SULE HAKUTARAJIA MOTO HUU WAKIELIMU KUTOKA KWA NDACHA NA ILI NI FUNZO KWA WAISILAMU WOTE

  Рет қаралды 62,209

Bernard Mwaipopo

Bernard Mwaipopo

Күн бұрын

Пікірлер
@isayaogola8733
@isayaogola8733 Жыл бұрын
Mungu akubariki Ndacha.Yesu kamwe hajashindwa na mwanadamu
@eiddykenga5816
@eiddykenga5816 11 ай бұрын
Angepigwa na kutolewa damu..mm nadhani nikwasababu aliiba punda thus akawa anapigwa mijeledi kwasababu sheria ya mwizi ni adhabu kali
@BahatiJackson-b6v
@BahatiJackson-b6v 3 күн бұрын
Barikiwa mchungaji. Tuna Kuhitaji uje congo pia
@amanmalima940
@amanmalima940 6 күн бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@EzekielBlessing-l8t
@EzekielBlessing-l8t Күн бұрын
Nikisema ubarikiwe nitakuwa nakosea ju ushabarikiwa na Bwana ..kazi nzuri sana kijana wa Baba 🤝🙏
@LovelyAntenna-eq9fv
@LovelyAntenna-eq9fv 11 ай бұрын
This guy wacha apewe twice wisdom
@elishasilas723
@elishasilas723 3 ай бұрын
Mungu ana jeshi KUBWA ndacha ni jeshi la Mungu la mtu mmoja laiti Waislam wangefumbuliwa macho Yao ya kimwili wangeogopa na kutetemeka Ndacha alivyozungukwa na uwepo Wa Mungu
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu 5 ай бұрын
Mpaka msomaji wa kiislamu kababaika! 😅🤣 Yesu Wetu naomba wasaidie waislamu wapate neema ya wokovu na wakupokee maishani mwao; waache kushikiriana na shetani! Amina.
@RobertKasunga
@RobertKasunga 2 ай бұрын
Hakika ni Mungu ndio kiongozi wa waalimu wa kikristo, Ndacha Roho wa Mungu aendelee kukuongoza.
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 3 ай бұрын
Mpinga kristo ni muislamu 100%
@AplA-x9b
@AplA-x9b Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na walitqbiriwa kabisaa so wakristo tuwe macho
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 10 күн бұрын
Sasa dada wewe hulikuwa hujui kama mpinga kristo ni waslamu wewe hunafikir hukishirikiana na majini hutakuwa nakir vizur
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 7 күн бұрын
Kabisa
@WSRISK
@WSRISK 4 күн бұрын
Mungu amlinde ndacha
@bertuskuoko292
@bertuskuoko292 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu mteule Mch. na Mwl. Francis Ndacha Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo akubariki sana tena sana. Kwangu na ninaamini pia kwa wenzetu wengine tunakuombea na kukutakia mema katika kutangaza habari njema katika ngome ya adui. Ubarikiwe sana.
@eiddykenga5816
@eiddykenga5816 Жыл бұрын
Munao mfuata ndacha mumepotea..niushabiki tuu kwasababu munashangaa kutoa aya zaviraka kuchafua dini ya yesu na manabii..munafurahia tuu..ila yeye anajua kabisa hakuna dini ya ukiristo isipokua upagani
@IpyanaPaul
@IpyanaPaul Жыл бұрын
Hallelujah ubarikiwe Sana mchungaji ndacha.
@ChristopherLaban-c9m
@ChristopherLaban-c9m 4 күн бұрын
Amen 🙏 and Amen 🙏 🙌
@aminakadzo1142
@aminakadzo1142 4 ай бұрын
Mungu akujalie neema mno ndacha pamoja na team yko❤
@HadijaHsalehe-z4k
@HadijaHsalehe-z4k Ай бұрын
Mch Ndacha Mungu akulinde na kukubariki sana...Wengi tumekuelewa..Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
@johnwabwile4404
@johnwabwile4404 7 күн бұрын
Nawe pia ubarikiwe kwa kuutambua ukweli dada.
