ahmad Othman mwezi ni mmoja nitafute nikupe darasa
@rayaalaisari4592
@rayaalaisari4592 5 жыл бұрын
Kila sehemu Kuna muandamo wake Kuna nchi zingine sisi usiku wao Asubuhi Sasa mkisema watu wote Dunia Zima wafunge wapi itawezekana....
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Kwli ahmed
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
@@mustafanyagawa2606 ila miandamo tafauti
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 6 жыл бұрын
Aura Tul hud 118
@user-bt8wh8cd3g
@user-bt8wh8cd3g Ай бұрын
Nan alikwambia kenya na tanzania na uganda hakuna arafa mbona ww wafunga skuhio na ukiwa tanzania nahakuna arafa nyny mwasema kiakili na wala hamuna dalili wachena kupoteza watu tafautishen kisimamo nafunga kisimamo ndio hakuna ikhtilafu nawala si swaumu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 жыл бұрын
Najiuliza tu, hivi kulivyokuwa teknolojia haijakuwa kama leo watu ibada hii waliitekeleza vipi? Hivi watu walioko nje ya Hija wanaungana na walioko Hija au walioko Hija na wasiokuwepo huko wote wanatekeleza kisa cha Nabii Ibrahim? Hakuna kitu kuunga mkono ibada, ibada ni lazima ushiriki kuifanya. Kinanachofanyika kwa walioko Hija na wasiokuwepo huko ni kisa cha Nabii Ibrahim isipokuwa waliopo Hija wamelazimishwa au faradhi kwao kuchinja bila kufunga na wasiokuwepo huko ni sunna kwao kwao kuchinja na kufunga. Hivyo muandamo wa mwezi wa eneo ulilopo ndio ufuate. Hivi itakuwaje ikitokea Ibada ya Hija haikufanyika?
@wardaadam5694
@wardaadam5694 2 жыл бұрын
Je ikiwa me nipo nchi ambayo muda watu wanasimama arafa nchi nilokuepo me ni usiku je nitafungaje wakati wa siku
@junaytadarwesh4708
@junaytadarwesh4708 5 жыл бұрын
Kwani lazima mwezi tufuate muandamo wa Saudia??? Kisimamo cha Mahujaj kwenye viwanja vya Arafa ni cha Mahujaj, sisi wa nchi nyengine funga yetu ni tarehe 9 mfungo 3. Kitu kipo wazi kabisa. Haiwezekani tufuate muandamo wa Saudia. Kwani imeandikwa wapi lazima siku Mahujaj wakisimama Arafa na dunia nzima iwe tarehe 9 ya mfungo 3???
@sajumahege4903
@sajumahege4903 5 жыл бұрын
Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Swawm ya 'Arafah nataraji (kwa Allaah) kufuta madhambi ya mwaka uliopita na wa baada yake.” [Muslim] hivyo hakuna pia ulipoambiwa ufunge mwezi 9 bali hadith iyo hapo ya mtume Swalla Allahu allaiyhi wasalam
@rahmahkhalfan1178
@rahmahkhalfan1178 4 жыл бұрын
@@sajumahege4903 kwahiyo wewe hadithi unayojua ni moja tu
@sajumahege4903
@sajumahege4903 4 жыл бұрын
@@rahmahkhalfan1178 leta ya kwako ambayo inayosema tofauti na hiyo
@khalidjr365
@khalidjr365 2 жыл бұрын
ok
@UNO-xt7we
@UNO-xt7we 4 жыл бұрын
Shekhe Mziwanda kachemsha kwani alotowa hicho kitabu sio mtu alosomea sheria au vp. Uzinifu umejaa kwenye jamii mashekh kimya pombe ushoga wizi jihad SALAA kama mnataka mada za kuzungumzia semeni basi tena mizozano
@khamisijuma3167
@khamisijuma3167 3 жыл бұрын
Kwasasa mawasiliano yapo je Zama zilizopita walitumia hukmu gani kufwata arafa moja swali?
