MWABUKUSI AMVAA MWANASHERIA MKUU/ASEMA SIOGOPI, SIISHI KWA VYETI, AMTAJA CHONGOLO, HAMJUI MSANDO

  Рет қаралды 60,357

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 151
@abdyissaabdi108
@abdyissaabdi108 Жыл бұрын
Ujengewe sanam wakili😂😂🎉🎉🎉
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Жыл бұрын
Mimi sichoki kumsikiliza mwambukus namuelewa saaana 💪👍🙏🤝
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Жыл бұрын
safi sanaaa! Boniface Anyisile kajunjumele Mwabukusi.
@aikandeshoo5354
@aikandeshoo5354 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana. Mungu hatakuacha, simamia hapohapo na taaluma yako inakulinda
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 Жыл бұрын
Asanteeeee Mheshimiwa wewe ndo Mheshimiwa na sio hao vichaa walio logwa WA ccm
@NicodemusNkiami
@NicodemusNkiami Жыл бұрын
Uko vizur bon mungu atakusimamia na wataanzania wote wanao jua haki zao na uzalendo wa nchi Yao.
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 Жыл бұрын
AG kachemka hapo, bora anyamaze maana watanzania tunaelewa kinacho endelea. Bandari zetu haziuzwi. Tutasimama na Mwambukusi hadi kieleweke
@silverrichard1211
@silverrichard1211 Жыл бұрын
Safi huyu ndie mzarendo wa kweli
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 ай бұрын
Wazalendo wazuri katika nchi hii wanayosifa. ya kupuuza ushauri was watu ambao siyo viongozi CCM na serikalini wanajua familia zao tu na wale machawa wanaojipendeza kwao ambao ni wachahe sana hawafiki hats milioni mbili walipobaki wanaonekana ni mbumbumbi hwaskilizwi
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 Жыл бұрын
Ukiona baba anauza nyumba alafu watoto Wanashangilia kununuliwa Mandazi,Hao watoto sio Bure ni Machizi na Mateja
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 3 ай бұрын
Mwabukusi uko vzr sana ila kwakuwa watu wanaona wote ni mbulula watanza
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Hongera ndugu kazi yako Mungu anaiona,umejitoa sadaka Kwa akili yetu sisi wanyonge Mungu akuinue ktk jina kuu la Bwana Yesu,
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 Жыл бұрын
Wafundishe Bro Big Up
@jumannesalumu8290
@jumannesalumu8290 Жыл бұрын
Hongera sana tupamoja towatamko
@MeshackMwangwale
@MeshackMwangwale 2 ай бұрын
Wewe songa mbele tunakuombea hatuna pakusemea MUNGU Akulinde.
@pillykimenyi846
@pillykimenyi846 Жыл бұрын
Mungu awe pamoja nawe nasi tunakuombea watanganyika tuko pamoja
@henrychacha5592
@henrychacha5592 3 күн бұрын
Mwambukusi you are so intelligent.I Love you!
@JosephinaLuoga-lo9os
@JosephinaLuoga-lo9os 9 ай бұрын
UmewAzidi wote bro hakika wewe ni mzalendo. Pamoja sana
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 2 ай бұрын
Barikiwa baba Mungu aendelee kukuinuwa tena viwango vya juu
@success-only
@success-only Жыл бұрын
Aisee, mwanaume na nusu Vyeti ni vithibitisho vya kwenda shule, Na siyo lazima uwe umesoma ndipo uishi na kuwa utashi kama Binadamu
@sadallahbataza1906
@sadallahbataza1906 Жыл бұрын
Ubarikiwe kakaa ulikuwa wapi ww miaka yote hii?!
