Kusa achia twende hayo ni mapigo ya Kijeshi Adoff hitlaa yangaaa oyeee💚💚💚
@rwegizajeni2 күн бұрын
Yanga Raha💛🖤💚
@lusanalusana-o3h2 күн бұрын
kila siku wataendelea kusema tunanunua mechi na sisi hatuachi kushinda
@SaleheKibusa2 күн бұрын
Tuna taka tumfunge mazembe inshallah kwa uwezo wake mola
@Nasma-eb4ef2 күн бұрын
Yangaaa tamuuu
@charlesgeorge-o9s2 күн бұрын
Yanga yetu
@SarahSanga-p6d2 күн бұрын
Tabora mjiandae
@ChenchiKing2 күн бұрын
Gusa Achiya Twende Kwaho Itamfikiy Kila Mtu Kikubw Mjipange Kwa Foleni Tu✊✅✅✅✅✅
@weizsymo62572 күн бұрын
Kwao sio kwaho😂
@weizsymo62572 күн бұрын
Itamfikia sio Itamfikiy😂😂
@BullahSambiga2 күн бұрын
😂😂
@FarajaSijali2 күн бұрын
😂 sana yanga pingwa
@NassoroKhamisi-k5k2 күн бұрын
Haishiwi maneno mikia
@remidusmwanandenje-yy5gs2 күн бұрын
Wapange foleni nikichapo mwanzo mwixho mpaka wasema ule msemo wao wa Ubaya ubwela waliutoa wapi😂😂
@AlfonsiMilanzi-p5k2 күн бұрын
Koch anazingua kwenye sab bana
@KajuMpemba-s6l2 күн бұрын
Anazingua nn
@lucymsheshi58712 күн бұрын
Wataelewa foleni foleni wapange😊😊😊
@ZuhuraAwadhi2 күн бұрын
Semaji hiyo inaitwa mjinga mpe cheo mtenje kitambulisho meneja mshahara wa mfagiaji
@NdilanaBulungu2 күн бұрын
Tunamtaka anajiita siju nyuki sij
@patrickKibuga2 күн бұрын
Gusa achia mbaka waseme kwanni walipga nyimbo yetu mtaani nao kikombe Cha 5g kitawarudia wajipange mnara saiz tutawajengea kwingine
@SaudaSiraji2 күн бұрын
Inshallah..
@MohammedAmour-nf9wq2 күн бұрын
Shoga uyo mnafiki 😂😂😂
@AdamHamis-s2o2 күн бұрын
Kolokwiyoo wakifungwa utasikia timu haijajipata muunganiko Wakitengewa tuta utasikia timu ina kiwango cha hali ya juu inatisha koloooooo misemo mingiiiiiii
@DENISMAKALA2 күн бұрын
@@AdamHamis-s2o mbeleko fc wanapambana sana kumshinda GSM ni NGUMU sana wachezaji wanalipwa milioni za KUTOSHA alafu timu ya kuungaunga wanafosi ionekane Bora inabebwa haibebeki mechi ukiangalia hazina ladha
@shabanisaid-vl6wf2 күн бұрын
❤
@kolosii43512 күн бұрын
Chasambi mbona kaongea kiprofessional zaidi. Role modal ni jambo zuri.
@siara7exclusivemedia2 күн бұрын
Mtenje kamdomo 🤫🤫 gari limewaka ilo
@PASCHALSHAGEMBE2 күн бұрын
Ukiwa shabiki wa yanga lazima unenepe
@jacksonenock52312 күн бұрын
Huna baya Ally kamwee
@yousifyousif-p7f2 күн бұрын
Gusa achia twende kwa makolo 😂sio kwa ubaya nawakumbusha tu nanyi mlipingwa 5G msijisahaulishe😂tuliwachenyeta😂
@adohmapunda83612 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Godfreybainaally2 күн бұрын
Gusa achia, twende kwao
@MohammedAmour-nf9wq2 күн бұрын
Mna wafata fata simba mbona amuja kwenda viwanja vyegine mnafi tu wewe una lolote kazi umbea
@hellenmchomvu62962 күн бұрын
😂
@amanchuga9902 күн бұрын
Pazen saut kwa tff marefa wao wanaochezesha mechi za madunduka wanaharib soka let kwa kuwabeba waache ujinga huo
@samwelsimon73922 күн бұрын
gsm huo udhamini wake anaihujumu ligi ya nbc hizo timu zipo kwa ajili ya kumtengenezea ubingwa huo ndo ukweli japo utawauma
@DENISMAKALA2 күн бұрын
Huo ujinga wao ndiyo wanaubariki ikubwe Karie ni Simba damu damu hawezi kufurahi yanga ikitawala ligi huu ni mkakati wa maksudi wa kuibeba MADUNDUKA
@DENISMAKALA2 күн бұрын
@samwelsimon7392 ww ni ngesem yanga ni timu kubwa hujui mpira timu yako Haina stamina inacheza dakika45 tu kwa Kasi kipindi Cha pili hamna kitu mechi 12 penati zote hizo mbeleko fc ww ni ngeke timu imebeba ubingwa mara tatu mfululizo angalia GSM amedhamini timu ngapi?
@erickbiharagu8942 күн бұрын
Nikwer labda GSM anamdhan hata Mo thus y hata Simba anafungwa@@samwelsimon7392