@nurudinisalmu4912
@nurudinisalmu4912 6 жыл бұрын
walid tulikuona msomi ulieandaliwa na shekh mohamed ayoub kumbe huna chochote mim mwanafunz wako lkn hapa aaaaaaaaawap uongo tupu unapitwa hata na watoto wa kenya akina mubaaraka
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Amekaa kimaslahi,Mola amuongoze arudi ktk haki
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Ductur mbarak ni bahri,Allaah atuhifadhie
@UNO-xt7we
@UNO-xt7we 4 жыл бұрын
Hii funga ilikuwepo tokea HAJJ haijaanza sasa Arafa ilikuwa ilikuwa watu wasimama kabla ya hajj haijaja?
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 5 жыл бұрын
Sasa ni Arafah ipi
@bofusuraiya
@bofusuraiya 5 жыл бұрын
Kwani Hii arafa ni mini? Na mtume aliposema "funga ya Siku ya arafa hupelekea kusamehewa mdhambi ya mwaka uliopita na ujao" anamaanisha siku IPI hiyo?
@yusufu.bakari1150
@yusufu.bakari1150 5 жыл бұрын
Mbona mnakhitiafiana maana kila sheikh ańasema hoja yake nakila mtu anakazia hoja yake
@jumaally8218
@jumaally8218 5 жыл бұрын
0655920570
@ludacrissrangiyabank3737
@ludacrissrangiyabank3737 6 жыл бұрын
Zama zilokuwa hakuna tv jee walikosa fadhila za arafa
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 6 жыл бұрын
Swadaqta
@athumanimgeni3360
@athumanimgeni3360 6 жыл бұрын
Mi sijasikia mada ya tv hapo ila ukweli juu ya sunna ya arafa.
@rayaalaisari4592
@rayaalaisari4592 5 жыл бұрын
Kila mtu Afunge kutokana na muandamo WA mwezi kwako Kuna nchi zingine sisi usiku wao Asubuhi Sasa mkisema watu wote Dunia Zima wafunge siku hiyo wapi itawezekana
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Athumani ukwli upi?wakutumia akili pasina dalili?
@ramadhansoud2028
@ramadhansoud2028 5 жыл бұрын
ndugu rangi hukumu yakosa usiro rijua kama kosa huanrikiw mdhambi kwaio tumesha wezeshwa na Allah kuwepo kwa TV inatubid tuwafate mfano adhana enzi za mtume arikua akiadhin birar kwasababu arikua nasaut yakufikishaa mbar adhana rakn uwezo huo zama hz hatuna Allah katupa akir ya kutengeneza vnasa saut iri adhana ienderee kuwafikia weng usije ukasema sikuisikia.
@hamisishirikisho4865
@hamisishirikisho4865 5 жыл бұрын
Arafat ni siku ni kisimamo au ni sehemu
@asiahaji5081
@asiahaji5081 4 жыл бұрын
Tatizo kutokua na msimamo
@nakofahassan2521
@nakofahassan2521 6 жыл бұрын
Nani amedoload hi vidii
@ramadhanishaibu7788
@ramadhanishaibu7788 6 жыл бұрын
Mi ninayo
@nakofahassan2521
@nakofahassan2521 6 жыл бұрын
+Ramadhani Shaibu Asante nikipata kaka
@mbossowcb1915
@mbossowcb1915 4 жыл бұрын
We kishki unajua kwanini kila ukiongea kitu unakosolewa???
@hudimsello3645
@hudimsello3645 5 жыл бұрын
hili halina haja ya kubisha anae pinga hili huyo ndio ana itwa munaafiku hakuna khilafu kuhusu hili.
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
ETI WANAZUONI WA SASA..KHAAA!! SHEIKH WALID!! KWAIYO WANAZUONI WA ZAMANI,ATAABIINA,SALAFI SWAALIH,MASWAHABA NA MTUME PIA HAO VIPI? WAMESHINDWA NA WANAVYUONI WA SASA KWA ELIMU?