@violetn.finnvik373
@violetn.finnvik373 Жыл бұрын
🇹🇿🙏🙏😭.Mungu ibariki Tanzania. Kaka ubalikiwe🙏❤️
@IbuGang
@IbuGang Ай бұрын
Mimi sichoki kumsikiliza Mwabukusi ni mkweli na yupo wazi Mungu amlinde na amtuze na kila roho ya upinzani inayomfatilia ishindwe Katika jina la Yesu kristo ameen
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Mwambukusi kiboko Uko vizuri
@elizabethringo7154
@elizabethringo7154 Жыл бұрын
Kwenye haki ya nchi sema ukweli mungu akutetee
@ezammwakisambwe-t8u
@ezammwakisambwe-t8u Ай бұрын
Makini sana kiongozi wetu tunakukubali mzee unatemaga madini TU aisee!! May God protect you
@hanscmakerdm9943
@hanscmakerdm9943 Жыл бұрын
Respect 🙌
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
Daaaaah aibu imshukie huyo wakili mkuu Boniface hata mkimfungia vyeti haitowasaidia chochote tutasimama Na ukweli,nimeiona Tunduma iliposimama Na Boniface pale walipobomolewa nyumba Zai mpakani watu walilipwa fidia zao huyu kaka anamsimamo wenye manufaa makubwa ✍️
@balthazarkilasi9825
@balthazarkilasi9825 Жыл бұрын
Wakili wa Serkali amesema mkataba huo DP wamesema ktk. Kipengele kimoja ya kuwa TPA au WATANZANIA tukitaka kuendeleza Bandari yeyote nje ya tulizokubaliana. "LAZIMA TUWAARIFU" ....wao DP sikukuelewa,jee ni kweli tunatakiwa kufanya hivyo na ni utaratibu? tuelimisheni!
@MeryLyatuu-to9ks
@MeryLyatuu-to9ks 17 күн бұрын
Mungu akulinde na maadui sema usiogope
@gibsonsilungwe685
@gibsonsilungwe685 Жыл бұрын
People of Tanzania. I can assure you that ccm they are deeply devoted to God, but their devotion is not based on true knowledge. They have not known the way in which God puts people in right with himself, and instead, they have tried to set up their own way, and they did not submit themselves to God's way putting people right. Waroma 10vs1-4
@AbdalaKitangoma
@AbdalaKitangoma Ай бұрын
Jamani mungu ametuletea mkombozi mwingine tumshike mkono namungu amlinde
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 Жыл бұрын
Safi sana msomi
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu Ай бұрын
Safi sana, nakukubali sana, uko viziri mwamba
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Жыл бұрын
Tungepata hata watz 5 tu kama huyu, daaah tz ingenyoka
@rithaurassa
@rithaurassa Ай бұрын
Hakika ninhekuwa na ulinzi ningekuwekea .Ila nimekuwekea ulinzi wa MUNGU UNATOSHA KWA MAISHA YAKO YOTE.
@festoasanga5572
@festoasanga5572 Жыл бұрын
Nakupenda bure msemaji wawanyonge
@lunjeramadhani1295
@lunjeramadhani1295 Жыл бұрын
Mwenyezungu akupenguzaidi kaka
@kessydieselengineers3205
@kessydieselengineers3205 Ай бұрын
Wanategemea police ndiyo wanawapa jeuri
@ClemoohPeter
@ClemoohPeter 3 ай бұрын
Safi sana baba tutetee sisi ambao hatuna wa kutusemea hayo mana hawa viongozi sijui hili taifa wanataka kufilisi
@YoakimMsuha
@YoakimMsuha Ай бұрын
I see new TANZANIA
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 25 күн бұрын
Bora
@LemaliMeyasi-r4c
@LemaliMeyasi-r4c 17 күн бұрын
Hilo neno
@hamisiomari-k9z
@hamisiomari-k9z Ай бұрын
sana boss
@olemnakitende7637
@olemnakitende7637 Жыл бұрын
Yani naomba kabxa, thanks alot,kila mmoja ana haki