@mutuasteve2179
@mutuasteve2179 Күн бұрын
Dada asante sana kwa kuelewa, hauko mbali sana na kumujua Bwana Yesu kristo,,,.Roho wa Mungu azidi kukufunulia
@ManenoEmanuelMisango
@ManenoEmanuelMisango 27 күн бұрын
Mungu ni mwema Mwalimu F. Ndacha
@DicksonWilsoni
@DicksonWilsoni 4 күн бұрын
Waislaam ndio makafiri wafuga majini na mapepo muokoke mumwamin YESU muwe na uzima wa milele
@BeatriceModest-vx7sr
@BeatriceModest-vx7sr 9 күн бұрын
Roho wa Bwana aendelee kukujaza maarifa ya Mungu .wataelewa tu.
@MusavuliGeneseFabrice
@MusavuliGeneseFabrice 24 күн бұрын
Ndacha mwalimu Wangu. Minatamani kanisa lako lifike huko mashariki ya kongo ili nikuwe nakusanyika pamoja nawewe. Unajuwa ku tafsiri mahandiko, .mungu akuongezeye maarifa. Wa islamu watabatizwa muda simurefu.
@ByamunguBisabilwa
@ByamunguBisabilwa 14 күн бұрын
Nakwambia ndacha ndofimbo ya wesilamu nakupenda sana baba mungu akulinde
@RehemaRehemaJosephbaraka
@RehemaRehemaJosephbaraka 16 күн бұрын
Balikiwa sana mtumishi ndacha nakupenda sana mtumishi wangu ❤❤❤
@ApolloOrao
@ApolloOrao 23 күн бұрын
Very soon the truth will be known .. and every knees bend and confess Christ is God .
@FelixMusa-yy8xg
@FelixMusa-yy8xg 11 күн бұрын
Kazi nzuri mwalimu.Mungu akubariki huku akifafanua njia zaidi za kuieneza injili katika jina la yesu kristo
@sichulac
@sichulac 9 күн бұрын
Indeed Am blessed with your teachings. Rev. Sichula from Zambia
@TitusSirwoi
@TitusSirwoi Ай бұрын
Waislamu wamepata ukweli tupu mungu awabadili wawe wa kufuata na kuamini yesu kristo .
@kimanidatch6096
@kimanidatch6096 21 күн бұрын
Ndacha mwalimu haswaaaaa!!!Hakuna muislamu wa kumpiku...Hayupo!!!
@kelvinnjeru8631
@kelvinnjeru8631 13 күн бұрын
Mungu Azidi kumwezesha huyu Ndacha
@aimensababera229
@aimensababera229 2 ай бұрын
Mungu akuzidishie ujuzi kabisa
@moffatsimiyu6622
@moffatsimiyu6622 28 күн бұрын
Wewe ni mwalimu kweli ndacha uko na upako wa yesu🙏
@lydawnabraham8809
@lydawnabraham8809 21 күн бұрын
Mungu abariki paster ndacha kwa kazi ya kuelimisha waslamu
@niwagwenemayeye972
@niwagwenemayeye972 13 күн бұрын
Mungu akubariki Ndacha hakika Mungu ni mkuu
@NicholausShilanga
@NicholausShilanga 8 күн бұрын
Mungu akutie nguvu mteule wa mungu😂
@FiddyMakena
@FiddyMakena 5 ай бұрын
Kweli mwalimu ameadhibu waislamu
@RaymondWilliam-b9z
@RaymondWilliam-b9z Ай бұрын
Mungu ana Penta kasizako akusidishie miaka 🙏🙏
@barackamosi4116
@barackamosi4116 Жыл бұрын
Mmmmmmmmh MUNGU wangu siyo kwa hilo jopo la mashehe niwengi lakini huyu ndacha anavyo wagalagaza Mimi Nina wasi wasi yamkini YESU yupo ndani ya ndacha huyu ndacha so mtu wakawaida du hatali
@eiddykenga5816
@eiddykenga5816 11 ай бұрын
Hamna kitu..kama kipo..tao aya alio tao ndacha bibilia nikitabu cha Mungu..na ukiristo ni dini ya Mungu..yoyote tuu ambayo ndcha ametoa kama anawaweza hao mashekh
@abdallamohamed2005
