MASOUD KIPANYA AELEZEA HISTORIA YA MTOTO WAKE MALCOM MPAKA UMAUTI/ALIKUWA ANAPENDA KUSAIDIA

  Рет қаралды 234,251

Bona Tv

Bona Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 469
@gloriaatupele9090
@gloriaatupele9090 3 жыл бұрын
Pole sana familia Mungu awape faraja ya kweli mmekuwa wazazi wenye umoja sana katika kumlea mtoto huyu Mungu awape mtoto mwingine kwa jina la YESU KRISTO AMENI
@janefrolakalinga5664
@janefrolakalinga5664 3 жыл бұрын
pole sn kaka masoudi kwa kumpoteza kijana wako mpendwa M,Mungu akujalie akupe moyo wa ujasili na uvumiliv ktk kipindi hiki chote cha msiba. Bwan alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
@officiallnobystar
@officiallnobystar 3 жыл бұрын
pole sana masoud na mke wako mlikua wazazi bora sana mungu amlaze mahali pema peponi Amin
@athumanijuma1374
@athumanijuma1374 3 жыл бұрын
Pole broo kwamsiba mzito
@zuriathkajwangya1724
@zuriathkajwangya1724 3 жыл бұрын
Poleni sana kwa msiba alikuwa kijana jasiri sana Mwenyewezi Mungu ampe kauli thabit.Amina.
@rosebendera2591
@rosebendera2591 3 жыл бұрын
Pole Sana bro Masoud,Mwenyezi Mungu aipokee roho yake mahala pema peponi,Mungu azidi kuwatia Nguvu na muendelee kuwa na imani hiyohiyo ya kumtegemea Mungu.
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 3 жыл бұрын
Pole Sana Kaka Masoad na family Yako Mungu mwenyewe aliyemuumba Malcom anamakusudi yake kumchukua Faraja ya Mungu iwe juu yenu
@ymusic803
@ymusic803 3 жыл бұрын
Masoud Kipanya umenena vyema sanaa Mungu aendelee kukupa nguvu na faraja yake ikufunike
@majutomlaganile7420
@majutomlaganile7420 3 жыл бұрын
Pole Sana Sana,kea kipindi hiki kigumu Cha kuondokewa na wanenu mpenzi,mungu wape wepesi kwa kipindi hiki kigumu!!!!
@sunayrithatawata4699
@sunayrithatawata4699 3 жыл бұрын
Pole sana baba malcolm wewe ni baba wa mfano kwa kumkubali na kumtunza mtoto katika kipindi chake cha maradhi wanaume wengi wanayo tabia ya kutelekeza watoto ktk magonjwa km hayo.MWENYEZI MUNGU ATAKUFIDIA INSHALLAH
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 3 жыл бұрын
Wanaume ndo maana tunakufa mapema. Jamaa anaongea akiwa ame-relax lakini kiukweli unakuta yuko kwenye maumivu makali ya kumpoteza mwanae. Pole sana Masoud
@rachaelayo2845
@rachaelayo2845 3 жыл бұрын
pole sana family
@aishamohamed4727
@aishamohamed4727 3 жыл бұрын
N kwel kabx
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 3 жыл бұрын
Hakuna maneno ya kusema ila *Inna Llillah wa Inna Illah rajeon* Alla hampe kaul thabit. Wafiwa Poleni sana hasa Sara na Masoud, Allah awape SUBRA.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 жыл бұрын
Inalillah I wainailahi rajuun Allah alaze peponi mtoto alikua maashallah alikuana lmani Sana pole ni wazazi Allah atawalipa kwa subra lnshallah🤲
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
Najisikia vibaya sana hii story ..Mungu ni mwema akutie nguvu sana..
@innocentgodwin5855
@innocentgodwin5855 3 жыл бұрын
Poleni sana wapendwa amerudi kwa Mungu wake kijana mzuri.