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@HassanSaburi-ge6ej
@HassanSaburi-ge6ej 2 ай бұрын
Baba pambana tuko nyuma yako wameanza muda mrefu sana haya mambo Yao ya wizi
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg Жыл бұрын
❤❤❤❤❤ san ww ni kichwa
@olemnakitende7637
@olemnakitende7637 Жыл бұрын
Mungu yupo nasi,ubarikiwe,sana
@AwaziRajab
@AwaziRajab 28 күн бұрын
Kiongozi Wa Bala Akienda Zanzibar Anaenda Kutalii Lakini Wa Zanzibari Akija Bala Anakuja Kupiga Kazi Acheni Wana Shelia Wacheze Ngoma Tuone Washindi Kuliko Kupiga Mazogo Vijiweni Kupitia Wasomi Bola Tutajua Wapi Kunavuja Lakini Raisi Wetu Anapiga Kazi Hela Anatoa Lakini Waliochini Yake Ndio Tatizo
@ofreyking5975
@ofreyking5975 Жыл бұрын
Hawa ndio wanatakiwa kua viongozi sio wapga dili miaka yote wawekezaji hawana msaada wowote kwnn maden yanaongezeka kila cku waache bandali kama wameshindwa watoto zetu watakuja kuiendesha
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 Жыл бұрын
Magu hakuuza bandari, elewa hilo
@JohnMagweiga-uu8fv
@JohnMagweiga-uu8fv Жыл бұрын
Usimwogope mwanadamu
@jumarobert4929
@jumarobert4929 Жыл бұрын
God blass you baba
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg Жыл бұрын
Damu ya yesu ikufunike
@michaelkimweri1074
@michaelkimweri1074 Жыл бұрын
Kaka uko viziri hatuna hamu na ccm,tupo nyuma yako kimaonbi,hii no haki yeti.
@AkleyNziku-cv9lt
@AkleyNziku-cv9lt Жыл бұрын
Mwabukusi Mungu awe na Wewe Daima
@SamweliHozza
@SamweliHozza Ай бұрын
Hili lijanaa ni very smart
@rogattemba
@rogattemba Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@thomasmmoka4884
@thomasmmoka4884 Жыл бұрын
Ingekuwa vema kama Mama Samia angemteua Mwambukusi kuwa AG badala ya Feleshi.Mwambukusi kawaumbua madalali wa DP World,sasa wanaona haya,kumchukia na kumfitini Mwambukusi!
@lalosalamanca7131
@lalosalamanca7131 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@evaemil856
@evaemil856 Жыл бұрын
Amen
@amosbirusha952
@amosbirusha952 Жыл бұрын
Kiongozi mzuri sana ni yule anaesikiliza maono ya anaowaongoza,na si vinginevyo
@AshrafuMwalongo-km5fd
@AshrafuMwalongo-km5fd 11 ай бұрын
Mungu akupe maixha malefu
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Mimi kama mtanganyika nikopamoja nawewe wakili musomi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Жыл бұрын
Mainzi kijani watanzania tunamweleea San wakili mtajua hamjui
@BizzBoy-g4o
@BizzBoy-g4o 2 ай бұрын
uwoga wetu haujawahi kutusaidia
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 Ай бұрын
Wananchi pamoja na police badala ya kupambana na viongozi ambao wanaturudisha nyuma wao wanapambana na chadema
@olemnakitende7637
@olemnakitende7637 Жыл бұрын
Mungu yupo nawe kabxa,
@robinilomo2887
@robinilomo2887 Жыл бұрын
Asante bro,kati ya Wasomi wachache Tanganyika wewe umo,Endelea na Mapambano tupo na wewe,Wameshazoea kutishana hao wachumia Tumbo,Wasomi wa Tanganyika wengi hawajitambui wanaendeshwa kwa tamaa sio Weledi cha ajabu wanajiita Maprofesa na Madokta
@yussuffadhil4522
@yussuffadhil4522 Жыл бұрын
Hahaha babdari itauzwa tuu
@yussuffadhil4522
@yussuffadhil4522 Жыл бұрын
Hahaha bandari itauzwa tuu...... na leo mnatambua km kuna Tanganyika?