@abdallamohamed2005 3 ай бұрын
Ama kweli kwenye Quran na bibilia iliandikwa kutakuja manabii wa uongo na kweli huoni hilo ndugu yangu karibu kwenye dini ya kweli
@UPENDOWAYESUNATABIAYAKETUJIFUN
@UPENDOWAYESUNATABIAYAKETUJIFUN Ай бұрын
Hawana akisema juu ya bibilia
@sammunialo5463
@sammunialo5463 19 күн бұрын
Ndacha huwatoa jasho waislamu kuhusu quran yao na Bibilia wasio ijua. Barikiwa Mwalimu Ndacha
@jacksonngigewaentarara1852
@jacksonngigewaentarara1852 8 күн бұрын
😂😂😂😂​@@abdallamohamed2005
@Mhinambasha-yh6oc
@Mhinambasha-yh6oc 5 ай бұрын
Mungu Muumbaji wa mbingu na vyote vilivyomo awabariki Sana Sana kwa Masomo mazuri mwenye aikio na asikie na amfuate Mungu wa kweli
@PhilipOboki
@PhilipOboki 2 ай бұрын
Almighty father protect you ndacha 🙏🙏
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 2 ай бұрын
GodLogic hapa, Waislamu wamepotea
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo 2 ай бұрын
Ubarikiwe
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah Ай бұрын
Amina ukweli kabisa😂😂😂😂
@crispuskasanga8487
@crispuskasanga8487 22 күн бұрын
Plus christian prince
@kenedymutili
@kenedymutili 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe hakuna maali Yesu hashakua musilamu Yesu ni mwana wa Mungu
@issapetro4960
@issapetro4960 3 ай бұрын
Analindwa na mabaunza Allah ameshindwa kukulinda. 😂😂😂😂😂. Ndacha bwana. Ubarikiwe ndacha
@AgripaMwangobola-z7r
@AgripaMwangobola-z7r Ай бұрын
Mm mwenyew nimecheke alivo sema analindwa na mabonsa
@CharlesBukuru-u2e
@CharlesBukuru-u2e 4 ай бұрын
Kabisa wew nimwalimu tunakushukuru sana❤❤❤❤❤❤
@AlmachiusInnocentAlmachiusInno
@AlmachiusInnocentAlmachiusInno 20 күн бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
@thomasbogomba9655
@thomasbogomba9655 10 күн бұрын
Wakristo tuna Mungu ambaye hatingiziki and we trust in him to have everlasting life He is God of gods
@mutuasteve2179
@mutuasteve2179 Күн бұрын
Sure
@PhilipOboki
@PhilipOboki 2 ай бұрын
Sitachoka kusikilisha mdaalo wewe ndacha mungu akupaliki
@kelvinnjeru8631
@kelvinnjeru8631 13 күн бұрын
Mtumishi Ndacha Mungu akulinde na yote fanya kwa utukufu wa Mungu
@ZachariaJohnMageme
@ZachariaJohnMageme 3 ай бұрын
Mungu akusaidie uendelee kuelimisha hao waislamu wote Duniani ili nao waione hii Nuru
@emmanuelmwambeta4359
@emmanuelmwambeta4359 Ай бұрын
Mungu akubariki sana pastor Ndacha
@DeusMbalamwezi-h7t
@DeusMbalamwezi-h7t 11 ай бұрын
Mungu kweri ni upendo anatupenda kupitia mwarim ndacha kwa kutuerimisha mambo ya ukweri ya mungu mkuu❤
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo 11 ай бұрын
Kabisa
@meschackambili8173
@meschackambili8173 Ай бұрын
Soyez béni richement ndacha pour ce travail
@SamuelKonde-t9h
@SamuelKonde-t9h 3 ай бұрын
Mungu akuzidishie ufahamu kwa rlimu ulio nayo
@SusanDismas
@SusanDismas 22 күн бұрын
Barikiwa ndacha
@EmmanueliHasani
@EmmanueliHasani 4 ай бұрын
