Tazama Bunge zima lasimama; Shangwe zikirindima kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, afunika wote

  Рет қаралды 11,875

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@tumpalembindi8031
@tumpalembindi8031 Жыл бұрын
Ahsante sana mbunge wetu kwa kutuwakilisha vema wana ileje , Mungu aendelee kukupa afya njema.
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 11 ай бұрын
Safi Sana kaka yangu msongwe hakika watu Toka Kanda ya nyanda za juu kusini tukipewa nafasi tunaweza
@kainibachungege3430
@kainibachungege3430 Жыл бұрын
Hongera Sana Msingwe Naibu waziri wa ujenzi. Barbara zote za Tanzania zipo kichwani Bila kusoma. Hakika Ileje Ina Mbunge Makini. Hongera Sana mheshimiwa.
@hekimakajange5550
@hekimakajange5550 Жыл бұрын
Hongera sana mbunge wetu kwa uwakilishi uliotuka, hakika tuna mbunge makini.
@bodyaman
@bodyaman Жыл бұрын
Uyu aendeleee kuwa mtendaji mkuu wa WIZARA ya ujenzi mpaka nchi ifunguke yaaani asibadirishwe Wizara ili Mambo yaende. ATA MH:Mbalawa alikaa MDA mrefu akiwa mtendaji mkuu wa WIZARA iyo ndo maana Leo Mambo yanaenda vema haswaaa
@IssaOmari-fo5pm
@IssaOmari-fo5pm Жыл бұрын
Nakukubari naibu waziri unapiga kazi
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Жыл бұрын
Upo vizuri
@hassankihimbi9555
@hassankihimbi9555 Жыл бұрын
Good 👍
@FestusEfugenia
@FestusEfugenia Жыл бұрын
Katudanganya bana kuna barabara tunazifaham labda atupe duretion ndio tuelewe. Kazi kwenu furahieni kufungashwa.
@dictator7995
@dictator7995 Жыл бұрын
Mbona sisikii barabara za mahenge, Ilonga, Mwaya, Sali na Igota, Malinyi ,Mtimbira, Itete, Mbingu,
@MussaMwasile-le8ox
@MussaMwasile-le8ox Жыл бұрын
Sijasikia barabara ya kkk,ikuti,luswisi ,katengele Hadi ileje
@Emmanuel-nd4fx
@Emmanuel-nd4fx Жыл бұрын
Uyo ndiyo anapaswa kuwa Waziri maana anaijua kazi anayofanya.
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Жыл бұрын
Kabisa
@samwelmwigicho3092
@samwelmwigicho3092 Жыл бұрын
Pia hasomi Ila sehemu zote anazijua dah kama magufuri kwenye takwim
@samwelmwigicho3092
@samwelmwigicho3092 Жыл бұрын
Bado barabara ya nyamongo mara mpaka kiagata
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Jpm wa pili 😂😂
@IsackEnos
@IsackEnos Жыл бұрын
Mbona mikoa ya kusini tu kahama Geita barabara mbovu sana ya vumbi
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 Жыл бұрын
waziri msongwe uko vizuri utafika mbali.
@guysonmwaisumo4406
@guysonmwaisumo4406 Жыл бұрын
BEN
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 Жыл бұрын
Bàdo barabara ya turiani kwenda handeni jama
Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni,  mnyukano mkali watokea
47:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 77 М.
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
NAIBU WAZIRI WA UJENZI AKIJIBU MASWALI YA WABUNGE LEO JIJINI DODOMA
14:24
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
NYALANDU, SIWEZI KURUDI CCM | MAPAMBANO YANAENDELEA
6:02
Mwananchi Digital
Рет қаралды 57 М.
Posta Yatakiwa Kuhakikisha Mifumo Yake ya Utendaji Inasomana
3:11
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24