Kishimba awavunja MBAVU Wabunge ''Wavivu wa kufikiri..ripoti za uongo, hiaiwezekani''

  Рет қаралды 29,657

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@ammaherman3391
@ammaherman3391 Жыл бұрын
Hongereni kahama kwa kupata Mbunge wa aina hii. Huyu anastahili kurudi tena bungeni 2025.
@luganosimon4111
@luganosimon4111 Жыл бұрын
Mie kwangu ndie mbunge bora kabisa maana anaongea fact tu mzee na tukimfuatilia mawazo yake lazima utajiri upatikane.Mie naamini kuna wanasiasa kama huyu mzee na wengine wengi wanafanya kazi ya siasa
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 Жыл бұрын
Hongera kishimba wanao tutawala. Nasheria zadhambi
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 Жыл бұрын
Mungu akubakiri umeongea madini xana Hawa ndio viongozi tunaiwahitaji wanatoa mawazo yenye tija kwa taifa kazi nzuri
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 Жыл бұрын
Asanteeee sana mzee kishimba
@nurusanga995
@nurusanga995 Жыл бұрын
Apewe nafasi kubwa serikalini huyu bwana mungu amlinde
@mpetaamarijani2656
@mpetaamarijani2656 Жыл бұрын
Hawawezi sisiemu inapendaga wajingawajinga
@tresorekini3975
@tresorekini3975 Жыл бұрын
Namkubali sana uyu mzee🫡🫡
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Nakuelewa Sana mzee kishimba
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 Жыл бұрын
Kahama ina mbunge makini sana hoja na michango yake bungeni zinaeleweka namkubali sana
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 Жыл бұрын
Imekaa vizuri mh. Kishimba J.
@hasani565
@hasani565 Жыл бұрын
Kuna wabunge Humo ndani hawajawahi changing chochote wao kuchat na kuchukua mshahara ..
@rejobu9723
@rejobu9723 Жыл бұрын
Kimsingi huyu mzee anamaono makubwa sana! Hoja yake ni Kweli wataalam wetu bado wana shida kubwa kwenye kushauri na siyo kwa wizara ya kilimo & uvuvi bari ni maeneo yote kama nchi inashida ya watalaam wanao weza fikiria vzr na kuleta mawazo mapya
@husseinchai1133
@husseinchai1133 Жыл бұрын
Ahsanteh mbunge wangu Sasa twende kaziiih 🤣
@boniventurevenance53
@boniventurevenance53 Жыл бұрын
Mbunge huyu ni wa nchi nzima
@AyubuTaifa
@AyubuTaifa Жыл бұрын
Right
@AbihudiJoel
@AbihudiJoel 11 ай бұрын
Hawa ndio wabunge wanaowatumikia Wananchi wao
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Huyu ndio mbunge wangu maana yeye anakusanya takwimu sahihi mtaani sio wale wanao kusanya takwimu za mtandao.
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
legend.himself
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 Жыл бұрын
Huyu mzee anautulivu sana. Anajenga hoja kitaalam
@alexwailod5589
@alexwailod5589 Жыл бұрын
Apewe urais kabisa huyo😊
@islamicabasi1709
@islamicabasi1709 Жыл бұрын
Tanzanian bhna noma
@mohamedmtambo9191
@mohamedmtambo9191 Жыл бұрын
Mm huyu jamaa huwa namkbali sana
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Huyu mbunge kishimba..mama mbona humuoniiii? hivi akili nyingi kama hizi zitatumika liniii .mama huyu jamaa mzalendo sana.kama hamna chance mpe hata ile wezara isio maalum
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Жыл бұрын
Mama hawataki wakweli😂
@geey7893
@geey7893 Жыл бұрын
SAMIA anapenda machawa. Hataki wagonga nyundo
@dawoudal-arabiybik3747
@dawoudal-arabiybik3747 Жыл бұрын
Kweli elimu yetu sio ile yakukufanya uwe na uwezo wa kufikir bali wasomi wengi uwezi wa kufikir ni mdogo sana ila vyet vyao ni degree nying sana ila health mind hamna kabisa bali endocrination ndio elim yetu mashulen kwetu
@arnoldrwekaza2265
@arnoldrwekaza2265 Жыл бұрын
Maziwa yafungwe tumpe muwekezaji ili waTanzania wabaki na umasikini? Maana yale maziwa yanatengeneza ajira nyingi sana... tuwe makini jamani viongozi, miligombanishe taifa
@ayubumoha6313
@ayubumoha6313 Жыл бұрын
Huyu hata amikipewa wizara anafaa kabisa ana hoja za msingi
@amansimba1429
@amansimba1429 Жыл бұрын
Hesh kwakwe kwakufungua watu akili waache waendeleè kukaza fuvu
@collinmhema5443
@collinmhema5443 Жыл бұрын
Kwenye bunge hili ambalo wabunge wengi niwa nileteeni jesca wabunge wawili tu angalau unaweza kuwasikiliza ukiwa na akili timam kishimba na tabasam basi baada ya hapo nazima tv
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Kama.sio.uroho.wa.madalaka.kishimba.anafaa.kuwa.waziri.mkuu.akili.yake.ipo.vizuri.kwani.hana.njaa.kama.mafisiemu
@MansouryVanman
@MansouryVanman Жыл бұрын
Huyu mzee wamuongeze mshahara na apewe muda wa kutosha Akiwa anashusha nondo.
Kwa HISIA KALI Mbunge KISHIMBA aishauri haya Wizara ya elimu BUNGENI
10:00
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 264 М.
The Match That Made Ronaldinho Hate Lionel Messi
20:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 6 МЛН
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 31 М.
#EXCLUSIVE: HILI NDIO CHIMBUKO LA WAASI WA M23, RWANDA INAHUSIKA?
8:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,9 М.
MATUKIO MAKUBWA KWENYE UGAWAJI WA TUZO ZA GRAMMY 2025
5:45
Mwananchi Digital
Рет қаралды 160
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 451 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН