USTHADH MAZINGE WATU WANAKUONA MASIKINI DUNIYANI AKHERA WEWE NI TAJIRI MUKUBWA INSHA ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI
@AishaAli-lk7gh3 жыл бұрын
amiin
@husseinali97603 жыл бұрын
Amiin
@trophainamagogwa99913 жыл бұрын
Kbisa Ahera maana ni motoni
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jHqqdZx8mZiWg5I
@rjthedj18413 жыл бұрын
Amiin
@nininahazweally77933 жыл бұрын
Y'Allah mpe afya njema sheikh wet mi nakupenda kwajili Y'Allah natoka Burundi nilikua mu kristo nimesilim kupitiy mihadhara yako mazinge mungu akulipe pepo
@halimaramadhan29753 жыл бұрын
Maa shaa Allah..amiin yaa Rabb
@yusfakhamis92433 жыл бұрын
Allah awe nawe
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jHqqdZx8mZiWg5I
@aishakinia49573 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah
@aminatatu56923 жыл бұрын
Mansha allah
@salmaathuman91563 жыл бұрын
HUYU SHEKHE WETU NDO TAJIRI WA ALLAH YAAN WAKRISTO WAJE MILION.HAKUNA HATA ANAWEZA KUSHINDANA NAE MUNGU AZIDI KUKUWEKA MAZINGE WETU 🤲🙏ISLAMIC DINI❤️S.A W.
@@stivutitus963 wewe kajitoharishe kwanza tapeli alimtapeli baba ako ibilis ww makafiri wote mazinge ndo kiboko yenu hayawani ww
@saadaabdallah74733 жыл бұрын
Allah akupe umri na Afya uzidi kuutangaza uislamu na akulinde Ammeen
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Amiin
@hawasalumu13743 жыл бұрын
Merci nyingi cherie
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jHqqdZx8mZiWg5I
@salmaalimusa5473 жыл бұрын
Amiin yaa Rabbi penda sana mazinge
@adellsefu24853 жыл бұрын
Allah akupe umri na afya masha Allah ustazi mazinge
@aishasaid67493 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh Mazinge
@ElMafunzoTv7703 жыл бұрын
Aaamin
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bWfTdqSJe7SKqac
@issanzisabira4183 жыл бұрын
😍
@ruwaidahassan21923 жыл бұрын
John
@ruwaidahassan21923 жыл бұрын
Jk
@wonderpersonhb35513 жыл бұрын
Shekhe Habibu Othman mwenyezmungu akupe dunia na akhera na akuepushe na kila la sharii aamin
@joejux31593 жыл бұрын
Naenjoy sana kuyasikiliza mawaidhaaa Ya allah inshaallah mungu akupe Umri mrefu na afya njema 😊😊😊😊😊
@HenriNkurunziza2 ай бұрын
Shekhe Mazinge Mungu kuongezee umuri murefu kipenzi cha allah amiin
@jasminyiddysulaiman98073 жыл бұрын
Maashallah tabaraqallah mola akuzdshie kila lilo kher nawe
@cabylake23202 жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️❤️❤️ mazinge Allah akuzidishie umuri 💓❤️💓❤️
@mayedmohammed55543 жыл бұрын
Manshallah sheikh wetu mungu akuwekee umrii mrefu na mwisho ulo mwema
@zou74703 жыл бұрын
Aminaa thuma aminaa 🤲🤲
@faustienealexi22683 жыл бұрын
We mazinge huna akiri ni njaa inakusumbua hujui lolote
@wemakalamu35383 жыл бұрын
Takbeer allahu akbar
@JIMBO_MEDIA3 жыл бұрын
Allahu Akbar
@hadijamandanje61893 жыл бұрын
Allah akbar
@khadijaiddi48873 жыл бұрын
Allahu Akbar
@oman77103 жыл бұрын
Allahu akbar
@shadyaadam89193 жыл бұрын
Allahu akbar
@shom12293 жыл бұрын
Wallah huyu mzee na mpenda kwa ajili Allah..mungu akuifadh dunia na akhera
@rehemasalim45903 жыл бұрын
Amiin
@radhiaomary55913 жыл бұрын
Aamiyn
@oman77103 жыл бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@AliIbrahim-oi5zc3 жыл бұрын
I love you sheekh othman in the name of Allah swt
@bunuadiyo59443 жыл бұрын
Masha Allah. Mwenyeezi Mungu akulinde ustadh Athman Mazinge uzidi kuilinda dini yetu ya kiislamu. Amin Amin Amin