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 3 жыл бұрын
inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Pole kaka masudi Allah akuweke wepesi nami Brother yupo kitandani miaka 4 leo Allah mjalie pepo in shaa Allah
@annaantoni133
@annaantoni133 3 жыл бұрын
Poleni Sana... familia ya Masood pia Mungu awe nanyi ktk kipindi hiki kigumu......mmeonyesha UPENDO WA kweli Kwa Malcon..... Hadi mwisho WA maisha yake
@rahmarafaeli1308
@rahmarafaeli1308 3 жыл бұрын
Pole sana kazi ya mungu haina makosa apunzike kwa amani mmempa malezi sahihi mama bola na baba bola mungu walinde sana
@tonyi6807
@tonyi6807 3 жыл бұрын
Pole sana Masoud ....Mwenyezi Mungu #Ampe Pumziko la Amani Milele... #
@ip_header
@ip_header 3 жыл бұрын
Innalillah lillah wa innalillah rajiun, kwakweli huyu kijana alikua anawaonyesha watu wengi kushukuru neema za Mungu, wengi tunajisahau kushukuru neema za Mungu. Kwa maisha aliopitia na subra aliyofanya Huyu kijana atakua miongoni mwa wajawema siku ya Qiyama
@waneerizzy9995
@waneerizzy9995 3 жыл бұрын
pole sana kaka Masoud Allah akupe nguvu zaid
@zainabamran6716
@zainabamran6716 3 жыл бұрын
Pole sana wazazi mwenyezi mungu awatie nguvu
@upendolema9809
@upendolema9809 3 жыл бұрын
Poleni sana wazazi mmefanya kila jitihada kwa mwanenu,mlimpenda sana vile alivo,upendo wa wazi kabisa,Mungu awape uvumilivu
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 жыл бұрын
Malcom ni mtoto mzurii saanaa alikuwa na imani sana na mungu,Mungu kaona tuu ampumzishe.Apumzike pema amiin💔
@maxlupapa4554
@maxlupapa4554 3 жыл бұрын
Pole sn masudi na mafamilia yako kwa ujumla
@neemayona8874
@neemayona8874 3 жыл бұрын
Mbele yake nyuma yetu inauma sana pumzika kwa aman tulikupenda ila Mungu kampenda zaid polen wafiwa wote Amen.
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 жыл бұрын
Allah ameamua kumpumzisha mja wake... Kifo mara nyingine ni pumziko... Inna lillahy wainna ileyhi raji3un...
@mamaabu650
@mamaabu650 3 жыл бұрын
Pole sana Mw. Mungu ampe pumziko la amani.
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 3 жыл бұрын
Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiuun,poleni wafiwa woteAllah akupeni moyo wa aubira katika kipindi hiki kizito
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 жыл бұрын
Pole san kaka kwa msiba
@chakitv1241
@chakitv1241 3 жыл бұрын
@@hamisimohamedhamisi3241 poleni Sana Wana familia jamani mungu azidi kuwa fariji
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mYGUanxooaqepas
@zakiaomar1933
@zakiaomar1933 3 жыл бұрын
Inalillah wainah ilayhi rajiuun poleni wazee wa Malcom Allah akuoeni subra
@oscarmwashiuya
@oscarmwashiuya 3 жыл бұрын
Pole sana KP. You did all you should have done as a dad. May his soul rest in peace
@zuhrakussaga4987
@zuhrakussaga4987 3 жыл бұрын
Moyo wake ulijaa Shukrani na Subra.Innalilah Wainaillah Rajiuun
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 жыл бұрын
Mungu humfutia dhambi zake zote maana kuumwa ni ibada
@wanjarapious5311
@wanjarapious5311 3 жыл бұрын
Pole Sana baba angu kila jambo Ni hatua pole Sana mungu awatie nguvu.
@theosaimon6933
@theosaimon6933 3 жыл бұрын
My brother masoud pole Sana brother kwa kumpoteza shujaaa ?.he was very good boy aiseeee ??with happiness on his face on his face ? RIP 🙏🙏
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 3 жыл бұрын
Pole sana sana Mungu awatie nguvu naelewa maumivu mnayo pitia niliyapitia 2019,pole sana sana tuko nanyie
@abdiathumani919
@abdiathumani919 3 жыл бұрын
Pole
@janechilendu1438
@janechilendu1438 3 жыл бұрын
Poleni sana familia 😢 pole sana Masoud na mama Malcom.innah lillah wainnah illah lajiun.
