Matajiri wawili wa Tanzania waonyeshana Jeuri ya Pesa, Shabiby Vs Gsm

  Рет қаралды 592,314

Ngasa Tv

Ngasa Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 174
@catchall9364
@catchall9364 2 жыл бұрын
Mungu awabariki, anampa amtakaye.
@eaglecrown6470
@eaglecrown6470 Жыл бұрын
Kwa kweli aliepewa kapewa
@bahatibahati5217
@bahatibahati5217 2 жыл бұрын
Mungu awabaliki mungu aendelee kuwaongezeea zaidi NAMI kwangu ikawe hivi siku moja
@jovinmagali8001
@jovinmagali8001 2 жыл бұрын
Aliyenacho ataongezewa usienacho utanyang'anywa hata kidogo ulichonacho
@bakarimohamedi5814
@bakarimohamedi5814 2 жыл бұрын
Inshaallah
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 2 жыл бұрын
Matajiri duniani wote walikwepa taxes
@mlionea
@mlionea 2 жыл бұрын
Pia NAMI nawabariki. Nawe pia Mi mkenya.
@issamkombo7300
@issamkombo7300 Жыл бұрын
@@jovinmagali8001 Wewe una akili na siku utapata
@joramkimario9321
@joramkimario9321 2 жыл бұрын
Ukitaka kuanza kununua lako ukiwaomba ushauri utasikia biashara ngumuuu.
@noeljudith7555
@noeljudith7555 2 жыл бұрын
😂😂😂
@cristianmwanja2918
@cristianmwanja2918 2 жыл бұрын
Hahahahahaha!
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 жыл бұрын
dhuuuh na ni kweli umuongea
@emmanulvictory507
@emmanulvictory507 2 жыл бұрын
Sinikwel siutazid kuleta mashindano.niwewe sasa kuuchukua ushsur upambanie kombe unafikiri ata kubal ashuke maana ukiingia ni mnagawana
@issamkombo7300
@issamkombo7300 Жыл бұрын
password haitolewi kirahisi jombaa 😀
@alenimgaya3889
@alenimgaya3889 2 жыл бұрын
Kama wote wamelipa kodi inayostahili hakuna shida tatizo litakuja kama watakuwa wemefanya ukwepaji Kodi inayostahili hapo watanufaika wao tu nasio wananchi kama wamefanya hvyo nawapongeza kiukweli mana hizo niajira pia kwavijana.
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Pole sana kwani hapo wakiajiriwa madereva na wasaidizi je wananchi hawanufaiki mambo ya Kodi we hayakuhusu ukitaka kujua nenda sehemu husika ukaulizie je wamelipa Kodi ofisi ipo wazi
@godwinrespiqus4153
@godwinrespiqus4153 2 жыл бұрын
Sasa we Kodi inakuhusu Nini ..