@robinilomo2887
@robinilomo2887 Жыл бұрын
@@yussuffadhil4522 Kichwa Maji we hujitambui,kati ya hao majuha niliyowaongelea
@robinilomo2887
@robinilomo2887 Жыл бұрын
Tofauti ni kwamba we hujasoma,Failure
@HillaryLeon-m2z
@HillaryLeon-m2z 13 күн бұрын
Wahamisishe watanzania baba maana tunakosa haki zetu
@HassanSaburi-ge6ej
@HassanSaburi-ge6ej Ай бұрын
Hivi watanganyika nao wanahuziria kwenye vikao vya zanzabr loo soyati ?
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 Жыл бұрын
Mapambano ya haki huwa haiombwi bro uko fiti ,okoa bandari zidi ya genge la wahuni serekalini.
@user-nt4lp9dy6i
@user-nt4lp9dy6i Жыл бұрын
Haki yetu haki yetu haki Mali zetu uzalendo na Katina mpya vyote viwe wazi tutetee kaka yetu hatutaki tena kuwa watumwa
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 16 күн бұрын
Katika hii nchi tungekua namtu kama huyu tungekua mbali
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Gwajima,Yuko wapi mbona Yuko kimya
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 Ай бұрын
Mkuu heshima kwako
@AbdulOthman-gy7nu
@AbdulOthman-gy7nu Ай бұрын
Unafaa kuwa rais wa Tanzania
@HillaryLeon-m2z
@HillaryLeon-m2z 13 күн бұрын
Mweshimiwa mwabukusi usiwagope baba tetea watanganyika tuko nawewe
@muuminikidunda9214
@muuminikidunda9214 Жыл бұрын
Wenzio walikataa SGR,bwawa la mwalimu nyerere wakamkataa na magufuli , amekufa upepo umebadilika leo wanataka magufuli awepo?
@Alfred-y3e
@Alfred-y3e Жыл бұрын
Mungu yu pamoja nawe hao ccm hawana dini
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
bora mwanasheria mkuu wa serikali angekua mwabukusi anaeleweka kuliko.huyo swaza wa.mkatabata wakimagumashi, tunekuelewa mwabukushi❤
@swiftkatepa6131
@swiftkatepa6131 Жыл бұрын
😢
@Nancy-z8h
@Nancy-z8h Жыл бұрын
Watuachie bandari yetu titatusiadia katika muungano wa one african na putin wetu
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus Жыл бұрын
Kweli kabisa Hata MAMA amekubali kwamba wanasheria wake wanaogopa wazungu ndiyo maana wakienda kututetea kimataifa wanashindwa kesi. Inavyoonekana hata katika kusaini mikataba wanaogopa wazungu hawasomi kilichomo wanasaini tu ndiyo maana wamesaini bila kusoma na kusababisha TZ yetu kuingia kwenye taaluki. Mchague Bwabukusi awe AG ambaye hawaogopi wazungu tuweze kushinda hizo kesi zingine zilizoko kwenye mahakama za kimataifa. MWABUKUSI OYEEEEE.
@jumannesalumu8290
@jumannesalumu8290 Жыл бұрын
tukopamoja tumechoka kuongopa
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Жыл бұрын
Hawa watu hawana aibu wala huruma hata kidogo.Kama wazee wetu waliilinda nchi yetu kwa gharama kubwa hadi uhai wao na ndio maana leo wanakula na kuendesha magari makubwa na wamejiona kuwa miungu isiyokosolewa! Daw ni kuwatoa madarakani kwa nguvu ya uma.
