Asante sana Irene upya,Ainuliwe yesu wetu alie hai Ameen
@Masterkhantz14 күн бұрын
Dah Irene una nifunza kitu apa Asante sana ❤❤❤❤
@sophiakimaro517414 күн бұрын
Ndikumanya angekuwa hai angefurahi
@mundelejudith3940Күн бұрын
Amen 🙏
@user-of8nd9dp5s14 күн бұрын
Miungu niisaidie siwekuomba ipasavyo Mungu akubariki lrene umenifundisha kitu
@user-xk2kp5wv1i14 күн бұрын
Thank you madam for good advice be blessed
@user-os8rh9xz4m14 күн бұрын
Ww ni muongo sana dogo janja mwenyewe ulimdanganya
@chunaabdullah133314 күн бұрын
Ndio mana kuliekwa subra na kama huna subra shetani ndie atatawala kwako
@wilsonkombeyeri462319 сағат бұрын
Asante kwa kututia moyo ila naomba number yako
@TeamBaganofficial14 күн бұрын
Jaman naamin hii post itapa comment nying naomba ukiinhia ku comment bas pitia kwang unisapoti uone ninacho kifanya nitashukuru sana 🙏
@antoniazacharia133Күн бұрын
Aya ukafute sasa izo tatoo
@user-ph2rz4hs1k14 күн бұрын
Amen
@merinakassembe11814 күн бұрын
Usimdabganye mungu irene acha uingo acha ufreemasson acha uuni nebda.kaburini kwa Ababuu ukatambike kwandikumana pia unemtesa mno ndikumana laana inakutafuna kwa vike namjua Ababuu namlinyokuwa psrbwt ulimdampu anekusaidia saba jamuombe Ababuu na ndikumana please
@cheiknamouna205814 күн бұрын
Naomba tu hiyo adress uliyotumia kumwandikia Mungu barua nimechoka kudanganywa kwenye makanisa hata akichelewa kunijibu mwezi ntasubiria wewe mbona umejibiwa kwa siku mbili 😂😅