Tuwaombee sana waislam roho mtakatifu awasaidie wanaelewa ila shetani anawang'ang'ania
@NizigimanaFatuma
@NizigimanaFatuma Ай бұрын
Huo ujanja wahawa wacungaji sisi hatubabaishi hata kidogo nahuo ndacha wenu kama mna mwamini huo sisi tuko kwa allah tume wazoweya kazi zenu kuwaabudu viumbe wa munguu
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 28 күн бұрын
Haujielewi kwanza wewe
@GidePrec1010
@GidePrec1010 Ай бұрын
Mimi ninapenda sana kusikiliza midahalo
@AloysNizokabosi-el1jj
@AloysNizokabosi-el1jj Жыл бұрын
Hakika Ndacha wewe ni mwalimu
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
Amina
@eiddykenga5816
@eiddykenga5816 11 ай бұрын
Ni walimu wakusambaza dini ya iblis na mashetani na wachawi
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah Ай бұрын
Kwa kutuonyesha Quran yenu ni ya ibilisi​@@eiddykenga5816
@JeremiaChacha
@JeremiaChacha 4 ай бұрын
Hakika ndacha unaweza mungu awe nawe
@kabebemazambi
@kabebemazambi 3 ай бұрын
Makafiri endeleeni kumkufuru Mungu basi moto unawasubiri
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah Ай бұрын
​@@kabebemazambikama nyinyi moto ni yesu ni mwana wa mungu Amina🙏🙏🙏
@peacemwesiga
@peacemwesiga 18 күн бұрын
Ukuu wa Mungu uko na ndacha❤❤from Tanzania
@JeanclaudeTuyishimirimana
@JeanclaudeTuyishimirimana 5 ай бұрын
Ndacha mungu akubalikiwe
@MartinGao-pq3ed
@MartinGao-pq3ed 8 күн бұрын
watakuja haooo kanisani
@MwatiBienfait
@MwatiBienfait 7 күн бұрын
Mungu yemwenyewe amcungi anacungwa na bodigard😂😂 ilo neno limenifuraisha San mpaka ivi nikingali na cheka kila siku nikitafakari ilo neno
@SaidaKihonza
@SaidaKihonza Ай бұрын
Neno litasimamamambo yote yatapita lakini neno litasimama mungu akulinde ndacha
@clementmusa7799
@clementmusa7799 4 ай бұрын
Duh ndacha ni shida
@sammunialo5463
@sammunialo5463 19 күн бұрын
Mazinge anakodoa macho ya huruma kana kwamba kahofia kubatizwa😂😂😂😂
@petermankaga5171
@petermankaga5171 Жыл бұрын
Kuamini kwao ni ngumu sana mbaka yesu mwenyewe awa awabadilishe kama walimshilimisha shetani akawa ndugu Yao ni kazi kuwaachia
@eiddykenga5816
@eiddykenga5816 Жыл бұрын
Na yule yesu alie mchagua kwenye kundi la kumi na wawili alikua nani..shetani ni mmoja wawanafunzi wa yesu so ukiristo unajificha tuu bt mwalimu wao mmoja nishetani ambae makao yake nikanisani..munapo ingia mkitoka kuzini bila hata kuoga na viatu pia
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 Ай бұрын
@@eiddykenga5816 Dini ya kiislamu ilianzishwa na majini kwa kusudi la kuleta mafundisho yenye kupinga wokovu ulio katika Kristo Yesu. Sasa matokeo yake maswali na majibu ya mwislamu yeyote yanaashiria giza nene.
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 5 ай бұрын
Wengi wametoka kwenye uislamu kwa ajili ya Mahubiri kama dini ya shetani, njia ya kuzimu ni hii hapa inaitwa uislamu hakuna hoja juu ya hilo.