@Zanzibar00013 жыл бұрын
Allah akulipe Firdaus In Sha Allah
@mudkhamis30783 жыл бұрын
Aamin aamin
@nooor11203 жыл бұрын
Allah akuzidishie umr mrefu na afya kamil na uwezo uzidi kumtamgaza Allah Allah akuhifadhi duniani na akhera pamoja na family yako Aamiin yaarabb al aalamiin
@oman77103 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Mazinge na akuepushe na kila aina ya shari Amiiiin
@ln31473 жыл бұрын
Wadanganye hao si aliemmeza Yesu
@jasminmohamed61453 жыл бұрын
MashaAllah Shukran Jazakallahu kheir Bruder
@mwajumamwajuma37563 жыл бұрын
Mashaallah ustadh mazing Allah akulipe kheri
@radhiaomary55913 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh mazinge
@ghaniyashaban98453 жыл бұрын
Mashallah ustadh mazinge Allah atakupa pepo leo na kesho tupe vitu wajue kuwa ww si mchezo
@mudkhamis30783 жыл бұрын
ALLAH AKUJAALIE KILA LA KHERI NA PEPO IWE MAKAAZI YAKO SHEIKH WETU KIPENZI
@nailaomar48103 жыл бұрын
Allah akuhifadhi akupe umri taweel wenye kheri na ww mm nakupenda kwa ajili ya Allah mashaallah tabarakaallah malipo yako inshaallah utayapata kwa idhni ya Allah
@jabirmchomvu99583 жыл бұрын
Wallah kweli
@halimasaid49773 жыл бұрын
Allahu akbar shekhe Allah akulinde akupe umri mrefu uzidi kutuelomisha aki
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Wallah shehe maznge nakupenda sana sana sana Mungu akubark akulpe frdaus Amina
@abubakarmpole40003 жыл бұрын
Mungu akujalie uwe na mtume jannatul firduus
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Pamoja na sisi inshallah
@abubakarmpole40003 жыл бұрын
Amiin na sisi pia.🙏🙏🙏
@oman77103 жыл бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@tauhidakassim28103 жыл бұрын
Amin
@maryamkali95483 жыл бұрын
Ameen
@AssumaniBavumiragiye7 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi sheikh wangu Mazinge
@ramosfally23183 жыл бұрын
Wallai wisilamu raha sana aise ata usiwe na elimu kwa mazinge utajidai sana...allah akupe maisha marefu adj wacristo wakoms
@mrjeyjamal62883 жыл бұрын
ALLAH akulinde sheikh wetu mazinge na waislam wote kw ujumla
@fatumjumaa55633 жыл бұрын
Mazinge twakuombea sana unafanya kazi nzuri sana mungu atakulipa Inshaallah
@shabanimbenu21633 жыл бұрын
ALLAH akujarie heri shekh WETU, Amiin 🙏🙏
@bibiemohamed60443 жыл бұрын
Allahuakbar...Allah akulinde na akupe afya na umri usimame na kutangaza uislam..ameen
@shifaazawadi44383 жыл бұрын
Wallah mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah Allah akuzidishie umri mazinge uzidi kutufudisha tusiyo yajua Inshaallah
@bellbell92943 жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu tunakupenda kwaajili ya Allah jazaka Allahu kher
@mercyjohn15073 жыл бұрын
Mashallah love for the seek of Allah
@missrukia96613 жыл бұрын
Allha akuweke Shekhemazige
@sayleewaprocesse2173 жыл бұрын
Safi kabisa hii mashallah mungu akulinde daima
@theoriginaldhol30323 жыл бұрын
Mansha Allah bro jzk
@asadabdul51123 жыл бұрын
I love you mazinge Allah akujalie kheri
@dinocastico84953 жыл бұрын
Masheikh manafanya kazi kubwa saana kuwalingania watu katika dini. Na ingekuwa vyema baada ya kuslim wakawa wanapewa msaada watu kuusoma uislam. Hili lingezingatiwa zaid ila jumuiya za kiislam ni mtihani wallah
@fahamimohamed39183 жыл бұрын
Shekh Mazinge Mungu akulinde na mabaya unafundisha ahsante