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 Жыл бұрын
Hakika tunaitaji kuamka izo nchi za kiarabu kipindi tunapata uhuru zilikuwa na Hali mbaya kuliko sisi na ukilinganisha rasilimali zao ,ila Leo sababu waneendelea tuendelee kuwategemea ili tuendelee kuwa watumwa wa fikra ukweli watanzania wenzangu hii haiko sawa hata Kwa mtu yeyote chini kule huu mkataba wa bandari na mikataba mingine kuhusu Mali asili ,nishati za umeme , jeshi ipitiwe waarabu wamepenya ndani wameweza Sasa wakichukua na bandari ...ni mfano wa mwizi kaingia ndani na kapata ufunguo wa mlango mkubwa wa sebureni ule wa kutoka nje ....watanzania wengi nimeongea nao wanasema tuache tu tunaathirika na nin mbona hiko ivyo toka zamani najisikia vibaya maan uchumi tulionao sio sawa na hata maendeleo ya sekta zetu zote Bado afya,elimu, miundo mbinu na nk na Bado mtu unasema sawa aloooho tuamke sio sababu ya chochote ila tuweze kutoka katika Giza hili na kujua haki zetu onene wenzetu uko mbele wanavyoishi we need to change our mind tuondoe hofu
@muuminikidunda9214
@muuminikidunda9214 Жыл бұрын
Mbona wazungu wanamiliki migodi mingi ya dhahabu na kuendesha mashirika yanayosupport ushoga hao mawakili wapo kimya
@kessydieselengineers3205
@kessydieselengineers3205 Ай бұрын
Kaka piga kazi hao wote ni majizi tupu kupitia ww rais wa tls na lissu na sisi pia tunapata ukombozi
@edithmwasulama7005
@edithmwasulama7005 Ай бұрын
Mnyakyusa hapelekwi pelekwi kipuuzi hana unafiki na woga
@digostjafety6070
@digostjafety6070 Жыл бұрын
Wanatumia pesa zetu vibaya wanawapa alikiba na diamond ili watu tusahau kusikiliza vitu vya msingi
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 Жыл бұрын
Nchi hii hivi ,Vihiyo na vipaza mpaka lini
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Жыл бұрын
Umeongea kweli alutakontinua mapambano yaendelee
@BoniventureMagina
@BoniventureMagina Ай бұрын
Huyu mwamba shikamooo
@user-rp1ys6pw9f
@user-rp1ys6pw9f Жыл бұрын
Mbona kila ukiongea siogopi ni mtanzania yupi uliomuona anaogopa unajiita msomi kweli umeenda shule lakini huna hekima na pia hujui kupanga maneno kuna watu wenye hekima wanakufatilia kukusikiliza ila tunahisi kuwa ww unaogopa sababu ajenda uliyopewa na wateja wako kimekuzidi uzito
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 ай бұрын
We ni zero brain
@muuminikidunda9214
@muuminikidunda9214 Жыл бұрын
Tatizo njaa mnataka kitonga bandarini kuna wizi mkubwa ndio maana bandari kubwa maendeleo hakuna. Wacha waarabu wawanyooshe nyie wezi mawakili .hamtaki waarabu wawafundishe jinsi ya kuendesha bandari
@muuminikidunda9214
@muuminikidunda9214 Жыл бұрын
Tembelea upepo kaka, wenzio watakuacha upepo ukivuma upande mwingine
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Ай бұрын
MWABUKUSI UNAOTA AU VIPI WAZANI KUNAMTU AU WATU WANAKUOGOPA WAMEPITA WATUKAMAWEWE NAKUPITA WEWE WEWENANI NIMUGU
@fatmaabdullah7516
@fatmaabdullah7516 Жыл бұрын
Mungu akulinde wewe na muheshimiwa bashe nyinyi ni wazalendo
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Sasa wewe mnafiki huu ushujaa wote ulionao ulikuwa wapi wakati magufuli anafungia watu kwenye viroba,ulikuwa wapi wakati magufuli akiamuru tundu lissu auliwe. Watu rabish kama huyu hawezi kunishawishi chochote
@kingngojea
@kingngojea Жыл бұрын
Mwabukus saluti kwako mwamba wewe mtanzania wewe nakutukana wewe ni litanzania uliezaliwa Tanzania utakufa kwaajiri ya nchi Yako mtanzania mkubwa wewe
@malackedson7706
@malackedson7706 Ай бұрын
Mwamba huyuuu
@luckMwamwage
@luckMwamwage Жыл бұрын
Kyala aje nanungwe nkulumba.
@kingngojea
@kingngojea Жыл бұрын
Tungekua na watu 50kama awa daaa
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 18 МЛН