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 3 ай бұрын
Wwe acha kupotea nkuulize biblia ilipewa nabii nani ikiwa yesu alipewa injili
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 ай бұрын
​@@zuenahassan8882Bible ni vitabu vitakatifu injili imo ndani
@Mhinambasha-yh6oc
@Mhinambasha-yh6oc 5 ай бұрын
Yesu kweli ana nguvu na uwezo mkubwa
@BeatriceModest-vx7sr
@BeatriceModest-vx7sr 9 күн бұрын
Mbingu na enzi na vyote vilivyo mbinguni ufurahi Kwa sbabu ya wale wamteteao KRISTO MFALME
@AyubuHeshima
@AyubuHeshima 3 ай бұрын
Waisiramu wote ni makafiri
@NizigimanaFatuma
@NizigimanaFatuma Ай бұрын
Ukisema waislam nimakafiri kisha nyinyi mtakuwa nini mbona makafiri wakubwa ninyie wakristo muna maco hayaoni mna maskio hayasikiyiii naupenda sana uislam nawaislam na machekh wetu❤❤❤
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah Ай бұрын
​@@NizigimanaFatumanyinyi motoni njia nzuri ya mungu ni yesu🙏🙏🙏
@chrispineacademicus5784
@chrispineacademicus5784 14 күн бұрын
​@@NizigimanaFatumatatizo shetani amekufumba macho,ndo maana unaelezwa ila bado unabisha,Yeyote anayekataa Uungu wa Yesu ni Kafiri
@LazarusLuqmay
@LazarusLuqmay 7 күн бұрын
Kabisa
@chrispineacademicus5784
@chrispineacademicus5784 7 күн бұрын
@@NizigimanaFatuma Katika uhalisia Makafiri ni nyie Waislam ,Yesu ni chapa ya Mungu,kwa hiyo ni Mungu,lakin nyie makafiri ndo mnakataa
@AgnerusCharles
@AgnerusCharles 2 ай бұрын
Wewe ni hatari Sana mchungani 😂 hongera wapi dozi yao wakome
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Ай бұрын
Ndacha hatarii sana umewachakaza vibaya sana😊
@StalloneGeniuzx254
@StalloneGeniuzx254 Ай бұрын
Ndacha you are a great fellow greatings from Rome❤
@HappyHappy-k4j3i
@HappyHappy-k4j3i 17 күн бұрын
baba ndacha wewe nikidume nanusu mungu anakutumia kweli kwel wapedoziao wasipoteze watu
@mwansasubiga
@mwansasubiga 3 күн бұрын
Ndacha we chombo cha BWANA
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 10 күн бұрын
Mungu hapatikan mapangoni Bali shetan ndo anapatikana mapangoni
@EvanceShirima
@EvanceShirima 5 күн бұрын
Mkisto baki njia kuu usikubali kukosa maarifa
@ByamunguBisabilwa
@ByamunguBisabilwa 14 күн бұрын
Nakwambia wesilamu wanamasikio nguvu kama Mara Gi yamapokezi yahani mpaka tu Yesu yepeke akuye waminisha
@erickluther8393
@erickluther8393 3 ай бұрын
Ndacha the good teacher
@RaphaelMtana
@RaphaelMtana 12 күн бұрын
Poleni sanawaislamu
@henrymitobi
@henrymitobi Ай бұрын
Ndacha ako sawa kwa madiko waislam wamkubali ndacha awavatize
@hassangalgallo8496
@hassangalgallo8496 Жыл бұрын
Tuseme Ukweli HAKUNA mwalimu wa Kiislamu atavunja hoja ya Ndacha
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
parfect
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
Hana hoja yotote ndacha anapindisha tu maandiko na anasoma vitabu vyengine sio vya kiisalam swali aliloulizwa na sule alinunukuu andiko linalosema Upumbavu wa mungu una hekima kuliko wa binadamu swali andiko hili ni la mungu? Yeye kaja wewe umeniuliza mungu ni mpumbavu ooh sijui mungu aliumba mapumbavu ya dunia swali lilkua kama lilivonukuliwa Upumbavu wa mungu una hekima kuliko wa binadamu maneno haya yanaweza kua ya mungu? anakuja na porojo halafu vipofu mnamuona kajibu hoja