@nganzirashidi1463
@nganzirashidi1463 6 жыл бұрын
Wacheni upuuzii huo Mna eddite masheikh. Toeni dalili sio kutumia Akili zenu elimu ndogo mkasome tena
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 6 жыл бұрын
Good hivo ndivo inavotakiwa
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Yani nyinyi masheigh laiti mungelisimama na sunna km mulivoshikilia hilo tungelifika mbali
@mzeemohamed8065
@mzeemohamed8065 5 жыл бұрын
hujui Kama wewe unaamka wenzako wanalala hili liko vipi
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 5 жыл бұрын
Saudia Wanaamka Tanzania wanalala Hahahahaha Lakini Kenya wanaamka na Tanzania wanaamka. Hii ni Ligi Kubwa Kati ya Uwahabi na (Waabudia) Waja Wema Wa Allah A.K.A waomba Allah Kupitia Wasiila Mpaka Kwenye Makaburi. Ila Haki ipo Wazi kabisaaa Haki ni Kwamba Hakuna Khilaafu Kati ya Saudia na Tanzania kwa Mas'ala ya Muandamo kwa Lolote lile Tarehe Moja Saa Moja. Ila Kujua haki Inatakiwa Kuwafikishwa na Allah. By Rama Mtetu nisiyefungamana na Upande wowote ule Lakini Ni Islaam.
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 5 жыл бұрын
wewe Kishki umekwama wapi? mbona hicho kipande cha sheikh Walidi umekikatakata? muogope ALLAH
@user412
@user412 5 жыл бұрын
Hiyo imeeditiwa kwa kukwata katwa baadhi ya mihadharaa
@khalfanibrahim4961
@khalfanibrahim4961 5 жыл бұрын
Semeni na hadithi ya mtume aliyosema kwamba gharafa ipo maka tu
@showfive4413
@showfive4413 5 жыл бұрын
MBONA WOTE WANATOA MANENO KICHWANI??
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
Sheikh kishki na waleed muogopeni Allaah wacheni kuwadanganya watu
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
habib swaleh wewe ni mjinga
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
@@abdulkareemseif667 kzbin.info/www/bejne/qHisq3Sbe5lrl9k
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 5 жыл бұрын
@@abdulkareemseif667 kwa lipi?ndugu yng nitoe ujinga
@suleimanmohamed43
@suleimanmohamed43 5 жыл бұрын
masheikh rudini kwenye vitabu nyinyi mlazimisha kiakili tuuu wanaposimama mahujaj na as tufunge na huyu sh wa mwisho dalili ya kilugha sio hija katika sheria na wala akili peke yake sio matejeo ya kishria hebu turudin katika vitabu vya sheria
@suleimanmohamed43
@suleimanmohamed43 5 жыл бұрын
na في الكتب بالدقةالشيخ العريفي يحتاج الرجوع والمطالعة
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
eti kila nchi iwe na arafa yao
Shekh Muhammad Idd - Awakosoa Mashekh juu ya Ibada ya Arafa
15:05
BABDEO MILADU
Рет қаралды 148 М.
MASWALA YA ARAFA | SHEIKH NIZAR BWANA
10:06
Al Ihsaan TV
Рет қаралды 29 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 26 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 14 МЛН
Shekh Suleyman Kilemile ajibu mashambulizi (SEHEMU YA KWANZA)
20:31
BABDEO MILADU
Рет қаралды 73 М.
SHEIKH KISHK-WATU WATATU SWALA ZAO HAZITOVUKA MASIKIO YAO
50:52
Kishki Online TV
Рет қаралды 1,3 М.
JE KUNA MAFUNGAMANO BAINA YA FUNGA NA KISIMAMO CHA ARAFA?
7:23
Kishki Online TV
Рет қаралды 2,3 М.
TALAKA KATIKA UISLAMU _ SHEIKH MOHAMED IDD
20:57
Abuuiddi Tv Online
Рет қаралды 30 М.
SHEIKH KISHK AWALIPUA WANAUME WA KITALE KENYA
25:05
Kishki Online TV
Рет қаралды 3,7 М.
JEE ARAFA TWAFUNGA LINI
5:57
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 85 М.
SHEIKH SULEIMAN KILEMILE- JIANDAE NA AKHERA
2:00
islamicftz
Рет қаралды 44 М.
SHEIKH KISHK. ASIYEFUATA MILA HII NI MPUMBAVU
1:03:40
Kishki Online TV
Рет қаралды 1 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН