MAUWAJI YA KIKATILI DODOMA WATATU WAPOTEZA MAISHA/UCHUNGUZI UNAENDELEA

  Рет қаралды 11,091

Dodoma Tv

Dodoma Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@AlphonceKidyala
@AlphonceKidyala Ай бұрын
Hapo umeongea vzr mm mwenyewe nilivyoona tu tukio nilihisi hiki ni kisasi lkn nahisi hasa ni ndani ya familia. Tunasubiri ripoti kamili ya uchunguzi ya jeshi letu👍🤝
@japhetpwiti9651
@japhetpwiti9651 Ай бұрын
Robert pole sana mpendwa wetu Mungu akupe uvumilivu sana hakika atakutetea ndugu yangu
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Tabia za kishetani mtu unaukumu wenzako wewe ni mungu kisasi ni cha mungu
@mwajabumunna6398
@mwajabumunna6398 Ай бұрын
Mungu mpe teacher Robert uvumilivu
@Dantaata
@Dantaata Ай бұрын
Huyu afande anajielewa sana
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 Ай бұрын
Yani unaongea vizuri na una hekma 😢😢 mungu akulinde
@ashrona9884
@ashrona9884 Ай бұрын
Umengea vizur sana mung akubark
@gaspermsunga8686
@gaspermsunga8686 Ай бұрын
HUYU AFANDE WA ZIMA MOTO APEWE MAUA YAKE.
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Ай бұрын
Kongozi wa zima moto utafika mbali sana hongera una busara sana
@IsiahMosl
@IsiahMosl Ай бұрын
Polen sana duu hatar.
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 Ай бұрын
Kiongozi Afande umeongea vizuri sana. Unadeserve kuwa msemaji wa jeshi letu!
@B-TZ
@B-TZ Ай бұрын
Unafaa kuwa msemaji wa jeshi police
@simonmwaliru8590
@simonmwaliru8590 Ай бұрын
Kisasi cku zote hakijengi,ukiwa na MUNGU ndani yako wala hupati shida. Dunia ni mapito tu.
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Ай бұрын
Wazee wenye busara kama , Mafwele au Mchungaji msigwa au waziri Masauni au SamiA......wametoa wapi busara
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Kiongozi wa Zima moto umeongea pont sana kwa jamii nilitamani mapolisi wote wangekuwa hivyo tungekuwa tunajenga tz Moja iliyo sahihi
@Dk.Shombo
@Dk.Shombo Ай бұрын
ukweli mtupuuuuu. ukikosana na mwajuma dili nae siku kugeuza kibao kwa mwanaisha
@evaemil856
@evaemil856 Ай бұрын
Kama Uchunguzi wa Kumpiga risasi Lissu mpaka leo haujakamilika now miaka 7 unafikiri tunaserikali hapo. Kila mtu akitaka kuuwa au kuteka we endelea mbele. Uko salama utapeta tu. Acha wengine aendelee na Mungu yupo. Uchomaji watu unaiba kuku unauliwa, unaiba simu unauliwa, kuchoma moto, kuuwa watu, kuchoma nyumba na kuvunja nyumba yote mnaona ni sawa, hamna kinachoshughulikiwa, ukienda mahakamani, mwenye pesa ndo anashinda hamna haki. It is sad what serikali does, now wananchi wanafanya pia. Uhasama Kila upande. Asante kwa uchunguzi. Nashukuru umesema vizuri Ila huko juu pia wafanye hivyo.
@stn4873
@stn4873 Ай бұрын
We waache waingie waguse guse sisi wazee wa FB tukiingia humo tukibaini alama zako za vidole zinafafana na alama za vidole zilizopo humo basi tutakunyakua kokote ulipo, na mpaka tuje kupata wahusika wenyewe basi wewe utakua umeshapata tabu sana.
@zaniamiraji1327
@zaniamiraji1327 Ай бұрын
😭😭😭
KUMBE MLEVI
11:45
Joti TV
Рет қаралды 88 М.
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 66 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
AKUTWA AMEFARIKI DAMU ZATAPAKAA KANDO YA MATOFALI
9:39
Dodoma Tv
Рет қаралды 5 М.
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 324 М.