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh mazinge shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik
@fayeezomary65633 жыл бұрын
Allahumma Ameen
@mariamali18873 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah Allah barik ❤❤❤
@muanashaswaleh51103 жыл бұрын
Mwenye zimungu akujalie maisha marefu uzidi kutuelimisha inshaallah mana umeja aliwa googly yakichwa kila swali wajibu masha allah
@faridabakari35283 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllah.. Al habib ustadh mazinge .. Allah akuongozeee na akupe afiya InshaAllah
@arqamibnarqam.71853 жыл бұрын
Ukhty
@AhmedSaid-xz3kj3 жыл бұрын
Jazakallah kheir sheikh mazinge
@mwalimomar71613 жыл бұрын
Allah akubark Xhekh Maznge
@ZainabZainab-tv9ir3 жыл бұрын
Mashaallah allaah akuhifadhi
@mwanakheri28803 жыл бұрын
Maa sha allah . Mngu atuhifadhi akuzidishie
@shashasachakijazi75233 жыл бұрын
Nakupenda kwajili ya allah mwanajeshi wetu allah akupe umri Mrefu wenye kheri na baraka
@noxolomthembu17263 жыл бұрын
Mashaalla
@nishawangaiwangai97653 жыл бұрын
Watching from madina Saudi Arabia Allah akuifadhi na mahasidi in sha Allah
@nsengiyaremyealoys8946Ай бұрын
Allah ukuzudishiye umri murefu dunia uzidi kutangaza wisilamu allah atakulipa pepo
@wemakalamu35383 жыл бұрын
Mwenyeezi mungu akutangulie sheikh mazinge inshaallah
@rayaissa66803 жыл бұрын
Allah akubariki ya ikhwan fiy Islam na akupe Janna amini
@mayedmohammed55543 жыл бұрын
Takibrah Allah. Akbar 😢😢😢😢Allah atusamehe madhahifu yetu
@ramamtangi77763 жыл бұрын
Allah akulinde shehe akupe na Anya njema uendeleza dawa InshaAllah
@shanirose19563 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH tabaraka ALLAH mungu akuzidishie umri na kipaji ulicho nacho
@shadyaadam89193 жыл бұрын
Mashaallah sheikh mazinge Allah akupe umri mrefu ili uendelee kuisongesha dini ya Allah. Wallah ujira wako ni mkubwa mbele ya Allah. Mm nazidi kukuombea Dua tu kaka. Wallah umri wako unautumia vizur sana, hata Allah akikuuliza umri wako umeutumiaje hapa duniani, wallah unachakujibu. Allah azidi kukupa afya njema. Asiekuombea Dua ww, basi hy ana yake tu.
@saumusanjiama69913 жыл бұрын
Allah awalipekher mashekhe wetu
@aminamtondo44313 жыл бұрын
Allah akujalie umri mrfu uzid kuitangaza na kuineza din Inshanllah nakuombea Dua hakika tunamshukur mungu uwepo wako tunajivunia 🙏🙏
@hawaamohammed66873 жыл бұрын
Ukimhifadhi Allah Ustadhi Allah anakuhifadhi Dunia wal Akhera
@mohammedshaban14983 жыл бұрын
MAZINGE......MWENYEZI MUNGU AKUJALIE NA AKUBARIKI
@omanbarka20533 жыл бұрын
Mungu awahifadhi masheikh wetu kwaharakati mnazo zifanya zakuuwendeleza uwislam
@christiankachare80603 жыл бұрын
Hongera Sana sheikh mazinge Kwa kuwapa challenge wakristo. Maana wengi huhubiri mafanikio ya mali Na pesa hapa duniani na kusahau kuhubiri kweli ya injili ya Kristo Kwa waislamu, na kujikuta wakishindwa kujibu hoja za waislamu, Kwa kuwa hawakujiandaa kuwafundisha waislamu wamjue Kristo kupitia dini yao na kitabu Chao cha Quran. Na Hii Ni Kwa Ni Kwa sababu wanaoiiita wachungaji hawasomi kiarabu Na Quran Kwa undani ilo wabaini waislamu wanaamini nini Na wanaabudu nini, matokeo yake wanakimbilia kufungua makanisa ilo wapate kipato Na kujenga mashule ya kulipia. Endelea kuwaamsha usingizini hao maana Ni Kama mbwa wasiobweka.