@norbertmuze8891
@norbertmuze8891 2 жыл бұрын
Acha wivu
@fatumaomary6110
@fatumaomary6110 Жыл бұрын
Aka kajamaa kana wivu kweli si kodi hautuhusu watu wakipata ajira inatosha rohoo mbay tu
@kelvincharles4998
@kelvincharles4998 Жыл бұрын
Kodi ikilipwa kihalali mzee biashara inafungwa, ikifungwa watu wanakosa ajira, muwekezaji anawekenza nje ya Nchi, na hiyo kodi inaweza ikakusanywa na miradi ya mandeleo isifanyike 👌
@godfreychitanda2031
@godfreychitanda2031 Жыл бұрын
Wezi tu hao, hao wote waarabu na marafiki zao ni viongozi wetu, wanaipiga saana nchi yetu wakisaidiana na wastaafu na waliopo madarakani, tunajua yoote
@godfreychitanda2031
@godfreychitanda2031 Жыл бұрын
Ujinga na upuuzi kujadili utajir wa watu na kuwaona kama miungu watu, ungejua usingeweza kutupia mtandaoni Mambo kama haya, watu wanadhulumiwa sheikh WANGU,
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Wabongo wivu unawasumbua mwenzio akipata muombee dua
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Wabongo tuna akili za kimasikini hatupendi kuona mtu kafanikiwa
@jabirjabir4652
@jabirjabir4652 Жыл бұрын
Hatulijui hilo
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 Жыл бұрын
Hongera zao nas tutapata zetu siku moja
@TitouanMathieuTitouanMathi-b2p
@TitouanMathieuTitouanMathi-b2p 4 күн бұрын
Davis Maria Thompson Betty Smith Barbara
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 Жыл бұрын
GSM vs SHABIBY ni sawa na kulinganisha na SIMBA SC vs GWAMBINA FC
@amisichigwiye5945
@amisichigwiye5945 2 жыл бұрын
Salute kwao
@jumaally2469
@jumaally2469 2 жыл бұрын
Magufuli ayupo acha wez watanue GSM a.k.a mzee wa msoga ccm oyeeee
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 2 жыл бұрын
😂😂
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
kumbeee
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Usichokijua hao hawajaanza leo kuagiza magari hata wakati magu yupo yaliingia mengi tu usichokijua siku zote kila mtu Mungu kamjaria uwezo wake we una uwezo wa kuwaza matajiri wezi wenzako wanamiliki pesa we endelea kulia huku KZbin
@jumaally2469
@jumaally2469 2 жыл бұрын
@@karasuyazidi8547 Wakubwa wakiongea vitu vikubwa ww kaa kmyaa wkt wako bado huna ulijualo wamekimbia kwao yemen ww unajua hilo
@kudramzee5769
@kudramzee5769 Жыл бұрын
Inshallah mwenyezi Mungu nasi atatupa
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 2 жыл бұрын
Ndiyo.maana unasikia sgr kuanza inapigwa danadana tarehe, wakubwa tayari wameshaleta mabasi na malori yao
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
SGR ilitakiwa ikamilike 2019 wala sio danadana
@abineljoab1813
@abineljoab1813 2 жыл бұрын
Nakuunga mkongo
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Sasa sgr inahusiana nini na mtu kuagiza gari zake akili yako ya umasikini ndo inakupa tabu
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 2 жыл бұрын
Hongera sana bos wetu
@sedikomba8285
@sedikomba8285 2 жыл бұрын
Mambo
@mdalajuliedwimdalajuliedwi4349
@mdalajuliedwimdalajuliedwi4349 Жыл бұрын
Shabby yuko vzr GSM chamtoto
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Mungu awabariki zaidi .
@aishanassoro8326
@aishanassoro8326 2 жыл бұрын
Izo Gali mbona kipindi Cha magu hazikununuliwa hivi izo zitakuahazijalipia ushuru
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Wasafilishaji wa tanzanight na madawa ya kulevya
@yunusimchala9306
@yunusimchala9306 2 жыл бұрын
Huyu GSM ANAZALISHA AJIRA KWA WATZ KWANI MADEREVA WATAPATA AJIRA NA UKIMCHUKIA GSM SAWA NA KUMCHUKIA MUNGU WAKO MAANA HUMPA AMTAKAE
@chambambuga5587
@chambambuga5587 2 жыл бұрын
Kwani shabbiby anazalisha ajira kwa wakongo, ushabiki mpaka kwenye mambo ya kijamii. Hakuna asiyezalisha ajira kwa WATANZANIA
@hasaniabdalah6148
@hasaniabdalah6148 2 жыл бұрын
Usiende mbali huko mungu ni mungu hafananishwi tuwaheshimu waliopewa na mungu ila tusiwafananishe na mungu