@basilejuma
@basilejuma 11 ай бұрын
Kuna mwingine anaitwa kasina huyo pia ni moto waislam wanamwogopa
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 11 ай бұрын
Hamna kitu hoja za ndacha ni uongo hakuna mkristo ana hoja za maandiko zaidi ya kuleta porojo
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 11 ай бұрын
​@@MohamedMohamed-u3t1nKama sulle kashindwa ,jitokelezee nawe tuone😂😂😂
@JamesMatiko-i2z
@JamesMatiko-i2z Жыл бұрын
Ni kweli Ndacha ni mwalimu wabiblia, na kama Dr Sule anaamina Mungu mbona analindwa na binanadamu tu
@JafethOdhiambo
@JafethOdhiambo 3 ай бұрын
Mungu akujalie mema na hekima kuiuhubiri injili
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 10 күн бұрын
Daaah huyu ndacha ni moto biblia anayo kweli kweli
@JosephJohn-y2s
@JosephJohn-y2s 3 ай бұрын
Message send meza hivo hivo😁😁😁
@MosesMzungu-v9j
@MosesMzungu-v9j Күн бұрын
Ndacha mwamba banaaa
@bernardmuli7763
@bernardmuli7763 3 ай бұрын
I just love ndacha
@AsaphObed-s6m
@AsaphObed-s6m 2 ай бұрын
Ndacha alizaliwa kuwanyosha waislam
@NizigimanaFatuma
@NizigimanaFatuma Ай бұрын
Hwezi ucizituuuu😂😂
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah Ай бұрын
​@@NizigimanaFatumaunacheka nn na amesema ukweli😂😂
@DeusMbalamwezi
@DeusMbalamwezi 9 күн бұрын
Ndacha❤🎉
@LazarusLuqmay
@LazarusLuqmay 7 күн бұрын
Mashekhe wako karibu kumi na alafu ndacha yuko pekeyake na anawatoa jasho kweli luggage ya watu ni yawatu tu haiwezi kuwa luggage uliozaliwanayo waslamu wakubali tu ndacha awabatize chapu
@LoySamueli
@LoySamueli 2 ай бұрын
Kweli
@mutuasteve2179
@mutuasteve2179 Күн бұрын
Mwalimu ndacha Mungu akuzindishie kweli,, hakika Mungu amekupa ufahamu wa maandiko yake
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 4 ай бұрын
Neno la Mungu ni upanga mtu umoja anawatowa jasho 😂😂😂😂😂
@FredrickKatiech
@FredrickKatiech 2 ай бұрын
Huyo jamaa ndio kichapo cha wesalamu
@basilejuma
@basilejuma 9 ай бұрын
Kuna mwingine anaitwa kasina,na mbitha,hatari sana, mahali wako waislam hawakaribii
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 3 ай бұрын
Ndacha ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
@peacemwesiga
@peacemwesiga 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤Ndacha
@emuthree
@emuthree Жыл бұрын
Siku akibaini ukweli atalia sana...
@AzizyHamisi
@AzizyHamisi 4 ай бұрын
Mzee wa kusoma Aya vipnde ndach una kit bado
@EmmanueliHasani
@EmmanueliHasani 4 ай бұрын
Waislam hawan hoja kabisa ila ubishi tu
@HusseinAbdallahNgwema
@HusseinAbdallahNgwema 25 күн бұрын
Tunapenda kujifunza, kuweni waadilifu- unatoaje hoja za upande mmoja huu ni mdahalo Sasa hii ndio nini
@DavidSingano
@DavidSingano 19 күн бұрын
Ndacha wafundishe hao hawana elimu ya dini
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 449 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
UWEZO WA NDACHA KATIKA KUJIBU MASWALI YA HAINA YA MTEGO  KATISHA ZAIDI
13:38
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 95 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19