@rishedkidume65473 жыл бұрын
Ahsante sana kwa ushaur mzuur kabsa
@furahasaidi60023 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwem ufe umetamka shahada sheikh wang mwalimu wang
@mohammedjuma94493 жыл бұрын
Allah akuongezee umri ili uzid kutupa mawaidha
@alimussa55603 жыл бұрын
May Allah Bless, Protect, Guide you and all those Working to Spread Islam in all corners of this world.
@zainabzain34343 жыл бұрын
Nakukubali sana Shekh wetu Allah akuhifadhi uzidi kutulingania
@mwamvitasaidi26303 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa daawa inshallah
@winfridamwamban10783 жыл бұрын
Mashaaalll shehe
@nakundwamkubwe78233 жыл бұрын
Mashallah nakupenda ndugu yangu ktk Imani.
@Sandra398233 жыл бұрын
Mie mkristo but mimi nimesoma Dini ya kiislam chini ya maji, Islam is a great and religion of God, and that is the biggest true.
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Karibu usichelewe
@rizikiyahya52543 жыл бұрын
Karibu leo
@iraakasubete82873 жыл бұрын
Mungu akujaalie umri mrefu na uzidi kuitangaza dini ya Allah
@jumabarua34203 жыл бұрын
Mashallah sheikh mazinge mungu akuifadh
@saidalsalmi93133 жыл бұрын
Takbeer Allahu Akbaru
@ochuboyofficial2053 жыл бұрын
Allah atupe hamu ya kuutetea uislamu. Aamin
@aishakinia49573 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah thabarakaallah sheikh mazinge Allah akujalie pepo ya firdhaus pamoja na mtume mohammed (s.a.w) na waislamu yote kwa ujumla.... Kwa Kumjua Allah na mtume wake na kutekeleza amri za ALLAH
@zaitunisinamenye17993 жыл бұрын
Allah akuzidishiye umri wenye kheiri na akuzidishiye kila la kheiri kwa kutuelimisha na kuslimisha watu kwenye dini ya haqui
@jumanambomo31393 жыл бұрын
Mungu amlinde shekhe wetu mazinge
@khadijakuhigwa39993 жыл бұрын
Allah akulinde sheikh Mazinge
@ibrahimnyanga89713 жыл бұрын
Jazak Allah kheira
@patrickilunga86573 жыл бұрын
Allah hakuzidishiye umri mrefu sheikh wetu
@Ukhtyzuhura3 жыл бұрын
Hakika sichoki kukuskiliza sheikh wangu Allah akuhifadhi duniani na akhera
@salumkhamis78183 жыл бұрын
INSHAALLAH ALLAH AKUHIFADHI
@ibnuomar94173 жыл бұрын
Mashaa Allah... Baarakallah
@adinanzacharia4093 жыл бұрын
Allah Akbar Allah akujarie kheri duniani na kesho akhera
@rickrosal31473 жыл бұрын
Shekhe mazinge Allah akuzidishie
@muhammadsaid58873 жыл бұрын
Mungu akulipe na akuzidishie ujira na ilimu
@salimajuma55303 жыл бұрын
Allah Akbar
@halimasaid49773 жыл бұрын
Mashaallah shekhe wetu
@abdulbogoyo12433 жыл бұрын
ASANTE SANA SHEKHE WETU MPENDWA.
@haidalmkanga23373 жыл бұрын
Allah akurudishie ostaz mazinge
@wazirimwingwamazige79753 жыл бұрын
Uislam ndio dini ya haki,Allaahuu Akbaru.
@sadanahimana71933 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye kheir na baraka sheikh Mazinge twakuombea akupe Jannat Firidaus