@glorychiwala2892
@glorychiwala2892 2 жыл бұрын
Usimlinganishe na Mungu utachapwa wewe
@fatmaalwiy7651
@fatmaalwiy7651 Жыл бұрын
Mashaa llah
@machakayohana9200
@machakayohana9200 2 жыл бұрын
shabby ametisha GSM ana viduku
@man9daclassic91
@man9daclassic91 2 жыл бұрын
Shabiby ni zaidi
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 2 жыл бұрын
Hakuna anayejua nani zaidi kwa sababu hujui
@Tatafati-uk8vy
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Anaejua aliomjalia kuwa zaidi kama umeumia yy kuwanacho kafie mbele
@sophiasamwel3374
@sophiasamwel3374 2 жыл бұрын
Lakini kifo ni kimoja wote tunakaa kimya
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
nikweli ipa duniani wenzetu wanakula bata
@hamzarajabu8674
@hamzarajabu8674 2 жыл бұрын
Tafuta hela
@geraldkbona5595
@geraldkbona5595 Жыл бұрын
acga kufananisha gsm na vitu vya ajabu ajabu wew
@suleymanimuhamadi1842
@suleymanimuhamadi1842 Жыл бұрын
Ukiuliza hawa wote ni waislam ,lkn je wameufanyia nn uislam wao , uhalisia uko hivi ( Kile ulichokitoa au ulichokitumia ndio chako ) Allah awajaalie wawe mfano kwenye dini pia
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 2 жыл бұрын
Wameanza tena. Enzi za mzee wetu Magu huu ujinga wa kutambishiana mali haukuwepo, tuliheshimiana kwa kuwa sote ni binadamu. RIP Magu
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Acha akili za kimasikini
@selemaniselemani7014
@selemaniselemani7014 2 жыл бұрын
Akili za kimasikini kama mtu mali yake kaipata kwa uhalali kuna shida gani? Kama huna tulia ,
@joellipunge729
@joellipunge729 2 жыл бұрын
Ulimbukeni Tajiri Bakhresa Hana mda huo.
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Wako sawa tu kuliko.wangeshindana kuonga
@isacktesha6659
@isacktesha6659 2 жыл бұрын
Tafuta hela uheshimike ,acha utoto na mawazo ya kifukara
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
Safi sana
@nassoronassoro-pc4zp
@nassoronassoro-pc4zp Жыл бұрын
Saa kaka.umatisha
@fatmaalwiy7651
@fatmaalwiy7651 Жыл бұрын
Allah awazidishie
@samwelimbise5208
@samwelimbise5208 Жыл бұрын
Daaa kwel
@bonnymbatha8429
@bonnymbatha8429 2 жыл бұрын
Huku Town au kijijini, infant nawashangaa am from Kenya
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Pole sana unateseka
@joivon3038
@joivon3038 Жыл бұрын
Huko n njee ya mji ndo stendi za bus zilipo unapajua dar we pqlivo na foleni uje uweke stendi mjini au unashangaa ujinga
@kasimally5651
@kasimally5651 Жыл бұрын
Shabib zinazunguka stand zinaingia na kutoka so zinaonekana nyingi gsm shida
@rashidsultan619
@rashidsultan619 Жыл бұрын
Anunue Volvo Kama anauwezo
@saumsaum1916
@saumsaum1916 Жыл бұрын
Kila kitu kinabaki hapa duniani
@Tatafati-uk8vy
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Unaonekana usha umia Allah ndio kishambarikia tena hata kama kilakitu kitabaki hapa hapa duniani hata nguo zako pia hutazikwa nazo zitabaki
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 2 жыл бұрын
GSM ni noma Aisee
@abdallahally842
@abdallahally842 2 жыл бұрын
Duh gsm hatarii
@hezronpeterhongoli9060
@hezronpeterhongoli9060 2 жыл бұрын
Hata kidonda kikiwa kipyae utasifia ila kilianza toa usaa utaazatangaza donda hili bwana haliponi,,🔥
@justinemathias5987
@justinemathias5987 2 жыл бұрын
yes ikwo
@mrmeshack
@mrmeshack 2 жыл бұрын
Daah kweli Tanzania kuna wenye vyao
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Uwaulize hell wametowa wapi mwaka. 67 azimio la Arusha 81 uhujumu uchumi wao wametowa wapi hela mwanamboka iko wapi tango kwacha Tanganyika makampuno ya uchukuzi yoooote yamefilisika mpaka na shilika landege lilifilisika ngoja tuone maana bwana kulikuwa na Scandinavia kiswere the big mayai swaibu ng'olika no charenj fresh yashamba labda sisi wengine hatuna akili
@fakiisaidy
@fakiisaidy Жыл бұрын
Hali ngumu hali ngumu dadeki, wewe ndio huna pesa.