@zenahassan4673
@zenahassan4673 3 жыл бұрын
Pole sanaaa kaka
@donaldshedrak7530
@donaldshedrak7530 3 жыл бұрын
pole masudi. pole sana
@sarahbenard5493
@sarahbenard5493 Жыл бұрын
Pole sana mama umeteseka sana kwa malcom
@salmasaid6862
@salmasaid6862 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit.Alionyesha kuwa lazima mtu ajikubali alivyo na usikate tamaa kumwachia Mwenyezi Mungu kila jambo
@shammyngude5060
@shammyngude5060 3 жыл бұрын
Jamaaani my baby boy . Inna Lillah Wanna ilahyi Rajuun
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
Poleni Sana.. Pumzika kwa Amani mtoto malcom
@nyatoletores7338
@nyatoletores7338 3 жыл бұрын
Masoud mwanao pepo yake maradhi ilikuwa njia ya heri yake mshukuru Allah kwa utukufu wake kila nafsi itaonja mauti na kwake tutarejea.
@sizelinamarolen1167
@sizelinamarolen1167 3 жыл бұрын
@@nyatoletores7338 Amina🤲Amina🤲Amina🤲
@mangretmke4024
@mangretmke4024 3 жыл бұрын
Poleni San pumzika kwa Aman mtoto malcom
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 3 жыл бұрын
Hongera masoud ww na mkeo ni watu wa mfano san ninawaombea sana
@robertseviano6681
@robertseviano6681 3 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa, malcom lala mbele yako nyuma yetu.
@monalisasykes5055
@monalisasykes5055 3 жыл бұрын
INNA LILLAHI WA INNA ILAHI RAJIUN. Malaika wema wampokee mtoto wetu Malcolm ndani ya kaburi lake na Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi. Pole sana Masoud na familia yote.😭
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
R.I.P Malcolm! Pole sana mama Malcolm, malkia wangu wa nguvu. Poleni mnoo.
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Simwanaume malkia tena
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 anamanisha Mamake Malcolm not Malcolm mwenyewe
@rachelmwigane674
@rachelmwigane674 3 жыл бұрын
😭😭Kaz ya mungu haina makosa Kwan ss sore njia yetu nimoja
@verociousagnerus9793
@verociousagnerus9793 3 жыл бұрын
Yan nimeumia sana,nilikuwa namfatilia sana...nanilikuwa nikiumwa sana hadi kukata tamaa nikimuangalia yy aisee narudi upya
@mirajibendera8795
@mirajibendera8795 3 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaihi rajiu'un. Wallah sisi wanadamu uhai wetu upo limited. Ikifika time lazima tuondoke. Allah atupe mwisho mwema. Amin.
@KADALAtv255
@KADALAtv255 3 жыл бұрын
Masood wewe NI BABA HARD WORKER you deserve it all. Mungu hapangiwi Jambo jitihada zako zako kwa mtoto huyu Zina kishindo kikubwa umempambania sana Malcom R.I.P MALCOM
@denisevarest8675
@denisevarest8675 3 жыл бұрын
Mungu atujalie Mwisho mwemaa...Pumzika kwa AMAN malaika wa Mungu ...Mungu awape faraja kipindi hiki kigumuuu
@mwanahamisijuma6692
@mwanahamisijuma6692 3 жыл бұрын
Innalilahi waina ilaihi rajiun Mungu amueke mahali pema peponi inshaallah
@Mbumbuko
@Mbumbuko 3 жыл бұрын
Inalilah wainailah rajuun Sisi sote ni wa mola na kwake tutarejea pole Sana family
@irenekenedygudu.8375
@irenekenedygudu.8375 3 жыл бұрын
Tuna mengi ya kujifunza maishani kupitia malcom alikuja kwetu kwa sababu ili atufunfishe kuwa wavumilivu na kushukuru kwa kila jambo.Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe..let's meet when trumpet sound Malcom wetu.
@ramadhansaid8434
@ramadhansaid8434 3 жыл бұрын
Pole Sana mjomba kwa kuondokewa na mtoto wako kipenzi.
