Ahsante sana BABA ASKOFU MKUU MSTAFU DOCTOR ZEFANIA MWALUSAMBO
@deussimbeye95318 ай бұрын
Ameni baba ubarikiwe
@YusufuMwamlengaMwamlenga8 ай бұрын
Somo zuri sana hili
@TabithaMalisa8 ай бұрын
Glory to God
@MarryMbilinyi-h7e5 ай бұрын
Mungu tysaidie kuelew juu ya unabii wa kitabu ch ufunuo bila msaad wa mung watapotea had wateul
@tabiebinda97498 ай бұрын
Amen umenibariki
@WatsonMwalupindi-ny9ox8 ай бұрын
Barikwa pastor
@UpendoChurch-u6c4 ай бұрын
Mambo gani iliyotabiriwa na manabii ....ambapo nabii ni mmoja hapa ..
@MjumbeAgano4 ай бұрын
@@UpendoChurch-u6c soma Isaya 41:1-2, Malaki 3 na 4. Mathayo 17:11, Marko 9:12.
@FaidaMhala4 ай бұрын
Mtumishi kimeandikwaje hicho kitabu
@MjumbeAgano4 ай бұрын
@@FaidaMhala kuna matoleo saba yenye Siri yote ya Mungu kuhusu ufalme wa Mungu hapa duniani, MANA YA MBINGUNI.
@mchungajilwitikokatikilo42374 күн бұрын
Mzee hajakielewa kitabu Cha ufunuo kuwa kina mambo yaliyopita yaliyopo na ayanayokuja
@JAMSMDOE8 күн бұрын
Tatizo watu hawamsikilizi huyu mzee mpaka mwisho wamekaa kumpinga tu. Dr songa mbele kuna vitu tunavipata vya thamani sana.
@UpendoChurch-u6c4 ай бұрын
Kitabu cha ufunuo ni unabii brother,,Ufunuo wa Yohana 22:19 [19]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. And if any man shall take away from the words of the book of this prophecy, God shall take away his part out of the book of life, and out of the holy city, and from the things which are written in this book.
@ZephaniaMwalusambo4 ай бұрын
Kwa nini kisiitwe kitabu cha Unabii, kikaitwa kitabu cha Ufunuo? Je, unamhitaji msaada wa Mungu kukufahamisha tofauti ya maana ya Unabii na Ufunuo?
@CHARLESMAJALIWA-b3h4 ай бұрын
3 Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu. Ufunuo wa Yohana 1:3
@wasaficlassicshoes9 күн бұрын
Huu ni uongo
@MjumbeAgano8 ай бұрын
Dr, wa Uongo kitabu cha Ufunuo limeandikwa ndani na nyuma. Wewe hujui usemalo, Jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani mwenye kweli yote ya Mungu angalia KZbin Mjumbe Agano upate semina ya mwisho wa Dunia na jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana asante Malaki 3:1-2. 4:1-6. Kabla ya hasira ya Mungu kuujia ulimwengu huu.
@UpendoChurch-u6c4 ай бұрын
Ukweli kabisa
@UpendoChurch-u6c4 ай бұрын
Ufunuo wa Yohana 22:19 [19]Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. And if any man shall take away from the words of the book of this prophecy, God shall take away his part out of the book of life, and out of the holy city, and from the things which are written in this book.
@yudaseleman832018 күн бұрын
Unaposema yesu alikufa hajamaliza kutengeneza njia alikufa kwa bahati mbaya et?
@bethelzion3798Ай бұрын
Naomba nipate mafundisho ya online ufunuo session zote tafadhali. Ni vigumu kupata KZbin online session zote kwa mtiririko mmoja. Thx
@mwalusambointernationalmin9065Ай бұрын
@@bethelzion3798 Nenda kwenye Podcasts utazipata zote, kwa mawasiliano yetu: +255 769 007 328
Hekalu lazima liwe. ,hekalu la tatu lazima lijegwe na unabii wa hio sura unayosoma ni habari la hekalu la tatu ....kiukweli mzee hujui chochote.
@Money37-k9b21 күн бұрын
Pole wewe ndio hujui fatilia vizuri fundisho, mtu wa Mungu huyu mzee anafunua ukweli.
@MoïsegermainCibagashaАй бұрын
manake yesu hatarudi ? sasa ukonakatala manabii hawako sasa wale wenye wako natabiri hiimasiku ninini?
@MjumbeAgano8 ай бұрын
Je kuhusu Eliya atakayekuja kutengeneza yote? Sio unabii? Anayesema nawe leo ndiye Eliya funga kinywa chako tafuta kazi nyingine, Isaya 41:1-4.
@leganluvanda21738 ай бұрын
Hata wewe unaweza kusema hivyo?
@leganluvanda21738 ай бұрын
Luka 1:17 Naye atatangulia mbele zake katika roho ya Eliya, na nguvu zake, ili kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto, na kuwatilia waasi akili za wenye haki, na kumwekea Bwana tayari watu waliotengenezwa. hii ni taarifa ya kilicho tokea sio unabii
@leganluvanda21738 ай бұрын
Pole sana mzee unonekana kama unajua!! Doctor Mwalusambo alicho kueleza nichakweli rudia kusikiliza inawezekana hujasikia vizuri
@MjumbeAgano8 ай бұрын
@@leganluvanda2173 Yohana alitangulia kuzaliwa kwa Yesu akauwawa bila kutengeneza yote,sasa yupo aliyemkuu kuliko Yohàna katika ufalme wa Mungu duniani,yeye ndiye atakayetengeneza yote. Na mambo yajayo atawapasha habari.
@fabianjaphet-kb8oh7 ай бұрын
Pole sana Mzee, kama unashindwa kuelewa haya mafundisho, lakin usichoke endelea kujifunza zaidi uko wakati utaelewa sana
@MjumbeAgano4 ай бұрын
Hekalu ni mtu aliyekamilika katika cheo na utimilifu wa kristo, wewe ni mwongo huna unachokijua, Jifunze kwa mjumbe wa agano duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo. Ni mjumbe wa agano pekee wewe ni kipofu yapaswa ufungwe kinywa chako.
@ZephaniaMwalusambo4 ай бұрын
Ukitukana unadhihirisha kuwa hujui kitu. Pinga kwa hoja.
@EmilianaJulius-z5o4 ай бұрын
Wewe mwenyewe utakuwa mungo mbn wamuhukum mwenzio
@MjumbeAgano4 ай бұрын
@@EmilianaJulius-z5o ukiwa kipofu huwezi kuona Chochote ila ukiwa na macho kama yangu utajua UONGO na UKWELI. Wewe ni kipofu unamsikiliza kipofu mwenzako wote jehanamu.
@youtubeyangahjcom2 ай бұрын
Toa hoja zako acha porojo hazileti maarifa
@youtubeyangahjcom2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@manoahjoseph52838 ай бұрын
Dr swali ni kuwa ,je Eliya na Henoko walikufa? Je hawakupalizwa na kama hawakufa wanahusikaje sasa na mfano wa Lazaro na tajiri?
@ZephaniaMwalusambo4 ай бұрын
Naona ni wewe umewahusisha Eliya na Henoko kwa Lazaro na tajiri. Henoko na Eliya ni halisi; Lazaro na tajiri ni mfano.