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 2 жыл бұрын
Apoooh tajir n mmoja tyu
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 2 жыл бұрын
Heee ndege or bas 😍🙈
@philipobunyomyo5172
@philipobunyomyo5172 2 жыл бұрын
Sasa unataka tajili mwenye mabilioni yake aishi kama wewe kulia lia ahaha iyo roho ya kichawi
@Tatafati-uk8vy
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Hiziroho za husuda zinatisha sana yani ukisoma tu comment ya mtu unajua asha umia mtu kuwanacho
@sashoright8213
@sashoright8213 2 жыл бұрын
Hii ndege Sasa Kama kwel is gar zipo bongo tumepiga hatua💞💞😂
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Mbona yapo kitambo sana
@privatusjohanes1410
@privatusjohanes1410 2 жыл бұрын
GSM Akasome, Apo afui dafu🐱🐱🐱🐱🐱
@saidjumanne3999
@saidjumanne3999 2 жыл бұрын
Thomas seleman
@salumuhamisimjelajelamadib9315
@salumuhamisimjelajelamadib9315 Жыл бұрын
Tajiri wengi hanunui kesho magari wakopa kwa wachina baresa ndio tajiri alinunua Volvo kesho 100
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 5 ай бұрын
Kesho au kesh?
@comfortmunuo5545
@comfortmunuo5545 2 жыл бұрын
Kweli ila ingekuwa scania ningestuka
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Ndio kwa maana reli inachelewa
@hamisikisoma2742
@hamisikisoma2742 2 жыл бұрын
Ukisikia tunalamba asali ndiyo huku maana hizo Ndinga za GSM Barambara ya darajan kigamboni kama walipita kw kulipa kivuko basi pesa chafu imeachwa pale getini
@jonimarwa597
@jonimarwa597 Жыл бұрын
Huu ubabe ukitoka kwao na kwetu sisi wa hali ya chini tunaanzwa kutishiwa
@elisaraclement8252
@elisaraclement8252 2 жыл бұрын
Gsm gsm
@stephensapp8375
@stephensapp8375 2 жыл бұрын
Hivi Mabasi Na Njaa Kipi Bora
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Daah awa mafogo atari sanaa wamechafukwaa
@petermuriithi9480
@petermuriithi9480 Жыл бұрын
,ukichiba funika tumbo,tena wañao kula nà uma hawajui wala kwa vidole huchomeka ,wanazema hawatumii akili
@joshualaitei6275
@joshualaitei6275 2 жыл бұрын
Kwa hiyo barabara zinazojengwa kwa Kodi zetu wanamiliki wao wenyewe Pongezi kwao
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Kwani we umekatazwa kumiliki magari hata wao hizo barabara zinawahusu kwani ni wananchi kama wewe akili zako za umasikini
@noahnsubc1666
@noahnsubc1666 Жыл бұрын
Una maliza Mb kuangalia magari ya wenzako akat huna hata ist acha upuuzi wew wenzako washatoboa kazi kubishana tu
@johngyunda3094
@johngyunda3094 2 жыл бұрын
BM lazma ukimbizwe saiv
@emmanuelamos5393
@emmanuelamos5393 Жыл бұрын
gsm4=shabiby1
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 Жыл бұрын
Vyote hivyo vitakwisha.! Kifo kitatawala na kujivuna. Mali ya hujuma na wizi.