@khadijazayumba8473
@khadijazayumba8473 3 жыл бұрын
Poleni baba na mama wa Malcom ,ninyi ni wazazi bora sana mmempambania sana ,mungu amrehemu kijana wetu pole sana mama Malcom wewe ni mwanamke jasiri sana
@queenlinda255
@queenlinda255 3 жыл бұрын
Poleni sana sana Allah awatienguvu in shaa Allah
@rehemacharles6159
@rehemacharles6159 3 жыл бұрын
Pole sana Mungu akutie nguvu
@helenkambi3918
@helenkambi3918 3 жыл бұрын
In shaa Allah Allah ampe janatul Firdaus
@alshabje7185
@alshabje7185 3 жыл бұрын
Poleni Sana ndugu zangu mungu akupe subra inshaallah mama na baba 🤲🤲😭😭
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 3 жыл бұрын
Pole sana . Allah akupe subra na atakulipa kwa subra yako
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Malcon kama ulikuwa unafatilia ni mtoto ambae kila kitu anamtengemea mungu 😭😭alijua kufa kupo na kupona kupo lakini inabidi kila mtiahin upokee usilalamike sana usikufuru pole sana wazazi wake inalilah wainalillah rajoun
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 3 жыл бұрын
Alikuwa shuhuda wa Imani ht katika umri wake mdogo.Nèver giveup
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 3 жыл бұрын
Kwa kweli
@tinaevis3186
@tinaevis3186 3 жыл бұрын
Apumzike kwa amani mtoto mzuri mungu amlaze mahali pema peponi
@rizikihamidu612
@rizikihamidu612 3 жыл бұрын
Daaah leo ndo nimethibitisha kuwa malcom is gonne. Allah akupe pepo maana ibada yakuugua umeifanya. maisha yako yote umetumikia ktk maradhi. Nahukuwahi kulalamika zaid ulishukuru sanaa. Allah akupe pepo na pia wazazi wako pia awape subra kama ulivyokuwa
@mariamuiddy6876
@mariamuiddy6876 3 жыл бұрын
Poleni sana mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi aminaaa
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 3 жыл бұрын
Poleni Sana ndugu jamaa na marafiki. Masudi ni Strong and responsibile father, MUNGU akutie nguvu.
@hafswamaryam7169
@hafswamaryam7169 3 жыл бұрын
Innalilah wainna ilayh raj un poleni sana Alla awape subra
@tunubedon9018
@tunubedon9018 3 жыл бұрын
Poleni Sana .pumzika kwa Aman mtoto malcom mungu amlaze mahala pema pepon amina
@catherinekatuu423
@catherinekatuu423 3 жыл бұрын
Mungu ametoa na Mungu ametwaa,jina lake liimidiwe milele.Poleni sana familia,jamaa,marafiki na ulimwengu kwa jumla🙏.
@jamsmwaipaja6973
@jamsmwaipaja6973 3 жыл бұрын
Masoud kipanya pole Sana mshukuru Mungu kwa kila jambo
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 3 жыл бұрын
Daaa pole sana Masoud
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 жыл бұрын
Poleni sana wazazi walezi Mungu aiweke roho yamatt wetu mahali pema peponi amin
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 3 жыл бұрын
Pole Broo
@aqssaomarynizwa9738
@aqssaomarynizwa9738 3 жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiwun pole San Kaka yangu masud
@sibonikesarikie42
@sibonikesarikie42 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani,poleni sana wafiwa.
@yusufdai976
@yusufdai976 3 жыл бұрын
Inalilah waina ilaih raiuj,
@waidaamon457
@waidaamon457 3 жыл бұрын
Daaaah upumzike kwa Aman kijana wetuu , poleni sanaa wazazi wakee
@beatricenelson395
@beatricenelson395 3 жыл бұрын
Pole sana Mungu awape faraja na yeye Mungu amweke mahali pema peponi.
@fextomaturo5777
@fextomaturo5777 3 жыл бұрын
Daaah pole sanaa Bro aise inauma kweli
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 3 жыл бұрын
Inalilah waina ilah rajiun pole sana kifo chake kimenistua pia mm nilikua napenda ucheshi wake Allah ampe kaul thabit
@mwanjaarashidi7402
@mwanjaarashidi7402 3 жыл бұрын
Pole kaka masudi
@victoriamahenge9001
@victoriamahenge9001 3 жыл бұрын
Polen xana mungu awafunge mkanda waxir , na ampuzishe malkom mahal pema pepon amen.
