Sidhani kama ni afya kwa shirika kupewa bure hiza ndege sijui kihesabu imekaaje. Kizuri binasfi ni kufuta madeni ya nyuma na kupunguza gharama ya ukodishaji.
@sikabwekisamba Жыл бұрын
jameni ana hoja nzuri mwacheni
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Huyu hajui wacha watue kia wakule arusha na walale arusha waende na gari mafuta yatanunuliwa watakula njiani huyu hajui chochote
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Uwanja wa ndege Serengeti itakuwa Kama wa Chato..mtaanikia udaga. Air strip zipo mpaka mbugani ndege zinatua. Bora uwanja wa Musoma uboreshwe .. Biashara ifanyike Musoma watalii waende Serengeti kwa magari au ndege ndogo.