@salomemahenge5900
@salomemahenge5900 2 жыл бұрын
Bosi wa dar yanga afiric
@josephsamuel7088
@josephsamuel7088 Жыл бұрын
Enzi za uhujumu na upigaji zinerudi
@mussalusinde7716
@mussalusinde7716 2 жыл бұрын
Halafu waañdishi msiwe machawa wa matajili kwakua hamjatoka nnje ya Tanzania mkaona mataili wanavo nunua magali michina mnasifia he mikiona wazambia wanaonunua mascania mavolvo itakuaje ?
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 2 жыл бұрын
Raha Sana jamani nimewafurahia Sana jamani mungu azidi kuwabariki na wengine
@tabithatayarcharles4563
@tabithatayarcharles4563 2 жыл бұрын
Hey
@sasakawagroupone50
@sasakawagroupone50 Жыл бұрын
Na kwanini uwaombe ushauli huku unamacho unaona mwenyewe
@amospiusngeleja9776
@amospiusngeleja9776 Жыл бұрын
Yangekuaga hayaanguki ingekuaga fahari!
@Tatafati-uk8vy
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Aliompa atamlinda na hilo bomu mdomo wako hata binadamu huzalliwa na asiishi milele kwahiyo heshimu kujaliwa kwa mtu
@hamisjuma7573
@hamisjuma7573 2 жыл бұрын
Bwana awatie nguvu
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 2 жыл бұрын
Hukutakiwa kucompare hao watu wawili
@yohanagabriel6061
@yohanagabriel6061 2 жыл бұрын
Kwaya
@highmedland9280
@highmedland9280 Жыл бұрын
Km hauna msukule huwezi kutoa lzm ndugu mmoja umtoe denda bila ivo huendi mbingun🥂😂🤰🚀💪
@Tatafati-uk8vy
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Umezowea ushirikina sasa unataka kusema kila mwenye mali ni shirikina
@sashoright8213
@sashoright8213 2 жыл бұрын
Ela znazochangwa pale kwa kuingilia zijenge pembezon kwa ilo jengo kutazid kunoga
@kapondamsita476
@kapondamsita476 2 жыл бұрын
GSM GSM GSM GSM GSM GSM GSM
@Tee-King
@Tee-King 2 жыл бұрын
Jeuri ya pesa au wa2 wanafanya kaz?!!
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Gsm
@suleimanmuhammed1347
@suleimanmuhammed1347 2 жыл бұрын
Sio kama unapo mali hizo ukaona zote zimenuliwa Ana madeni kibao hapo kama wamenunua gari 30 bs zilizo lipiwa gari 7 au 10 zilizo baki utarejesha hela taratibu lakini kwa jiri sio masinyi wa mungu tajiri Kichwa chake kimebeba mizigo mito yenye kilo za shaba
@Tatafati-uk8vy
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Sasa mbona una mbweka hayo madeni alishakwambia anakopa kulipa umsaidie?
@beatricempinga8224
@beatricempinga8224 2 жыл бұрын
Km Yana vyoo, ugonjwa wa UTI utapamba moto.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Madeni tuu hayo mariba yasikushitueni
@jumaa_manandi1149
@jumaa_manandi1149 2 жыл бұрын
Hv basi moja n kama sh ngapi
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Laki tisaaa
@selemaniselemani7014
@selemaniselemani7014 2 жыл бұрын
Magari mazuri ndani baada ya mwezi kama daladala
@masatumgeta196
@masatumgeta196 2 жыл бұрын
Yote 9_10 kwa mo cha mtoto
@kajishijakasabuku
@kajishijakasabuku Жыл бұрын
Wewe jeuri yako nini hata dagaa wa kwanza ni gumzo mtaani
@marwambagi8796
@marwambagi8796 2 жыл бұрын
Kampuni iko mkoa gani
@hujacharles2223
@hujacharles2223 Жыл бұрын
Ilo BC linafanya safari za kwenda wapi nkapande?