@nundamnyama1564
@nundamnyama1564 3 жыл бұрын
Pole sana kaka masoud malcom apumzike kwa amani
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 3 жыл бұрын
Bye mtoto mzuri tutaonana baadaye!umekwenda shujaa tutakupenda daima! Jasiri wetu.
@alantonio855
@alantonio855 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupeni faraja na subra katika muda huu mgumu... Korora ipo ...tupate tahadhari!
@ummimohammed9359
@ummimohammed9359 3 жыл бұрын
Allah awapemwingi ujira kwa kufiliwa kwenu na amsameh makosa yake alipokosea。ameen machozi umenitoa jinsi ulivyo mashallah Allah akujaalieni pepo ya daraja ya juu ameen
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 жыл бұрын
Pole sana
@polytarimo324
@polytarimo324 3 жыл бұрын
Daah Malcom wetu Mungu ampe makao ya furaha milele 😍😍
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa nikazi ya mungu haina makosa mungu ampe kauli sabti inshaallah mbele yake nyuma yetu inshaallah
@huldamichael4445
@huldamichael4445 3 жыл бұрын
Yani Masoud nimekuelewa sana.Mungu awatie nguvu,lala kwa amani Malcolm
@mariamsalum640
@mariamsalum640 3 жыл бұрын
INNALILLAH RAJIUN Allah ampokee amuweke pahali pema
@ngolomahewa3707
@ngolomahewa3707 3 жыл бұрын
Malcom mtoto mzuri umeenda ulikuwa unanitia moyo sana ktk safari hii ya maisha. MUNGU akupe kibari uketi ktk makao MAZURI. Yaani ulikuwa kijana mwenye lmani kubwa ishindayo mlima.😭😭😭 Pole Kaka masoud
@tumafetylilai730
@tumafetylilai730 3 жыл бұрын
Poreni sana mungu awape nguvu wazazi wake wote
@winniembwambo8641
@winniembwambo8641 3 жыл бұрын
Polee Kaka jaman
@Bongo365News
@Bongo365News 3 жыл бұрын
SIsi kama team nzima ya BONGO 365 tunatoa pole kwa familia nzima
@victoriazakaria6197
@victoriazakaria6197 3 жыл бұрын
Pole Sana kaka Masoud
@mc_mrope
@mc_mrope 3 жыл бұрын
Pole sana kaka Masoud Kipanya
@mamuhassan3415
@mamuhassan3415 3 жыл бұрын
Pole kaka masoud kwa msiba
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Wanaume ni majasiri sana, mwanamke kuongea ivo ktk hali hii ni ngumu sana. Pole sana baba Malcolm n the whole family n friends. May his soul rest in eternal peace🕯
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 жыл бұрын
Yn kwa kweli Wana moyo sn mm siwezi kbs jmn
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 3 жыл бұрын
Innalillah wainalillah rajiun,pole sana kaka Masudi na mama Malcom
@aminaomary1840
@aminaomary1840 3 жыл бұрын
Mungu watie.nguvu
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Innalillaah wainna ilayh rajiuun,Allah awajaalie subra wanafamilia.
@azizajuma2674
@azizajuma2674 3 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiuun poleni sana familia
@faridaomary9185
@faridaomary9185 3 жыл бұрын
We ni baba bora Masoud na mkeo mungu awape subira hakika halimfiki mwanadamu lolote isiopokuwa kwa mipango yake yeye ! Innalillah wainailayh rajiuun
@shukurujustin5258
@shukurujustin5258 3 жыл бұрын
Poleni sana baba na mama mungu ni mwema sana awape faraja R.I.P Malcom
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
Pole sana kaka
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 3,6 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 8 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 10 МЛН
C.E.O WASAFI DIAMONDI (NASSIBU) KUMSOMESHA MTOTO WA DIDA
1:33
WATUMISHI WENGI HAWAPENDI KAZI ZAO ((2))
12:39
WACHOKONOZI
Рет қаралды 204
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 3,6 МЛН