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 2 жыл бұрын
Hivi mimi sina undugu hata kdg na gsm kweli mbona ka tunafanana kwa mbali?
@jestinaraphael5217
@jestinaraphael5217 2 жыл бұрын
😳
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 2 жыл бұрын
Hizo gari Zinaendaga wapi mbona uku hazipo tunduma Dar
@griffinschire9695
@griffinschire9695 2 жыл бұрын
Uyo uwa anauza
@jameskabenga8295
@jameskabenga8295 2 жыл бұрын
Jeuri ya pesa au they do their business 😤
@Tatafati-uk8vy
@Tatafati-uk8vy Жыл бұрын
Ukifanya masikhara utalazwa chumba cha kuhifadhia sikwa husuda hiyo wacha kwani ww huna kiwili wili unamdomo tu inuka kaoshe hata chooo upate mia yako uwe najeur nayo unaumwa na husuda na mali yamtu
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 Жыл бұрын
Biashara ina siri ndani yake. Unafanya biashara kidogo ila hela zinaongezeka bila kujua zinatoka wapi ndio matajiri wakubwa wanafanya michezo hiyo. Ila shabby yuko juu zaidi ya GSM. Bus moja sawa na vichwa 6 hadi 10. #HonMichaelDeusdedityKessy.
@emmanuels.shigela9108
@emmanuels.shigela9108 2 жыл бұрын
Naiomba contact yako kaka
@karimuthedon6761
@karimuthedon6761 2 жыл бұрын
Duuh sio mchezo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Tunawaombea kheri tuu
@elishasolomon9742
@elishasolomon9742 2 жыл бұрын
Kiberti kimewaka chenyewe
@karimabubakary385
@karimabubakary385 2 жыл бұрын
Reli kazi ipo
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Жыл бұрын
Hyo reli itauliwa tu mwenyewe hayupo JPM
@jenitarthadeus2903
@jenitarthadeus2903 Жыл бұрын
Ujinga huu unafanywa sasa kwanini haukufanyika enzi za JPM
@itwaaky75
@itwaaky75 Жыл бұрын
Punguza roho mbaya
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Biashara ya mabasi muwisho wake kufililisika ukitaka usitake
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Mawazo ya umasikini yanakutesa tafuta pesa wewe
@salomemahenge5900
@salomemahenge5900 2 жыл бұрын
Du
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 жыл бұрын
tajir ni MO tu
@vukotz1491
@vukotz1491 2 жыл бұрын
TV ISIYOTUMIA UMEME >>> kzbin.info/www/bejne/g4HNhXh8mNJ-i5o
@abdallahdaudi1616
@abdallahdaudi1616 2 жыл бұрын
Mskorokoro
@karimuthedon6761
@karimuthedon6761 2 жыл бұрын
Duuh so mchezo
@theodorymwalongo7509
@theodorymwalongo7509 2 жыл бұрын
Natumaini hawapati misamaha ya kodi
@bawazirtwalib1659
@bawazirtwalib1659 2 жыл бұрын
GSM kibolo yao
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 жыл бұрын
Kibolo!😄
@chumanondochuma1535
@chumanondochuma1535 2 жыл бұрын
😂duh!!
@francerwelamila1712
@francerwelamila1712 2 жыл бұрын
Naomba contact zako
@kapondamsita476
@kapondamsita476 2 жыл бұрын
GSM GSM GSM GSM GSM GSM GSM
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 104 М.
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
@Esther Luxury Coach
7:43
Ndanshau Buses Video Maker
Рет қаралды 1,5 М.
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI KINGWENDU NYUMBANI KWAKE
18:31
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН